MZARAMO AMVUNJA MBAVU UPETE WAKIZUNGUMZIA SAJILI ZA SIMBA SC| SIKIA HAPA

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 52

  • @buzaglomichael4339
    @buzaglomichael4339 8 หลายเดือนก่อน +3

    Sikujua Kama huyu jamaa bora hivi Kwenye kuchambua mpira, Bravo Nazaret👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿

  • @JohnIssa-fn9lf
    @JohnIssa-fn9lf 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubali mzalamo we ni machine ya kazi ,,,, wape maelekezo wajielewe

  • @hamzaibrahimu
    @hamzaibrahimu 8 หลายเดือนก่อน

    🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 mwamba anajua kuchambua mpira

  • @ahmedally-zo9jj
    @ahmedally-zo9jj 8 หลายเดือนก่อน +2

    kama umesikia utapeli mtupu ,ndo mana wanaenda hija gonga like😂

  • @MsuyaMgeta
    @MsuyaMgeta 8 หลายเดือนก่อน

    Team gb 64 mtakua wengi sana amebaki kidungu

  • @hendricksjohn6201
    @hendricksjohn6201 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mzaramo umeongea ukweli kabisa viongozi wetu Simba ni wachimia matumbo ndomana hata kujiuzuru hawataku wanangangania madaraki watuachie timu yetu mangungu na try again hawa wote ni watu wabaya kwanza sina Imani kama mangungu ni Simba

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 8 หลายเดือนก่อน

    Simba nguvu moja

  • @husseinchalamila2624
    @husseinchalamila2624 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mzaramo hawezi kujieleza Wala Hana anachokijua upete

  • @Danfordfungo-m4y
    @Danfordfungo-m4y 8 หลายเดือนก่อน

    smba yetu inatupa machungu kweli lakin sihami ata ingeshuka daraja naipenda simba

  • @danielchalula-pj7ql
    @danielchalula-pj7ql 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mwambiee kaka

  • @shaameshaame2837
    @shaameshaame2837 8 หลายเดือนก่อน

    Simba ili wakuelewe Upete wambie CHAMA mzuri. Wao huwa hawataki timu nzuri wanachotaka ni CHAMA aamke vizur tu wanajua atakaba, atapiga pasi za magoli na pia afunge

  • @mathiasmichael9132
    @mathiasmichael9132 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo umechapia kusema buree

  • @merickshadrack4509
    @merickshadrack4509 8 หลายเดือนก่อน

    Bwigane camera zako boresha

  • @kassimntara6901
    @kassimntara6901 8 หลายเดือนก่อน

    Ww mzaramo shida yenu ninyi mlitusema vibaya sana ss tuliokuwa tunawasema viongozi kusajili hovyo mlitushambulia sana na kutuita vibaraka wa yanga,na kusema tuwaachieni Simba yenu ninyi mliojiita wenyesimba yenu Leo mnasema eti nyuma ya kamera mlikuwa mnasema mnaungana nasi,huo ni unafiki mkubwa

  • @OthmanMwela
    @OthmanMwela 8 หลายเดือนก่อน

    Mzaramu umekoga leo

  • @ayoub9578
    @ayoub9578 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bwigane boresheni camera zenu!!¡!!!!¡!!!!!!¡

  • @kassimntara6901
    @kassimntara6901 8 หลายเดือนก่อน

    Hao wajumbe ndio nao hawatufai kabisa,upete nawe usipake mafuta uongozi ni mbovu,suala la usajili ni viongozi bwana huwezi kuwa na wasajili wanaokuibia kila mwaka ukawa kimya

  • @mwanangusana
    @mwanangusana 8 หลายเดือนก่อน

    M huwa simuelewii huyu mzaramoo kusema ukwel , naona purukuchu purukuchu ....😂😂😂

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 8 หลายเดือนก่อน

    Mzaramo leo kwa mara ya kwamza katupa jezi lake la MAKOLO

  • @emmanuelcosmass4555
    @emmanuelcosmass4555 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂kwakweli viongoz wemewekwa tu

  • @IddiHassan-mr3sb
    @IddiHassan-mr3sb 8 หลายเดือนก่อน +4

    Upte usajili wanaosimamia yote hayo ni viongozi sasa kama hawawezi kusimamia lolote kutua na nini

    • @OkrahMwandemela-wh2dh
      @OkrahMwandemela-wh2dh 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kweri kabisa mzaramo leo kawapasua ao wanaojiita viongozi wezi tu ao pamoja na bossi waooo

  • @MhinaBarua
    @MhinaBarua 8 หลายเดือนก่อน

    Upete wasikubadikishe kuongea ushabiki no ss tunataka vijana wakuwapa ajira kwenye maredio kwenye tv

  • @franccoz94
    @franccoz94 8 หลายเดือนก่อน +2

    MO DEWJI SASAHIVI N KIRUS PALE SIMBA HANAMAPENZII NA TEAM TENA ANACHOJARI SASAHIVI N MASIRAHI YAKE BINAFASI

    • @cathbetsolomon3151
      @cathbetsolomon3151 8 หลายเดือนก่อน

      Sahihi

    • @ramadhanisalum3898
      @ramadhanisalum3898 8 หลายเดือนก่อน +1

      Aliekwambia muhindi anapenda mpira nani

    • @betramsambali
      @betramsambali 8 หลายเดือนก่อน

      Mzaramo umeulizwa hivi tatizo SIMBA ni nini.

  • @hemedijuma4099
    @hemedijuma4099 8 หลายเดือนก่อน

    Mo anakupishaje wakati ndio mwenye timu 😂

  • @GodloveLauwo
    @GodloveLauwo 8 หลายเดือนก่อน +2

    Anaona aibu

  • @OsmaniBey
    @OsmaniBey 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahaha yup mwiz

  • @RichardJohn-ej3nq
    @RichardJohn-ej3nq 8 หลายเดือนก่อน

    Nikimsiliza upete anavyouchambua mpira na nikimsikiliza mzaramo mashabiki weng wa simba hawaujuw mpira wanapayuka tu sasa mtu anakataa uchaguz haujafanyika na wakat waliufanya

  • @ZuhuraOmar-x5t
    @ZuhuraOmar-x5t 8 หลายเดือนก่อน

    Mzaramu umeisha

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 8 หลายเดือนก่อน

    Leo umechana jezi yako au mbona ujavaa

  • @user-rl1vr1fd1r
    @user-rl1vr1fd1r 8 หลายเดือนก่อน

    Mzaramo huna baya bado moo atuachie team yetu matajiri wapo wengi tu mbona

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 8 หลายเดือนก่อน

      Usijidanganye mchezo wa mpira ni kamari. Hao wawekezaji kama mitaji yao sio imara mtawika msimu mmoja tu. Mo ni tajiri mwenye mzuka na Simba hao wengine watakuja kibiashara.

  • @babitojnr4886
    @babitojnr4886 8 หลายเดือนก่อน

    Msomali wa magorota ndio yupi huyo mzaramo nipe codi kaka😂😂😂

    • @frenciustryphone4531
      @frenciustryphone4531 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ni Engineer Hersi. analisemaga sana Hilo neno huyu jmaa

  • @MhinaBarua
    @MhinaBarua 8 หลายเดือนก่อน

    Upete anaongea ikimichezo haswa kijana undelee hivyo hivyo

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 8 หลายเดือนก่อน

    Ww mzalamo mlopokaji mbona Leo ujavaa malapulapu yako

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mo atupishe mbwa yule tumemchoka

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 8 หลายเดือนก่อน

    Viongozi ni mafisadi hawatu fai waji hudhuru kazi ime washinda timu ni ya Wana Simba wote sijuwi kwanini hawataki kujihudhuru

  • @ambrosmtupili4668
    @ambrosmtupili4668 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mzaramo kumbe anajua anachofanya

  • @ArnoldRwegasira-hp9gt
    @ArnoldRwegasira-hp9gt 8 หลายเดือนก่อน

    Mpaka mzaramu katubu basi

  • @Matutu-bh7fp
    @Matutu-bh7fp 8 หลายเดือนก่อน

    Simba hakuna lolote polojo tu

  • @mwajumashaibuomary7363
    @mwajumashaibuomary7363 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dogo natamani ungekuwa mangungu !?)

  • @JonasNchimbi-gx3jq
    @JonasNchimbi-gx3jq 8 หลายเดือนก่อน

    Boresha ubora WA picha,,,

  • @mariamseleman4631
    @mariamseleman4631 8 หลายเดือนก่อน

    Swali 1.majibu 10000

    • @johnbernad3990
      @johnbernad3990 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @kassimntara6901
    @kassimntara6901 8 หลายเดือนก่อน

    Hao wajumbe ndio nao hawatufai kabisa,upete nawe usipake mafuta uongozi ni mbovu,suala la usajili ni viongozi bwana huwezi kuwa na wasajili wanaokuibia kila mwaka ukawa kimya

  • @user-rl1vr1fd1r
    @user-rl1vr1fd1r 8 หลายเดือนก่อน

    Mzaramo huna baya bado moo atuachie team yetu matajiri wapo wengi tu mbona