SAKATA LA BEN POL KUMKATAA MTOTO WAKE, MWENYEWE ATOA UKWELI WOTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 53

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 ปีที่แล้ว +4

    Ben paul wewe ni legend may God bless you bro

  • @amisjabubakari7734
    @amisjabubakari7734 ปีที่แล้ว +6

    ❤❤❤❤❤ sisikweli tume miss muziki wako

  • @amisjabubakari7734
    @amisjabubakari7734 ปีที่แล้ว +5

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ sisitunapenda muziki wako. Tunaitaji muziki wako

  • @njoroboihustla125
    @njoroboihustla125 ปีที่แล้ว +9

    BENPOL ANA RESPECT SANA🙌

  • @amisjabubakari7734
    @amisjabubakari7734 ปีที่แล้ว +5

    Tuna kubali muziki wako kijana

  • @amisjabubakari7734
    @amisjabubakari7734 ปีที่แล้ว +2

    Like you music

  • @amisjabubakari7734
    @amisjabubakari7734 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤ good luck with

  • @amanimapenzi571
    @amanimapenzi571 ปีที่แล้ว +7

    Wewe Ben mwanzo sisi +254 tumekukasirikia tuu sana!!! Uliacha msichana wetu wewe! Yaani sisi wakenya tumekukasirikia sana ...sema pole mwanzo kwetu

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 ปีที่แล้ว +2

      Sasa musichana wenu km hajatulia je

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 ปีที่แล้ว +4

      Msichan yul bibi

    • @bensonmwananchi7701
      @bensonmwananchi7701 ปีที่แล้ว +3

      Afu nyie wakenya mmemroga jamaetu mpaka kashuka kimuziki

    • @Ann-Strong
      @Ann-Strong ปีที่แล้ว +4

      Wewe na Nani? Mwanamke atabakia kua mwanamke sio Eti juu ana pesa adhulumu kijana wa watu..Ben pol alifanya uamuzi sahihi kudai takala .... Anerlisa mwenyewe umeona amedate wangapi after Benpol....? Am happy he asked for divorce before he was killed,

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat ปีที่แล้ว +1

      Kaachwa

  • @josehaulee1508
    @josehaulee1508 ปีที่แล้ว

    Big broo ben pool way back

  • @harunaandrew2870
    @harunaandrew2870 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @amisjabubakari7734
    @amisjabubakari7734 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤😊

  • @gladnessmunyanyi5775
    @gladnessmunyanyi5775 ปีที่แล้ว +1

    Anamelemeta mwenyewe😂

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 ปีที่แล้ว +4

    Mmmmh ben kapaka mafuta kwenye mdomo kama kala kitumbua😂😂

    • @mohamedslh5478
      @mohamedslh5478 ปีที่แล้ว

      Nilimfikiri ni mm peke yangu nimefikiria ivyo 😃

    • @lucyjeremia1381
      @lucyjeremia1381 ปีที่แล้ว

      😂 😂 😂 😂 😂 Watu mmeona mpaka mafuta ya mdomo loooh

  • @amehassanrehanirehani7906
    @amehassanrehanirehani7906 ปีที่แล้ว +2

    Watu wana kataa watoto halaf badae mtot anapo jaaliwa uwezo wa kiuchumi mnaanza kujipendekeza tuacheni mmb ya ujan na ujinga kweny swala la kumlea mtot na kumpa mtoto malezi bora huwez jua badae atakuwa nani na niwajbu wetu kumtunza mtot maan huwa tunatafutan wenyew kwa mapenz yetu

    • @seifsaid9905
      @seifsaid9905 ปีที่แล้ว +2

      Wew nikuulize Jambo 1 tu na unijb poah ivi unazaa mtoto akusaidie au unazaa mtt umsaidie ikijua Hy ndio utanielewa San ebu jiulize Tena mlee mtoto haskusaidie au MTELEKEZEE afanikiwe kip bola kwa Hy mawil tu

  • @neemamkemae2580
    @neemamkemae2580 ปีที่แล้ว +2

    Kaka ilo wese vipi kwenye mdomo...

  • @oliviahill7891
    @oliviahill7891 ปีที่แล้ว

    Huyu kashamaliza mwendo

  • @fauziakarama8581
    @fauziakarama8581 ปีที่แล้ว

    Huyu nae mke wake ni yuleyule Ebitoke tuu hao wengine sio wakweli urudiane na Ebitoke tuu basi

  • @amisjabubakari7734
    @amisjabubakari7734 ปีที่แล้ว +1

    Good

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️🙏

  • @johanesthobias8742
    @johanesthobias8742 ปีที่แล้ว +1

    Mbona unaonekana kama unaamini aibu wewe mzeee

  • @faidhafaidha4587
    @faidhafaidha4587 ปีที่แล้ว +4

    Mdomo umeupaka sana mafuta kaka😂...

  • @niyonkurusalum318
    @niyonkurusalum318 ปีที่แล้ว

    Unafki tu

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 ปีที่แล้ว

    Ben umenenepa.

  • @hawahabibu3881
    @hawahabibu3881 ปีที่แล้ว +2

    Una tabia mbaya ulimuacha Dada Ebitoke alikupenda

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 ปีที่แล้ว

      Khee sio type yak yule

    • @rehemaothman2475
      @rehemaothman2475 ปีที่แล้ว

      @@faidhamyovela179 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @stellah3844
      @stellah3844 ปีที่แล้ว

      Kheeee umenkumbusha🤣🤣🤣🤭🤭🤭🤭🤭🤭

    • @flowebenezeth
      @flowebenezeth ปีที่แล้ว

      Jamani watu Ben Paul uko sawa

    • @hawahabibu3881
      @hawahabibu3881 ปีที่แล้ว +1

      @@faidhamyovela179 Mbona alikuwa nae kama cyo type yake sema Benpol tabia yake mbaya 😞

  • @lytrapha8677
    @lytrapha8677 ปีที่แล้ว

    Sawa ulikasirishwa sasa ndyo upake mafuta mdomoni😂

    • @kombawinnie
      @kombawinnie ปีที่แล้ว

      amelewa au vp mbona kalegea hvyo sikuizi

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +1

    🙄