Bwana Yesu asifiwe Mtumishi wa Mungu, Barikiwa sana kwa mafundisho mazuri sana, nimekuwa nikifuatilia masomo unayofundisha na nimebarikiwa sana. Naomba namba yako ya simu ili nipate kuwasiliana nawe. Asante sana Mtumishi wa Mungu.
Ameeeeen pastor MUNGU akubariki sana hakika nimejufunza mengi kupitia mafundisho yako nina Imani kubwa maisha yangu hayatabaki jinsi yalivyo na family yetu pia MUNGU ataikomboa hakuna lisilo wezekana kwa MUNGU najua atabadilisha maisha yetu na sisi tuheshimiwe 😭tumechoka kudharauliwa kwa umasikini eeeh YESU mwana wa MUNGU tuhurumie utukomboe kwa Damu yako yenye thamani🙏
Amen mtumishi barikiwa sana
Bwana Yesu asifiwe Mtumishi wa Mungu, Barikiwa sana kwa mafundisho mazuri sana, nimekuwa nikifuatilia masomo unayofundisha na nimebarikiwa sana. Naomba namba yako ya simu ili nipate kuwasiliana nawe. Asante sana Mtumishi wa Mungu.
YESU NI JIBU ❤️
Ameni ameni huwa sichoki kukusikiliza mtumishi kwasaabu nimambo mengi huwa najifunza hata Kama akili ngumu vp nilazma uelewe mungu akujazie zaidi
Ameen
Amen Amen ubarikiwe mtumishi kwa huduma hii 🔥🔥🔥🔥
Yani Baba I don't know what I cud have done without you🥺
Asante sana kwa Mafunzo mazuri na maombi ya Kila mara🙏
Mungu akuhifadhii
Asante Mtumishi wa Bwana
C'est très profond cet enseignement.
Que toute la Gloire revienne à Dieu .
Following from Kenya.
Amen ahsante kwa mafundisho mazuri yaliyo jaa unyenyekevu kwa Mungu na kuwa waheshimu watumishi wengine.Hakika ya nguvu ya Mungu unaye mtumikia
Usinipite mwokozi unisikie baba yangu unapozuru wengine usinipite😭nisamehe we
Amen Mungu anifungue pia nami
Moto kwenye misingi🔥
Amina baba mungu akuongezee cku
Nina matatizo makubwa Mimi mchungaji naomba msaada wenu wa maombi Baba mchungaji
Tunaomba ratiba ya Arusha please
What a wonderful teaching Man of God I will visit you for the Friday service 18th February
Amen Amen Amen Huu ufunuo eeee Mungu atukuzwe sana na akubariki pastor
Amrmen pastet
Ameni 🙏🙏
Amen amen nafuatilia kutoka mwanza
Amen mungu awalinde na awonngeze uduma asante
Powerful
Amen
🙏🙏🙏🙏
Ameeeeen pastor MUNGU akubariki sana hakika nimejufunza mengi kupitia mafundisho yako nina Imani kubwa maisha yangu hayatabaki jinsi yalivyo na family yetu pia MUNGU ataikomboa hakuna lisilo wezekana kwa MUNGU najua atabadilisha maisha yetu na sisi tuheshimiwe 😭tumechoka kudharauliwa kwa umasikini eeeh YESU mwana wa MUNGU tuhurumie utukomboe kwa Damu yako yenye thamani🙏
Kila vifungo ninaharbu mizizi yake kwa moto wa roho mtakatifu
Amen