🅻🅸🆅🅴 : ASKOFU MWAMAKULA AINGILIA KATI 'VITA' YA MBOWE NA LISSU/ AGUSIA MATUKIO YA UTEKAJI NA MAUAJI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024
- #JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►TH-cam: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/
Correct Bishop!
Fact sana mzee.
Kutokana na maelezo.yako Mh Baba Askofu Watanzania tumetapeliwa katiba mpya na wanasiasa kwa maslahi yao binafsi . Katiba ya watu irudi kwa wananchi wenyewe tuachane na wanasiasa.
Waite uwashauri waache kulumbana balj wawe na smooth transition
Upo sahii askofu
Watu wanashikwa na mihemko, au wanafanya wawe namihemko bure na watu ambao siyo wanachama wa Chadema, ilhali Mbowe hajatamka lolote.
CCM na serikali huwa mnavitofautishaje jamani? Hebu mtufundishe sisi wananchi wa kawaida.
HAKUNA VITA KATI YA MBOWE NA LISSU; HUO NI UCHONGANISHI. MBOWE NA LISU NI MARAFIKI WAKUBWA.
TANZANIA bila ya Ccm inawezekana.
Si kweli kwamba Lissu atakubali kutumiwa na CCM au Mboweakibali kutumiwa na CCM ili waifanye CCM ifanikishe matakwa yake.