HIZ.NYUMBA JENGA UZA.USIONE HIYO RANGI MATARIO.YAKE KUANZIA TOFARI NA NA MBAO NI.HATARI BAADA 2YRS HIZO RANGI.NA MUONEKANO WAKE UTABADIRIKA.WANAMAFUNDI MAALUM WA KUJENGA HIZO NYUMBA . KUWA MAKINI.SANA
@@AzamZubeir Kwan kuna kitu gan kina kusumbua watu kama nyinyi nikiwatoea maneno machafu ya matusi utaona kama nime kuonea au maana naona sana unajifanya mtu wakutoa maelekezo kwa watu ambao na tizama biashara zangu na kuheshi sana na hapa sija kuita ume kuja mwenyewe naomba uwachane na ukurasa wangu koma
Kaka umenielewa vibaya labda vile nimesema kujenga nyumba kubwa ila nilikuwa namuelewesha alosema ina majini ndio nkamwambia 50million kwa bei ya biashara ni sawa labda nimetumia maneno ambayo ukuyaelewa ila sijakukshifu punguza jazba
@@dalalihakweahakweya6662af we jamaa mbn kama mpuuz yaan mtu hata alete comment ya utani unajifanya umemaind em acha utoto... sio lazima ujibu kila m2 unajiharibia
Millioni 50 nyumba kubwa hvyo nzur hvyo mbona km ndogo pesa??au kuna changamoto yoyote??
mbagala ni sehemu ya wahuni onyesha zingine
huko ni vicholoni utamupangisha nani?
Jiko zaman
Ndogo sana
@@LenardPhilipo-n5s Subilia kubwa
HIZ.NYUMBA JENGA UZA.USIONE HIYO RANGI MATARIO.YAKE KUANZIA TOFARI NA NA MBAO NI.HATARI BAADA 2YRS HIZO RANGI.NA MUONEKANO WAKE UTABADIRIKA.WANAMAFUNDI MAALUM WA KUJENGA HIZO NYUMBA . KUWA MAKINI.SANA
Acha umaskn
Bado ipo au imeuzwa
Picha zinadanganya mummy kwenda site
@@yusuphyusuph4334 Sija kuelewa
5% ya bei ya nyumba kwa kazi gani vile🤔🤔🤔 ridiculous
Haina shida kweli ipo maeneo gani
@@IREENNTIJE Nime eleza kwa maneno nime eleza kwa kuandika pia bado huja juwa ipo wp
Something wrong
Bei ni ndogo kulinganisha na huo mwonekano wa nyumba, despite the location, but still is cheaper
Ni Sawa hyo bei hakuna shida yeyote
Hiyo bei ipo sawa fuatilia ujenzi utajua
@@ArnoldMbulawa Maduka yanayo uza vifa vya ujenzi niyetu kwa hiyo kuna unafu kidogo
Dalar Mimi nataka Niko Mozambique nakuja tale 20 nitumiye namba ya Whatsapp
😢😢😢haina Majin kwel!? Mbn bei ndogo nyumba nzur ivyo
@@AzamZubeir Kwan kuna kitu gan kina kusumbua watu kama nyinyi nikiwatoea maneno machafu ya matusi utaona kama nime kuonea au maana naona sana unajifanya mtu wakutoa maelekezo kwa watu ambao na tizama biashara zangu na kuheshi sana na hapa sija kuita ume kuja mwenyewe naomba uwachane na ukurasa wangu koma
@@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج Majini yapo ndani kwako katika chumba chako kimoja unacho lala hapa yata kosekana vp
Kaka umenielewa vibaya labda vile nimesema kujenga nyumba kubwa ila nilikuwa namuelewesha alosema ina majini ndio nkamwambia 50million kwa bei ya biashara ni sawa labda nimetumia maneno ambayo ukuyaelewa ila sijakukshifu punguza jazba
@@dalalihakweahakweya6662af we jamaa mbn kama mpuuz yaan mtu hata alete comment ya utani unajifanya umemaind em acha utoto... sio lazima ujibu kila m2 unajiharibia
Mbona mkali bwana mdogo biashara haina ukali umeulizwa wewe jibu tu kama hakuna au laa hutobadilika chochote @@dalalihakweahakweya6662
mali safy
@@musakibwana4596 Mchawi pesa tajir
Jenga uza hiyo utalia kilio cha mbwa.
@@MaaneML Nambwa mwenyewe ndowewe sasa
@dalalihakweahakweya6662 nakubali kabisa. Ili wengine wapone.
Kuna siku ntakutafuta I swear…na tutafanya biashara
@@Yana_queen1 Ishallaha Mungu atafanya wepesi
@@Yana_queen1 🙏🏻🙏🏻