Hongera sana tuliopo nje ya nchi tumekupata vyema ili vijana na wenye mitaji midogo wajikwamue kiajira na kujikuza kiuchumi.Mungu abariki kazi ya mikono yako.Nakukumbuka sana.
Mnaosema mazingira na mabdanda sio rafiki hapo ndipo mnapoferi 😂😂😂. Mmekalili mambo ya TH-cam 😂😂😂. Mzee ni bilionea kwa uwezo wake wa kutumia rasilimali alizonazo. Wewe kajenge mabanda bora uweke na magodoro ya kulalia.😂😂😂😂
RUBABA SIKU.MOJA NÌULIZIE KWA WAFUGAJI WA NGULUE WANAKAMULIWA MAZIWA KUSAMBAZWA MPAKA CHIZI ZA NGULUE???? UKU NYAMA ZOTE ZIPO BUCHA MOJA VISU MIZANI VITUMIKA PAMOJA UKWEPE UTAKULA ATA KWA NGUVU ZAO 😂😂😂
Unataka Kujifunza Kuhusu Ufugaji Wa Nguruwe Kibiashara, wasiliana Nasi 0764 148 221
Habar za Kaz viongozi
@furahishamwamakula nzuri karibu
Well done mzee Tupo sotehata mimi najaribu👏👏👏
Asante sana na endelea kua nasi
Hongera sana Mze Macha Mungu akubariki💪🙏
Asante kwa niaba yake
Watching from South Coast Diani Kenya. That is superb, a mastery of experiential knowledge. Keep it up mzee.
Thanks on his behalf
Hongera sana tuliopo nje ya nchi tumekupata vyema ili vijana na wenye mitaji midogo wajikwamue kiajira na kujikuza kiuchumi.Mungu abariki kazi ya mikono yako.Nakukumbuka sana.
@@ammychagga3747 Asante sana na Endelea kua nasi kujifunza zaidi
Sikiliza hoja SIO mabanda
💯💯
Hongera kwa imani kwenye stories hizi Rubaba
Asante Sana
Mnaosema mazingira na mabdanda sio rafiki hapo ndipo mnapoferi 😂😂😂. Mmekalili mambo ya TH-cam 😂😂😂. Mzee ni bilionea kwa uwezo wake wa kutumia rasilimali alizonazo. Wewe kajenge mabanda bora uweke na magodoro ya kulalia.😂😂😂😂
Rea jiji
Mzee nimemwelewa sana yaan,
Asante
Karibu kwenye group letu la mafunzo 0764 148 221
@@RubabaTv😂😂😂
Naomba namba ya mzee Macha
Wapi hapa pazuri sana
Mwanza
@@RubabaTv Mwanza ni kubwa
@@HavanansiData Mwananchi Buzuruga
Wasiliana Nasi 0764 148 221
Mbegu dume Duroc napata?
Mzee yupo wapii nkachukue mbengu
Yuko Mwanza buzuruga
Mabanda siyo rafiki
Nguruwe amezuiwa kuliwa na maandiko matakatifu Isaya 65:4.Nguruwe inashida,unamsikia huyu mzee anavyohema,afya imedhurika
@@eliasharun3273 Sio Kwa sababu ya kula nguruwe. Mbona wengi tunakula sana nguruwe na hatuhemi hivyo.
Maandiko matakatifu ndio nini
Tupate Namba Ya Mzee
NIPO PAMOJA NA NYINYI RUBABA TV KWA ELIMU NA USHAULI KWA WATANZANIA UPANDE WA UFUGAJI MMESIMAMA VIZURI KATIKA PROGRAM YENU☝️🤲🙏🇹🇿🇬🇷🛳⚓️
Asante sana
RUBABA SIKU.MOJA NÌULIZIE KWA WAFUGAJI WA NGULUE WANAKAMULIWA MAZIWA KUSAMBAZWA MPAKA CHIZI ZA NGULUE???? UKU NYAMA ZOTE ZIPO BUCHA MOJA VISU MIZANI VITUMIKA PAMOJA UKWEPE UTAKULA ATA KWA NGUVU ZAO 😂😂😂
🤣🤣
Ona unavyo pumua kwa tabu sababýua hsrufu mbaya ya nguruwe
Duuh
He's not deserving to be farmer kweri 😢😢 the farm has to much rubbish
Its rain season you can control the grasses this time
@@NiyonsengaMark tuonyeshe la kwako lisilo na rubbish tujifunze