Azam TV - SOKA KIJIWENI - KICHUYA 'Muuaji wa Yanga asiyekabika'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • 'Kichuuuuuuuuyaaaa, Kichuya kiboko yao' ni mistari ya wimbo wa Singeli ulioimbwa hapa Tanzania. Je, Shiza amepitia mangapi kwenye soka hadi kufika alipo na malengo yake ni yapi? Mtazame hapa 'Usiyempenda kaja'

ความคิดเห็น • 111

  • @abouhafs2891
    @abouhafs2891 6 ปีที่แล้ว +9

    Mi Mkenya ila soka ya Simba na Yanga naikubali sana kaza buti mdogo wangu unaelekea kuzuri zaidi ins sha Allah. ..

    • @patricknguya1602
      @patricknguya1602 6 ปีที่แล้ว

      kichuya unatuonea cn ila nakukubali cn kaza baba usiogope ndio kazi yako weka pembeni huruma piga goli nyingi tu

    • @najmagudeh203
      @najmagudeh203 5 ปีที่แล้ว

      Amiin

  • @manyotaskipper5765
    @manyotaskipper5765 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahaaa very nice kipindi kixur kinaonyesha mazingira halisi ya wachezaji wetu

  • @mkomatembo
    @mkomatembo 6 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana Kichuya Mkulima
    Heko

  • @sophiamustapha6293
    @sophiamustapha6293 6 ปีที่แล้ว +1

    nampenda kichuya kutoka moyoni hata bila ushabiki wa simba na yanga

  • @paschalodas4955
    @paschalodas4955 5 ปีที่แล้ว

    nice bro kichuyaaaa tuwakilishe vema bro sisi tunakuombea wanao wa faida morogoro

  • @morgandaud205
    @morgandaud205 6 ปีที่แล้ว +3

    shizaaa shiiizaaaaaa manaraaaah utatuuwa ila kichuya anajua

  • @menyendoyesaningo3104
    @menyendoyesaningo3104 6 ปีที่แล้ว +1

    Kichuya uko vizuri sana mchungu wa yanga

  • @ahmadothman2269
    @ahmadothman2269 5 ปีที่แล้ว +2

    Fundi wangu huyoo...

  • @ezekielnjau8830
    @ezekielnjau8830 6 ปีที่แล้ว +1

    Fundi kichuya, kuwa na discipline zaid uende mazembe mzee, then Europe, Amen

  • @bonnierobinson667
    @bonnierobinson667 6 ปีที่แล้ว +2

    Et mara ya kwanza kupanda ndege😂😂😂😂😂😂 shikamoo mtangazaji

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 5 ปีที่แล้ว +1

    Mchezaji mzuri sema hajui utani.. Mana mtangazaji anamtania sema anajibu kwa kukaza

  • @morgandaud205
    @morgandaud205 6 ปีที่แล้ว +1

    sema anasindwa kutusaidia katika kikos cha taifa

  • @razaroagostino3448
    @razaroagostino3448 6 ปีที่แล้ว

    duuu nomaaa sanaaa

  • @nassorsubah3100
    @nassorsubah3100 6 ปีที่แล้ว

    Kila lakheri ndugu yangu mkumbuke na Mungu atakukumbuka lnshaalwa

  • @qaven8075
    @qaven8075 6 ปีที่แล้ว +2

    Huhu!!!fundi wetuuu

  • @mamarabtarkirabtarki1302
    @mamarabtarkirabtarki1302 6 ปีที่แล้ว

    l love you somuch kichuyaaaaaa

  • @sojaman7825
    @sojaman7825 6 ปีที่แล้ว +3

    kichuya nomaaaaaaaaa

  • @hajihassani7700
    @hajihassani7700 6 ปีที่แล้ว

    unajibu vzr sana

  • @pattypatrick544
    @pattypatrick544 5 ปีที่แล้ว

    noma saan

  • @amilyrajabu7539
    @amilyrajabu7539 6 ปีที่แล้ว +1

    mnyama unamtendea vizuri

  • @mnzavachris5423
    @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว

    asee wale watoto pale pembeni inakuaje asee masallah..

  • @Ram_1893
    @Ram_1893 3 ปีที่แล้ว

    Winga hatari
    👊🇹🇿

  • @givenmakomelo5111
    @givenmakomelo5111 6 ปีที่แล้ว

    nakukubali Sana kichuya

  • @jamesjoseph9243
    @jamesjoseph9243 6 ปีที่แล้ว

    nakukubali kichuya

  • @salimarahisi5144
    @salimarahisi5144 6 ปีที่แล้ว

    yaan we acha tuuuuu kweli balaaaaaaa

  • @koyemathias6158
    @koyemathias6158 6 ปีที่แล้ว +1

    kichuya noma

  • @emmanuellymoke598
    @emmanuellymoke598 6 ปีที่แล้ว

    I lov much mr kichuyaaaaaaa

  • @victorymagubika6162
    @victorymagubika6162 6 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka ilikuwa lusanga turiani mzeee bab ilikuwa fainali Na turian FC vs lusanga FC wan

  • @emmajoseph908
    @emmajoseph908 6 ปีที่แล้ว

    Noma

  • @hazardmagilo9807
    @hazardmagilo9807 6 ปีที่แล้ว

    Pa1

  • @kingkitenga1896
    @kingkitenga1896 6 ปีที่แล้ว +2

    kwan kuchuy we mbona unawaonea yanga2

  • @yahayaodda8065
    @yahayaodda8065 6 ปีที่แล้ว

    heshima kwake kichuya

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 6 ปีที่แล้ว +5

    watazamaji wahii clip niwengi sana.23,780 views

  • @jemsfire8491
    @jemsfire8491 6 ปีที่แล้ว +2

    Bigap kichuya

  • @salomepeter5330
    @salomepeter5330 6 ปีที่แล้ว +7

    lv u kichuya

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 6 ปีที่แล้ว +1

    mtangazaji si umuache kichuya aongee

  • @michezonaburudani8444
    @michezonaburudani8444 6 ปีที่แล้ว

    Yaa ajibu lini

  • @nivonizetz2527
    @nivonizetz2527 6 ปีที่แล้ว +2

    ununipa raha sana kichuya yaan ww fund

    • @ismailpanya7250
      @ismailpanya7250 6 ปีที่แล้ว

      ukipenda kitu lazima utakua najuud nacho big up dogo

  • @victorymagubika6162
    @victorymagubika6162 6 ปีที่แล้ว

    Mzeee bab kichuya turian uliacha historia
    Ile mechi ya kombe la mbuzi ungekufa mzeee baba...

  • @ramadhanialiy226
    @ramadhanialiy226 6 ปีที่แล้ว +4

    Saluti

  • @stanydizzy480
    @stanydizzy480 6 ปีที่แล้ว +1

    Goli la kona cji kulisahau ila mtangazaji una mbwembwe

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 6 ปีที่แล้ว +10

    Mbegu fupi za Morogoro wasumbufu wa Dar.. Kichuya na Joti..!

    • @fauzkhamis9850
      @fauzkhamis9850 6 ปีที่แล้ว

      Shiza Ramadhani Kichuya yanga wanamuogopa uyo.

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 6 ปีที่แล้ว

      Joti katokea Mgeta..! Kichuya katokea Turiani..(Morogoro)

    • @daniikirunda7113
      @daniikirunda7113 6 ปีที่แล้ว

      Joti wa malinyi ulanga Moro

  • @ganzoseleman8609
    @ganzoseleman8609 6 ปีที่แล้ว

    kwa hapo kichuya umetudanganya, we uxhawah kutukandamiza simba, nusu final ya mapinduz cup 2016

  • @MohamedSaid-cp6rk
    @MohamedSaid-cp6rk 6 ปีที่แล้ว +2

    mnyamaaaaa

  • @marlojr7146
    @marlojr7146 6 ปีที่แล้ว +3

    mkulima

  • @bennyleonard4694
    @bennyleonard4694 6 ปีที่แล้ว +2

    fund uyo

    • @prince4871
      @prince4871 6 ปีที่แล้ว

      BENNY LEONARD simba

  • @bikhadijasabri7970
    @bikhadijasabri7970 6 ปีที่แล้ว +1

    wangetokaga Na kumi basi uwanjani wanafiki wakubwa ninyi

  • @mzeewamadodoso1816
    @mzeewamadodoso1816 6 ปีที่แล้ว +4

    nikupenda mtangazaji uko vzr

  • @fitinaelias421
    @fitinaelias421 6 ปีที่แล้ว +1

    safiiiii

  • @hakimumhanga4050
    @hakimumhanga4050 6 ปีที่แล้ว +1

    kichuyaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    • @kinziraboykinziraboy7570
      @kinziraboykinziraboy7570 6 ปีที่แล้ว

      Unanikosha sanaaaa hasa tulivyo pinga mbili moja hafu tuko mtu kum kichuyaaaaaaaaaaaaaaa

  • @fatmahassan7384
    @fatmahassan7384 6 ปีที่แล้ว

    Yaani sina la kusema unanikosha hatari

  • @jumajuma2726
    @jumajuma2726 4 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji amekua pande zote mbili au tatu mtangazaji yeye kichuya yeye basi mamb vuluvulu anajiuliza maswali na kujijibu mwenyewe

  • @martinjacob6995
    @martinjacob6995 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyo ni babalao

  • @credolassana555
    @credolassana555 6 ปีที่แล้ว +7

    mtangazaji sio kabisa

  • @saalimahmad3357
    @saalimahmad3357 6 ปีที่แล้ว

    Haaahaaaaa mtangazaji kunywa soda Hapo ulipo ntalipa

  • @djnelly8963
    @djnelly8963 6 ปีที่แล้ว

    kichuya ninomaaaaaaaa

  • @jumamisinzo9234
    @jumamisinzo9234 6 ปีที่แล้ว +1

    hatariiiiiii huyu Kijana wetu

  • @railatymlowe2052
    @railatymlowe2052 6 ปีที่แล้ว

    Mr plan kichuya unajua mpk bas

  • @thomassengura9435
    @thomassengura9435 6 ปีที่แล้ว +1

    fund huyo

  • @salimmohd8279
    @salimmohd8279 6 ปีที่แล้ว

    chale mtangazaji

  • @mofatitindwa1647
    @mofatitindwa1647 4 ปีที่แล้ว

    kaza buti ata uko uliko nakutakia eli kichuya

  • @peterkabate2745
    @peterkabate2745 6 ปีที่แล้ว

    hiki kipindi ni chakbaguz tena kipgwe marufuku... sababu kila xku wanaohojiwa ni wachezaj waislamu tu

    • @mohdmbarouk511
      @mohdmbarouk511 4 ปีที่แล้ว

      Acha udini..mtafute Paul Nonga ,Erasto Nyoni ,Mkude ,Emmanuel Martins n.k

    • @mohdmbarouk511
      @mohdmbarouk511 4 ปีที่แล้ว

      Woteee aooo

  • @halilisalum2222
    @halilisalum2222 6 ปีที่แล้ว +1

    mushikaji wake haijalishi umri

  • @richadidavidi4632
    @richadidavidi4632 6 ปีที่แล้ว +2

    fund

  • @tithobosco1060
    @tithobosco1060 6 ปีที่แล้ว

    wapige ao jembe

  • @saidigwacha892
    @saidigwacha892 5 ปีที่แล้ว

    Mnamtegea mchezajii moja tyu simba

  • @bendedenis4125
    @bendedenis4125 6 ปีที่แล้ว

    yanga 3-2 Simba

  • @sholastika972
    @sholastika972 6 ปีที่แล้ว +1

    Kichuya una sifa wewe!😂😂😂

  • @peterhatibu4493
    @peterhatibu4493 6 ปีที่แล้ว

    bigapu

  • @achimleli3305
    @achimleli3305 6 ปีที่แล้ว

    Wakawaida tu kichuya

  • @jamesjoseph9243
    @jamesjoseph9243 6 ปีที่แล้ว

    nakukubali kichuya

  • @mkalimwanza7726
    @mkalimwanza7726 6 ปีที่แล้ว

    kichuya naquelewa sana ila inabid mjitume timu ye2 yataifa