GOODLUCK GOZBERT: NASHINDANA NA MWENYE VIEWS ELFU 5 SIO MILLION / OMMY DIMPOZ NAMUOMBEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2018
  • LilOmmyTV channel maalumu ya Burudani na EXCLUSIVE interviews kutoka kwa masta unaowakubali.
    Subscribe hapo chini, Angalia show mwanzo mwisho, Gonga Like, Angusha Comment yako kisha Share Link na wenzako kwa Whatsapp, Facebook au Twitter.
    Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
    / lilommy
    / lilommy
    www.lilommy.com
    for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea www.lilOmmy.com
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 175

  • @muddyville
    @muddyville 6 ปีที่แล้ว +40

    Jamaa anajielewa sana....Nadhani ni msanii wa gospel ambaye anafatiliwa na watu wa dini zote. Good lucky kaka...

  • @kimyusco6910
    @kimyusco6910 6 ปีที่แล้ว +124

    Kama ww n msoma koment tu Wala hukoment chochot,ucpte bila ya kusoma hi yangu ksha like.

  • @issasalum7284
    @issasalum7284 6 ปีที่แล้ว +58

    Kama unamkubali jamaaa gonga like...

  • @kimkimmie3435
    @kimkimmie3435 6 ปีที่แล้ว +16

    I’ve discovered this boy last week and I looooooove him👌🏼.Shukurani is my favourite.cant have enough of it.
    Kenyan born living in +61

  • @fatmaabdallah8743
    @fatmaabdallah8743 5 ปีที่แล้ว +11

    Katika wasanii wa gospel huyu kijana namkubali sana nyimbo zake zote nzuri na hasa Hamuwezi kushindana hii naipenda sana kuisikiliza

  • @MaureenMollel
    @MaureenMollel 6 ปีที่แล้ว +14

    Maturity&wisdom is what i see from Goodluck...Mungu hamtumpi mja wake...God bless u

  • @hamisajuma6493
    @hamisajuma6493 6 ปีที่แล้ว +15

    nakukubali mmpka napata homa huwezi kushindana Kila siku naimba nisipo uweka nitaimba moyoni popote ninapo enda mungu akutie nguvu kidogo napunguza dhambi

  • @rozeypwizzy6472
    @rozeypwizzy6472 6 ปีที่แล้ว +4

    dah GOODLUCK nimependa ulivyohojiwa maana unaongea kwa kujiamini na kujibu kiufasaha.. mashaallah

  • @stephenmwanzake
    @stephenmwanzake 5 ปีที่แล้ว +3

    Oh my oh my Goodluck Gozbert..WISDOM

  • @priscillahjumaa3023
    @priscillahjumaa3023 5 ปีที่แล้ว +6

    Hahaha ati mama akasema aisee rudi shule ntakutandika,be blessed

  • @isaackbm1935
    @isaackbm1935 6 ปีที่แล้ว +6

    Haijawah kupta japo cku 1 bla kuckliza nymbo zako
    #Goodluck_Gozbert

  • @jofreynnko2203
    @jofreynnko2203 6 ปีที่แล้ว +4

    much,respect bro nakukubali sana na ngoma yako mpya NIPE

  • @lawmarcusmwakagenda355
    @lawmarcusmwakagenda355 4 ปีที่แล้ว

    Keep it up my young with great careful we love u we appreciate your Godly ministry and be blessed much much

  • @margarethsaramaki1100
    @margarethsaramaki1100 5 ปีที่แล้ว +2

    Keep up brother! Nyimbo zako zinanipa faraja.God bless u###

  • @datiusdidace2173
    @datiusdidace2173 6 ปีที่แล้ว +50

    kama umeangalia interview hiii mpka mwisho
    gonga like 👍 nikufollow

  • @Grapevinecafe32
    @Grapevinecafe32 6 ปีที่แล้ว +4

    wow this guy is very humble and inspiring

  • @salehsuleiman7856
    @salehsuleiman7856 6 ปีที่แล้ว +44

    katka wasanii wa tanzania huyu ndio msanii pekeake sangalii kabila wa imani ya dini mm binafsi namkubali

  • @chancesholdan342
    @chancesholdan342 5 ปีที่แล้ว +1

    @lilOmmyTV we jamaa unajua sana....nakuona mbali sana brother....nakubali sana interview zako brother...bless mzeee👊

  • @belovedofgod.2517
    @belovedofgod.2517 5 ปีที่แล้ว +1

    Wow wisdom detected,bravo Goodluck.

  • @khamismasaai5307
    @khamismasaai5307 6 ปีที่แล้ว +8

    Hii interview imekuwa dope sana big up

  • @malongomasaba400
    @malongomasaba400 6 ปีที่แล้ว +1

    ubarikiwe zaidi, unaencourage na unainspire pia. we luv ur music bro!

  • @ayubexaud3309
    @ayubexaud3309 5 ปีที่แล้ว +6

    Much respect jamaa goodluck

  • @GedeonJamesGedythedon
    @GedeonJamesGedythedon 6 ปีที่แล้ว +5

    Nakupata vzr xana kijana from USA

  • @msofelighitrider5748
    @msofelighitrider5748 6 ปีที่แล้ว +2

    Nakukuli Nina nyimbo zako nazipiga sana kwenye bajaji hasa wimbo was shukurani alafu pia we we ni wajina wangu naamini IPO siku nami nibarikiwe 💪💪💪

  • @floraaxwesso8261
    @floraaxwesso8261 5 ปีที่แล้ว +2

    Goodluck I appreciate you may God bless you

  • @zachariamishai7258
    @zachariamishai7258 6 ปีที่แล้ว +36

    Leo tupo na mzee baba #Goodluck💪😂😂😋#tunakaza!! wenye furaha kama mm kumuona mzee baba kweny amplifaya ya #lilommy gonga like hapo down👇👇

  • @nancychelangat1705
    @nancychelangat1705 6 ปีที่แล้ว +3

    I like your music sana, big up

  • @scolasticawambui1860
    @scolasticawambui1860 5 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akuzidishie baraka bro

  • @mokeiraeznah4249
    @mokeiraeznah4249 5 ปีที่แล้ว

    I like ur songs so much,,, ur dress code.....big up brathe

  • @pablombuya8798
    @pablombuya8798 6 ปีที่แล้ว +2

    I got a key point sometime also family can dispoint but don't give up

  • @lestermtweve6322
    @lestermtweve6322 6 ปีที่แล้ว +3

    Smart xn goodluck
    Mungu akuongoze

  • @excellingwoman7651
    @excellingwoman7651 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Kama vile napenda wanangu. Wimbo Mungu hapewi rushwa ndio my best

  • @patricktravis6575
    @patricktravis6575 6 ปีที่แล้ว

    Tabweee kizazii sanaa Goodluck yko poah sana kwenye pindiii la kizaziii

  • @shirtonandrew3897
    @shirtonandrew3897 6 ปีที่แล้ว +2

    One of the best interview

  • @bonnysure5131
    @bonnysure5131 6 ปีที่แล้ว +4

    Dah Niljuatu huez amini Maswali yatauluzwa mhim mhim kam kuusu Lollipop skujuaga huyu ndie Lolipop Goodluck tisha

  • @shideashidea5570
    @shideashidea5570 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki zaidi Goodluck Gozbert

  • @finnahhallen5484
    @finnahhallen5484 6 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu Anatenda na ataendelea kutenda
    Usikate tamaa daima uzidi kusonga mbele broo Gozbert

  • @malikikailan9108
    @malikikailan9108 6 ปีที่แล้ว +2

    iko poa sana jamaa anajibu maswali vizur sana lilly katik interview zako me nimeikubal ya huyu jamaa

  • @zuhurampinila4423
    @zuhurampinila4423 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali bro ur de next🙏🙏

  • @hassansony1701
    @hassansony1701 5 ปีที่แล้ว

    nakubali sna kazi zko broooh yni cchokagi kuskiliza nymbo zko zenye kuelimisha jamii kiujumla

  • @LuganoEdom
    @LuganoEdom 5 ปีที่แล้ว +2

    Bless you

  • @uredipeter412
    @uredipeter412 4 ปีที่แล้ว +2

    I appreciate amy girl ❤️💕

  • @isaackkindole5181
    @isaackkindole5181 3 ปีที่แล้ว

    Sawaaaaaaaaa kaka studio yako ip sehem gan

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 4 ปีที่แล้ว

    Be blessed Kaka,kataa maneno mabaya wanayokunenea

  • @uredipeter412
    @uredipeter412 4 ปีที่แล้ว +2

    Kizazi sana lilommy the mvp

  • @salehsuleiman7856
    @salehsuleiman7856 6 ปีที่แล้ว

    thnks broo

  • @hassanjuma1583
    @hassanjuma1583 6 ปีที่แล้ว +1

    Hii interview ya moto sana,Kizazi sana

  • @barakajpilly6900
    @barakajpilly6900 6 ปีที่แล้ว

    uko open sana bro mungu akubariki

  • @evelynemwakiseepe790
    @evelynemwakiseepe790 6 ปีที่แล้ว +2

    Unaongea vzr cchoki kukuckiliza kaka Goodluck Gozbert

  • @lestermtweve6322
    @lestermtweve6322 6 ปีที่แล้ว +30

    Mtweve
    Gonga apa km unamkbl good

    • @veniahgaya240
      @veniahgaya240 5 ปีที่แล้ว

      Mungu akupiganie kaka songa mbele

  • @karuhangastephen9950
    @karuhangastephen9950 4 ปีที่แล้ว

    Kizazi sana bro big up xana

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 6 ปีที่แล้ว +4

    Napenda sana ngoma za huyu jama

  • @masolwapaschal1479
    @masolwapaschal1479 6 ปีที่แล้ว

    Kupitia wewe #Goodluck gozbert imani inapanuka kupitia kaz zako

  • @bonkemlawa1615
    @bonkemlawa1615 6 ปีที่แล้ว +1

    nakupenda xn bro I wish one day nitakuwa kama ww napenda xn kuimba toka moyoni mwangu namuomba kila xku anixaidie niweze kuwa kama ww

  • @faithkyalo3783
    @faithkyalo3783 5 ปีที่แล้ว +1

    From Kenya.....napenda nyimbo zako ....

  • @EddyEdyuseEddyOneTv
    @EddyEdyuseEddyOneTv 6 ปีที่แล้ว +10

    This brother of mine ana inspire sana keep going brother

  • @anjelaslim1149
    @anjelaslim1149 5 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana hakuna nyimbo ambayo hainigusi, mungu akubariki kaka

  • @reghinahaule8360
    @reghinahaule8360 5 ปีที่แล้ว +1

    GOD BLESS U

  • @jomextheproject6022
    @jomextheproject6022 4 ปีที่แล้ว

    Bem vindo é Moçambique gosto das sua Músicas Goodluck

  • @lucymwanji328
    @lucymwanji328 3 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana bro

  • @thomasndumila4382
    @thomasndumila4382 6 ปีที่แล้ว +7

    Ukitaka kumsaidia mtu usitegemee kukulipa, much respect bro #lilommy #Goodluck

  • @irenembura5684
    @irenembura5684 4 ปีที่แล้ว +1

    God bless You🙏

  • @doramarcel1013
    @doramarcel1013 6 ปีที่แล้ว

    Nice goodlucky

  • @yetenesnzogela561
    @yetenesnzogela561 6 ปีที่แล้ว +1

    Waoooh! Ubarikiwe Gozbert

  • @nicksonjohn4687
    @nicksonjohn4687 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki kak gozbert nakukubal balaa

  • @daudisiloma6471
    @daudisiloma6471 5 ปีที่แล้ว +1

    Kaka mm nakukubari sana natamani siku moja niwe kama ww

  • @jacksongeorge6203
    @jacksongeorge6203 6 ปีที่แล้ว

    dah ebwana me sina cha kusema about godluck but me nampa pongez xana kwa kazi nzuri usipo jali kaka un2me your contact 2wasiliane mzee big up xana by jack boy

  • @josephmayunga7861
    @josephmayunga7861 6 ปีที่แล้ว +2

    blessings the praylist

  • @nickbrown7982
    @nickbrown7982 6 ปีที่แล้ว

    Namkubali Sana Uyu mwamba

  • @jameschavu8192
    @jameschavu8192 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awe nawe uko vzr kwny kuimba had ongea yako "SONGA MBELE"

  • @godblessmushi2219
    @godblessmushi2219 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mtumishi atafika mbali Sana ndio dua langu kwake

  • @mayungantugwa6092
    @mayungantugwa6092 6 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana mtumishi wa mungu

  • @hamiduissa8089
    @hamiduissa8089 6 ปีที่แล้ว +2

    Gud

  • @kuwanzestephen8627
    @kuwanzestephen8627 6 ปีที่แล้ว +3

    your blessed Goodluck

    • @estertushabe3793
      @estertushabe3793 4 ปีที่แล้ว

      Namukubari na anafanya vizuri sana nazidi kumuombea kwa mungu

  • @ochogopeter8892
    @ochogopeter8892 5 ปีที่แล้ว +1

    nakukubali sana baba

  • @jumasimon9698
    @jumasimon9698 6 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa bro

  • @santodelove4351
    @santodelove4351 6 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa yuko poa sana

  • @balletmatatarugonda5103
    @balletmatatarugonda5103 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akutiee guvu

  • @kaobamaabel5561
    @kaobamaabel5561 6 ปีที่แล้ว

    kizaz sana goodluck

  • @godsonsumari2934
    @godsonsumari2934 6 ปีที่แล้ว +6

    GOZZBERT UKO SMART HADI RAHA KIJANA

  • @hidayajumma5072
    @hidayajumma5072 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa

  • @patrickkimakindaofficial5333
    @patrickkimakindaofficial5333 4 ปีที่แล้ว

    Lil napenda kazi

  • @Lucassilumbe6112
    @Lucassilumbe6112 5 ปีที่แล้ว

    Huko vizuri gd

  • @emmanuelthomas8079
    @emmanuelthomas8079 6 ปีที่แล้ว

    Nakubali broo

  • @kapelajosephat2270
    @kapelajosephat2270 6 ปีที่แล้ว +1

    Jamaaaa anajuwa mpaka simpendi

  • @anitaodhiambo6646
    @anitaodhiambo6646 4 ปีที่แล้ว

    this one is Gods..

  • @gadsonmanchester475
    @gadsonmanchester475 6 ปีที่แล้ว

    Noma sana

  • @edwardsichilengwe2330
    @edwardsichilengwe2330 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana Gudluck, ila nyimbo za K bongo fleva usiimbe kabisa wala kuperform pamoja na za kidunia. Ila kuwatungia watu endelea kutunga hicho ni kipaji chako pia

  • @timothyotwori8560
    @timothyotwori8560 4 ปีที่แล้ว

    Goodluck

  • @greysonsports1542
    @greysonsports1542 6 ปีที่แล้ว

    Gozbert unajua bro

  • @wizzydidasi5655
    @wizzydidasi5655 6 ปีที่แล้ว +1

    Kizazi sana

  • @DavisTibbz
    @DavisTibbz 5 ปีที่แล้ว

    Very wise guy

  • @saidikambimbaya6739
    @saidikambimbaya6739 5 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa lina akili hili..

  • @lukahaule6123
    @lukahaule6123 5 ปีที่แล้ว

    nice

  • @Kirumba5991
    @Kirumba5991 6 ปีที่แล้ว +7

    Ukikaa kenya lazima uongee kama wao

    • @renildevenerand8256
      @renildevenerand8256 5 ปีที่แล้ว

      Ivi wewe umewahi kuishi n'nje ya inchi? Ungeona njisi ungejikuta unaambiwa ume change jinsi ya kuongea .na bila kujijua.

  • @zawadianagabriel9768
    @zawadianagabriel9768 6 ปีที่แล้ว +3

    Wow congratulations bro God bless you

  • @pascalstaharabu4124
    @pascalstaharabu4124 5 ปีที่แล้ว +1

    Sijaon koment hat moj, utakatifu kwanz

  • @ericusmsigalamsigala8807
    @ericusmsigalamsigala8807 6 ปีที่แล้ว

    #unawapa hamasa watu weng sana wasikate tamaa

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 5 ปีที่แล้ว +2

    Walau hii chanel ina interviewers wanaojielewa

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 ปีที่แล้ว +3

    MZIKI WANGU AU INJILI YANGU