WANANCHI WANAOISHI KARIBU NA KAMBI ZA WAKIMBIZI KIGOMA WALALAMIKIA CHANGAMOTO ZA KIUSALAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 มิ.ย. 2021
  • Wananchi wanaoshi katika vijiji vilivyo karibu na kambi za wakimbizi mkoani Kigoma wameiomba serikali pamoja na mashirika ya kimataifa kuharakisha mchakato wa kuwarudisha wakimbizi nchini kwao kutoka na changamoto ya kiusalama wanayokabili.
    Wananchi hao wanaonzunguka kambi za Nduta,Mtendeli na Nyarugusu ambayo ina wakimbizi kutoka nchini Congo na Burundi wanasema tangu ujio wa wakimbizi katika ameneo yao hali ya usalama imekuwa ikiteteleka licha ya jitihada ambazo vyombo vya dola imekuwa ikifanya.
    Katika kata ya Makere kilichopo Wilayani kasulu kuna kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu ambayo inahifadhi zaidi ya wakimbizi laki moja kutoka nchi ya Burundi Na Congo tangu miaka ya 1996 pamoja na wale waliongia mwaka 2015
    Wananchi wanasema kwa sasa shughuli za kilimo katika mashamba yaliyo karibu na kambi zimekuwa ngumu kufanyika kutokana na vitendo ikiwemo ubakaji kwa wanawake na utekaji ambavyo hufanywa na baadhi ya watu wanaodaiwa kuwa ni wakimbizi kutoka katika kambi hiyo.

ความคิดเห็น • 16

  • @user-jo1ww9sn1d
    @user-jo1ww9sn1d 4 หลายเดือนก่อน

    Hongela diwani lost makele kasulu kigoma kwazinzuri reported the problem and challenges we face in our village makere continues to be the best leader in tanzania❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-jo1ww9sn1d
    @user-jo1ww9sn1d 4 หลายเดือนก่อน

    Hongela diwani poteza makele kasulu kigoma kwakazinzuri yakuliipoti tatizo na changamo zinazoweza tukabiri kijijini kwetu makere eendeleea kuwakiongozi bora tanzania🎉🎉

  • @-zj2zd
    @-zj2zd ปีที่แล้ว +3

    Wakimbizi ndowalifanya makere ionekana

  • @issakellykalonji6059
    @issakellykalonji6059 8 หลายเดือนก่อน

    Hali sio poawh kiukweli tunaishi ki Mungu Mungu tu

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว +2

    Waende wapi hapo ndio wamefika, Nchi zao zina changamoto kutuzid, Mwenyezi awape nguvu na maarifa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waepushe ualifu huko Kigoma

  • @frankgeorge3214
    @frankgeorge3214 3 ปีที่แล้ว +1

    Nawah wa namchango kibiashala jamani tusiwatenge

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wewe unaona faida yako lakini hufikirii Amani ya waTZ wote pamoja n'a Maraia bila kusahau madui waTZ ambao wataweza kuwatumia watende uhalifu namabaa nchini TZ

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 3 ปีที่แล้ว +1

    Burundi hakuna vita waondoke

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 2 หลายเดือนก่อน

    Wakongomani sio wezi ila huyo Mzee aliye Ongeye wa Kwanza nikama iko na Ubanguzi kabisa kuhusu wakimbizi .kwani hao jambazi wanashikwa leo kesho ni wakimbizi ama ni Mwenyeji watanzania?

  • @Natureandreallylife
    @Natureandreallylife 6 หลายเดือนก่อน

    Isingekua wakimbizi wahaa wote wanao ishi vijiji vya karibu na kambi wangekua bado wanatembea miguu peku na vitenge vyenye viraka, wanakuja kuhuza vitu kambini kwa bei kubwa alafu wanapanua midomo eti "wafyofyoto wa fyoto fyoto " what fuck

  • @estherselemani8797
    @estherselemani8797 3 หลายเดือนก่อน

    nyie watanzania wa Congo siyo wezi ,wezi ninyieye wa Tatanzania amliziki na mishahara rusha ina wasumbuwa sana mbona mna tangaza uwongo sana. Bila wa CONGO hiyo kigoma yenu isingeli kuwa na maendeleo.

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 3 ปีที่แล้ว

    wakongo nihatari sana sirikali waifanikie kazi kwa uharaka

    • @sikitu8957
      @sikitu8957 2 ปีที่แล้ว +2

      Acha bifu wewe kwanza ujui istoria ya inch yako ao wakongo unao wa tukana ndo wame kufanya upate uhuru TZ kama ujui chukuwa iyo

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 3 ปีที่แล้ว

    Na CONGO vita imekwisha wakarundi Makwao