"kaa ume lack some little things like flow mistari joo projects uazime Old skool canvas,All star canvas shoes amna nyingine.... Ivi Tikakunyaku abbas chizn na vigeti alicheza kama yeye producer msanii noma 🔥🔥🔥
banza hakuwepo hapo hiyo iritwa chuchu soundo ya yusuph chuchu ndio band yake mungu amuweke peponi waimbaji ni omary mkali na mkongo mmoja anatafsiri nyimbo za kwao congo anaitwa jonico flawa nk
Oi bro kuvichaka,,ukiwa unagonga vionjo vya ngoma izo za kitambo usiwe unazikata uku utube bro,c unajua sometimes izo ngoma ni adim Sana kuzipata(wazo)
habari Jack,hizo nyimbo tunazikta sababu ya hakimiliki,hairuhusiwi kuziacha kwa sababu zina hakimiliki ,ni vyema ukisikia hapa kidg ufuate account ya msanii husika
❤❤❤ chizain brain my cousin and my high school mate mombasa baptist high school, 🇰🇪
He is the best export from 254 in terms of production and sound engineering..
midundo aliopika kwenye CNN ya ngwea na rafik wa kwel ya langa aisee salute
CHIZAN BRAIN UKO AJE CHUNGULIA KWANZA ....Ukoo Fulani Maumau
Hao walikua chuchu sound ya akina Omar mkali, waziri sonyo, joniko flower, mao Santiago and the likes
Halo haloo ni hapa na mchizen, pamoja moja. Ukoo Flani mwamba.
My dream interview. Chizan brain . Kumjua kabisa .
Big up brother chizen brain, long time no see outa 254 Mombasa barisheba.👊👊 Legend
Ukoo Fulani maumau ...long time hizo much love from 🇧🇭🇧🇭
"kaa ume lack some little things like flow mistari joo projects uazime Old skool canvas,All star canvas shoes amna nyingine.... Ivi Tikakunyaku abbas chizn na vigeti alicheza kama yeye producer msanii noma 🔥🔥🔥
Arudi tena mchzn brain kuna mengi hajaongea banar ,,,huo ni mgodi unaotembea
Jabili uyu jamaa💪💪💪💪🔥
The Illest ✊✊✊
Chizan my real G. He is real deal. 👊🏾
banza hakuwepo hapo hiyo iritwa chuchu soundo ya yusuph chuchu ndio band yake mungu amuweke peponi waimbaji ni omary mkali na mkongo mmoja anatafsiri nyimbo za kwao congo anaitwa jonico flawa nk
Alikwepo pia Marehemu Mao Santiago (Marehemu kwa sasa)
Salute mingi kwako brandon kimani
Chizn Brain anahitaji masaa matatu kuelezea historia yake
Chief Kizange
Pindi Bora Kwa sasa...the classic ✌️💪💯🚀🚀
Chizan brain 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤Ukoo flani for ever, made in 254
P funk anakuja lini tena
Brandon kimani,mchawi wa midundo huyo
love seeing this brother living good
Mwanetu MAKAME HASAN ametambulika rasmi 😂😂 na ss wadau wa the classic tusikate tamaa pindi Letu litatutambua tuu one day😂😂
Hahah pamoja sana kaka
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂💪🏾💪🏾
Raspect yaani Heshima sana🇰🇪👊🏿
Brandon Kimani
Moja mbili Chizen brain ndani ya mitambo!
📌
Chizani akili nyingiiiiiiiii😅😅😅😅😅, eeeeeeh!!!! Leo amewai kaka mkubwa Chizani mpk imekuwa rahaa yaaani
Haha
Respect Chizan🇰🇪
Dope interview
Chizan Brain❤
Chizange kwenye mitambo
Chuchu sound hao
Hiyo nyimbo ya hatubabaiki nadhani ni ya chuchu sound kutoka Zanzibar hv
huyo mchiz pemben anamshngaa chizan ubongo
Usikate izo nyimbo wakati mwingine kaka 🙏🏾
🐐
❤❤❤❤❤❤❤❤
chuchuchu sound - omar mkali
Brandon kimani
Just to Make it clear this comment ni kabla sija skiliza nikiwa sekunde ya 14 it was a long time wait
Oi bro kuvichaka,,ukiwa unagonga vionjo vya ngoma izo za kitambo usiwe unazikata uku utube bro,c unajua sometimes izo ngoma ni adim Sana kuzipata(wazo)
habari Jack,hizo nyimbo tunazikta sababu ya hakimiliki,hairuhusiwi kuziacha kwa sababu zina hakimiliki ,ni vyema ukisikia hapa kidg ufuate account ya msanii husika
@@KuviFacts by the way I like what your doin bruh... i salutyah✊
@@KuviFactsLakini bro, ukiziweka hizo nyimbo halafu ukawamention wenye nazo, bado utapigwa copyright strike?
Chuchu sound hao bana 🤣🤣🤣🤣