Anayemuigiza Manara akamatwa? aleleza anayopitia baada ya kuigiza, "Manara ni mchekeshaji" AFUNGUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @abdallahmohamad8360
    @abdallahmohamad8360 3 ปีที่แล้ว +2

    Keep pushing 💪 forward......seleman ndumbikwa .....! Everything is possible

  • @ChristopherKanyamala-u7l
    @ChristopherKanyamala-u7l 4 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri sana manara mtt

  • @DatuBakary-in3ut
    @DatuBakary-in3ut 7 หลายเดือนก่อน +1

    Aacheujinga kumuigiza manala asitafute kk mjingahuyo

  • @ldngowo
    @ldngowo 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana wewe ni msanii bora kabisa. Kweli ww ni manara mtoto endelea songa mbele tunapenda kazi yako

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 ปีที่แล้ว +2

    Angefanya vituko tu lakini kumuigiza hali ya maumbile yake hilo ni kosa asijipake rangi katika maigizo yake hio ni udhalilishaji wa maumbile. Acha kutafuta umaarufu kwa ujinga huo.

  • @allynazareth9684
    @allynazareth9684 3 ปีที่แล้ว +3

    Kuna vitu vingine sio vya kuigiza ni kujichumia laana na dhambi

  • @veronicasamson7121
    @veronicasamson7121 3 ปีที่แล้ว

    Kijana umetisha!!!😀

  • @edwardpaulo3351
    @edwardpaulo3351 3 ปีที่แล้ว

    💚🧡💚🧡🤝

  • @fadhilichawemba137
    @fadhilichawemba137 3 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri dogo pambana

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana usirudi nyuma waache waseme

  • @salumrwambo5752
    @salumrwambo5752 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiutaratibu Haji Manara si mchekeshaji

  • @wakwetukabisa7801
    @wakwetukabisa7801 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ni shabiki wa simba muigizaji anamkejeli Manara.Mbona hakumuigiza alipokuwa simba?Mungu yupo anakuona

    • @superbillionairea5987
      @superbillionairea5987 3 ปีที่แล้ว

      Wakati Ulikua haujafika

    • @khadijahilal3016
      @khadijahilal3016 3 ปีที่แล้ว +1

      @@superbillionairea5987 hebu tulia na wewe chuki tu! Ndo ajipake mirangi usoni? Yule ni mlemavu wa ngozi

  • @abdullahjuma3926
    @abdullahjuma3926 2 ปีที่แล้ว

    Mnamtetea tu lakini aliesema ni manara si kwa kuigiza.
    Isipokua manara ana matatizo na jazba ya kuongea bila kujali anaongea wapi na anamsema Nani.
    Ni kawaida yake na anajulikana ilakama nipesa wacha itumike lkn kuna siku atanasa tu.
    Kama ni maigizo mbona siku zote na matukio yote hajawahi kukanusha? Amezoea lkn ni ukosefu wa adabu haridhiki na hapo alipodikishwa na Mola wake anataka kupaa zaidi.
    Nasaha zangu ataponusurika na hili aache ujinga wakusema ovyo zaidi na zaidi. Anatakiwa ajifunze sababu wazee wake walimtayariaha vyema sana ila nikiburi cha yeye kujiona kapewa fursa ilawatu walisha mchoka.
    Anajiabisha tu kwa alichokifanya.
    Ushauri wa bure huo kama mtu mwema katika jamii ya kiugwana.

  • @shabanigeluka8646
    @shabanigeluka8646 3 ปีที่แล้ว

    We fala kweli

    • @doricejoseph8354
      @doricejoseph8354 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyu fala kweli kwanini asimuigize baba ake huyu matako kweli

  • @khadijahilal3016
    @khadijahilal3016 3 ปีที่แล้ว +1

    Hata mm sikupenda hata kidogo shenzy kwel

  • @SleepyBabyPenguin-oh7fb
    @SleepyBabyPenguin-oh7fb 9 หลายเดือนก่อน

    Doko doko

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 3 ปีที่แล้ว

    Bwege

  • @doricejoseph8354
    @doricejoseph8354 3 ปีที่แล้ว

    Hata kama alikuwa anaisema yanga ni sawa siyupo kikazi,na leo hii mbona anaiponda simba japo kuwa aliipenda ashawapa jina makolo,yupo kikazi

  • @aminamsimbe4034
    @aminamsimbe4034 3 ปีที่แล้ว

    Ungemuiga bila kujipaka ukatumia maneno yake tu

  • @uthmaanally418
    @uthmaanally418 3 ปีที่แล้ว +1

    Bwege Sana huyu anatafuta pa kutokea...

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 3 ปีที่แล้ว +5

    Magufuli kikwete samia wanaigizwa manara nani?

  • @mercynina6288
    @mercynina6288 ปีที่แล้ว

    Ukiona watu wanakuigiza jua wanakupenda wewe ni mtu waatu.

  • @jeremiamwakilimaji8284
    @jeremiamwakilimaji8284 3 ปีที่แล้ว +1

    Manara asiigizwe yeye Nani???????? Kwani ana ninii????

  • @balakasilungwe8525
    @balakasilungwe8525 ปีที่แล้ว

    oko vizuli xana

  • @halimmnav9458
    @halimmnav9458 3 ปีที่แล้ว +3

    Ni kweli wewe mpumbavu tena wa akili eti kipaji onyesha kipaji kwenye familia yako kwanza

    • @ibrahimmagere5545
      @ibrahimmagere5545 3 ปีที่แล้ว

      Manara ni nani mpaka kuigizwa iwe dhambi? Ameigizwa Mwalim, Mkapa, Jk JPM nk,waliigizwa kina captain Komba, Mrema, Mengi why Manara iwe stori kuigizwa

  • @muhibuadinani5245
    @muhibuadinani5245 3 ปีที่แล้ว

    Sasa tatizo nini kaigizwa magufuli na alifurahi manara yeye nani asiigizwe

  • @challuladeus1635
    @challuladeus1635 3 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣

  • @hafidhimakele5489
    @hafidhimakele5489 3 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣

  • @hoseajramen7471
    @hoseajramen7471 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣