Hello ..you’re talented and you are chosen one keep doing good and awesome music when universe is happy you’re happy too… you don’t know how hearts you have healed with this beautiful song mola akuweke badi 2025 🇰🇪🇺🇸
Badi umefanya vzr sana kutuekea hii ngoma apa wengine tuko mbalii sana tukiskiazaa tunajiona kama tupp mombasa yaan adi malaika wanisisimkaaa naipenda kwa isharaa jamanii 😍🥰😘
Bado bado loh mungu akuzidiye kuendelea kujuwa nae alivunjaa recd toubaaa huyuu Jawd💕😍😘😆😂👍👌🙏true nkwel kilaa ckuu namuona kwa ucngizi na cjamuona jamini
Ahh jaman ngoma yanimaliza kuna kijana nampenda kutoka Mtongwe nikimuona moyo wangu puh😍anaitwa Hussein mwangangi aka TariQ maskani ya mgokaa pale mweza kwa rasta jaman mtu amfikishie naitwa KICHUNA
Nakosa cha kuandika ninavyoupenda jmn cjui hat niandike nini jmn nampenda kwa isharaaaaa aheliiiii 💋💋💋💞💞💞 schoki kuuskiliza huu wimbo wallah umenikosha from tz
Sio baaadi ni Badiy mimi nimeandika jinsi tu alivoqnza kuimba alisema.Badi nadi hujasikia au mie hao kina Badiy kwetu yapo mwanangu mtoto wakaka angu hilo ndio jina lake na yeye kalirithi kwa bana abgu mkubwa jina lake ndio hilo Badiy nahivi ndio linavoandikqa sio wewe unakosoa still bado unakosea kajambe uko
Nimeingia mahabani kwa mtu asiyejua ..umuona kwa ndotoni penzi amelichukua...mola kanipa subira nisije kufedheeka nampnda kwa ishara naogopa kutamkaa...
Laazizi laazizi hali yngu waijua....meniatha kitandani nna homa naugua.....nimekosa karatasi kukuandikia barua.....
Namshukuru muliwa kuwa yupamoja nami...nae anganiringia nduzangu muambieni ....km mapenzi yauwa badi nitakufa mm......love yuh badi❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
Mashaallah
Hy
@@naswihaali1028 hoyoooo
Mola atakupa subira usije kufedheheka 😢😂
Mashaallah ❤
First send to me by one and only one
Aaaaah nampenda kwa ishara..... I remember this in malindi was the first kusikia .. Na ww ndio ulkuwa unaimba
I remember this ,nilisikia nikiwa mikindani waaau amazing songs in my life
Hello ..you’re talented and you are chosen one keep doing good and awesome music when universe is happy you’re happy too… you don’t know how hearts you have healed with this beautiful song mola akuweke badi 2025 🇰🇪🇺🇸
Badi umefanya vzr sana kutuekea hii ngoma apa wengine tuko mbalii sana tukiskiazaa tunajiona kama tupp mombasa yaan adi malaika wanisisimkaaa naipenda kwa isharaa jamanii 😍🥰😘
Kweli kabisa
Asalam fatma
So true wallah
Mtu huwa yuaskia rahaa
Nampend kwa ishara
Yaap...Mombasa top
Mashallah mekumbuka home Tanga kwani twafanana vingi na Mombasa
Tanga mnyanjani au sahare
@@twahiruhamis5535 makorora mzingani
Woow call me 0715679078
Jirani mapenzi yauwa
Wow imekubalika badi safi sana fatma Muhammad nikwa ndani ya saudia
Kwa nn
Naipenda sana hii nyimbo yanikumbusha mbali sana❤❤❤❤
laazizi laazizi hee aeh hali yangu waijua, meniacha kitandani aeh nahoma naugua arooooo MUNGU akuweke.....
Dj makora#001 aroo laazizi laazizi eeh Hali yangu waijua DJ makoro twende nalo
Nakujua wewe ni Mani
Heard this song last night at a wedding in Watamu and I can't stop listening to it 😂😂
Shukran
Asanteni sana my fans... Nawawekea ngoma zengine this week.. In Sha Allah
Napenda sn kuimba badi,nyimbo zako zinazidi kunihamasisha,hongera sn
Badi naomba hii nyimbo naipenda sana +971528447916
Kristine Roco pamoja bna
Abdallakhan Junior io ngoma iko juu bado
Badi,kiukwel nyimbo tamu hongera
Toa nyimbo nyingine wafuasi wako tupo lakin za mahaba kama hii twazipenda sana hata sisi tupamoja nawe 😘😘😘😘👌
Hio nayo kali
th-cam.com/video/6YQPs-JbMIw/w-d-xo.html hii hpa mpya ya badi Tora
In Sha Allah my fans next week naweka ingine mpya.. Zipo nyingi studio... Thanks for your support.. Tell a friend to tell a friend
Badi wallahy waniliza sina wakuninyamaza,niateni niliye
Mashaallah nyimbo nzuri
Hassan Ali usilie Hassani ... Mola Atakupa subira 😘
@@simpledelicious8482 shukran habiby
Nakupenda sana badi wanimaliza
Am here enjoying with you this song in 2024
❤❤❤ oyooooooo 💃💃💃💃
Hapo ndipo kaka zangu zote kwisha❤🎉
Thobaaaaaa Badi haimbiii Badi hunena😍😍😍Maini hunitheza mwana.....Kizingitini na Faza hoyeee🙌🙌🙌
Mashallah
th-cam.com/video/6YQPs-JbMIw/w-d-xo.html hii hapa mpya ya badi
taarabu making hongera zako badi maaashalh
Shukran
😂😂😂firsttime juzi nilikurekodi ukiimba sijawahi kuona live ndio ilikuwa first time juzi big up amazing.......😅😅all the best kwa kazi yako
Nimeweka ingine mpya... Badi star watajera
Inshallah nitakualika uje kuimba harusini kwng..mm ni dadake hadija Sadi mnaimba nae
Iko sawa mashallah sichoki kusikiliza 😍😍😍
nice song
Hongera umeimba vizuri nimeupenda Wimbo
Mashallah badi nyimbo nzuri kaka asante kwakutuburudisha
Nyimboo tamuuu ajjaaaab nakumbuka enzi za majengo nairobi🥰🥰🥰 kwa ishara jamanii😘😘😘
Mashaallah
❤❤Apo Sasa sisemi kitu👍👍👍👍💞
Huu wimbo huwa lazima niucheze kwa kipindi yaani huniacha hoi namashabiki hupenda.
husseiny mduney vp bos naomba uniite brow tufanye mahojiano na pia niko na zingine kali pia
husseiny mduney 0722423742 namba yangu hyo brow nitafurahi kama utaniita kama ni hpa msa
Hapo chachaa mahaba niuwe
Bado bado loh mungu akuzidiye kuendelea kujuwa nae alivunjaa recd toubaaa huyuu Jawd💕😍😘😆😂👍👌🙏true nkwel kilaa ckuu namuona kwa ucngizi na cjamuona jamini
001 oyeeeee🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Am napenda Sana😍😍😘😘
Ahh jaman ngoma yanimaliza kuna kijana nampenda kutoka Mtongwe nikimuona moyo wangu puh😍anaitwa Hussein mwangangi aka TariQ maskani ya mgokaa pale mweza kwa rasta jaman mtu amfikishie naitwa KICHUNA
Sana
Mashaallah song Tamu hadi raha
santa....badi shiklia hapo hapo raha twaipata...❤❤👌👌💞💞💓💓💓🥰🥰🥰😘😘😘😘😘😘🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Nimeisikiliza hii nyimbo nawashukuru kutuwekea youtube nasikilia nikiwa hapa doha qatar
Hehehe Shukran Sana.... Nitaziweka sasa zengine.. New are coming soon... Umeskiza nakuomba samahani??
Mola atanipa subra nisije fedheeka niko doha Qatar
@@Badistar-b2y uko juuu bro
@@yussufabdalla904 shukran sana 🙏🙏🙏
@@Badistar-b2y mbona sioni video ama haujaeka bado
Lazizi lazizi hali yangu waijua hii bet hatar tam sana kuiskiza na mwenza mambo yanazidi kua mazur ndan❤️
Shukran sana
Jamani rahaaaaaa yani umenikumbusha nyumbani,,,,,fan wako kutoka kibra,,,,,asanta sanaaaa
Shukran sana.... Manze kibra ndyo imenijenga sana
haya mambo hayoooo BadiBadi nampenda kwa isharaaa manenoooo
Siwezi kumuacha babu
Nakosa cha kuandika ninavyoupenda jmn cjui hat niandike nini jmn nampenda kwa isharaaaaa aheliiiii 💋💋💋💞💞💞 schoki kuuskiliza huu wimbo wallah umenikosha from tz
Mashaallah
Baaaaaaadi jamani rahaaaa tupuu hi nyimbo Wala hainishi hamu..
I like it ♥️♥️♥️♥️! Nampenda kwa ishara naogopa kutamka!!
Kabisa somo yake bro wangu 😘😘🥰❤️
hii naikubalii sana🔥🔥🔥
Hizi ni adhabu gni mm zilizonifika....nimekuwa matesoni kutwa kucha nasumbuka.....namuomba kwa hisani awe wngu kwa haraka❤❤🔥🔥🔥🔥
😍😍😍
Acha kumpenda kwa ixhara funguka. Ujieleze ueeleweke vyema
👌👌👌
Nyimbo tamu tunaburudika tukiwa mbali asante ubarikiwe.@badi star
Heee jemeni imenigusa nyimbo hiyo nampenda kwa ishara na yy ajuwaa..kutoka mld khadija said...
Wallah wimbo naupenda huu hatar 🔥🔥🔥😍😍👌👌👌Badi badi MashaAllah
Ni baaadi
Sio baaadi ni Badiy mimi nimeandika jinsi tu alivoqnza kuimba alisema.Badi nadi hujasikia au mie hao kina Badiy kwetu yapo mwanangu mtoto wakaka angu hilo ndio jina lake na yeye kalirithi kwa bana abgu mkubwa jina lake ndio hilo Badiy nahivi ndio linavoandikqa sio wewe unakosoa still bado unakosea kajambe uko
Wewe badi wachukua nyoyo za watu ukazitesa na haya mashsiri
Swadakta yani nyimbo pambeeeee...tuekee nanyengine tujiliwaze
Nimeingia mahabani kwa mtu asiyejua ..umuona kwa ndotoni penzi amelichukua...mola kanipa subira nisije kufedheeka nampnda kwa ishara naogopa kutamkaa...
👌hapo chacha ❤
Santhaa nampenda kwa ishara naogopa kuamka👌tupeni vitu vyengine
In Sha Allah Zaja kwa wingi
antn ml,z
Hongera sana jaman mungu azid kukuongoza vema
Nilikua naipenda sana nikiwa Kenya sahi naisikia tu U Tube nikiwa Catar
Beautiful song Badi ,Lete ingine Kama hio.
Nakumbuka Tanga kwenye kijanvi ikipigwa lazima niamke
Hamujambo ingine mpya IPO... Kukupenda sitochoka...
sana. wajua hongereni. badi star
Wp nyengine. Yaani hii yanimaliza naipenda wallah. Allah akujaalie na kutuliwaza
Badi Star hiyo ngoma banana...acha tu
Badi Star hatujambo badi kwa hii nakupenda bure kaka yaliwaza mbaya
Najaribu kudownload audio mbona nashindwaa... Msaada naipenda hii nyimbo
Nakumbuka enzi zangu umri wanitupa mkono
Kama mapenzi yauwa Aisha ntakufa mimi...❣️❣️#nampenda kwa ishara#
Poleee
Uko vizuri Sana umetisha sio pw omari from zanzibar
Yani hiii nyimbo kaambe nliimbiwa mimi maana imenilenga ndipp
Mwanaidi Kassim eti eeeeeh
Mwanaidi Kassim kama ulilengwa jieze funguka xx
Laazizi wanguu nakupenda Kwa ishara❤️ mungu akupe subira upoo . Asante sana thamuuuuu
Mola atanipa subira nisije nika fedeheka jamani ahhhh kupenda nako Acha tu badii
Hehehe shukran sana ...waeza follow Dj wangu kwa Instagram Dj_Las1 ama Facebook Laswan Asuu...ukitaka ngoma zangu mpya yuwaeza kutumia
Uuuui hii itanimaliza walai nampenda kwa ishara naogopa kutamka ..........ila mm nishamtamkia hii ni yako hny wangu popote ulipo
Nampenda kwa ishara naogopa kutamka❤😂😂🎉🎉🎉
Badi badi mashallah record no 1🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌👌🙏👍
Hii nyimbo nikisikiza ya nikupusha mambo matamu juu yamaisha yangu
Asante sana badi star ⭐️ we ndo watutoaa maumivu y gulf tukisikizaa mzikii🤣🤣🤣🤣oyaaa
😂😂😂😂😂
Old friend of mine.badi badi (supparr).
001 mpango mzima💥💥💥💥💥
Mashallah mimi kama captain temba mchaga wakwanza kuimba muziki wa taarab Tanzania ni mgumu kuelewa lakini humu nimeelewa haraka mashallah
I was really entertained by Badi Tora at a wedding in malindi💯🔥💪🏽💯💯💯💯
Shukran sana
th-cam.com/video/6YQPs-JbMIw/w-d-xo.html brand new song Badi Tora
Kutoka Dubai UAE namiss home mombasa imenigusa nyimbo
Hii kali Sana Kibadi Kipanga... Nakuombea Kaka
God loves you all, whoever reading this,may they be blessed.
Umeondosha msongo wa mawazo kwa ngoma hii.Allah barik
Badi jamani acha kulala amsha dude
ausio ni DJ Manu in Blackstar massive
mkali wa mapenzi
Hi
Nampenda kwa ishara, naogopa kutamka
Badi hoyeee 😍😍😍😍
hapo sawa usibonyeze wakatie papa wakachome
Hiii umeitendeaa haki❤
Tanks badi.... Vitu vyakutuliwaza moyo
Not a taarab fan but am in love if with the song... Lol
Shukran
Mombasa tuko ndani. We love you 🥰🥰❤
Shukran sana ...love you more
lovely song MashaAllah I'm your fan from 255 Tz bigup brother🥰🥰🥰🥰
Very nice taarab❤❤❤
My lovely song best of the best👌👍
th-cam.com/video/6YQPs-JbMIw/w-d-xo.html here is brand new badi tora song
2024 tupo❤❤🎉🎉
Jisongi traaamu sana mpk narudiarudia x70
Anajua Sana kuimba vizuri mungu ambariki
nampenda kwa ishara ayee naogopa kutamka😘
nakubali mchezo ilove this😍😍😍😍😍
❤❤❤nampenda kwa hishara👏♥️❤️🔥
Nakutakia kila lakheri kwavile unatuburudisha. Umekumbusha kwetu malindi kila nilopokuwa nikipita barani au shela nikisikia sauti ya Bhalo. Hongera ndugu yangu. "Mola atakupa subira usifedheheke"
th-cam.com/video/6YQPs-JbMIw/w-d-xo.html Badi Tora mpya
Nyimbo nzuri ❤
Mashallah ❤
Shukran sana
Shukran sana
Very nice taarab ya mapenzi 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Subscribe to my channel ...shukran sana
Badi badi wee mkali saana bro
Badi kaliguza hadi mshipa ulojificha jameni,santee♥️
Wanikumbusha malindi n majaoni penda sana n nyimbo hii
wanikumbusha kwetu Ukunda
Hongera badiii
Laaziz laaziz hali yangu waijua....#del.......
laazizi shida yangu waijua Subira
Nimeitafuta hii nyimbo hongeraa mtunzii,
Nasikiliza in London inanikumbusha holiday yangu🇬🇧🇬🇧🇬🇧👍👍👍❤❤❤
Hehehe shukran sana....... Tengeza tour ya London nije niwaburudishe
I like this song plz make more in the future 😁😁
nice song kwa wapendanao