Mch Daniel Mgogo - Madhara ya Dhambi 15th July 2018
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Mch Daniel Mgogo ''Madhara ya Dhambi'' 15th July 2018
Subscribe to Africha Entertainment: bit.ly/AfichaSubs
The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music
Amina❤❤❤
Ubalikiwe baba 15:29
Am from kenya but hii dose ni imaraa sana..may God bless you man of God
l have been looking for this kind of preaching for years and behold today I got it here pastor Mgogo I will be following you thanks for the nice word of God it has really made me believe that there's still preachers who aren't materialistic and you've changed my way of thinking God bless you watch from Kenya
MUNGU akubariki kwa kazi uliyo pewa kufanya, Nimebalikiwa sana mahubiri yanagonga kona zote. AMINA.
The right message to the church in family relations. Then HE SAID UNTO THEM,WORSHIP YOUR GOD WHO IS YOUR CREATOR. I have a problem with dressing code here,ladies there is no heaven until you chose to change your dressing code,cover your heads and any other part of your body, be holy. And for the men,follow what the bible records us to do. Let us turn away from sin.Shalom
Barikiwa na Yesu mtumishi
Asante Bwana Yesu kwa ajili ya mtumishi wako mpe nguvu.upako usipungue juu yake
maneno mataaamu haswaa ila hujuwi kwanini maneno haya? na hutaki kujuwa kwasababu ananena neno la Mungu, ila shetani kageuza njia ili kuwanasa vema wanadamu, hivyo wengi watakuja kwa jina langu. swali je unakubali ukimiminwa maji ya upako utakuwa umesamehewa kweli? kazi kwako free manson imetawala
God bless you mtumishi, mahubiri yamenitoa machozi. you are a true man of God. mungu zaidi kukuonekania,
Amen mungu akubariki kwaneno nzuri
It's not joke nimelia eee Mungu utusamehe dhambi zetu, ambazo tunalaaniwa na wanyama.
Amen ubarikiwe sana mtumishi
ubarikiweee mtumishi wa babaa.... akikaa tunabarikiwaaaaa
Unanibariki sana ,nakupenda sana,unanifundisha Mengi.....
Nimefuatilia mwanzo mwisho i love this n nitafanya kitu kulingana na uwezo wangu ili huduma hii iwepo daima barikiwa sana baba hawa ndio watu wanatqkiwa kuwaambia watu ukweli mtupu
kweli mungu muweza wa yote
mchungaji niombee kwa maana napitia mapito mengi duniani
Amen, Asante Mungu kupitia mtumishi wako umegusa maeneo niliokua naenda vibaya najirekebisha
Amen
🌹 19:37 19:39 19:40
Just wow...this is the gospel i need to hear more snd not just about being blessed.mchungaji God bless u.
Nairobi tunakutambua
Amen
inasikitisha sana eeh Mungu tusaidie
Praise the Lord!!! Amina!!!
NABARIKIWA SANA MCHUNGAJI UBARIKIWE SANA NA MUNGU AKUTIE NGUVU NA KIBARI CHA KUIENEZA KAZI YA MUNGU ALIYEHAI
Nimebarikiwa Asante pasta Daniel mgogo
You have made it! Be blessed alot for a nice message my pastor.
Kama upo serikalini usituangushe!!! Kkkkk
Nimeipenda mch Mgogo
Aise Lutherani kweli wamebadilika,Maana kulikuwa hakuna mahubiri ya watu kutubu dhambi miaka ya 80'
AMEN Amen asante sana mtumishi ubarikiwe pia maana sisi tumebarikiwa
I love You Man of God you a Great Gift I still pray for You....
Ubarikiwe mtumishi nakupenda sana nalielewa neno lako nilichelewa kukufahami unaniponya,
Mch ubarikiwe naguswa na kubarikiwa sana na Jumbe zako zinagusa sana ubrikiwe
so insipiring be blessed mtumishi
Ubarikiwe saana
Hii ya Mbwa ni kali sana, nimekumbuka mbali
h
Huyu pastor ni mwema kwa maandiko naomba mungu amfungue a fahamu siku ya Mungu ya kuabudu kutoka biblia
More Grace.
Am blsd
Nimebarikiwa sana mtumishi
Na barikiwa saaana na mahubil yako mtumishi wa MUNGU unanfanya nickose MB kwenye cm yang nisiyakose mahubil yako kila sku
Ubarikiwe sana, wewe na familia yako.
Mchungaji mgogo unakarama kubwa, Mungu wetu mwema akutunze akubariki sna
Penda sana huduma yako
Amen
Amen from Kenya.
Asante Mucungaji. nimepokeya ujumbe na nipo Burundi.
mungu akujalie afyanjema uendelee kutuinjilisha mtumishi
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Aaaah mchungaji uko vema
Amen♥️♥️
Yani unamafundisho mazuri sana mungu azidi kukuinua watu wengi tunasahau wap mungu ametutoa
Powerful gospel
yaani nabarikiwa sana na mahubiri yako Mtumishi Mungu akuongezee ck
Ubarikiwe mchungaji
Barikiwa Sana mchungaji
Amen 20:36
AMEEN AMEEN
Mwahubiri wajue hata kunywa pombe ni dhambi ndo nitaamini kweli sasa Kiroho wapo hai
Amina mtumishi nabarikiwa sana ahsante Kwa mafundisho mazuri
nqbariki sana na huyu Mchungaji
Amen mchungaj ahsante kwa neno zuri
Amen mtumishi
Amen barikiwa
ameni nimebarikiwa sana254
blessed mchungaji
nondo za maana
Sema tupone Mchungaji
najitahdi nihamie Dar niwe nafata doz kanisani kwako,sio kwa full doz hiyo
Amen
Stella Neli amen
Ni Kenya nipo, na yote hayo ni sawa kwangu nataka copy
Hallellujah............ Hahahaha. tudunge sindano tupone baba.
😂😂😂😂😂 wewe nacheusi mangala yako 😂😂😂😂
mtumishi naomba namba yako
nabarikiwa sana mtumishi wa mungu ubarikiwe
Lo
Amen
🌹 19:37 19:39 19:40
Ubarikiwe mtumishi nakupenda sana nalielewa neno lako nilichelewa kukufahami unaniponya,
Amen
Ubarikiwe Mtumishi Wa Mungu mafundishoyako ni mazur sana tena nabarikiwa Mungu akubariki sana
Amen