Karibu kutazama uimbaji wa Vijana kutoka Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga - Kigamboni katika Tamasha la Yesu ni Mwema lililofanyika Mbezi beach tar 21 Nov, 2021. Usiache kuwashirikisha ndugu ,jamaa na marafiki kiungo hiki. th-cam.com/video/s0QFx7aRCDQ/w-d-xo.html
Hongera mliimba vzr sana, Wanakwaya wapo makini kumtazama mtiribu, wanatoa sauti vzr, wanatabasamu zuri, Changamoto niliyoiona kuna muda ni kama ala za Muziki hasa kinanda zilikuwa juu sana ikawaforce wanakwaya kuifuata hivyo kushindwa kuimba mvumo ule tulioutegemea, Mungu awabariki katika utume huu wa Uimbaji.
Karibu kutazama uimbaji wa Vijana kutoka Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga - Kigamboni katika Tamasha la Yesu ni Mwema lililofanyika Mbezi beach tar 21 Nov, 2021.
Usiache kuwashirikisha ndugu ,jamaa na marafiki kiungo hiki.
th-cam.com/video/s0QFx7aRCDQ/w-d-xo.html
Mko vzr jmn
Hongereni Sana Watumishi wa Mungu nawapenda sana
Hongereni sana
Asante sana 🙏🎥
Ongereni sana kwa Kazi nzuri iliyotukuka hakaki mnajua... Mnajua... Manajua .......mnooooooooooo🔥🔥🔥
Tumshukuru Mungu
Ashukuriwe Munguu...😊
Big up Walimu wetuu wa AGK...
Big up kwetuu wanakwayaa..
Big up Mafundi nguo na vichwaa..
Big up Jugo Media team..
Aisee daah..
Gonzaga mko juu sana makubur wanipange
KWELI KIMEUMANA ALL THE BEST TEAM
Alto Alto Alto...aisee
😀😀😀 conductor mweeeee 🙌🏻
Masolo jamani mzidi kubarikiwa njia zenu ziwe wazi mpaka peponi
Sichoki kuwaangalia mmetisha 🔥🔥
Gud performance, gud voice, moreover hii kwaya ina PISI kali mazeee daaah😘😘😘😁😁
😁 🎶
Mlibamba sana Nawapenda sana KMD
Asante sana
Hongera mliimba vzr sana,
Wanakwaya wapo makini kumtazama mtiribu, wanatoa sauti vzr, wanatabasamu zuri,
Changamoto niliyoiona kuna muda ni kama ala za Muziki hasa kinanda zilikuwa juu sana ikawaforce wanakwaya kuifuata hivyo kushindwa kuimba mvumo ule tulioutegemea,
Mungu awabariki katika utume huu wa Uimbaji.
Asante sana, tutalifanyia kazi suala hilo kuleta balance nzuri ya ala na waimbaji!
Mmetisha sanaaa
Na si tuseme tu ukweli mnajua aisee🔥🔥🔥👏👏👏👏
Tumshukuru Mungu!🙏
Kali sana❣️🔥🎵🎵
hatari sana hongeren nawapenda 🙏
😍💖💖💖💖 All the way from Kenya enjoying everything including conductor ,,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mtiribu ni hot💥💥💥💣
Mpo level nzuri mnoo.. tafadhali msibweteke kwa ubora mlionao kwa Sasa..
Hongera kwenu mnoo
Asante, Mungu atuongoze!🙏
Hatari sanaaa
Mungu awe nanyi daima
Aisee hongereni sana👏🏻👏🏻😍
Asante, Tumshukuru Mungu🙏
Congratulations for a great performance 👏👏👏
Mungu awabariki sana 🙏🙏🙏
Mko kwenye ubora keep it up
Tumshukuru Mungu 🙏
Mungu awabariki sana, 🔥🔥🔥🔥🔥
Amina🙏
Nomaa
Very nice
Absolutely lovely ❤️
Kali sana...You stole the show!!👌
Oooh!😊 Its all Thanks to God!
I love you guyz
Amazing...nomemuona kaka Fortunatus supper tenor. Mlikuwa fire 🔥 guys. Be blessed a lot
Hatariiiiii sana hii
Amen! Be blessed too brother
Amen broo
Waaaaaaaaoooow jmn nataka nije nijiunge na kwaya yenu maan naic uwepo wa Mungu kabisa yan🔥🔥🔥🤣🏃♀️
Karibu sana
🔥
🙏🙏🙏
Edi uyo mpiga mkono ametisha
😍😍🙌🏾🙌🏾🙌🏾💕💕💕
🙌
atary
Mmmh. Hii kwaya mmejaliwa aisee.. tuweke mbali uimbaji wenu mzuri..ila mmejaliwa......si kali😄
Fundi kwa kwanza ni Mungu mwenyewe 😁
Atukuzwe Mungu milele!
😅😅 mashibe
Hongereni sana
Asante sana Mwalimu wetu!🙏