Eeeh naona Magesa kakubal kiulain 😂😂😂😂😂Aya xx nasubir hatma ya mwalim Jiran nae bila kusahau kutoa shukran na pongez kwa vipaji vy watt ongeren team BABA JOAN ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Magesa anahurumisha😢 najua anajuta tu hangekua na roho mbaya kwa mwalimu mgeni..enyewe majuto ni mjukuu huja baadaye... NAPENDA VYENYE AMEJIKUBALI NA ANAVYOJIRUDI..........NAFATALIA SAANA KUTOKA KENYA.....TEAM BABAJOAN🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Asante mwalimu mgeeni kwa kwaeleza wanafunzi ya kwamba wakishindwa na shule wasije wakavunjika moyo wajihusishe na vitendo mbovu ila waatumie vipaji vyao mungu amewapa kusukuma maisha,,,hapa nje wengi wana vijikaratasi za Degree na masters na ni wafanya kazi wa wasio na hizo vijikartasi
Mwalim mgen kanikumbusha mbali sna hata shulen kwetu alikuwepo mwalim aliyekuwa anapendwa na wanafunzi na kupenda vipaji vya mwanafunzi like kama zote hata kama sio mwalim lakn anasifa za ualim kabisa
Episode 13 haijakuwa super good kwa maoni yangu ndugu zangu ktk Tanzania,tunataka kuona conflict kati ya tuzuvile na mwalimu masiga ikiwa imepanda juuu ,hakuna maelewano kabisaaa ,kwa jamii mwanadamu kweli hapendi kuona maelewano kwa mandugu ,hivi ndivyio tulivyiumbwa vibaya ,lakini pia mnafanya vizuri kwelikweli ❤❤❤❤❤
Patronise hii tamthilia itakua kumbukumbu YAKE usoni na atakuja kukushukuru Sana kama MUNGU atampa upeo WA kufikiria alipo toka NAMUONA mbali Sana dogo❤❤❤
Mwalimu mgeni anatia moyo kweli. Waalimu wangukua kama yeye,wanafunzi wangepita mitihani wao saaaana. ,,PAULL🇰🇪❤❤
Tanzania mnajua ku act halafu huyo msichana wa tenzi nimemkubali yuko poa nasauti safi ❤❤❤❤💋💋💋💖💖💖💖🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wale wakenya tukusanyike hapa, Baba Joan huyu wa utenzi nimetokea kumpenda sana😬🥰🥰🥰❤️
Mimi nampenda kwwli❤
Nimekuwa wa Kwanza kutoka Kenya 🇰🇪 NAOMBENI LIKE ZA BABAJOAN TAFADHALINI
Maximum mgeni yuko psi sana wanafunzi wanampenda
Eeeh naona Magesa kakubal kiulain 😂😂😂😂😂Aya xx nasubir hatma ya mwalim Jiran nae bila kusahau kutoa shukran na pongez kwa vipaji vy watt ongeren team BABA JOAN ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
tuzikwe wote baba john❤️❤️ Movie ndan ya Movie🔥💯🔥💯💯💯
Dah hii movie kali sana aisee Baba joan we noma mzee umenikumbusha ELECTOLYSIS
Patronize anajuwa imba sana zaidi kabisa natumaini atafika mbali sana makofi kwake tafhadali
👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Tenzi nzuri kbs vipanji vyenyewe viziriiii sana Rwanda huku tunawapenda nyinyi wa Tanzania
Tunawapenda pia
Dah patronas kipaj kikubwa san hongera mungu akusaidie ufke mbali mdogo wang 🤲🙏
Wakwanza leo from kenya🇰🇪 much love✊✊
❤❤
❤❤❤
Is there anything you can do that I see child support in a Tanzania
❤❤❤❤
❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wow good teacher bunajuwa kabisa walimu Woote wangekua hivo wanafunzi wangeelewa kila somo nawapenda kutoka Burundi
Pertronize nakukubali kinoma yani ❤❤much love from kenya 💚❤❤❤
Namkubali patronize kinoma
Nimejifunza mengi kupitia hii movie ya MWALIMU MGENI 🎉🎉🎉❤❤❤MASHALLAH 🥰 🥰 🥰
Mwalim mgeni aki sawa
@@CarenJeshanaktare walhi billah
Ni nzuri sana
Upcoming artist from Kenya 🇰🇪 enjoying watching mwalimu mgeni episode 13 thank you
Jamn mwalimu mgen Naku penda bure
❤❤❤❤ j'aime trop votre série. Je vous suis 5/5 depuis le grand Congo 🇨🇩🇨🇩
Aaahhh!!! Mwamba patronize anajua kuimba corals imekaa inatakiwa aendelezwe zaidi ana kituu atafika mbari sana apewe maua 🎉🎉🎉🎉🎉 yake❤
Watoto wanamupenda sana mwalimu mgeni mary kutuka kenya
Enjoy marry kalibu Tz
Huyu Patronize ana kipaji sauti nayo🎉🎉🎉Mbosso wa kesho💯💯💯
Likes za mwalimu mgeni hapa jameni❤❤
From Kenya 🇰🇪🇰🇪 much love ❤
Baba tupeleke mpaka mwisho yaan hii tuleteee hata ep ya 100 tuko pa1 sana na ww mpk tujuwe hatma ya sir making 😂
Aminiaaa at me naxubr ad episodes 300,000,000,000,000
Tunakupenda sana mwalimu mgeni ❤❤❤❤I like this movie from my heart ❤️ good job
Nmependa huo wa kufokea dadake keep up my brother am from Malindi , Kenya
Pamj kaka salimiana apo brighthways and l wish them success in their exams it's me Vincent
Kiukwe nikazuri sana afu mwalimu mugeni kwako ni pigap sana kabisa unatutowa stresse
Safi sana mtunzi hasa baba Joan kwa kuwaweka watoto vyema kila kipande katika series hii iko poa sana
Nko APA mombasa na enjoy episode ni nzuri sana...naona kipara kimeamua kuomba msamahaa 😂😂😂
Magesa anahurumisha😢 najua anajuta tu hangekua na roho mbaya kwa mwalimu mgeni..enyewe majuto ni mjukuu huja baadaye... NAPENDA VYENYE AMEJIKUBALI NA ANAVYOJIRUDI..........NAFATALIA SAANA KUTOKA KENYA.....TEAM BABAJOAN🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Naombeni likes tafadhali nakama mnampenda mwalimu mgeni weka like
Asante mwalimu mgeeni kwa kwaeleza wanafunzi ya kwamba wakishindwa na shule wasije wakavunjika moyo wajihusishe na vitendo mbovu ila waatumie vipaji vyao mungu amewapa kusukuma maisha,,,hapa nje wengi wana vijikaratasi za Degree na masters na ni wafanya kazi wa wasio na hizo vijikartasi
❤zasubui wapendwa tunaxhukulu sana🎉 kwaumakini wa mvi hii nimekubali😂 asate sana
Mmh kiukweli mwalim mgeni na patronize kwenye igizo hili nawapa bigup mnaweza Mungu awafikishe mbali congratulations
Yaan ni mwendo wakudaka tu hakuna kuchelewa😂😂😂😂❤
A teacher from Kenya,,,,,,,bravoo mwalimu mwenzangu
Patronais courage unaimba safii nasauti nzuri ❤❤❤❤❤
Nyiote nawapenda saana
Congratulations mwalimu mgeni Moja wapo idea ya ufundixhaji💙
Congratulations baba Joan simama wima usikatee tamaa kwa kuwa duniani twaishi na wanafiki am from Kenya kipindi chako kimenifurahisha mno
Nakubali your teaching tecknics are very paramount. Congratulations. 🇰🇪
Wote wame tisha hongera zao wanafunzi walioonyesha vipaji vyao
Waste of time
Baba joan naomb account anotumia huyu patronize anajuwa kwelii kuimba anakipajii haswa huyu patronize❤❤❤
Natamani kurudi shule.. hongera sana mwalim mgeni kwa taranta uliyopewa na MUNGU 👏👏
I love Tanzanian Education,,, Collins from Kenya
Mwalimu mgeni Ni mzuri sana❤❤❤❤
Mwalimu mgeni umeweza kweli. Unajua kukuza vipaji❤
Mwalim mgen kanikumbusha mbali sna hata shulen kwetu alikuwepo mwalim aliyekuwa anapendwa na wanafunzi na kupenda vipaji vya mwanafunzi like kama zote hata kama sio mwalim lakn anasifa za ualim kabisa
Leo mm ndio nimekuwa wa kwanza kutoka uku kenya ....nnaomba mnitumie likes zenu❤❤❤❤❤❤
Baba Joan,,aki unaweza n uwezo unao,patronize big up sana,kazi nzuri watu wangu .
Wah kweli nimeamini vipaji Ni nyingi na tofauti
😂😂😂😂😂yo braza wakufokea anapendeza akona talanta aki😅😅😅😅😅 nimeipenda 😅😅
Duh min7 views 500 hii noma kazi nzuri Sana❤
Nakupenda kaka mwalimu mgeni hii mifano ya kufundisha sawa kbs
Kwa hakika Mwalimu Mgeni umeweza.....hongera God bless ua work bro
Nimevutiwa sana na uyo mwanafunz mwenye kipaji cha kutia huruma......from iringa tz...
From Kenya am here for baba joan🇰🇪🇰🇪
Nimechelewa leo😢😢😢.love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI, naitaji ma likes jameni
Urikua wap pakakucherewa
Nimekupa hiyo chukua
Nilishinda mu shooting
Great job Dad Joan
Mmasai mmoja tu mwenye anafwatilia hili movie naombeni changu na Mimi like wa wingi
F
Huyo mwanafunzi alikua na kilanga sana hadi alikua anamwambia mwalimu basi nimekubali unipe mimba😂😂😂😂
Kwakweli
Not only from Tanzania by am also watching you from meru Kenya . Much love you Baba Joan
th-cam.com/video/hSSpyiSSBJA/w-d-xo.htmlsi=4zssg57nzj-gMyH9
Nairobi hapa mwalimu mgeni ako bie yaani ako sawa saaana anajua kuwaelewa wanafunzi wengine waache wivu watie bidii❤
Kama Kawa Wa kwanza kutoka Kenya napenda kazi yenu ❤️❤️❤️❤️❤️ nipewe likes
Baba Joan wew n mealim maana hata mwandiko mzur
Ni mwalimu by professional
Watching from Qatar 😂😂😂mwalimu mgeni nakupenda❤ sana
Episode 13 haijakuwa super good kwa maoni yangu ndugu zangu ktk Tanzania,tunataka kuona conflict kati ya tuzuvile na mwalimu masiga ikiwa imepanda juuu ,hakuna maelewano kabisaaa ,kwa jamii mwanadamu kweli hapendi kuona maelewano kwa mandugu ,hivi ndivyio tulivyiumbwa vibaya ,lakini pia mnafanya vizuri kwelikweli ❤❤❤❤❤
Mwalimu mgeni unafundisha vizuri kabisa ,tunakufuata tukiwa Rwanda 🇷🇼
Jamani hiki kipindi nikizuri sana naomba kiendelee mwaka na zaidi😂🇺🇬🇺🇬
Yaaani Patronize kipaji chake kikuzwe natamani na mie niwe kama yeye🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Never give up 👊
Natumai sijachelewa Maana hii Tamthilia nzuri kweli hongera Baba Joan Kwa Tamthilia hii
Watching from Saudi Arabia Mwalimu mgen uko juu Sana haya team Strong karibuni sima mayai 😂😂😂😂😂waiguru bado kalala
🎉We acha maana wakiamka utasikia kadama
Mwalimu mgen Ako na tekinic za ufundishaj hongera sana
Huyu patronize asipoimba nachanganyikiwa sana aiseee 🎉🎉🎉🎉🎉
Hao wanafunzi wana vipaji sana sana... Eeh🙌🙌🙌 watafika mbali sana
Amini usiamini HUYU mwalimu mgeni anacho kifanya ni zaidi ya taaluma Big up kwakee🤜🤛
Ndonafika kwa mwalimu mugeni ❤
Napenda vile mwalimu anavyoweza kujituma pia napenda vile patrionize anavyoimba❤❤❤❤❤
Na mwalimu magesa anakaa kweli mchawi😂😂😂
Nimewakubali Sana kwanza huyo wa kufokea😂😂
Voce amigo é professor mesmo baba joan. Se todos professores fossem assim os nossos alunos serial bons. Parabens❤❤❤❤
😂😂tunakubali allah aku udumishiekaziyako
😊
Yani upo vizuri sana tena hiii ni zaidi ya nzuriii upewe maua yako tuu🎉🎉🎉🎉
Much love 💗💗💗 Mwalimu mgeni kwa jinsi unavyofundisha likes kwa wingi
Aloo sijawahi kuwa wa kwaza ata nikijitahid bigup wadau
Wakwaza Léo nipeni liker ❤❤❤❤
Umetisha sana nimrjaribu kua wa kwanza ila no were👊🔥
Nao baband saefmojatu naomba unisaidie
BaBa Joan unajua sn kaka hongera zako izooo👏👏👏
Hii ngoma ya Patronize ya Kwenda Studio kabisa isipotee tu kizembe🎉🎉🎉🎉
Umeona kama Mimi aise❤❤❤❤❤
Aseeeh tna hraka sana jamani mbna hvo
@@JimmynineTheBosManus Najivunia kuzaliwa Tz🇹🇿 nchi iliyo Barikiwa vipaji mbalimbali
@@JimmynineTheBosManus Jamaa tungemchangia hata TSH 1000 hawezi kurecord kweli Kwa idadi tu ya watu 1000?
@@CloudKayanda Hao madogo Wana vipaji inatakiwa tusupport vya kwetu Siyo kila siku South Africa,Nigeria na U.S.A tu
Kwakweli iyo filamu ya mwalimu mugeni kwakweli ni Historia zuri sana katika.maisha ya aya
Much ❤ @ Teacher Mgeni and ua b ❤d student.from Kenya 004 county
Likes za patronizer leo hii❤
Wapy like ya patronize na wenzake❤️❤️❤️
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 15:26 ndagakunze kabsa move ikosoye I love this Congratulation
Patronise yuko vizuri❤❤❤🎉🎉🎉
Wow wow wow mehn am Rayswill from Kenya.wapi like zangu
Kazi nzuri from Oman, Mungu akuwekeye wepesi, ufike mbali
Kazi nzuri Baba Joan naipat nkiwa Saudia 🇸🇦
Congratulation mwl.mgen mungu ainue kipaji chako zaid na zaid ..from Salawe
All the way from UAE likes jameni...Leo mliamua kitufunza darasani kipindi chote😂. Jameni 😂 wah next ni Mchongoano Sasa ama niaje wadau
Huyo dada anaeimba utenz si haba nipoa san nawapend woteeeee❤
Sijawayi comment ever. Kwasababu yauyo kijana anayeimba wakati nyingi. He should be a singer, anasauti nzuri
Naombeni likes tafadhali kama mnampenda mwalimu mgeni weka like
Ha baba John unaniguza sana. Halafu Patronise ako na kipaji hatari. Acha Mungu amuonekanie jamani. Kutoa Kenya twawapenda sana😊2
Patronize anaimba kama ali k i love him ❤❤ love him from Canada 💖💖💖
Patronize nyota huyo WASAFI mchukueni! Acting mko sawa sana wa bongo nawakubali.
Nko Kenya lakn hii movie ya mwalimu mgeni Kwa hakika iko na mafunzo mengi sana, acha mungu azidi kukupa hekima Kwa Kila jambo ufanyalo inshallah
Patronise hii tamthilia itakua kumbukumbu YAKE usoni na atakuja kukushukuru Sana kama MUNGU atampa upeo WA kufikiria alipo toka
NAMUONA mbali Sana dogo❤❤❤
Kabisa