HARMONIZE NI CHANZO KIKUBWA CHA UGOMVI WA DIAMOND NA WILLY PAUL? ABIKUBANGA ATOBOA SIRI TUSIOIJUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 206

  • @carolinecaroline-rs7pr
    @carolinecaroline-rs7pr หลายเดือนก่อน +5

    Your speech you talk like Barack Obama one in a million yani hunafa hupewe tuzo humeongea hukweli mtu congratulations katika wa tz wote wisdom big up brother and be blessed

    • @DjsmokyUrban
      @DjsmokyUrban หลายเดือนก่อน

      *unafaa
      *upewe
      *umeongea
      *ukweli
      hizo "h" zote unaeka bure zinaeza saidia mahali kwengine

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 หลายเดือนก่อน +9

    Asante kakangu... Nampenda dai lakini kakosea na chanzo ni salaam sk

  • @CatiaKazuri
    @CatiaKazuri หลายเดือนก่อน +4

    Tanzania Wa pole, DaH TANZANIANS U ARE DA BEST

    • @MillsOpiyo
      @MillsOpiyo หลายเดือนก่อน +1

      Kwisha wewe waota

  • @ShaddoOfficio
    @ShaddoOfficio หลายเดือนก่อน +29

    Ati hakuna wimbo wa willy paul uko na zaidi ya views milioni😅😅😂 nenda kwa TH-cam ya pozeee 😂 yuko na nyimbo nyingi zaidi ya milioni 20

    • @TibihikaGerad
      @TibihikaGerad หลายเดือนก่อน +4

      Andika kiswahili mbona unaandika kikikuyu🤔🤔🤔

    • @AnordJoseph-e2e
      @AnordJoseph-e2e หลายเดือนก่อน +2

      Makenya hata Kiswahili hayajui njoeni bongo ndo Kuna kila kittu

    • @MillsOpiyo
      @MillsOpiyo หลายเดือนก่อน

      Nyinyi mabongo hata bongo yenyewe hamna nyamaza . Nyani mkuu ambaye hajioni kundule​@@AnordJoseph-e2e

    • @makatym6151
      @makatym6151 หลายเดือนก่อน

      Mpuzi anamshika mkono mpuzi mwenziwe!

    • @okalomollo
      @okalomollo หลายเดือนก่อน +1

      Hisabati hujui kaka,tarakimu huna habari nazo,nenda skuli upate maarifa

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 หลายเดือนก่อน +4

    Wee K uteam umekuharibu fanya maisha yako utafirwa mjinga wewe.

  • @ZenaShabani-b7b
    @ZenaShabani-b7b หลายเดือนก่อน +1

    Kwan kipi amjaelewa willpower mkubwa kwao cyo Tanzania diamond kaelezea vizuri tuu

  • @johngeorge4834
    @johngeorge4834 หลายเดือนก่อน +5

    Mimi Leo siongei mingi naskiza tu misamiati ya Kiswahili 😂😂but kakangu hapa anaongea ukweli, Willy poze ndie alikuwa aanze kuperform, diamond kenya ni paka

  • @allanodongo1963
    @allanodongo1963 หลายเดือนก่อน

    At least big Tanzanian here with big brain Asante sana kaka

  • @mariozulu5743
    @mariozulu5743 หลายเดือนก่อน +4

    Shida ya diamond, alijifanya shown paul. Anapenda kucopy matokeo😂😂😂

  • @mcfabian2190
    @mcfabian2190 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa kuna ukweli kabisaa❤

  • @khaloiyse
    @khaloiyse หลายเดือนก่อน +5

    Huyu jamaa kumbe nimpumbafu sana

  • @shemmoseti5467
    @shemmoseti5467 หลายเดือนก่อน +3

    I agree with you everything you are saying bro,this guys needs to act like adults and work together instead of fighting.

    • @MillsOpiyo
      @MillsOpiyo หลายเดือนก่อน

      I second u my brother Musicians needs to know they are brothers n sisters if they performing in Tanzania make your fans feel all of u are Tanzanias if they are performing in kenya make the fans feel all of u are kenyans don't carry your grudges on stages like wild big cats fighting for a gazelles. See this mess of will paul n diamond loosing fans for simple n nonsensical matters of which they could have settled behind cameras amicably. Hatutaki ubebari wao ila muziki

  • @phoebetaylor7911
    @phoebetaylor7911 หลายเดือนก่อน +2

    Kenyan and Tanzania are like a married couple who love each other, then one minute fight each again . I'm a kenyan, and I still love Tanzanian no matter how they fight in the media. 😂

    • @MillsOpiyo
      @MillsOpiyo หลายเดือนก่อน

      @phoebetaylor7911 Kenya and Tanzania are Very hilarious

    • @priscaauma-c2r
      @priscaauma-c2r หลายเดือนก่อน

      @@phoebetaylor7911 we love each other with passion and hate each other with the same passion. I think tumechizi🤣🤣🤣🤣🤣😝😝

  • @AnordJoseph-e2e
    @AnordJoseph-e2e หลายเดือนก่อน +4

    We nimchawi wa tanzania mbona unamzungumzia vibaya Diamond

    • @MillsOpiyo
      @MillsOpiyo หลายเดือนก่อน +1

      @@AnordJoseph-e2e kumbe Tanzanians ni wachawi waaah hatukujua now we know

    • @johngeorge4834
      @johngeorge4834 หลายเดือนก่อน

      kumbe kwenu Tanzania mkona uchawi YA ukweli, naona mnajuana kwa vilemba

    • @MillsOpiyo
      @MillsOpiyo หลายเดือนก่อน

      @@johngeorge4834 🤣🤣🤣🤣🤣 hadi wewe umeshtuka kama mm?

    • @priscaauma-c2r
      @priscaauma-c2r หลายเดือนก่อน

      @@MillsOpiyo wewe hukusikia wakitishia kuwa pozee?

  • @ditchy_mitchy
    @ditchy_mitchy หลายเดือนก่อน +4

    But kwa milioni apo akakosea..willy Paul ako na Ngoma ziko na views past 20M

  • @tony0057
    @tony0057 หลายเดือนก่อน +1

    Shida ya Tz their always know the right thing later

  • @EmillySimiyu
    @EmillySimiyu หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @FlorenceAnyango-r1d
    @FlorenceAnyango-r1d หลายเดือนก่อน

    Umbwa mwanaume wewe,,, willy poul ako na like views+subscribes❤so toa willy kwa mdomo yako,,akuna venye tutakosa ku support inchi yetu willy ooyee,,ooyee 😅

  • @zitongwang6278
    @zitongwang6278 หลายเดือนก่อน +2

    Tundu wazi mwingine huyu hapa , juma lokole WA pili 😂

  • @KMsolutions_10
    @KMsolutions_10 หลายเดือนก่อน

    Wisdom detected.. shukran kaka

  • @hassanjalikazi6754
    @hassanjalikazi6754 หลายเดือนก่อน

    Uko sawa kabisa kaka sadala kazingua

  • @bobwhiz3962
    @bobwhiz3962 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mutu kaongea point

  • @JoshuaAdam-h7h
    @JoshuaAdam-h7h หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥 umetisha family 💪

  • @bonfacechitechi6745
    @bonfacechitechi6745 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu paka hatumtaki kenya

  • @briankeith5499
    @briankeith5499 หลายเดือนก่อน +2

    'I do' is Willy Paul's biggest song with over 40M views and not the song he labelled trash. Kwa Kiswahili kwa watanzania wenzetu. 'I do' ndio Ngoma maarufu sana ya Willy Paul na sio iyo wimbo aliita takataka. Na Willy Paul ako na nyimbo mingi sana za 20 million views and above. Ingia TH-cam you get your facts straight young man! 😏

  • @simaoguambe3295
    @simaoguambe3295 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli

  • @MweusiAlly
    @MweusiAlly หลายเดือนก่อน +5

    Acha ushabiki mandazi ongea point sio poyopoyo kaza we mtoto wakiume

    • @MillsOpiyo
      @MillsOpiyo หลายเดือนก่อน

      @@MweusiAlly 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 haki ya nani poyopoyo haki huku kuna vocabularies kalikali

  • @JackieMapenzi
    @JackieMapenzi หลายเดือนก่อน

    Hiyo kitu pia mimi nilikuwa na waza wtz wakomoe kenya but ikawaridia waenywe😂😂😂

  • @sandramutabazi8666
    @sandramutabazi8666 หลายเดือนก่อน

    Fact❤

  • @starlife3550
    @starlife3550 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi Mkenya halisi but wewe uko Na wisdom

  • @genesisbera7761
    @genesisbera7761 หลายเดือนก่อน

    Nakubaliana na huyu kaka .

  • @WesweZzyre
    @WesweZzyre หลายเดือนก่อน +1

    Sawakabisa kuhusukuimba nipumba

  • @OmarLewa-l2x
    @OmarLewa-l2x หลายเดือนก่อน

    BRO UKO SAHIHI KABISA CHENYE UMEONGEA, FIRST OF ALL KWENYE MSANII MKUBWA NA WASANII WADOGO WANAOANZA KUIMBA HUAGA NI WADOGO THEN MSANII MKUBWA NDIO ANAFINIKA SHOW YAANI ANAEKA CLIMAX ❤️❤️❤️❤️

  • @sweetplacidnkya4863
    @sweetplacidnkya4863 หลายเดือนก่อน +1

    Mwambie jamnagar aache uchawa

  • @mohammedshishishi6375
    @mohammedshishishi6375 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu jamaa yukosawa sana

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 หลายเดือนก่อน +1

    Kam waliikubaliana na mda je!!!😅

  • @sweetplacidnkya4863
    @sweetplacidnkya4863 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamnagar ni msenge awemtanzania

  • @Ruu974
    @Ruu974 หลายเดือนก่อน

    Pozee amejua kuwatingisha wabongo vinembe 😂😂😂😂

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r หลายเดือนก่อน

    I like the Kisw energy

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 หลายเดือนก่อน +1

    Hkna hata mtanzania mmoja anaeza address in English 😅😅

  • @ditchy_mitchy
    @ditchy_mitchy หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jama anaongea facts btw..ukweli mtupu

  • @kibibisafi3331
    @kibibisafi3331 หลายเดือนก่อน

    Uyu abbikubanga ni mjinga sana

  • @Alicewanjiru-b8y
    @Alicewanjiru-b8y หลายเดือนก่อน

    😮😮😮

  • @OmmyOmary-j8l
    @OmmyOmary-j8l หลายเดือนก่อน

    Ila munazengua sana

  • @finegatwiri2597
    @finegatwiri2597 หลายเดือนก่อน

    Unyu kaka nimempenda sana ameongea kitu ya maana sana

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 หลายเดือนก่อน +1

    Usicho kijua Bora unyamaze usitafute umaarufu

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 หลายเดือนก่อน

    Kuna point moja umeongea na ndio ya kweli
    Walipanga kumdharirisha simba kwenye stage na unawajua wabongo
    Machale sana wameshtukia njama za willy pozee.

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jinga sana

  • @SafariNgumbau
    @SafariNgumbau หลายเดือนก่อน

    Diamond n msaa mkubwa anafaha ajue Ivo ,pozze respects him tena sana

  • @IbrahimShelimo
    @IbrahimShelimo 12 วันที่ผ่านมา

    Kwaiyo anawezaj kuimba mkumbw mdgo abak wakaty mkumbwa wakufunga kitabu tenakamweshimu kamakak nyinyi munaona sawa2 Kaka mm naungana naww

  • @kiustaa7701
    @kiustaa7701 หลายเดือนก่อน

    Willy paul hanashida na wabongo Anashida na Wcb

  • @CatiaKazuri
    @CatiaKazuri หลายเดือนก่อน +1

    WA KENYA 🇰🇪 HOVYO …….. VURUGU VURUGU too

    • @dennisndirangu2536
      @dennisndirangu2536 หลายเดือนก่อน

      Ila wakenya ndio tunapea wasanii wenu hela 💰

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 หลายเดือนก่อน

      SIO WOTE DADA YANGU NAAMINI NI HUYU POZEE TU
      JE UNAKUMBUKA RAPER STAR WA KENYA ALIWAPONDA MARAPA WA BONGO
      LKN YAMEPITA NIFITINA ZA KAZI TU.

  • @SulePonda
    @SulePonda หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa show huwa zinachangamoto kuhusu time sadala kakosea

  • @HenriAnastase
    @HenriAnastase หลายเดือนก่อน

    Mi ni mkongo ila umeongeya ujinga tupu. Kuwa shabiki isiatche uwe n'a roho mbaya kwa daimond

  • @bronzehke
    @bronzehke หลายเดือนก่อน

    Wote walikosea , na nikama Kuna dharau Fulani hata alikuwa busy..pia na wakati ..

  • @CatiaKazuri
    @CatiaKazuri หลายเดือนก่อน +2

    We huna ata cheni ya zahabu

    • @MillsOpiyo
      @MillsOpiyo หลายเดือนก่อน +1

      @@CatiaKazuri pwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😅😅😅😅🤣🤣🤣😂😂😂zahabu ni kitu gani? Na cheni je? waswahili kafiri msikitini.
      My friend ni DHAHABU SIO ZAHABU

    • @johngeorge4834
      @johngeorge4834 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @johngeorge4834
      @johngeorge4834 หลายเดือนก่อน

      ​@MillsOpiyo 😂😂😂 watunwa maajabu hawa dah

  • @IbrahimShelimo
    @IbrahimShelimo 12 วันที่ผ่านมา

    Kaka ndamod kinacho muwa uongo Kama anacho sema dudu baya uongo umeja kwake

  • @zitongwang6278
    @zitongwang6278 หลายเดือนก่อน

    Sadala analizimishaje kuimba wakati headliner yeye alikuwa kwenye gari kusubiri Tu kuitwa na event organiser apande stejini ? Achani kumislead jamii ...., Media kama hizi ndio hatuzifollow kabisa , sababu zinapakia maudhui ambayo yako unbalanced 😷🤧😫

  • @abuabudonchamo5305
    @abuabudonchamo5305 หลายเดือนก่อน

    Zuhura wamempeleka kwajili ya nyongeza 😂😂😂😂😂😂

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 หลายเดือนก่อน +1

    Konde boy hamo tz

  • @DavisKashvant
    @DavisKashvant หลายเดือนก่อน

    Af mbona kama shoga hv simuelew kabisa

  • @HassanAli-f5g5s
    @HassanAli-f5g5s หลายเดือนก่อน

    Ajiamni tu willy kaz mbvu

  • @wycliffeshonerwa1490
    @wycliffeshonerwa1490 หลายเดือนก่อน

    Kaka uko viema kampe ushauri mkubwa yeye angeachia mdogo mwanzo

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 หลายเดือนก่อน

    Tatizo wakina mondi hawajui kuwa dhambi huwa inarudi livasi wameharibu Tz kwA nyimbo kwA muonekano kwA kufanya ngono na wasichana wa Tz.bila kuhofu wakifikili kila jambo au tatizo linatatuliwa na hela kumbe yako matatizo.hayatatuliwi na Hela inahitajika Mungu ana kwA.ana.wasanii.Tz.sio kila tatizo hela zaweza.tatua.tatizo lingine laweza.kubadili hela.zako kuwa nyuki zikaanza.kukugonga

  • @edsonndyetabula6621
    @edsonndyetabula6621 หลายเดือนก่อน

    Diamond na Willy waliongea walikutana muda gani pale wakaongea?

  • @kiustaa7701
    @kiustaa7701 หลายเดือนก่อน

    Hakuna njama yoyote wasiwasi wenu tu watanzania.

  • @DadaSmithdor
    @DadaSmithdor หลายเดือนก่อน

    Uyo jama unaongea tu diamond platnumz simba baba lao africa

  • @JackieMapenzi
    @JackieMapenzi หลายเดือนก่อน

    Mboro ya P diddy ilimpa kiburi😂😂😂

  • @HK-wx4fy
    @HK-wx4fy หลายเดือนก่อน

    Ambia sadala aonge na Kizungu Dunia mzima wamskie anasema nini but...
    simba si simba ame shake kweli kageuka paka mtandaoni. Mavazi tu ndio niliona😂😂😂😂

  • @dennisndirangu2536
    @dennisndirangu2536 หลายเดือนก่อน

    Willy Paul aliita ngoma yao na Rayvanny takataka sababu Ray aliperform wimbo mzima pekee yake bila kumhusisha Willy Paul. Na pia Rayvanny hakumsaidia alipokuwa wanasumbuana na meneja wa Diamond

  • @MariyaOnzico
    @MariyaOnzico หลายเดือนก่อน +1

    Kabisa msanii.mkubwa huwa ni wa.mwisho

  • @kapenda.matani
    @kapenda.matani หลายเดือนก่อน

    Ile interview ya harmonize tuko wengi tu nagalyaga tuu! Siku zote

  • @DieudonneMbazumutima
    @DieudonneMbazumutima หลายเดือนก่อน +1

    Abby true

    • @DorcasMukhebi-gx7mk
      @DorcasMukhebi-gx7mk หลายเดือนก่อน

      Vanny alikua na haki ya Kumuita pozzeh kwa stage, but akaamua kuimba wimbo wao pamoja.akiwa alone,, why why and pozzeh was their

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 หลายเดือนก่อน

    Huyu nae mjinga wa mwisho ni kucheka cheka ki unafki tu. Shenzi wacha ufala 😅

  • @DadaSmithdor
    @DadaSmithdor หลายเดือนก่อน

    Diamond platnumz the king of africa

  • @ElvinaEkay
    @ElvinaEkay หลายเดือนก่อน +1

    Diamond harudi Kwa wimbo zake za kitambo ya saiz hakuna kitu

    • @ZenaMsumagilo
      @ZenaMsumagilo หลายเดือนก่อน

      Wewe Mwenyewe una kitu ..... Pumbavu

  • @IbrahimShelimo
    @IbrahimShelimo 12 วันที่ผ่านมา

    Nyi nyi wa tz sijuw mumesoma shurengan kipi amujamwerew munaza kumu 2 kanam2 si

  • @HusseinJumaathepresenter
    @HusseinJumaathepresenter หลายเดือนก่อน

    Pozze is the last man standing mondy apee Diddy mkunduu

  • @ClintonMichael-n3c
    @ClintonMichael-n3c หลายเดือนก่อน

    Wewe ni matako acha ushabiki huruma ya nyoko ndo wewe mwenye point uko API unaburuza matako Kila siku 2 hapo

  • @omanoman-ir1ez
    @omanoman-ir1ez หลายเดือนก่อน

    we unaongea upuuzi halafu mwanaume mzima hujui lolote hata hivyo hamuwezi kumharibia diamond unaeleza kitu ambacho hakipo kila kitu kina utaratibu. mi nakuona mtu wa hovyo hata wakenya wenyewe wanakuona mpuuzi mmoja hivi

  • @Montana12-v2c
    @Montana12-v2c หลายเดือนก่อน

    Sasa kama meneja ndo alikua anataka msanii wake aanze kuimba mondi kaingiaje hapo ?? Alafu mond mbona hakushuka hata kwenye gari kuelekea kwenye ugomvi mondi amehusikaje ?

  • @HajiMohamed-xg1ec
    @HajiMohamed-xg1ec หลายเดือนก่อน

    Wajina ndio nyie Yan Bado lko mwenyewe ukutumwaaaa

  • @salmakashindi4629
    @salmakashindi4629 หลายเดือนก่อน

    Wewe ongea ni majanga tu

  • @SheriaIvan
    @SheriaIvan หลายเดือนก่อน +1

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 2025 ni yetu

  • @kajebweilunga2935
    @kajebweilunga2935 หลายเดือนก่อน

    Muko wa pumbafu kweli
    Konde umemuona kule kutakataka

  • @KhamisKondo
    @KhamisKondo หลายเดือนก่อน +2

    Fala nawewe asa unaongea nini boy

  • @amisibilly5084
    @amisibilly5084 หลายเดือนก่อน

    Apa ndo naelewa ule msemo wa kwenye msafara wa mamba kenge nazo zimo. Alie kua na fight ali kua Diamond ama willy Paula? Mbana Diamond akutoka ndani ya gari Lake. Walahi kuna watu wanabebwa na upepo 2

  • @nahimanajo8993
    @nahimanajo8993 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli akuna chamana alicho hogeya uyo diamond kamukunza willy Paul

  • @gabrielokelo2398
    @gabrielokelo2398 หลายเดือนก่อน

    Ni Sabato

  • @ltepilalaw
    @ltepilalaw หลายเดือนก่อน

    Huyu tunampa uraiya wa Kenya

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 หลายเดือนก่อน

    Kuna Balaa zito linakuja !!!!???? Wacheni kutumiya lugha ya Kiswahili vibaya. Kuna maneno mazuri sana unaweza kutumiya baada ya kutumiya Balaa. Balaa litakuja Mtangazaji….. Huna maneno mengi ya kutumia kwenye lugha ya Kiswahili….Nenda kajifundishe kwa AnkoJay….

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 หลายเดือนก่อน

    Huyu kuma anataka umaarufu2

  • @Mercynanjalasimiyu-g5k
    @Mercynanjalasimiyu-g5k หลายเดือนก่อน

    Wapi simba tosha

  • @Kingkai2001
    @Kingkai2001 หลายเดือนก่อน

    Kuna I do ya will PayPal na Alaine

  • @officialjay_nyanga313
    @officialjay_nyanga313 หลายเดือนก่อน

    Ulie muhoji mwenyewe anaonekana yupo bangi Sana hajui hata anachokiongea

  • @DeniceGeorge
    @DeniceGeorge หลายเดือนก่อน

    Kazi mnayo tm mond naona koment ni za matusi tu mkosoe jamaa kwa hoja si kwa matus

    • @HassanAli-f5g5s
      @HassanAli-f5g5s หลายเดือนก่อน

      Apan tem mond uo ujinga mnasapoti ss kaongea nn chiz t huy acha kuongea pumb na ww

  • @SaidChollo
    @SaidChollo หลายเดือนก่อน

    Tatizo we so msanii emu fuatilia mkataba kwanza kitu cha mwanzo time atakama umelipwa muda muliokubalia hupangui babu we tatizo so msanii huyajui hayo ila em ingia ktk gemu alafu utaelewa

  • @trystanbertand1603
    @trystanbertand1603 หลายเดือนก่อน

    Ila watanzania muna vichwa vigumu ku elewa. Waliwambiya kuwa huyo Williams Paul saa yake aliitwa akawa hajafika. Ndio kaja kutaka tire za wenzake. N'a simba yeye ana time yake imefika angoje nani? Hana mda wakupoteza

  • @hassanjalikazi6754
    @hassanjalikazi6754 หลายเดือนก่อน

    Sawa kqbisa

  • @IbrahimShelimo
    @IbrahimShelimo 12 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi munam2si uyu penyeukwer niwajinga nadamondi kawakamata kishirikina mm mtoto watanga naungana nayeye