OFFICIAL FIRST EPISODE - Huba Season 2 | Maisha Magic Bongo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 มิ.ย. 2017
  • Tazama kipindi cha kwanza cha #HUBATZ katika chaneli yetu ya TH-cam!
    ---
    Endelea kutizama DStv chaneli 160
    Instagram: / maishamagicbongo
    Twitter: / maishamagictz
    Facebook: / maishamagicbongo

ความคิดเห็น • 321

  • @alexkayombo2725
    @alexkayombo2725 7 หลายเดือนก่อน +15

    Anaeangaliaa apa 2024 gonga like apaa 😅😅😅

    • @melsaotieno1833
      @melsaotieno1833 2 หลายเดือนก่อน

      Aaaaah😂😂😂😂

  • @irenebellabellah4003
    @irenebellabellah4003 5 ปีที่แล้ว +14

    mbona part nyingine atuzioni jmn. wengine tupo nje ya nch. tunataka kuelewa story

  • @freshstudio707
    @freshstudio707 5 ปีที่แล้ว +14

    siyo fresh na watu tunasema ila tu . amtufanyii mambo.
    sisi tuko australia. tutaonaje full movies wakati munaweka promo. plzz full movie

  • @hadijamohamed135
    @hadijamohamed135 6 ปีที่แล้ว +6

    Mnakela tuwekeeni full jomon daaah😭😭😭 muv nzur daaaah

  • @tablefortwotz6294
    @tablefortwotz6294 4 ปีที่แล้ว +5

    Napenda kibibi jamani😂😂😂 anajuaga kuigiza huyu dada😘 nilimuona kweny series ya aziza kenyatv nimekuja huku kwasababu yake

  • @carenefaustine9460
    @carenefaustine9460 7 ปีที่แล้ว +6

    Please we need the full movie

  • @chillahthomas5699
    @chillahthomas5699 6 ปีที่แล้ว +11

    Maisha magic please.... Bring us full episodes of kapuni, huba and sarafu here on you tube

    • @worldwide9207
      @worldwide9207 4 ปีที่แล้ว

      Hello where we can find this movie

  • @fififidia3552
    @fififidia3552 4 ปีที่แล้ว +2

    Naipenda sana Huba Naomba kuona saison 1 episode 1 kwenye Yutubu tafadhali Mimi Niko USA

    • @ayshaalsahafi5714
      @ayshaalsahafi5714 2 ปีที่แล้ว

      Ni fanyie mpango wa kazi huko please
      I need that country.

  • @mishijuma9184
    @mishijuma9184 6 ปีที่แล้ว +4

    Huba movie zuri Kwl nkupenda cnaa bi tesa a.k.a Grace mapunda n wapendeni yte w2 wa huba

  • @BWANAMUHAYA
    @BWANAMUHAYA 5 ปีที่แล้ว +10

    Safi sana Dar hii production inayo andaa Mungu awabariki kazi njema nimependa sana

  • @user-nu9ip9en8i
    @user-nu9ip9en8i 5 ปีที่แล้ว +2

    Mnazingua nimejitahidi kuifatilia hii film alakini hamuitendei haki kabisa tupeni season zenyewe zimepangiliwa vizuri sio kutuchanganya hatuelewi tuingalie aje!!!!!

  • @siayakorimoy7770
    @siayakorimoy7770 5 ปีที่แล้ว +5

    Mtoto wa watu Mimi mzuri unanionea gero 😅😅😅

  • @barakacharo7090
    @barakacharo7090 7 ปีที่แล้ว +12

    Afadhal uncle JJ hakuwahi kutufanyia hiv ,kama hamtak semen sio kueka prom 2 , RIP uncle JJ kwan toka utuache bongo movie imefifia na ufisadi umezid

    • @frankjully5457
      @frankjully5457 5 ปีที่แล้ว

      unalalamika usichokijua

    • @rukiamsomi6869
      @rukiamsomi6869 5 ปีที่แล้ว

      Jamani eti kwa sababu hawauzi ndo wameamua kuweka ivo kwa vipindi inzi zile za kina maudodo na comed looo wengine tupo kwa washashi uku jamani uwo mchezo muache 😜😜😜

    • @annajoseph4947
      @annajoseph4947 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

  • @sajidabakari9809
    @sajidabakari9809 6 ปีที่แล้ว +14

    #AuntEzekiel hiyo Lipstick yako shoga mi hata siielewagi, inakuharibu muonekano mzima.

  • @lonadamwangeka1858
    @lonadamwangeka1858 7 ปีที่แล้ว +14

    nampenda sana Huba, mbona kitojo tu? tuinyesheni yote Jamani.......!

  • @ramadhankavoma6552
    @ramadhankavoma6552 5 ปีที่แล้ว +1

    Kutoka Paris France, nimeipenda , tunaomba mwendelezo

  • @nununsonerimfura9339
    @nununsonerimfura9339 5 ปีที่แล้ว +11

    Tafathali ndo naanza kuona huba season,, nimekosa season 1 jamani 😭

  • @mwanaidimwambiti2448
    @mwanaidimwambiti2448 6 ปีที่แล้ว +8

    Hii huba mbona haieleweki kwann hamileti full

  • @mercyken9710
    @mercyken9710 7 ปีที่แล้ว +4

    tuwekeni yote jaman wengine tuko nje ya Tz

  • @Allyyusuph-mq8wo
    @Allyyusuph-mq8wo 5 ปีที่แล้ว +1

    nimeipenda sana hii film

  • @luciedudy286
    @luciedudy286 6 ปีที่แล้ว +16

    tuwekeeni yote promo za nn tushalamba asarii

  • @iddrisarajabu6329
    @iddrisarajabu6329 5 ปีที่แล้ว

    Kwel kabisa fanyani mpango achane hayo mambo yakuweka nusu nusu jitaidini kupangilia mambo kam wezetyu

  • @rachaeldavid6261
    @rachaeldavid6261 6 ปีที่แล้ว +2

    Naipenda hadi anaumwa jmn

  • @jkpk9659
    @jkpk9659 5 ปีที่แล้ว

    We need more please

  • @queenail659
    @queenail659 6 ปีที่แล้ว +2

    Wow

  • @jeanjosuemarius5853
    @jeanjosuemarius5853 5 ปีที่แล้ว +1

    mimi napenda tu hiyo nyimbo, huba

  • @daimavlog
    @daimavlog 7 ปีที่แล้ว +11

    Tunaomba mtuwekee muendelezo jamani sisi Wa nje ya nchi. Mtukumbukee. Nzuri sana

  • @rebecamagesa8368
    @rebecamagesa8368 5 ปีที่แล้ว +62

    Kma umemuona dokta kavaa ndala gonga like apo

  • @zakiamusamsofe5259
    @zakiamusamsofe5259 3 ปีที่แล้ว +1

    I like ooh

  • @davidphares5316
    @davidphares5316 6 ปีที่แล้ว +2

    movie nzuri sana sana na washiriki woote mnaweza ila tunaomba mtuwekee full pls pls pls jamaniiiii uwiii tufanyeje ili tufarijike tuliopo huku nje ya nchi

    • @mwanaidally9276
      @mwanaidally9276 6 ปีที่แล้ว

      David Phares ni tamthilia cyo movi

  • @tausak4568
    @tausak4568 6 ปีที่แล้ว +2

    Eti doctor 👨‍⚕️ jamanii😱😱🙈🙈kwa kiatuu ichoo 😂😂😂

  • @elizanormal7660
    @elizanormal7660 7 ปีที่แล้ว +1

    Rammy unanenepa sanaà daaah Fanya mazoezi unaharibika movie nzuri

  • @matildawangaeli3948
    @matildawangaeli3948 3 หลายเดือนก่อน

    penzi la tima na devi linanoga💘💘

  • @najmaomar5338
    @najmaomar5338 7 ปีที่แล้ว

    Mbna zengne hamna jamani.tuko mbali hatuoni dstv.alaf iko tamuu sana

  • @user-nu9ip9en8i
    @user-nu9ip9en8i 5 ปีที่แล้ว +1

    Ipangilieni vizuri hamuoni mfano wa movie ya manero ya kuambiwa ???? Fumbukeni macho basi .please tupeni full movie .

  • @maggiemwambapa900
    @maggiemwambapa900 7 ปีที่แล้ว +92

    Mnazingua mnatuwekea promo badala ya yenyewe wengine tuko nje ya nchi hamtutendei haki mashabiki wenu

    • @maggiemwambapa900
      @maggiemwambapa900 7 ปีที่แล้ว +1

      Nmefurahii hii co promo mtuwekee na zingine bac.

    • @bbyrey2089
      @bbyrey2089 7 ปีที่แล้ว +3

      Maggie Mwambapa
      kwel ndg wengin tup nje

    • @maggiemwambapa900
      @maggiemwambapa900 7 ปีที่แล้ว +6

      umeona enhee wanatubana bana tu ata siyo vzr watuwekeege nasi tujiskie tupo nyumba ni Tz.

    • @prettyajumy4227
      @prettyajumy4227 7 ปีที่แล้ว +2

      Maggie Mwambapa aah nataman kuliaa wanavotutesa😢😢

    • @carenefaustine9460
      @carenefaustine9460 7 ปีที่แล้ว +1

      Maggie Mwambapa kweli kabisa

  • @listermuoki5914
    @listermuoki5914 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kibibi ni mwanamke jasiri na hisi anayemtomba haenjoy kabisa

  • @halimatanzani8587
    @halimatanzani8587 5 ปีที่แล้ว

    Nzur sana ongerani ila mnatuakea kidogo kidogo

  • @magdalinemwikwabe8655
    @magdalinemwikwabe8655 6 หลายเดือนก่อน

    Mnaudhi kinoma watching from USA

  • @amerarolseid7811
    @amerarolseid7811 5 ปีที่แล้ว

    Jaman tam

  • @timabushuti5047
    @timabushuti5047 6 ปีที่แล้ว

    Movie nzuri sana

  • @missagatha1756
    @missagatha1756 6 ปีที่แล้ว +3

    woyoooo aunty na duma

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 2 ปีที่แล้ว

    So nice

  • @dianajohn5863
    @dianajohn5863 5 ปีที่แล้ว +1

    dah dactari viatu gani hivo mmejisahau saana sabu me im a upcoming director

  • @getrudapoul385
    @getrudapoul385 5 ปีที่แล้ว

    Jaman naipenda sana tamthilia ya huba

    • @worldwide9207
      @worldwide9207 4 ปีที่แล้ว

      Twambi twayitaka inapatikana wapi kwenye mtandao

  • @shakilahingabire7278
    @shakilahingabire7278 6 ปีที่แล้ว +3

    Jmn nyinyi wa bongo mnazingua

  • @ushindyeddy4368
    @ushindyeddy4368 4 ปีที่แล้ว +1

    Jmn video queen wambosso uyo mke wa mboto kwny tamba alie ona

  • @oscarfortunatus8101
    @oscarfortunatus8101 4 ปีที่แล้ว

    Huba Ni move moja nimetokea kuipenda xana

    • @oscarfortunatus8101
      @oscarfortunatus8101 4 ปีที่แล้ว

      Hina xx mua xana harafu inafundixha kiujumla I love you huba

  • @marthaambakisye8581
    @marthaambakisye8581 6 ปีที่แล้ว +3

    Mnazingua wahusika

  • @josephswai5529
    @josephswai5529 5 ปีที่แล้ว

    Huba n nzur sana

  • @user-dx5lz6du4y
    @user-dx5lz6du4y 5 ปีที่แล้ว

    Heeey jaman

  • @doreendismas4061
    @doreendismas4061 6 ปีที่แล้ว +5

    sasa promo za nn

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 ปีที่แล้ว

    Muendelezo plz Tamuuu hii Episode.

  • @aisharegan3753
    @aisharegan3753 7 ปีที่แล้ว +3

    mnazingua bahna tuekeeni full episode

  • @shummywaommy4741
    @shummywaommy4741 6 ปีที่แล้ว

    movie nzuri jamani naomba muendelezo

  • @zulekhaamiri972
    @zulekhaamiri972 6 ปีที่แล้ว +1

    Mnakeraaa nyinyi tuwekeeni full move wengine tupo mbali jamani hatuwezi nunua cd

  • @moreenikutwa4232
    @moreenikutwa4232 2 ปีที่แล้ว

    Imagine tima ndio anafanyanga nagwatilia hii kipinda napenda vile nimchasiri na kujituma

  • @JannatMassoud-gy6hh
    @JannatMassoud-gy6hh ปีที่แล้ว

    Nice,miendelezo tafadhali

  • @victorineshauri9450
    @victorineshauri9450 5 ปีที่แล้ว +38

    Hi tunapenda Huba ila ila amujaipanga vizuri atujuwi season 1 niipi wala 2 niipi pangeni vizuri kama Maneno yakwambiwa imepangwa hadi raha, Huba ninzuri ila amuja ipanga vizuri

  • @shujaawamapenzi6037
    @shujaawamapenzi6037 3 ปีที่แล้ว

    Hapo sawa

  • @nadiabernard6573
    @nadiabernard6573 7 ปีที่แล้ว +15

    mtuwekee hii sinema humu wengn hatuna dstv.

  • @samiaseleiman7342
    @samiaseleiman7342 7 ปีที่แล้ว +5

    huba is a best movie Tanzania tunaweza

  • @khamismwinyi3737
    @khamismwinyi3737 5 ปีที่แล้ว

    Mnazingua bhana

  • @franceambokile8618
    @franceambokile8618 7 ปีที่แล้ว +1

    jamani wekeni full

  • @daanenehappy8731
    @daanenehappy8731 6 ปีที่แล้ว

    😢😢😢 tuwekeeni yote tupo injee ya tz jaman

  • @lilianmaloba5839
    @lilianmaloba5839 5 ปีที่แล้ว +2

    Comment viewers Association keep on scrolling 🤗🤗

    • @worldwide9207
      @worldwide9207 4 ปีที่แล้ว

      Where someone can find this movie please ? If you know

  • @jordanjonas4921
    @jordanjonas4921 4 ปีที่แล้ว

    Jaman tima mzuri

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966
    @fatumaramadhanmashaallahal9966 5 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @cynthiamnyazi2866
    @cynthiamnyazi2866 7 ปีที่แล้ว +6

    kwann maisha magic bongo hawaregeleii Doli arnaanok

    • @salumhaji1958
      @salumhaji1958 6 ปีที่แล้ว

      Cynthia Mnyazi Dah Vp hat we unaitafta dor amanrk

    • @halimaalliy5466
      @halimaalliy5466 5 ปีที่แล้ว

      Huba ninzuri lakini kwanini msiipangilie kama maneno ya kuabiwa?

  • @ruditaboti3157
    @ruditaboti3157 7 ปีที่แล้ว +13

    mboma hamtuwekei kamili tukangalia yote

    • @amerarolseid7811
      @amerarolseid7811 5 ปีที่แล้ว

      Jamn mbona mna tunyanyasa turio nche ya nchi Tuna taka Mambo ya yumban jamm

  • @sallykanze
    @sallykanze 7 ปีที่แล้ว

    Mbona hamuweki movie yenyewe jamani hapa naona mambo sio mabaya

  • @aishahusein2541
    @aishahusein2541 5 ปีที่แล้ว

    Hamtuwekei vzr

  • @aimanalwi7938
    @aimanalwi7938 4 ปีที่แล้ว

    Mm langu ni moja tuu ilikuwa nataka hyo nyimbo ya huba sijui nitaipata ama naomba msaada wenu

  • @adelphineigiraneza4835
    @adelphineigiraneza4835 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @safiakhamiss1528
    @safiakhamiss1528 6 ปีที่แล้ว

    Sijui mmechoka kutufurahisha mashabiki zenu mbona mnazingua wengine tuko nje ya nchi

  • @jojo_linkissabiny5238
    @jojo_linkissabiny5238 5 ปีที่แล้ว

    nice

  • @VumiliaGodfrey-tf2mt
    @VumiliaGodfrey-tf2mt ปีที่แล้ว

    Mwanzo wap jaman iko vzr

  • @samiaarimkone
    @samiaarimkone 5 ปีที่แล้ว

    Nimewarewa.nzurisana

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 6 ปีที่แล้ว +5

    Tunaomba Movie full plz.

  • @peacelissa182
    @peacelissa182 5 ปีที่แล้ว

    Mnazingua , mpaka mnatuchosha , watu wengine tunaishi inje ya tanzania sasa muwe mnatuwekea hapa tafathali !

  • @rebeccasenga4859
    @rebeccasenga4859 6 ปีที่แล้ว

    Tuwekeyeni full movie jaman

  • @ndikumasabopatrick8768
    @ndikumasabopatrick8768 5 ปีที่แล้ว

    Dj tupatie zingin ep

  • @gracemsanjila327
    @gracemsanjila327 6 ปีที่แล้ว +1

    Tuwekeeni move kamili wengine tupo nje ya nichi

  • @pendogeorge2710
    @pendogeorge2710 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mnawek vipand tofaut n mmeanz vzr wengine tup nchi z nje tuweken tamthiria nzm bas

    • @fififidia3552
      @fififidia3552 4 ปีที่แล้ว

      Kweli Mimi mwenyewe huwa sielewi ginsi ivyo vipande vinavyo fatana

  • @philipomichael6288
    @philipomichael6288 4 ปีที่แล้ว

    Kweli hata mm party one sijaiona

  • @Mwanahawa-s2b
    @Mwanahawa-s2b 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mi jaman nataka season 1 huba au hatuna vigezo

  • @cressyheuser2840
    @cressyheuser2840 6 ปีที่แล้ว +1

    weeee.... umbea na kahawa hahahaha aisee

  • @dicksonmadaraka4390
    @dicksonmadaraka4390 3 ปีที่แล้ว

    Nc

  • @zuhuraabdallah3377
    @zuhuraabdallah3377 3 ปีที่แล้ว

    Huba ni nzuri san

  • @Quilant749
    @Quilant749 7 ปีที่แล้ว +4

    Tufiakwa tena huyu bi mwende tena khaa pepo mbaya

  • @josephinemakungu8447
    @josephinemakungu8447 6 ปีที่แล้ว

    googogogo😃😃😃

  • @herytheryt7321
    @herytheryt7321 6 ปีที่แล้ว +1

    hiii move ni nzuri sn lkn nimeshindwa kuitizama ktk mpangilio mzuri hebu nisaidieni mlioangalia mwanzo mpk mwisho

  • @albetyjonh7521
    @albetyjonh7521 5 ปีที่แล้ว +3

    Mi.mpaka sasa sijaiona sehemu ya 1 jiongezeni kama maneno ya kuambiwa na siri ya familiay

  • @ashahassan4068
    @ashahassan4068 5 ปีที่แล้ว

    Duh nzur lkn mnabania kwa kuwek promo

  • @bakarikishaa4889
    @bakarikishaa4889 5 ปีที่แล้ว

    Senema mzuri Sana ila mnachutisha kwa vipande vipande

  • @seifahmed2993
    @seifahmed2993 6 ปีที่แล้ว

    Mnazingua

  • @delvickagure
    @delvickagure 6 ปีที่แล้ว

    Hizi episode zimepangwa vipi jameni.... movie nzuri lakini zimepangwa vipi

  • @janethjoseph5240
    @janethjoseph5240 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii Huba hata siielewi mwanzo ni wapi jamani?

  • @saraad5572
    @saraad5572 7 ปีที่แล้ว +4

    naomba mnielekeze niwe naangalia kila siku maana mm nipo mbali na tz. nimeipenda sana movie yenu plz. naomba mnielekeze.

  • @mahijakapingu395
    @mahijakapingu395 5 ปีที่แล้ว

    Kwakweli mnatichanganya mngetakiwa mueke pat 1 napat 2 basi sasa bipengele vingi mara no 1 no 2 no 7 hatuelewi