Poleni sana wanafamiria kupotewa na wanafamiria mtu changamwoto zake amekoswa wakuzipa solution ambaye angezipa solution anaripiza kisasi.tumurudie mungu binadamu siku hizi hatuna hofu ya mngu.tunashindwa kusimamia haki ya binadamu wenzetu😭😭😭😭
Mhmm kwaili kamwe sitaamini serikali iliyoko madarakani, Kama uyu jamaa amekufa kweli serikali imechangia 99% Nimefatilia swala la uyu mtu tangu utawala wa magufuli na alisema wazi wazi yanayomkuta kweli serikali imeshindwa kabisa 😢😢 Kumsifia kiongozi nayo ni ubatili na kujilisha upepo😢.
wamemsokotaaaa mpaka yamemzidi kaamua awaachiye serekali ya ccm wakishakuamulia kukudhalilisha mpaka wakutoe roho jamaa ni wadhuluma sana katika uhai wangu na ccm ilobaki sitawahi kuwatilia kura zangu
Bila shaka niseme kwamba penye miti pana wajenzi maana yake nikwamba katika utafutaji wa Mali hua hui na maadui but ukifanikiwa kutoka kule maadui huinuka ushauli wangu Tanzania ni tupendane tuu kwani bila huyu ndugu no Tanzania na bila wewe no Tanzania naamini Tanzania hii isinge kua na bainadamu basi inge itwa jina jingine lenye kusheheni wanyama kama simba na kadhalika 😢😢 kilio kuona Tanzania ina halibiwa na watu wachache
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Duuuuuue, kweli ni Hatariiii.
Ahsante sana shukran Global TV.
Mungu wangu pumzika kwa amani! Hasira ya Mungu itafanya kazi
Kuna kina dalili ya kauwawa !
Poleni sana wanafamiria kupotewa na wanafamiria mtu changamwoto zake amekoswa wakuzipa solution ambaye angezipa solution anaripiza kisasi.tumurudie mungu binadamu siku hizi hatuna hofu ya mngu.tunashindwa kusimamia haki ya binadamu wenzetu😭😭😭😭
Inalillahi wainailahi rajuun. ....subuhanallah. kajiuwamwenyewekweri jamani. Ukiwanapesa shida unapesashida. Allah amsamee makosayake. Amuingizepeponi 😢
Saa ingine kauliwa kisha wanamsingizia kujiua.
😭😭🤲🤲
2:48
Duniani ni shida tu, uangaike na kupata napo tabu, ukose napo shida, Mungu akusamehe kwa ulichokifanya, lakini atawalipa waliokusababishia
Wauaji hawa
Alisema wanatka kumuuwa je ? Imekuwaje tena kuwa kajiua? Huu ni uongo
Mhmm kwaili kamwe sitaamini serikali iliyoko madarakani,
Kama uyu jamaa amekufa kweli serikali imechangia 99%
Nimefatilia swala la uyu mtu tangu utawala wa magufuli na alisema wazi wazi yanayomkuta kweli serikali imeshindwa kabisa 😢😢
Kumsifia kiongozi nayo ni ubatili na kujilisha upepo😢.
Miaka yote asijiuwe ukweli ano MUUMBA wetu poleni family
Kauawa. Miaka hiyo yote asijiue ?
Yeyote aliesababisha mpaka akachukuwa maamuzi magumu atakuja lipa kwa namna yoyote ile Mungu ni wetu sote Pumzika kwa Amani umepambana vya kutosha
Inawezekana kauwa na P** ila yanatengeneza mazingira kwamba kajiua
wamemsokotaaaa mpaka yamemzidi kaamua awaachiye serekali ya ccm wakishakuamulia kukudhalilisha mpaka wakutoe roho jamaa ni wadhuluma sana katika uhai wangu na ccm ilobaki sitawahi kuwatilia kura zangu
Bila shaka niseme kwamba penye miti pana wajenzi maana yake nikwamba katika utafutaji wa Mali hua hui na maadui but ukifanikiwa kutoka kule maadui huinuka ushauli wangu Tanzania ni tupendane tuu kwani bila huyu ndugu no Tanzania na bila wewe no Tanzania naamini Tanzania hii isinge kua na bainadamu basi inge itwa jina jingine lenye kusheheni wanyama kama simba na kadhalika 😢😢 kilio kuona Tanzania ina halibiwa na watu wachache
Dhulma
Allah amrehemu na amsamehe makosa yake awe kajiua awe kauawa