#BREAKING

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 124

  • @nasramusaro
    @nasramusaro หลายเดือนก่อน +5

    😢😢😢😢 inasikitisha watu kuigiza kutekwa jamani

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 หลายเดือนก่อน +1

    Kama ni.kweli basi pole sana na hii inafundisha kuwa watu tuwe makini sana na kukutana na marafiki tusiowaamini vizuri hasa nyakati za usiku tena mtu ikiwa peke yako.
    Pili tusinywe vinywaji hasa vya wazi ksmajuice mahali tusipopaelewa vizuri au kama tukipata mashaka. Pia kuwa makini na glass.
    Kama ni kukutana si mbaya kuchukua tahadhari walau mkutane kwenye public places. siku hizi hali si nzuri sana mitaani kwetu. Hata rafiki anaweza kuwa adui mbele ya maokoto.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 หลายเดือนก่อน +1

    Naunganidha dots haziungani vizuri. Marafiki wako wafanyabiashara wenzio wamekuita mbali mkazungumze biashara ambayo haifai kusema ukaenda ukaleweshwa ukapoteza fahamu ili utoe password nk hukuwatajia wakakuachia wakaondoka zao hivi hivi tu.
    Biashara yenyewe haieleweki bado. Duh hiyo nayo Kali.
    Maswali ninmengi kuliko maelezo.
    Hilo nalo fumbo

  • @JfourHumbi
    @JfourHumbi หลายเดือนก่อน +4

    Maigizo 😅😅😅😅kabisa 😂😂 inachekesha sana huyu kijana amejiteka akamatwe ameleta taharuki

  • @ibrahimkasim922
    @ibrahimkasim922 หลายเดือนก่อน +7

    Kazi mzuri Kwa jesshi na mtangazaji
    Ila huyu mtangazaji ni WA mda mrefu ila atulii hoji technique questions

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg หลายเดือนก่อน

      unapotoa sifa kwa jeshi katika maelezo hayo jeshi limefanya kazi ipi hapo? Hii storry ni storry iliyotengenezwa ili kuwaziba midomo watanzania wanaohoji juu ya watu ambao wamepotea na hawapatikani

  • @wiliamkatala
    @wiliamkatala หลายเดือนก่อน +1

    Muliro kazi yko imetukuka sana,chapa kazi mzee.

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya หลายเดือนก่อน +3

    Pole kwa mchezo wa wazi

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 หลายเดือนก่อน

      Kamanda wa Polisi Muliro lini mara ya mwisho uliongea na wazazi wa Soka na lini utatoa ripoti juu ya kupotea kwake?

  • @mwanahawamohammed8540
    @mwanahawamohammed8540 หลายเดือนก่อน +6

    Yaani hadi nimecheka huu mchezo wa maonesho kuthibitisha kuwa polisi wapo fair. Tuambieni na wale wengine wapo wapi? 🤣🤣🤣

    • @siamollel9725
      @siamollel9725 หลายเดือนก่อน +1

      Ukweli tangu nasikiliza hii hadith haiingii kichwani,Tuache maigizo kuna magumu mengi yanaumiza watu yuwe serious na Maisha jamani

    • @mwanahawamohammed8540
      @mwanahawamohammed8540 หลายเดือนก่อน

      @siamollel9725 umeonaee!

  • @hakimameir1766
    @hakimameir1766 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mzee wa polisi mimi namkubali sana kwasababu anajua anachokifanya yaan anachapa kazi kwa weledi mkubwa sana

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 หลายเดือนก่อน +1

    Tuwe makini na marafiki. si wote ni wazuri. Wengine ni maadui watarajiwa wakipata nafasi ya kukudhuru wanaitumia. Wengine sababu ya wivu wengine tamaa zao, wengine maokoto tu..
    Don't trust easily.
    Take care of yourself

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 หลายเดือนก่อน +3

    Huu mchezo wa kawaida tuliosoma Quba tumeshaelewa yaani umekunywa juisi halfu ukaachwa daaa haya maigizo mtaacha lini?halafu hao watu anawafahamu then hamjawakamata??

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 หลายเดือนก่อน +4

    bado hajaeleza ukweli na huyo hakupotea anajua alipokua amefixhwa huyo

  • @AleniMwanga
    @AleniMwanga หลายเดือนก่อน

    Duuh broh kama ni move mmecheza😂

  • @siamollel9725
    @siamollel9725 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona yule mzee Ally Kibap mlipewa taarifa na ameuwawa amezikwa familia hadi leo inahoji hamna majibu hadi leo,Ili linaonekana kama maigizo

  • @JojoJoji-h8g
    @JojoJoji-h8g หลายเดือนก่อน +4

    Ameonywaa.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 หลายเดือนก่อน +5

    Biashara gani mbona anaficha? Biashara halali huwa haifichwi ukizingatia biadhara no wateja na wateja ni watu sasa anapata kigugumizi cha nini?
    Inatia mashaka

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 หลายเดือนก่อน +2

    Hahahaha! Too funny to believe 😂😂😂😂😂! Script writer arudi shule 😅😅😅😅😅😅😅

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 หลายเดือนก่อน

    Pole kaka YANGU. Muwe machoooo na HAO MARAFIKI WA HAJABU. E

  • @josephatkajange-zx2tl
    @josephatkajange-zx2tl หลายเดือนก่อน +2

    Ngonjela tu! Hakuna kitu hapa tunataka wale vijana wetu waliotekwa wapatikane! Hizi ngonjela tuachane nazo!

  • @MubinaRoshan
    @MubinaRoshan หลายเดือนก่อน

    Mpunguze kuisema polisi polisi wapo wima kwa watanzania wote ilove you nchi yangu

  • @elineemakileo6984
    @elineemakileo6984 หลายเดือนก่อน +14

    Huyo mkurugenzi mwenyewe anachoongea don't make sense,

  • @FredLuo-v3e
    @FredLuo-v3e หลายเดือนก่อน

    Naona wameanza kutuletea bongo movie kwenye mambo yaliyo siliasi. uyu jamaa 8:24 alijiteka. Ili wananchi waone polisi awausiki ktk utekaji😂😂😂😂.mr .mlilo iyo movie ni yenu na ww ndio dairecta😄😄😄

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 หลายเดือนก่อน +1

    Taharuki gani kwa watz gan? Wengine mbona wengine hatukuwa na taarifa

  • @mwanahawamohammed8540
    @mwanahawamohammed8540 หลายเดือนก่อน

    Yaani Murilo anavyojibu maswali kama mchezo wa kuigiza vile. 🤣🤣

  • @clarencelazaro9600
    @clarencelazaro9600 หลายเดือนก่อน +1

    hizi sanaa

  • @HOTGOSPELSONGS-gy9ug
    @HOTGOSPELSONGS-gy9ug หลายเดือนก่อน +4

    hakuna kitu apoo

  • @victoriarwerengera4831
    @victoriarwerengera4831 หลายเดือนก่อน

    Hivi we Juma , nani huwa anakunyoa denge hilo jamani?...🙈🙈🙈🙈

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 หลายเดือนก่อน +6

    Aweke wazi kuwa alikuwa wanaenda kuzungumza biadhara gani. Kama ni siri sasa mnatutangazia nini maana mnatuachia maswali zaidi

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai หลายเดือนก่อน

      Alinyweshwaje hicho kinywaji, alikikuta tu mezani akanywa; aliagiziwa, au ilikuwaje!!!? Mbn hawasemi kama wamekamatwa?

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 หลายเดือนก่อน

    Yawezekana wana visa vyao vya kibiashara. Maana hajasema ni biashara gani au ni taarifa gani hasa walitaka. Na kama ni password tu wasingemwachia bila kumlazimisha au kumtesa aseme.
    Mchezo gani huo?

  • @amanikatala4229
    @amanikatala4229 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna kitu hakipo sawa,maana anaongea kama anawatetea pia..

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 หลายเดือนก่อน

      Labda wana visa vyao na yeye anavijua. Haiwezekani

  • @MaryLee-sh4nd
    @MaryLee-sh4nd หลายเดือนก่อน

    Jamani waTanzania hawa police wanatutengenezea muvi hakunakutekwa hapo wanatudanganya ilituone utekaji unafanywa na raiya wenzetu. utekaji ninyie police mamwa na mkuu

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani

  • @geraldleger5793
    @geraldleger5793 หลายเดือนก่อน

    Kama unawajua mbona hawajakamatwa.... Kazi tunayo !

  • @willyngailo4549
    @willyngailo4549 หลายเดือนก่อน

    Nimekuuliza wakili wangu kanikataza kusema kitu tuwaachie walio soma cuba

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel หลายเดือนก่อน +1

    Unafanya vizuri kujieleza ukweli. Kwani watu wenye nia mbaya walilivalia bango kinyume na lililokukuta.

    • @godymbanyi1878
      @godymbanyi1878 หลายเดือนก่อน +1

      Sio wenye nia mbaya, ni watu waliojaa hofu kwani utekaji upo, hata Polisi wanathibitisha kila wakati kuchukua tahadhari unapoona unafuatiliwa na watu usiowajua!

  • @AllyMadenge-u6o
    @AllyMadenge-u6o หลายเดือนก่อน +6

    We hukutekwa acha kutafuta umaarufu

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 หลายเดือนก่อน

      Peleka ujinga wako huko

    • @BONGOINMOTION
      @BONGOINMOTION หลายเดือนก่อน

      Yeye pia kasema hakutekwa ila watu alo kuwa nao walikuwa na Nia ovu

    • @raymondnlelwa427
      @raymondnlelwa427 หลายเดือนก่อน

      @@BONGOINMOTIONYes na amesema anawajua, kwa hiyo ni sualala polisi kushughulika na hao watu waeleze sababu za kumlewesha.

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji umeme umerudi kamalizie kunyoa hilo boga😂😂😂

  • @200Stella
    @200Stella หลายเดือนก่อน +7

    Au alikuwa kafichwa na mshangazi 😂😂

  • @AlexMlaba
    @AlexMlaba หลายเดือนก่อน

    Nchi hii haina usalama wa taifa wala kijiji inausalama wa chama

  • @ChrispinMachaninga
    @ChrispinMachaninga หลายเดือนก่อน

    Mchezo huu mpaka lini

  • @FrancisNgomaitara
    @FrancisNgomaitara หลายเดือนก่อน +1

    Mtangazaji usiwe unanyoa hivyo bhana kichwa kinakua kama kichwa cha familia😂😂😂

    • @AsiaAthumani-ew1gv
      @AsiaAthumani-ew1gv หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 sijapenda

    • @FrancisNgomaitara
      @FrancisNgomaitara หลายเดือนก่อน

      @AsiaAthumani-ew1gv hahaha😀😀we muangalie kichwan alivyonyoa

  • @ghoyelamhagama1504
    @ghoyelamhagama1504 หลายเดือนก่อน

    Taharuki gani?

  • @jisrainomwa4015
    @jisrainomwa4015 หลายเดือนก่อน

    Michezoo iyoo tunaijua wajuba wa mambo wanaewa cyo kilaic ivyo

  • @RozaliaSanka-kv5dy
    @RozaliaSanka-kv5dy หลายเดือนก่อน

    Kamanda ameweka maelezo yake vizuri

  • @BinaisaAkili
    @BinaisaAkili หลายเดือนก่อน

    Huo ni utekaji mzee. Au hamjuwi maana ya kutekwa?

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo หลายเดือนก่อน

    Mwongo pandikizi la muliro

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 หลายเดือนก่อน +3

    NI SIFURI TUPU HAPO NADHANI AMELISHWA MANENO LA SIVYO MTUONYESHE HAO WALIOMTEKA MAANA ANASEMA NI RAFIKI ZAKE KITU AMBACHO HAKIINGII AKILINI, RAFIKI AKIKUTEKA NA KUKUFANYIA HAYO HAWEZI KUKUACHA MAANA ANAHATARISHA USALAMA WAKE. MWIZI UKIMJUA LAZIMA AKUUE HAKUACHI. PANA SINTOFAHAMU.

  • @mboneamalaki5674
    @mboneamalaki5674 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 Pwagu na pwaguzi

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 หลายเดือนก่อน +3

    yani nawee unatona watoto unatuambia wanataja taarifa zaviashara yakoo mara wanataka mshirikiane kwenye biashara hauoni kwamba walio kuteka wame kupangia maneno yakusema mtuu anataka kushea biashara nawewe anakupa juic ya inayo lewesha acha akili zakitoto hayo sio maneno yako hao ni wahakifu kama wahalifu wengine

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai หลายเดือนก่อน

      Babake anasema siyo utekaji. Mtu anawekewa dawa za kumpoteza fahamu ya nini? Mfanyabiashara anataka mfanye biashara anakuwekea madawa ya kulevya ili iwe Nini?

    • @jimmyhabarugira4232
      @jimmyhabarugira4232 หลายเดือนก่อน

      Movie ya kihindi

    • @SamsonMathayo-u6w
      @SamsonMathayo-u6w หลายเดือนก่อน

      Kaliwa

  • @objstv6976
    @objstv6976 หลายเดือนก่อน

    Huyu kamanda yuko vizur sana namuona mbali san ila tu akipunguza kujiweka kipaombele kuliko wakubwa wake amekuwa maarufu ila wakuu wake wanafanya kazi kubwa zaidi kuliko

  • @AnaniaKyando
    @AnaniaKyando หลายเดือนก่อน

    Tanzania hoyeeeeee

  • @christianmwabukusi8132
    @christianmwabukusi8132 หลายเดือนก่อน

    Hawezi kuelezea biashara kwa sababu polisi wanafuatilia

  • @franciskira925
    @franciskira925 หลายเดือนก่อน

    Inawezekana kalazimishwa aseme hivyo na waliomteka

  • @leoncebenjamin8107
    @leoncebenjamin8107 หลายเดือนก่อน

    Dah mbona mimi ni mgumu kuelewa

    • @barakamanga5502
      @barakamanga5502 หลายเดือนก่อน

      Mtekwaji sijamwelewa hata mimi

  • @leoncebenjamin8107
    @leoncebenjamin8107 หลายเดือนก่อน

    Ninasoma koment

  • @jtlehhema
    @jtlehhema หลายเดือนก่อน +1

    Mimi sijaelewa

  • @makusaro2289
    @makusaro2289 หลายเดือนก่อน

    Huu ni mchongo wa system.Kama anawafahamu wameshakamatwa? Acheni kuwafanya wabongo kama makapuku.Hata mfanyabiashara mwenyewe no sehemu yao.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 หลายเดือนก่อน +2

    Biashara kadhaa.......taja walau tatu tu

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣EeNasie tunataka hizo Biashara jamani mbona azisem

  • @EdwardJonas-og9xi
    @EdwardJonas-og9xi หลายเดือนก่อน

    Waliomteka wanahakili kweli au maigizo

  • @dennissamora729
    @dennissamora729 หลายเดือนก่อน

    Msitake kutuzuga na hayo maigizo yenu ili kulikosha jeshi la polis. Tunataka hatima ya akina Kibao, Soka, Beni Sanane, Anzori na wengineo wengi.

  • @venancemwanya4212
    @venancemwanya4212 หลายเดือนก่อน

    Aaaa huyu maelezo yake yana uwalakini fulani, cha muhimu Jeshi la Polisi limefanya kazi nzuri. Muliro unafanyakazi kadri unavyo weza. Na ndio uwezo wake kiuhalisia. Hongera muliro.

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg หลายเดือนก่อน

      Yeye ndo aliyepiga simu kwa ndugu yake ndugu zake wakapaiga simu polisi sasa unaposema sifa kwa polisi kwa kazi ipi?

    • @MaryLee-sh4nd
      @MaryLee-sh4nd หลายเดือนก่อน

      kwakweli sijaona kazi ya police Hapo. alafu iyo no muvi ya police kujitengenezea mazingira kwamba wanaotekwa wanaotekwa na raia wenzao

  • @samsonsamwel8782
    @samsonsamwel8782 หลายเดือนก่อน +5

    Ndo mfananishe mashat 😂

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq หลายเดือนก่อน

      Kumbe kweli. Halafu kamanda bila uniform mbona mzee sana 😅

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt หลายเดือนก่อน

      WamevaaSale

  • @ClarenceHilaly
    @ClarenceHilaly หลายเดือนก่อน

    Acha usenge wa kuwatafutia kiki polisi

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 หลายเดือนก่อน

    Haeleweki huyo password wanaitaka ya nini

  • @theonestruta216
    @theonestruta216 หลายเดือนก่อน

    Mbona haeleweki!?

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo หลายเดือนก่อน

    Hatuko interested na watu kama huyo,. Tunahitaji kusikia watu kama Soka, k
    Kipanya, Kyando wa Mbeya .

    • @joscamwoshezi2986
      @joscamwoshezi2986 หลายเดือนก่อน

      Wote ni Watanzania,hata akina Soka inawezekana ni kama huyo,kwani wao hawana hawakuwa na kazi na biashara zao?

    • @DiwaniMwafongo
      @DiwaniMwafongo หลายเดือนก่อน

      @joscamwoshezi2986 Kama ana chongera huyo jamaA kina sense kwako , haiyumkini wewe pungwani!!

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 หลายเดือนก่อน

    Iwe kweli au uongo watu wasitekwe kwasababu yeyote ile.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga หลายเดือนก่อน

    Wewe unayesema hasemi ukweli basi wewe tueleze ukweli unaoujua juu ya suala hilo. Inaonyesha wewe unafahamu vizuri juu ya suala hilo, hivyo kawape taarifa unayoijua huko polisi.

  • @JofreySanga-lu8pn
    @JofreySanga-lu8pn หลายเดือนก่อน

    Watekeji wa moo wako wapi

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 หลายเดือนก่อน +1

    HIYO JUICE ULIIPATA WAPI? ULINUNULIWA AMA ULINUNUA MWENYEWE? AKILI INAGOMA KUKUELEWA. KAMA ULITEKWA SEMA KWELI NA KAMA ULINYWESHWA DAWA ZA KULEVYA SIJAKUELEWA ULIENDELEA KUWA NA KUMBUKUMBU NA KUWAGOMEA KUTAJA PASWORD! Mmm?

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 หลายเดือนก่อน

    Mtekwaji nae anasiri kubwa ya biashara huyu .mbona hataji biashara gani ,anazunguka tu

    • @joscamwoshezi2986
      @joscamwoshezi2986 หลายเดือนก่อน

      Biashara ni siri yake,sio lazima tujue biashara yake

    • @barakamanga5502
      @barakamanga5502 หลายเดือนก่อน

      @joscamwoshezi2986 hakuna biashara ya siri mkuu ,tusinge fanya matangazo ya biashara,ukweli jamaaazake walimtenda vibaya ila bado nawasiwasi hata kwake pia haeleweki maelezo yake, unawwza usiseme shuguki ila ukaongea wazi ukaeleweka

  • @HumphreyMeela
    @HumphreyMeela หลายเดือนก่อน

    Police muko vzr
    Tupeni majina ya hao wafanyabiashara.
    Hatua watakaochukuliwa

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 หลายเดือนก่อน

    Itakuwa wamesha mpi diddy ndio maana anaficha kilichoendelea na ametishiwa amani ya maisha yake tumewachoka sasa kwa mambo yenu

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 หลายเดือนก่อน

    aliosema sativa anawafahamu hawajakamatwa lakini huyu aliosema anawafahamu watakamatwa na wametoa msaada haraka mhuu

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 หลายเดือนก่อน

    🤔

  • @chemstry409
    @chemstry409 หลายเดือนก่อน

    Hana lolote.....😂😂😂😂😂😂

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 หลายเดือนก่อน

    Kama watu unawafaham wataje ili wakamatwe

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 หลายเดือนก่อน

    Mbona anaojiwa na anacheka ? Hayo ni maagizo nini watu wapate mapato kutoka YOUTEBE nini ?

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya หลายเดือนก่อน

    Huu uhuni sipendi pelekeni ujinga wenu uko,mnaleta usanii eti kutekwa

  • @Ajijji12
    @Ajijji12 หลายเดือนก่อน +1

    Uwongo mtupu

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 หลายเดือนก่อน +2

    Kamanda muliro anafanyakazi yake vizuri.

  • @Filbert-pe2xm
    @Filbert-pe2xm หลายเดือนก่อน +2

    Mmmh

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv หลายเดือนก่อน

    Hata mfanyaje hatutamsahau Ali kibao

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz หลายเดือนก่อน +1

    Bora hujauww lanatulah hao

  • @dorothyminja8523
    @dorothyminja8523 หลายเดือนก่อน

    Ndio kutekwa kwenyewe huko. Kwani kutekwa wewe unaijuaje?. Watu wa huo mgahawa na hao wafanyabiashara wakamatwe.

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 หลายเดือนก่อน

    syankisu

  • @abdulvologwe1857
    @abdulvologwe1857 หลายเดือนก่อน

    M

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 หลายเดือนก่อน

    Ni watu wenye Nia ovu, lkn akawatambue ajihadhari nao la sivyo tunavurugwa jamani dar 24. Nenda tu kajisalimishe Kanisani SADAKA inakuhusu. Poleni Sana.

  • @WilliamNyanginywa
    @WilliamNyanginywa หลายเดือนก่อน

    Huyu ni muongo tu

  • @BaltazarNyaky-c9v
    @BaltazarNyaky-c9v หลายเดือนก่อน

    Kiki

  • @Missionary_work
    @Missionary_work หลายเดือนก่อน

    Fool

  • @EllyAmanieli-z8y
    @EllyAmanieli-z8y หลายเดือนก่อน

    Anaficha kabisa...aeleze ukweli ni biashara eti biashara ya kutekwa!!!?

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 หลายเดือนก่อน

    Tabia hii hatıwezi kukomesha watı wasiojulikana
    Tabia ya KUONYWA NA KUWA MUOGA !!
    SEMA UKWELİ KAMA STIVA
    Na utapotezwa tena kwa Ujınga qako wa KUTOKUWA MKWELİ