KIGOMA IPELEKENI BURUNDI, KUKAA MPAKANI NA KUHOJIWA URAIA? - HAONGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • HAONGA: Serikali ya Awamu ya Tano Haijafanya Chochote, Bora Kikwete
    Mbunge wa Mbozi kwa tiketi ya Chadema, Pascal Haonga, amesema serikali ya awamu hii haijafanya chochote ukilinganisha na serikali iliyopita kwa sababu hakuna ajira mpya zilizotolewa, watumishi hawajaongezwa mishahara wala ahadi ya kupewa shilingi milioni 50 kwa kila kijiji haijatimizwa.
    Sakata la wabunge wa sekondari kuhamishwa kwenda kufundisha shule za msingi, limelipuka upya bungeni mjini Dodoma ambapo Mbunge wa Mbozi, Paschal Haonga amepaza sauti kuwatetea walimu ambao wamehamishwa kupelekwa shule za msingi bila kulipwa stahiki zao.
    Haonga ameenda mbali zaidi na kueleza kwamba serikali ya awamu ya tano haijafanya lolote ukilinganisha na awamu ya nne, kwani hakuna ajira mpya zilizotoka, ahadi ya kusambazwa shilingi milioni 50 kwa kila kijiji hazijatimizwa.
    lnstal GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

ความคิดเห็น • 37

  • @nurukwawote4716
    @nurukwawote4716 6 ปีที่แล้ว +3

    Mithali 4 :13 13 Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako.
    Elimu--Si kwamba awajui wanachofanya ni mpango wao wanajua Elimu ni uzima, wao wanataka malofa wawe wengi ili wasiwepo wa kuoji.

  • @markmwagala99
    @markmwagala99 6 ปีที่แล้ว +5

    Hapo kwene Ajira umezungumza kweli!

  • @eliphaziamon8794
    @eliphaziamon8794 6 ปีที่แล้ว +6

    Kwa manyanyaso tulinayo watu wa kigoma tupo Tayar kigoma ipelekwe huko

  • @mshindimshindi9120
    @mshindimshindi9120 6 ปีที่แล้ว

    Ama kweli..kuna watu wanajua jenga hoja ila haitasaidia kama hawa viongozi hawamwamini Mungu na hawamuogopi hata kidogo

  • @stellafiyao7867
    @stellafiyao7867 6 ปีที่แล้ว +3

    nimekuelewa sana Rais Wa Mbozi , tatizo la ccm wanamasikio lakini hawasikii

    • @agnesjames6811
      @agnesjames6811 6 ปีที่แล้ว

      "usiku wa deni haukawii kwisha"

    • @dausoneliya
      @dausoneliya 6 ปีที่แล้ว

      Kwa upande wa maisha kupanda hapa nilipo mambo ni magumu kila kitu kimepandanda

  • @sebastianngimba4850
    @sebastianngimba4850 6 ปีที่แล้ว +3

    kwani huyo mwenyekiti unayemtaja watoto wake wanasoma huko ?hana hasara na watoto wahao wanyonge ndio maana wamewaandaa kua walinzi wa watoto wao(scout)

  • @jicholafursa7058
    @jicholafursa7058 6 ปีที่แล้ว +2

    Na kweli mishahara toka ile ya kikwete

  • @agofranco4766
    @agofranco4766 6 ปีที่แล้ว

    Mh. Mwenyekiti zimezidi mpaka zimemaliza Muda wako mbunge wangu.

  • @awesoahamadi6450
    @awesoahamadi6450 6 ปีที่แล้ว

    Kweli kabsa selikari kwenye ajira ni 0. Maana kama nimtetezi wawanyonge kuna watu wasoma kwa mchicha na mzazi wao Wa kiwa Na matumaini Leo kasahau alikuja kutuomba tumpe kura ila kwakua ukweli anaujia hainashida yaa hakeemu

  • @errymwazembe2847
    @errymwazembe2847 6 ปีที่แล้ว +6

    wambie ukweli ao wamezoea ujinga ao

    • @nurusamwel9169
      @nurusamwel9169 6 ปีที่แล้ว

      acha upuuz kwan watu wa kigoma sio watu?

  • @faridsalehmohamed1230
    @faridsalehmohamed1230 6 ปีที่แล้ว

    katika ellimu kuna tatizo Kubwa sana

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 6 ปีที่แล้ว

    Kuna kitu kuwa mtu anayefundisha primary anafundisha child development and personality wakati secondary wengi ni content zaidi hana uwezo wa kufundisha primary

  • @daudinonko6826
    @daudinonko6826 6 ปีที่แล้ว

    kweliiiiiiiiiiiii

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyie wasemeeni walimu maana CCM wao Wana Jenga nchi na kupiga kazi tu

  • @stannymgallah669
    @stannymgallah669 6 ปีที่แล้ว

    NAZIDI FALIJIKA KUSIKILIZA UKWERI NDU HAONGA

  • @augustinesinduhije5049
    @augustinesinduhije5049 6 ปีที่แล้ว +1

    umesema vyema!!!!!!!!!!!!!!!

  • @geofreymwatonoka1628
    @geofreymwatonoka1628 6 ปีที่แล้ว +3

    Bado awamu haijaisha lkn tumeona mengi saaana

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 6 ปีที่แล้ว +2

    Mh mwenyekiti ni nyingi mnooo mbunge,ila maoni mazuri ya kujenga, Mwenyekiti yupo fair

  • @mtuntoluhaja8352
    @mtuntoluhaja8352 6 ปีที่แล้ว +2

    Tunakokwnda ni pabaya

  • @shadrackmnjelu5285
    @shadrackmnjelu5285 6 ปีที่แล้ว

    et haaamnaaaa muda wako umeisha

  • @janesuma2193
    @janesuma2193 6 ปีที่แล้ว +3

    hamnaaaaaa muda wako umekwishaaa hahahahahahaha mwenyekiti haahahahaha

  • @stannymgallah669
    @stannymgallah669 6 ปีที่แล้ว

    MBOZI NYUMBANI TUWAKILISHE

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 6 ปีที่แล้ว +1

    Tetea maslahi yao, ila ukisema walimu wa sekondari wamefundishwa saikolojia ya wanafunzi wakubwa kuliko wa shule ya msingi hapo ndo naona huna maarifa ya kina kuhusu ualimu... Mwalimu chuoni anafundishwa saikolojia ya watu wa rika zote!

    • @seniornyungu9718
      @seniornyungu9718 6 ปีที่แล้ว +1

      B'coz Henry acha UONGO ww, mm nipo Chuoni nasoma saiv.

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 6 ปีที่แล้ว

      Hicho chuo ambacho hawafundishi psychology ya kuanzia watoto hadi watu wazima kitakua cha wapumbavu basi!

    • @fredyleonardmaths2546
      @fredyleonardmaths2546 6 ปีที่แล้ว +1

      henry kama hujasoma alimu acha kiherehere,ww na ualimu WAP na WAP,ualimu unaujua ww?

    • @hoseabinvu1121
      @hoseabinvu1121 6 ปีที่แล้ว

      acheni viherehere psychology is psychology only that

  • @rajabsalim8920
    @rajabsalim8920 6 ปีที่แล้ว

    huyu jamaa 😆😆😆 eti awamu 5 haiajili

  • @masungakulwa6711
    @masungakulwa6711 6 ปีที่แล้ว

    povu tu hakuna hoja ya maana. hatuhitaji milioni 50 sisi. watu wakigoma lazima wahojiwe maana kila siku watu wa burundi wanaingia tanzania.

    • @yasinmrisho9416
      @yasinmrisho9416 6 ปีที่แล้ว

      Mbona watu warusha hawahojiw walio karbu na kenya

    • @eliphaziamon8794
      @eliphaziamon8794 6 ปีที่แล้ว

      Masunga Kulwa naww ukiwemo

    • @eliphaziamon8794
      @eliphaziamon8794 6 ปีที่แล้ว

      Wamasai na wachaga mbona wanaingia kutoka Kenya we mbwa kweli