SIMULIZI FUPI: NILIMUUA MUME WANGU ILI NIRUDIANE NA EX WANGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 214

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 ปีที่แล้ว +13

    Hii simulizi ina mafundisho makubwa jamani,Rahim ni malaika

  • @masatomaro2452
    @masatomaro2452 ปีที่แล้ว +4

    Story nzuri Kaka ,mungu aku jaaliee afya na uzima.

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 ปีที่แล้ว +5

    Big up mr Jay we're still enjoying your stories and learning more about our lives especially for this days thenxs alot n be blessed

  • @aminarama1633
    @aminarama1633 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah greetings from Kenya

  • @NasraMohamed-s6o
    @NasraMohamed-s6o 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa mafundisho.

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua ปีที่แล้ว +9

    Let me enjoy idd mubarak with this amazingly voice much ❤️ from kenya

    • @ZinaTanzani
      @ZinaTanzani ปีที่แล้ว

      Tusiwazarau ndoa pia wanaume sio watu

    • @ftimaramadan4748
      @ftimaramadan4748 ปีที่แล้ว

      ​@@ZinaTanzani 😊😊😊

  • @nindymuruga4798
    @nindymuruga4798 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa funzo ukipendwa bc pendeka jamani❤

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 7 หลายเดือนก่อน

      Yaaan,binadamu hana wengine hawana jema

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 ปีที่แล้ว +2

    Asante Ankojay kwa simulizi

  • @janetkazungu7795
    @janetkazungu7795 ปีที่แล้ว +2

    Waaah simulizi imejaa mafunzo sana❤

  • @EddiMuddi
    @EddiMuddi ปีที่แล้ว +3

    Nampongeza pia mwandishi wa simulizi hii.Big up

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 7 หลายเดือนก่อน

      Saaana anastahili 🥀🥀🥀🥀🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 ปีที่แล้ว +2

    Pole Sana Dada shatani hanahaja na mwana damu mipako yake ni kuhuwa

  • @popod177
    @popod177 ปีที่แล้ว +3

    Thanx for another banger....i love listening to ur stories,makes me so energetic..

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Thank youuuuuu so much

  • @StellaMalando
    @StellaMalando 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli lakuvunda alina ubani..❤❤❤

  • @Adonai810
    @Adonai810 ปีที่แล้ว +4

    THIS STORY WOW!!!! WHAT GOES AROUND COMES AROUND. 🌎. THANKS ANKO JAY

  • @alinaswemuziya876
    @alinaswemuziya876 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli nakupenda simulizi zako ankojay zinatufunza mengi

  • @rizkimw1301
    @rizkimw1301 ปีที่แล้ว +1

    Malipo n dunian Akhera n hesabu,,.kabsaaa na ni uyaoge vzury 2🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️

  • @selfamitche3530
    @selfamitche3530 ปีที่แล้ว +1

    Wow good story ♥️

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 ปีที่แล้ว +2

    Simulizi tamtam❤

  • @swabrarashidi1082
    @swabrarashidi1082 ปีที่แล้ว

    Karibu idd anko and thanks kwa simulizi nzuri sana

  • @aminah9557
    @aminah9557 ปีที่แล้ว +5

    What goes around cames around

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 ปีที่แล้ว +3

    Thanks Anko Jay kwa eid mubarak tume enjoy kwa simulizi yao🙋‍♀️

  • @GisellKamikazi-hv1lj
    @GisellKamikazi-hv1lj ปีที่แล้ว +3

    Anko hii simulizi haki inamafundisho makubwa mnoooo❤❤❤❤

  • @jenifakihwelu3194
    @jenifakihwelu3194 ปีที่แล้ว +2

    Upo juu kaka kwa simulizi tamu na zenye mafunzo ndani yake

  • @saumukambi8562
    @saumukambi8562 ปีที่แล้ว

    Asant sana anko kwa simulizi za mafuzo ❤Allah akutunzee

  • @ashaabdalla924
    @ashaabdalla924 ปีที่แล้ว +1

    Anko J mbwana anatunga jina hapo hapo eti nyakungu😂😂😂😂 asante simulizi very nice ❤❤

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c ปีที่แล้ว +2

    Kama kwaida yangu simulizi yamafuzo ndiyo hii xx🇰🇪🇰🇪hyo wanawake funguweni masikio

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 ปีที่แล้ว

    Asante Uncle J

  • @anastaziasanga
    @anastaziasanga ปีที่แล้ว +1

    Toba yakuuwa Tena Anko jay 🤔 Asante ngoja tusikilize 🙏🙏

  • @rehemacharles4290
    @rehemacharles4290 ปีที่แล้ว

    Asante ngoja nibuludike na simulizi na idd

  • @joykatakana1099
    @joykatakana1099 ปีที่แล้ว +4

    Asante sana broo kwa story tamu yenye mafunzo aliesema majuto n mjukuu huja badae n kweli

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 ปีที่แล้ว

    Good job 👍❤❤❤🎉

  • @uwimanalidiascheilla3256
    @uwimanalidiascheilla3256 ปีที่แล้ว +2

    Naaam anko jay ngoja tusikilize zawadi ya Eid ubarikiwe saana

  • @janety1933
    @janety1933 ปีที่แล้ว +6

    Jaman ex haludiwi tuachege kufanya makosa jamani

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 ปีที่แล้ว +1

    Duh asiyesikia la mkuu😊

  • @GisellKamikazi-hv1lj
    @GisellKamikazi-hv1lj ปีที่แล้ว +4

    Jamani wengine tunalia tupate ndoa na wengine wanazibomoa kwamikono yao

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 7 หลายเดือนก่อน

      Mtu akiwa nacho,haoni umuhimu lkn kikiondolewa kwake ndio umuhimu utaonejana

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +3

    Leo nimekuwa wakwanza eidy mubaraqa wapenzi wa simulizi 🥰🥰🥰🥰🥰

    • @anastaziasanga
      @anastaziasanga ปีที่แล้ว

      Kipenzi hatu kalibishani

    • @shadyasalum192
      @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +2

      @@anastaziasanga karibuu kipenzi eidy tena biliani kipenzi karibu sana🥰🥰🥰🥰

    • @anastaziasanga
      @anastaziasanga ปีที่แล้ว

      Nipo getini hapa kipenzi Naja 🤣🤣♥️

    • @shadyasalum192
      @shadyasalum192 ปีที่แล้ว

      @@anastaziasanga karibuuuu tuuu 😂😂🤣🤣

    • @AbduhKareem-hi7sg
      @AbduhKareem-hi7sg ปีที่แล้ว

      Pilau bado shadya

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 7 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mume wa Farida kwa mke mwenye tamaa usioridhika nawe

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤😂😂mwanaume aliye barikiwa sauti zote ❤❤❤❤❤

  • @sadakimwaki9791
    @sadakimwaki9791 ปีที่แล้ว +2

    Wa kwanza Leo ahsante ankojay Tunajifunza idd Mubarak kwenu nyote wapendwa

  • @annakinyi218
    @annakinyi218 ปีที่แล้ว +1

    Wa kwanza wacha ni enjoy jay love ❤❤❤❤

  • @ZinaTanzani
    @ZinaTanzani ปีที่แล้ว +2

    Simulizi za anko j zinamafundisho

  • @dinahwafula2538
    @dinahwafula2538 ปีที่แล้ว +3

    Faridah hizo tharau zako kwa mume wako utakuja kuvuna baadae kuwa makini huyo ex wako siku atakuja kukutenda utamkumbuka huyo mumeo Rahim

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 ปีที่แล้ว

    Nzuri lna mafunzo usia chemba chao kwa msala upitao asante Anko J kwa zawadi ya lddi

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 ปีที่แล้ว +1

    Mhm jamani

  • @judyauko8134
    @judyauko8134 ปีที่แล้ว +4

    Farida umepitia magumu lakini mbona sina huruma na wewe ? Mwiba wa kujichoma huo. Asante Anko J. Kenya nawakilisha!!!!😂😂😂😂😂

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Thank You So Much

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@ankojay_hongera umejitahid saana kujibu na like coment za shabiki zako🥀🌹🥀🌹🥀🌹🥀

  • @mishelygodlisten1171
    @mishelygodlisten1171 ปีที่แล้ว +1

    Top 60 guys aiseeee ila nimejitahid jmn Eid Mubarak guys kunyweni soda Kwa bili yanguuuuuu

  • @easterelia7642
    @easterelia7642 ปีที่แล้ว +1

    Mmh!! jamani mungu atuepushe too nitamaa za kimwili 🙄🙄🙄

  • @isabellachizi4346
    @isabellachizi4346 ปีที่แล้ว +3

    Ànko jamani umebarikiwa na sauti ngapi 😅😅😅 juu naishia kuhesabu kila nikiskiliza story but sipati jibu ,😅😅nakupenda buree

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      😀😀😀 sauti yangu kwan huijui ?

    • @isabellachizi4346
      @isabellachizi4346 ปีที่แล้ว

      I don't know because you have more voices am really confused but you are amazing Anko, when I come back to Kenya 🇰🇪 I will make sure I will travel to tz because of simulizi mix ,I want to do something. Inshallah

    • @nancygitonga3282
      @nancygitonga3282 ปีที่แล้ว +1

      Inaitwa Talent , he is amazing

    • @donaldchacha
      @donaldchacha ปีที่แล้ว

      ​@@nancygitonga3282 wahi anakusubiri kwa hamu

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 7 หลายเดือนก่อน

      Kusema ukweli kajaaliwa,hata mie simuliz ikiaanza tu naanza kuhesabu sauti za watu zinavyobadilishwa

  • @janety1933
    @janety1933 ปีที่แล้ว +2

    Jamani Edward kweli ndio kuomba msaada Kwa Farida hakika hii Dunia imejaa uchungu sana

  • @salmamwangi4343
    @salmamwangi4343 8 หลายเดือนก่อน

    Mm ex siwezi rudiana nae washindwe kabisa

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +1

    Wa kwanza mie wacha nienjoy zangu😊 Ahsante Anko jay kwa kitu kipya😊

  • @FatumaShaibukimbe
    @FatumaShaibukimbe ปีที่แล้ว

    Ank j napenda sana simulizi zako

  • @AnnNyongesa
    @AnnNyongesa ปีที่แล้ว +1

    uko juu sana anko jay ❤❤nko from Kenya 🇰🇪😘

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Thank youuuu

  • @TatyntihebuwayoUmmulawi
    @TatyntihebuwayoUmmulawi 10 หลายเดือนก่อน

    Amizing

  • @mbuyubwabo8550
    @mbuyubwabo8550 ปีที่แล้ว

    Thx ❤🙏🏿

  • @estabidetwa1174
    @estabidetwa1174 ปีที่แล้ว +1

    Hiyi simulizi imenitowa machozi ila malipo nihapahapa duniani

  • @slyla2565
    @slyla2565 ปีที่แล้ว +4

    Mwanamke mjinga huvunja ndoa yake mwenyewe

  • @jenniferlicko4736
    @jenniferlicko4736 ปีที่แล้ว +3

    Anko Jay nimo ndani ya nyumba japo Kwa kuchelewa ila inafunza Kwa wanawake wa hovyo 😭😭

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 7 หลายเดือนก่อน

      Wanawake kama hao waache mara moja

  • @shahzananhafidh6858
    @shahzananhafidh6858 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤❤ nakupenda bure jamani

  • @EddiMuddi
    @EddiMuddi ปีที่แล้ว +1

    Malipo ni hapa hapa duniani

  • @SpecioseNshimirimana-dk6jg
    @SpecioseNshimirimana-dk6jg 2 หลายเดือนก่อน

    Acha uyaone, tena usiumiye uko unavuna chenye Uri rima pole sana.

  • @arafakatanga6502
    @arafakatanga6502 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 AnkoJay kill me😂😂😂nimecheka hapo unapoimba 😂😂😂but ahsante kwa simulz nzuri yemye mafunzo 😢

  • @AbduhKareem-hi7sg
    @AbduhKareem-hi7sg ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥pamoja Ako kazi hazikauki kabisa sahiii

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      Yeah 🔥🔥

  • @dhuhasaid636
    @dhuhasaid636 ปีที่แล้ว

    Dah 😢malipo ni hapa hap duniani @asante ankojay

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @patiencembekelu240
    @patiencembekelu240 ปีที่แล้ว

    Farida mpenzi pole kwa yote,but heshima siutumwa.what goes around cms around again i say pole

  • @ZulfaAli-r8c
    @ZulfaAli-r8c 3 หลายเดือนก่อน

    Jaman x harudiwi hata cku 1ukiwapa manywa hao mbwa wanataka wakuvunjiye tu hawana hata mapenzi

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi wanaume kama Rahimu wako Mwanaume unayitwa Imbwa arafu unomba musamaha

  • @ivymuna553
    @ivymuna553 8 หลายเดือนก่อน

    Inafundisha saana

  • @bibizainab-fk4bt
    @bibizainab-fk4bt ปีที่แล้ว

    Mapenxi ya zamani

  • @Syviahalex
    @Syviahalex ปีที่แล้ว

    Hili simulizi limeniliza sana, before doing samething to anyone think twice, farida ulimfanyia vibaya sana mtoto wa mtu, yanakufuata sasa, hicho ndicho ulikua unatafuta.... Umenikwaza sana

  • @SwaumuJafary-rr7md
    @SwaumuJafary-rr7md 5 หลายเดือนก่อน

    We biti ni mjinga sana yani 😔

  • @rizkimw1301
    @rizkimw1301 ปีที่แล้ว

    Pole Nyakungu kwa yaliyo kupata

  • @AyshaNizigiyimana
    @AyshaNizigiyimana 6 หลายเดือนก่อน

    Leo umetunyima lisa Anko jey

  • @speciozamikole2194
    @speciozamikole2194 ปีที่แล้ว

    Doreen kazia hapo hapo fukuza mbwa huyo

  • @rizkimw1301
    @rizkimw1301 ปีที่แล้ว +1

    Waenga hawakukosea walipo noga,,,,,usiloliweza usimfanyie mwenzako

  • @GraceDavid-nq4zc
    @GraceDavid-nq4zc 3 หลายเดือนก่อน

    Anko tuletee bint princess

  • @aishaOmar-i1k
    @aishaOmar-i1k 4 หลายเดือนก่อน

    Hahaha si ya kucheka kwa nyimbo Anko jay

  • @dionisiadionis9903
    @dionisiadionis9903 ปีที่แล้ว

    Mmmh Duuuuuh nimejifunza kitu

  • @MsChocoFlava
    @MsChocoFlava ปีที่แล้ว +1

    Anko kama anko, mwanaume mwenye sauti ya kumpagawisha mwanamke 🙌🏽🙌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 ปีที่แล้ว +1

    Jamani napata wapi mwanamume mzuri kama Rahim yani nimempenda bure huyu Rahim ❤❤

    • @speciozamikole2194
      @speciozamikole2194 ปีที่แล้ว

      Sasa utampata wapi wakati Farida alishamuua

    • @lonakirao5275
      @lonakirao5275 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂 hata husaidii 😢

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 7 หลายเดือนก่อน

      Hawapo ktk dunia hii,labda ulimwengu mwingine

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi 9 หลายเดือนก่อน

    Kwakweri umevuna uricokirima WE Farida nipumbavu ipùuuu

  • @BNSF2012
    @BNSF2012 21 วันที่ผ่านมา

    Jamani nimeumia kifo cha Rahim 😢

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr ปีที่แล้ว

    what goes around cames arond

  • @oledokoratilombashi
    @oledokoratilombashi ปีที่แล้ว +1

    Bro hapo umenikosha sana lakini sauti yake iko chini sana angalia kama unaweza kupandisha sauti ya biti kidogo yaani kaka huwezi nimesikia tu sauti ya biti machozi yakatiririka nimeipenda sana

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 ปีที่แล้ว

    Nishike polepole mm bibi wa wenyewe 😊😊😊

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 ปีที่แล้ว

    Masikini Rahim 😭😭😭

  • @mercymusundi8779
    @mercymusundi8779 ปีที่แล้ว +1

    🇸🇦😂🎧 wacha nisikize wenye anarudia Ex matapiko hawalambi

    • @lonakirao5275
      @lonakirao5275 ปีที่แล้ว

      Hakujua kwamba kilicho kuuma jana leo hakikutambai

  • @alisalim2145
    @alisalim2145 ปีที่แล้ว

    Yan Huy dada😭😭😭😭😭

  • @FaudhaHamisi
    @FaudhaHamisi 2 หลายเดือนก่อน

    Farida usija ukarundia kufanýa ujinga
    Mama ni mama hata awe chizi

  • @victorwesamba2520
    @victorwesamba2520 10 หลายเดือนก่อน

    Ukisikia malipo ni apa duniani ni hii sasa ndoo malipo ukifanya kitu lazima ujue mathara na faida tena kurudiana na ex ni kosa bora kua single kuliko ex💯

  • @moajaki8566
    @moajaki8566 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mpigo

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi 9 หลายเดือนก่อน

    Wanawke kama Farida muraaniwe mwanamuke kuomba taraka niraana Mungu anakoa utakuja kujutia we FaridaFarida 😭😭😭😭😭😭😭😭loho ninaniuma

  • @husnamachano6074
    @husnamachano6074 ปีที่แล้ว +2

    Yaan ww utoke nyumban kw mumeo mpaka kwa ex😮 unategemea nn😢😅😅😅

  • @maryworkman635
    @maryworkman635 ปีที่แล้ว +1

    Anko Jay yani mimi si lala kwa simulizi zako zimekuwa kama dawa kwangu Lo😂 yani nasikiya raha mbaka rohoni sauti yako yanimaliza NAKUPENDA ❤ sana Anko Jay

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว

      😊😊😊 Enjoy

    • @damamzerera9180
      @damamzerera9180 ปีที่แล้ว +1

      Kwakusema kweli simulizi zote nilizozisoma nimeona wasichana wanajiachia sana na wako rahisi rahisi sana

  • @carlossirya5016
    @carlossirya5016 ปีที่แล้ว

    Mwana kulitafuta mwana kulipata # farida

  • @mishymorgani5828
    @mishymorgani5828 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣Ila Anko Jay mbona umenichanganyia maneno

  • @polinlizzlizz
    @polinlizzlizz ปีที่แล้ว

    😅😅haya sawa baba

  • @FatumaShaibukimbe
    @FatumaShaibukimbe ปีที่แล้ว

    Pat one penzi la ex wang

  • @MwanaJohn-bi1wt
    @MwanaJohn-bi1wt ปีที่แล้ว

    Jaman hii story kama anko j nilimuadizia story yngu ya maisha ila nyie achen nilikuwa ivyovyo nimebaki na majuto tu hpa