SIMULIZI YA KUSISIMUA: PENZI LA UMAUTI, By Ankojay

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ค. 2023
  • Niliamua kufunga pingu za maisha na
    Julieth kwa sababu alikuwa ni mwanamke
    niliyempenda sana. Alikidhi kila aina ya
    vigezo nilivyovihitaji kwa mwanamke
    hasa yule ambaye nilitarajia kufunga
    naye pingu za maisha.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 132

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 ปีที่แล้ว +20

    Hi Juma Hiza?Acha kwanza ni🪑🎧nduguzangu nipe like ata 2 Tu
    AnkoJay ahsante

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      😊😊 tumekupa like

    • @girukwishakaclaudine5374
      @girukwishakaclaudine5374 ปีที่แล้ว +1

      Ahsante

    • @user-td2se4tf8v
      @user-td2se4tf8v 3 หลายเดือนก่อน

      Asante Ako KWA smulizi hii ulioileta yenye mafundisho

    • @user-td2se4tf8v
      @user-td2se4tf8v 3 หลายเดือนก่อน

      Asante Ako KWA smulizi hii ulioileta yenye mafundisho

  • @nindymuruga4798
    @nindymuruga4798 ปีที่แล้ว +5

    😢😢😢maisha haya angemsikiliza mamake na kumtelekeze tungemlaumu ona mwisho alivyo tendwa wanawake sisi. R.I.P Kaka sithani km na yeye ataishi kwa amani.shukrani anko jay🥰

  • @ColethaMwenda-qd1ck
    @ColethaMwenda-qd1ck ปีที่แล้ว +24

    Nimekuwa wakwanza naomba like zangu jaman

  • @LyidiaSilayo
    @LyidiaSilayo ปีที่แล้ว +6

    Kwa haya mafunzo tunayoyapata humu ndani ya simuliz mungu aendelee kuwapa nguvu na uvumilivu siku zote za maisha yenu shukran ziwaendee mtunzi na msimuluaji AMEN.

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +3

    Jamani nimejikuta chozi likinidondoka mwisho wa story😭,,wanawake wengine pepo mutaiskia tu kwa mbali ,,mwanaume kakufanyia kila kitu malipo yake maumivu ya moyo na majuto ..kumbuka kila lililo na mwanzo lina mwisho wake😢😢,,Ahsante Anko jay tunajifunza mengi sana

  • @lovenessyesse9053
    @lovenessyesse9053 ปีที่แล้ว +3

    Duh kwakweli mapenzi shikamoo jmn aya Asante kwahisomuliz 😢😢

  • @user-wz8hy7lb6s
    @user-wz8hy7lb6s ปีที่แล้ว +3

    Ahsante kwa simulizi kila siku anko jay

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 2 หลายเดือนก่อน

    Asent Ankojay kwa simulizi zuri san ubarikiwe 🙏🙏🔥🔥🥀🥀

  • @saidhassan8080
    @saidhassan8080 ปีที่แล้ว +5

    Waakwanzaa

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Safi sana 🎉🎉🎉🎉

  • @beatriceonsongo9915
    @beatriceonsongo9915 ปีที่แล้ว +3

    Kazi zuri anko be blessed 🥰

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Thank Youuuuu😊

  • @imanchibaya7181
    @imanchibaya7181 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka upo vzr sana mm nikisikiaga saut yako hua nainjoy sana mkuu

  • @miskhankhan3898
    @miskhankhan3898 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri anko j be blessed

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Ahsante sana

  • @InezaSuzanaIdem-wr8zw
    @InezaSuzanaIdem-wr8zw 11 หลายเดือนก่อน +1

    Inasukitisha sana dominike mungu akulaze malipema peponi

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri Anko J ❤❤❤
    Be blessed

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Ahsante sana 😊

  • @elizabethkigava7453
    @elizabethkigava7453 ปีที่แล้ว +3

    Good job anko j godbless you😍😍

  • @diddahjay2185
    @diddahjay2185 ปีที่แล้ว +3

    Mtuelimishe hizi like zina deal gan maana ndipo zinaombwa balaa

  • @mishelygodlisten1171
    @mishelygodlisten1171 ปีที่แล้ว +2

    Mimi niwe wa kwanza niwe wa mwisho ntasikiliza tyuuu maan humu watoto w ank mmenishinda tabia

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Ahahahahaha 😅😅😅

  • @jumakhamismohd7258
    @jumakhamismohd7258 5 หลายเดือนก่อน

    kwahakika ww mungu azidi kukueka anko jay tunajifunza mambo mingi

  • @anthonymbubha2907
    @anthonymbubha2907 ปีที่แล้ว +5

    Tunasikiliza hizi Story maudhui yake tupate mafunzo. Mafunzo siku zote ni kuwa uhalifu haushindi na wema unashinda. Ndo maana ya “”Steling hauwawi””kwani mara nyingi Steringi Husimama upande wa haki. Maudhui ya Story hii maana yake Uhalifu umeshinda kwani hatukuona July akijuta, hatukuona Sababu ya Mama kumchukia July Hivyo Domonic kumpenda July alikuwa sahihi ila July kwa Tamaa zake ndo alipashwa aishie Pabaya na kujuta ili kuonesha kuwa uhalifu haulipi. Hii inafanana sana na Story ya akina Yatu Manafu, Vinginevyo mwandishi angetwambia kuwa “” Based on True Story”” ili tujue kuwa ni maisha halisi.

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      👏👏 nazan mwandishi kaona, na ameyapokea maoni yako... 🤝 ahsante saana

    • @user-yi1hb1hb2p
      @user-yi1hb1hb2p 8 หลายเดือนก่อน

      Hata mm nilitaka kuuliza hivyohvyo yaan mwandish atuambie tuu July alifanya nn aliposikia mume wake kafa malizia ww mwandishi

  • @imanwalid6549
    @imanwalid6549 ปีที่แล้ว +2

    Keep it up anko jey I 😢

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Thank You So Much

  • @user-ee2io3ve7l
    @user-ee2io3ve7l 8 หลายเดือนก่อน

    Uncle Jay ♥️🥰🥰usaliti ni adui namba moja on the life

  • @anajumanne4018
    @anajumanne4018 4 หลายเดือนก่อน

    Abari yako Anko jey tumesubiri sana lisa wiki hii

  • @maryworkman635
    @maryworkman635 ปีที่แล้ว

    Doo sisi wanawake MUNGU atusamehe Aki 😢 na huyo mwanamke ni mjinga kiyasi gani anaweka msani bele kuliko mtoto wake aki inasikitisha sana 😥😥 Asante sana Anko Jay kwa simulizi nzuri sana ❤❤❤

  • @winfridasetin8749
    @winfridasetin8749 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuli

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Thank youuuuj🎉

  • @saumukambi8562
    @saumukambi8562 ปีที่แล้ว +1

    Good boy Anko

  • @shantellekwamboka7444
    @shantellekwamboka7444 ปีที่แล้ว +2

    Wa kwaaaa hoyeeee

  • @RayRay-dr6rf
    @RayRay-dr6rf ปีที่แล้ว +1

    Jaman ank j unasauti zuri sana wewe mkaka mungu akubariki

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Ahsante sana

  • @dinahwafula2538
    @dinahwafula2538 ปีที่แล้ว

    Pole sana Dominic kwa kweli nimeumia sana kwa kitendo ambacho mke wako amekufanyia 😢

  • @batoolmwajuma3000
    @batoolmwajuma3000 7 หลายเดือนก่อน

    Duuuh , mitihn jamn , mapenz haya , shikamoo

  • @MsChocoFlava
    @MsChocoFlava ปีที่แล้ว +1

    After 24 hours of work bila break nimechoka kinomw ila nineingia tuu kwenye gari na hadi kufika home ni mwendo wa 2 hours nimejikuta nakimbilia Kwa anko jay Kwa usongo maana nilikua nimemiss kazi yake Kwa siku mbili bila kushika simu 🥰

  • @user-qy9ut1zs9c
    @user-qy9ut1zs9c ปีที่แล้ว +2

    Pamoja kaka

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj 3 หลายเดือนก่อน

    Kaaah ama kweli mpz ni upofu 😢😢😢😢😢

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr ปีที่แล้ว

    Ahsante anko Jay burudani iendelee

  • @shantellekwamboka7444
    @shantellekwamboka7444 ปีที่แล้ว

    Sikubali bana hii lazima part2 tujue kuliendaje Juma ,tupee tu ,shukrani kaka Jay

  • @ramadhanisimba3443
    @ramadhanisimba3443 3 หลายเดือนก่อน

    Kupenda ni tabu sana

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 ปีที่แล้ว

    Asante sana Ankojay simulizi nzuri kila wakati

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 6 หลายเดือนก่อน

    In Allah we Trust ❤❤❤🙏

  • @rizkimw1301
    @rizkimw1301 ปีที่แล้ว

    😭😭😭pole kka asante Anko J kwa smlz tamu

  • @dalilaamiri
    @dalilaamiri ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤❤❤

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 8 หลายเดือนก่อน

    😢💔mwanamke anae fanya haya ana laana

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤🥰🥰🥰pamoja ankoj

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Ahsante sana 😊

  • @ghm1711
    @ghm1711 ปีที่แล้ว +3

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰💋

  • @fjggoxfh9502
    @fjggoxfh9502 ปีที่แล้ว +1

    Ankojay sikuhiz unakuj motomot lakin tunaomb mutoto wadogit sehem 2 pia tunasem asant

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Ipo tayari, ukinunua part 2, nakupea na part 3 bure

  • @user-fp2ui7qf6x
    @user-fp2ui7qf6x ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana2.

  • @lucykarii6860
    @lucykarii6860 ปีที่แล้ว

    😂😂 yeah uko live

  • @anastaziasanga
    @anastaziasanga ปีที่แล้ว

    Kwakweli nilikuwa naogopa kusikiliza nikijua niyakichawi kumbe nzuri jamani hiii elim wewe umevunja ndoa za watu wengi sana pore Domi 😭

  • @user-hu5qi4nl1i
    @user-hu5qi4nl1i 26 วันที่ผ่านมา

    Sad story 😢😢😢😢

  • @rizkimw1301
    @rizkimw1301 ปีที่แล้ว

    Pole sana Dominic

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr ปีที่แล้ว

    Pole Dominick hayo ni mapito itaisha

  • @user-ur4wm9yg6w
    @user-ur4wm9yg6w ปีที่แล้ว +3

    jamani leo mm njowakwana naombeni like zang

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Tumekupatia tayar

  • @euniceumazi5143
    @euniceumazi5143 ปีที่แล้ว

    Nakubali penzi lauwa

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 10 หลายเดือนก่อน

    😢😢 good job 👏

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 10 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢😢 Daah imeniuma San jamn

  • @FatumaWaziri-sx3nt
    @FatumaWaziri-sx3nt 10 หลายเดือนก่อน

    Onger anko j

  • @rizkimw1301
    @rizkimw1301 ปีที่แล้ว

    N mpuzi sana uyo mwanamke yote uliyo mfanyia.leo ii akujibu ujinga,,,,ety nimeongwa

  • @florencekanze
    @florencekanze ปีที่แล้ว

    😢😢😢 wenyeraha namapenzi waendelee lkn yakimupata ya Dominic muwewavumilivu

  • @MsChocoFlava
    @MsChocoFlava ปีที่แล้ว +1

    Hivi Kumbe kuna wanawake wa dizaini hii 🥹 mimi nipate mme wa kunipenda Hivi Eti nimtendee unyama nitakuwa mwendawazimu au nimerogwa

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 11 หลายเดือนก่อน +1

      Nakwambia hadi uchungu😢😢😢😢😢

  • @olyoly9992
    @olyoly9992 ปีที่แล้ว

    Daah mapenzi shikamoo

  • @user-ip6hb1nq2u
    @user-ip6hb1nq2u 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @mwanamgenimohammed7904
    @mwanamgenimohammed7904 ปีที่แล้ว

    Simulizi yenye mafunzo😢😢❤❤❤

  • @user-sb4fj9iq6f
    @user-sb4fj9iq6f 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @salmamohamedi5405
    @salmamohamedi5405 ปีที่แล้ว

    Mmmh 😢😢 inasikitisha sana hii simlizi

  • @ataamansi8941
    @ataamansi8941 ปีที่แล้ว

    Nasoma comment kwanza maana jina la simulizi linaniogopesha, naogopa huzuni ya kupitiliza, zamani nilipitia huzuni sana, sipendi kuumia kabisa, nikiwa nina uwezo wa kujiepusha na maumivu,. Najiepusha.

  • @mamanjeri8362
    @mamanjeri8362 ปีที่แล้ว

    Zuri sana😂

  • @user-yk6dg4kl3s
    @user-yk6dg4kl3s 3 หลายเดือนก่อน

    Nimekuw wa mia naa 23 nipen like zangu 19:59

  • @asumthamanyahi5255
    @asumthamanyahi5255 4 หลายเดือนก่อน

    Anko j hatulali walai😂

  • @sammy-b6281
    @sammy-b6281 ปีที่แล้ว +2

    Hii kitu ingekua
    Na part 2
    Ingenoga sana
    Tujuwe mshaara
    Wa dhambi za
    Mkewake
    Maana malipo hapa
    Dunia ahera kuesabiwa

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Yeah nazan mwandishi ataona hii

    • @sammy-b6281
      @sammy-b6281 ปีที่แล้ว

      @@ankojay_ nakukubali sana bro
      Mwambie amwage wino tena
      Fike kileleni kwa story konki
      Kama hii bro 🐐🐐

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥👌

  • @cadeaualiza
    @cadeaualiza 17 วันที่ผ่านมา

    Mimi nimepata pica,uyu Juliette alikuwa Hana elimu ,imeendeka aje kapata kazi kwa TV wakati umefikiy dalasa la saba?

  • @AbduhKareem-hi7sg
    @AbduhKareem-hi7sg ปีที่แล้ว +2

    Kazi hiii ya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kweli kweli

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 ปีที่แล้ว

    Hayo hutokea ila siwezi jitoa uhai kisa mwanamke ama mwanaume Allah hulipa kwazamu angelipia hili lkn sio kutoa uhai wangu subutu bs tungekufa wengi

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 ปีที่แล้ว

    Thank🙏🙏🙏

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 4 หลายเดือนก่อน

    Mapenzi Yana uwa😅

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +1

    Napitia comment leo 😅😅😅😅 Ahsante Anko jay ,be blessed 🙌

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Ur Welcome 😊😊😊

  • @SophiaOmari-ey2mv
    @SophiaOmari-ey2mv ปีที่แล้ว

    Duuuh jamani Lisa mwala umeyasimulia mapito yangu yote humu kwenye hii stori.

    • @mwapendosultan887
      @mwapendosultan887 ปีที่แล้ว

      mwandishi ni juma hiza jamani naye tumpe maksi zake

  • @mercymusundi8779
    @mercymusundi8779 ปีที่แล้ว

    Aki nimejitahidi nikaimaliza mzazi ni mzazi mafunzo teletle

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤

  • @zainabually2730
    @zainabually2730 ปีที่แล้ว

    🤸🤸👍

  • @QueenMwasenga-ph8uw
    @QueenMwasenga-ph8uw 8 หลายเดือนก่อน

    Wanawake siyo watu mfadhiri mbuzi utakunywa mchuzi ungemsikiliza mama Yako yote hayo yasingekupata damu Yako itamlilia Juliet ipo siku atakukumbuka,

  • @mercymusundi8779
    @mercymusundi8779 ปีที่แล้ว +2

    🪑🪑🪑🎧🎧🎧🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @salmahaji5832
    @salmahaji5832 ปีที่แล้ว

    ✋🏽

  • @user-bu9qd1ms7g
    @user-bu9qd1ms7g ปีที่แล้ว

    Ni uchungu sana hapo hiyo simulizi inaelekea, lkni itabindi ufumilie

  • @shanikiwele3111
    @shanikiwele3111 ปีที่แล้ว +3

    Ankooo

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      😊😊 Naaaaammmm....

    • @shanikiwele3111
      @shanikiwele3111 ปีที่แล้ว

      Mmmmh hii ankoo hii nilivyoiita Hadi nimejishtukia

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      @@shanikiwele3111 😀😀😀😀

    • @shanikiwele3111
      @shanikiwele3111 ปีที่แล้ว

      @@ankojay_ asa ankoo unanicheka jamaniiii

    • @shanikiwele3111
      @shanikiwele3111 ปีที่แล้ว

      I am in love with Anko J's stories

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +1

    Nimechelewa lakini sio mbayaa kwani muda unaweza penda sehume hadi ukaisi kufa 😥😥😥😥

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      😅😅😅 wewe sio wa kupenda hadi kufa

    • @ayishaayi5205
      @ayishaayi5205 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅

    • @shadyasalum192
      @shadyasalum192 ปีที่แล้ว

      @@ankojay_ nilikuwa na msukuma wangu weacha tuu nilimpenda hadi nikasema hakuna kama yeye 🤣🤣🤣 wasukuma popote mlipo pepo yenu ipo wasukuma wanajua kupenda halafu wanajua ............ Wakubwa wanaelewa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @shadyasalum192
      @shadyasalum192 ปีที่แล้ว

      @@ayishaayi5205 nilimpenda msukuma hadi shulee niliyona chungu nikafeli bhana 🤣🤣🤣msukuma sijiui aliniroga yuleee 🤣🤣🤣🤣niliisi kufa nilipomkosa 🤣🤣

  • @zenasalum3107
    @zenasalum3107 ปีที่แล้ว +3

    Mbn kila mtu wa kwanza😂😂😂

    • @mercymusundi8779
      @mercymusundi8779 ปีที่แล้ว +1

      Jamani

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 wewe wa ngapi

    • @ayishaayi5205
      @ayishaayi5205 ปีที่แล้ว

      Mm wa mwisho lakin hata sijali ilimradi naaburudika na sauti ya anko nyie huyu kaka anasauti ya kumtoa nyoka pangolin ❤❤

  • @NdayishimiyeLadislas-jv9ee
    @NdayishimiyeLadislas-jv9ee 7 หลายเดือนก่อน

    Kama.ni.maman.yangu.siwezi.kumusame

  • @user-pb1zg8ks3c
    @user-pb1zg8ks3c ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤

  • @sarahhagai8191
    @sarahhagai8191 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤

    • @johnsalum3335
      @johnsalum3335 9 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa smriz nzur