NIMEONJA PENDO LAKO (COCKTAIL YA MUZIKI MTAKATIFU) II Tamasha la Yesu ni Mwema 09-2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2024
  • "Nimeonja Pendo lako" ni wimbo wa kwanza katika muunganiko wa nyimbo nne zilizoimbwa kwa kuunganishwa pamoja ili kukoleza vibe la Muziki Mtakatifu katika Tamasha la 09 la Yesu ni Mwema, lilifanyika katika ukumbi wa Impalla, Mbezibeach.
    Nyimbo nyingine ni:-
    Pendo lisilo na kifani- P.Fubusa
    Mshipi - Jissu
    Asante Mungu - Bernard Mukasa
    Radha yake utaipenda!...🎹🎶🎼

ความคิดเห็น • 46