Tima ana mimba! - Huba |S11 | Ep 70-74| Maisha Magic Bongo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2022
  • Nicole apata mwaliko mkubwa na Nelly adai kwamba Tima aseme ukweli kama ana mimba. Pia Kibibi aishiwa kupigana na Tima wakati Tima atimua kila mtu toka nyumbani kwake na Kibibi na Nelly waishia jela.
    ---
    Endelea kutizama DStv chaneli 160
    Official Website: bit.ly/3lXtAFc
    Angalia tamthilia bora Tanzania kwa kutumia Showmax:
    bit.ly/2KnGqyv
    Pakua App ya DStv: bit.ly/36ZGjkz
    Instagram: / maishamagicbongo
    Twitter: / maishamagictz
    Facebook: / maishamagicbongo
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 51

  • @shifaamichaeli5787
    @shifaamichaeli5787 2 ปีที่แล้ว +3

    Moyo wangu leo umeburudika kuona huba shukrani

  • @monandyshemwetah1284
    @monandyshemwetah1284 2 ปีที่แล้ว +4

    Kumbe tima anasauti yakugombana

  • @uwimanashukrani6313
    @uwimanashukrani6313 ปีที่แล้ว +3

    Napenda final hiyi yahuba

  • @user-je7qd5po5q
    @user-je7qd5po5q 2 ปีที่แล้ว +3

    Fire fire....napenda watu wakipigana

  • @MondesWilson-jr7rr
    @MondesWilson-jr7rr 9 หลายเดือนก่อน +1

    Meli napenda nywere zako mm💓💓💓💓

  • @joycemlwale7748
    @joycemlwale7748 2 ปีที่แล้ว +1

    Nataka kuona Tima na Devi kwenye mahaba ndindi....mimba kitu gani😅😅

  • @safinamdingi2338
    @safinamdingi2338 2 ปีที่แล้ว +1

    Thank dj

  • @mereyamhomesmariamhomes3464
    @mereyamhomesmariamhomes3464 2 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @Halimamaere
    @Halimamaere 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumekuchaa huku waa mambo ni moto atali🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣npenda mukipigana walai

  • @nyamiziramadhani4232
    @nyamiziramadhani4232 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbn wanamdharirisha tima kama hvy mmmhhhhh

  • @zulphangala6700
    @zulphangala6700 2 ปีที่แล้ว +1

    Eeeh mambo ni 🔥

  • @dynessmacha1564
    @dynessmacha1564 2 ปีที่แล้ว +2

    Shukuraniiii 🙏🙏🔥🔥🔥

  • @KaserekaDamso
    @KaserekaDamso 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi nataka nyimbo zote za huba

  • @pillyhussein8674
    @pillyhussein8674 2 ปีที่แล้ว +3

    Toa kitu yako ndan 😃😃

  • @ziyadabasca4840
    @ziyadabasca4840 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani tima pol jikaze hakuna kiripo cini yajua kisipo jurikan pana baki dorisi na mama yake

  • @Aishamohamed-j6g
    @Aishamohamed-j6g 20 วันที่ผ่านมา

    Rk mungu akilinda sana

  • @uwimanamagnifique6983
    @uwimanamagnifique6983 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani huba moto kabsa tesa Nelly kibibi wote wame ika cini nime furai Sana

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 ปีที่แล้ว

    Wake wa devi😂😂😂👌

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 2 ปีที่แล้ว +7

    Nelly bwana bt anababa kizito 🤣🤣🤣🤣huyo kibibi angeachwa seli atie adabu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣jmn deve niwa tima mimba sikigezo I love it tima and deve 🥰🥰🥰❤

    • @tinalulule917
      @tinalulule917 2 ปีที่แล้ว +1

      Tina ana mimba so what.. David nampenda ujue hivyo

  • @eunicekanini9363
    @eunicekanini9363 2 ปีที่แล้ว +1

    Moto huku

  • @nyamiziramadhani4232
    @nyamiziramadhani4232 2 ปีที่แล้ว

    Mama mtumzima hahhahahahaha balaaaaa

  • @rayanaabdallah6580
    @rayanaabdallah6580 2 ปีที่แล้ว +7

    Nally😅🤣🤣 yani hata kama ni hiyo acting hiyo part yake me siitaki, yani kung'ang'ania mtu amba hata hamtaki

  • @bibianakayombo3969
    @bibianakayombo3969 2 ปีที่แล้ว +7

    Nampenda sana Tina ana msimamo

  • @monandyshemwetah1284
    @monandyshemwetah1284 2 ปีที่แล้ว +2

    Takataka zote nje

  • @shakilakidoa5762
    @shakilakidoa5762 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥

  • @mariammwarome6282
    @mariammwarome6282 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii sio ya leo

  • @latifajabil1707
    @latifajabil1707 2 ปีที่แล้ว

    Jaman asante, lakini mbona fupi 🤦‍♀️

  • @abdulrahmansalat6882
    @abdulrahmansalat6882 2 ปีที่แล้ว

    Ningependa kujua nitapata wapi nyimbo ya "ni safari yote sote tutaondoka wote""

  • @abdurimwangama5728
    @abdurimwangama5728 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣jaman hubaa

  • @sarajoseph4253
    @sarajoseph4253 2 ปีที่แล้ว

    Hahaha tima ati toa hii kitu yako njee

  • @janethedwinbongojoelnogus3257
    @janethedwinbongojoelnogus3257 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣tima wa moto

  • @maimunadamaris43
    @maimunadamaris43 2 ปีที่แล้ว +1

    ya juzi hii

  • @flame.l0655
    @flame.l0655 ปีที่แล้ว

    From USA I need the background sound track huba huba I need that song name please tafadhali

  • @rosealbano4264
    @rosealbano4264 ปีที่แล้ว

    Binafsi nafurahia video zenu

  • @mashujaahabari5603
    @mashujaahabari5603 9 หลายเดือนก่อน

    nimefurahi kumuona Ben Jamani

  • @meshackaloyce9662
    @meshackaloyce9662 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona fup Sasa jamani

  • @asifiwekitunga4655
    @asifiwekitunga4655 2 ปีที่แล้ว

    Kwani kibibi alifata nini hapo😂

  • @ZainabuSeleman-vw2wg
    @ZainabuSeleman-vw2wg 9 หลายเดือนก่อน

    Mama wa kambo

  • @user-up9ol9rc7o
    @user-up9ol9rc7o หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @mahidatatang521
    @mahidatatang521 2 ปีที่แล้ว

    Tesa mtu mzima kuchuu wakaza wana wapigana wewe wafurahia,haya toa kitu yako devi

  • @nasma9425
    @nasma9425 ปีที่แล้ว

    Huba

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 ปีที่แล้ว

    Tima toa kitu yako

  • @maryammaryam7773
    @maryammaryam7773 2 ปีที่แล้ว

    Nelly king'ang'anizi tu mtu hakutaki ni kujilazimisha tu

  • @nyamiziramadhani4232
    @nyamiziramadhani4232 2 ปีที่แล้ว

    Nelly mapenz yatamuuwa

  • @TresorZakwani
    @TresorZakwani 3 หลายเดือนก่อน

    😂