ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

THE CLASSIC SHARAMA WA UKOO FLANI :MUZIKI ULITUTOA KWENYE UHUNI/HISTORIA YA RAP KENYA/STREET HUSSLA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2023
  • Sharama ni rapper mkongwe aliekuya sehemu ya kundi kubwa la Hiphop nchini Kenya la Ukoo Flani na baadae kuwa sehemu ya Ukoo Flani Mau Mau,pia alikua ni sehmu ya kundi la watu wawili la Sharama na Cannibal ambao walifanya poa sana na kazi zao kama Kichwa kibovu na Street Hustler,alipita kwenye The Classic ya Efm na kuongea na Jabir Kuvichaka kuhusu masuala mbali mbali ikwemo historia ya Rap nchini Kenya
    #bongoflava #gengeton #kenya #ukooflani #kalamashaka

ความคิดเห็น • 35

  • @mkazy6550
    @mkazy6550 4 หลายเดือนก่อน

    Very Interesting

  • @rasgeorges9459
    @rasgeorges9459 8 หลายเดือนก่อน +1

    Big up sana Sharamaa...well represented Mombasa.

  • @nickmugesh6986
    @nickmugesh6986 2 หลายเดือนก่อน

    Hii upuzi ndio kazi. Big up sharamaa..

  • @victorosong132
    @victorosong132 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ndani Ya Pwani ilikuwa ngoma noma sana.

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 10 หลายเดือนก่อน +3

    Interview kali muwe mnaachia na upande vya hizo ngoma

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  10 หลายเดือนก่อน +1

      pole ndugu hizi nyimbo zina haki miliki ndo mana hatuziachii hapa

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 10 หลายเดือนก่อน

      @@KuviFacts Ok

    • @bakarabbaskhamis2645
      @bakarabbaskhamis2645 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli jabir mna Kata kata sana mziki mna rusha japo dkk 3 ya track bro!!

  • @sylvesterpeter1272
    @sylvesterpeter1272 9 หลายเดือนก่อน +1

    sharama ni story teller mzuri sana

  • @mkazy6550
    @mkazy6550 4 หลายเดือนก่อน

    Huu.upuzi..ndio.Kazi,""SHARAMA Mupaye

  • @REVOLUTIONARYLYRICS
    @REVOLUTIONARYLYRICS 5 หลายเดือนก่อน

    "Mashabiki ni Real Ukoo Flani kuliko Ukoo Flani wenyewe.." Ukoo Flani for Life🇰🇪

  • @dottolambert-wf4rq
    @dottolambert-wf4rq 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shalama bonge ya rapper

  • @ahmedahmed1533
    @ahmedahmed1533 6 หลายเดือนก่อน

    Kuvifacts we need Redsan kwa show yako

  • @sajo_lkm2781
    @sajo_lkm2781 10 หลายเดือนก่อน +1

    Big up Jabri, kipindi chako ni classic for sure ❤🔥

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  10 หลายเดือนก่อน

      salute sana

  • @khamisramadhan5133
    @khamisramadhan5133 10 หลายเดือนก่อน

    Ndio 🎉 maua yako salute kuvi facts

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  10 หลายเดือนก่อน +1

      pamoja sana

  • @samwelmasssawe1767
    @samwelmasssawe1767 10 หลายเดือนก่อน

    Pindi Bora sana kwangu namba Uno.. Oii Stay blessed Kuvi Facts

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  10 หลายเดือนก่อน

      pamoja sana

  • @jayfourmusic462
    @jayfourmusic462 4 หลายเดือนก่อน

    Magongo city

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 10 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda hio story ya jamaaa.

  • @salimkibwana4189
    @salimkibwana4189 10 หลายเดือนก่อน

    Sure homeboy utakualisha safi

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 7 หลายเดือนก่อน

    #StraightAutoBarisheba #streetWakali
    #kichaja

  • @evancekinabo2595
    @evancekinabo2595 10 หลายเดือนก่อน

    Pale Pakistan Kuna rapper Atari sana mc Abdul

    • @victorosong132
      @victorosong132 9 หลายเดือนก่อน

      Nampata sana huyo dogo Alipita na beat ya Eminem.

  • @dastonamichaels1854
    @dastonamichaels1854 10 หลายเดือนก่อน

    Kubwa hii..love from mombasa 🇰🇪

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  10 หลายเดือนก่อน

      pamoja sana,salaam Mombasa huko

    • @dastonamichaels1854
      @dastonamichaels1854 10 หลายเดือนก่อน +1

      Tuko locked brother..blessings kwa kila mtayarishaji that made this interview happen,wakaribishe wote ukipata nafasi e.g vigetti k south cannibal chizen ambrose Juacali bobby mapesa nonini nazizi

  • @samirmswahili
    @samirmswahili 10 หลายเดือนก่อน

    Kuvichaka 🐐

  • @meyou-zz8mj
    @meyou-zz8mj 10 หลายเดือนก่อน

    Alafu tafuta kitabu chake online keefe D ameandika yule Vlad tv ndio kamponza aliaanza ujinga alivyomjibu Boose

  • @danielmihanjo5472
    @danielmihanjo5472 10 หลายเดือนก่อน

    sharama anaonekana akili mingi sana the way anavyoongea

  • @hashimshaqur9363
    @hashimshaqur9363 9 หลายเดือนก่อน

    Fujo makelele alikuwa mtu na nusu😂😂 mwamba alikuwa mnoko balaa

    • @REVOLUTIONARYLYRICS
      @REVOLUTIONARYLYRICS 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ndani ya kapuela😂 Energy hatari sana

  • @niggahoodthemc9156
    @niggahoodthemc9156 10 หลายเดือนก่อน

    Asante ✊🏿👮🏿

  • @ahmedahmed1533
    @ahmedahmed1533 6 หลายเดือนก่อน

    Kuvifacts we need Redsan kwa show yako