OFFICIAL FIRST EPISODE - Huba Season 3 | Maisha Magic Bongo
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 มิ.ย. 2018
- Waigizaji uwapendao, changamoto bila kifani, Nyuso mpya katika shamra shamra za biashara ya Fuli GemStones na mengi mengine katika msimu wa tatu wa #HUBATZ!
Endelea kutizama DStv chaneli 160
---
Official Website: maishamagicbongo.dstv.com/
Instagram: / maishamagicbongo
Twitter: / maishamagictz
Facebook: / maishamagicbongo - บันเทิง
Ndo kwanza niko episode ya kwanza nishatoa maks zangu kaliii hiv ndo tunataka watanzania...mbona mmenikamata....hahaaa mie wakolea tupatena now niko home...safiiiiiiiiii
Jamani muwe mnaweka yote,😁 hatuna dstv
😂😂😂😂😂😂😂
Nampenda sana tesa anavyo igiza
Wow nice mko juu sana mwendelezo
Batuli ume nenepa.. MashaAllah.. kweli...akuna mtu mwembamba❤️❤️❤️❤️
Waigizaji mahiri,, mmetisha Sana, kwa Mara ya kwanza naridhika na maigizo ya TZ
Tz mko sawa,mnanipunga sana tu
Huba iko poa I love u so much tima and devi mwaaaaaaah
Naipenda huba mpaka names
hongeren,, love you Tanzania
muondelezo jamani move nzur sana
Jamani plz plz mtuwe na sisi TH-cam, hi from Danmark
ukiniangalia nafanana na mama yako😂😂😂😂😂tesa umeniweza kwa hii huba
jaman kibibi na tima nawapenda bureeee 😂😘😍😍
Kapuni
Zba
nimewapenda wote mmefanya vyema hongereni
Fortunate Mathias Barabara tima
Huba ni nzr sana iwekeni yote
Riyamanampendasaaaan
Ni sawa kabisa
Kibibi nampenda bure
Liliani Lilianililiani34 niunge
Mmejitahidi mkovizur
Jamani mbona kali hiyo
Ise
Kubali sana riyama aisee
Jamani tuwekeyeni episode zote inapendeza sana
Bongo movie now inapamba moto naipenda Tanzania yangu
nzuri sana riyama ananikosha hatali
Tesaaa unanifurahisha
Napenda Sana uba but sijui imefikia wapi
Baadae❤❤❤❤❤
Kibibi upo vzr
Ajaab tuekeeni episode zoteee jamani
0746658833
asalam aleykum huu mchezo huba unaletwa siku gani hasa safi sanna
Ngoj kwanza niaca utani niangalie comment
l love u kibibi...
Sijawahi kua mtazamaji au mfatiliji wa tamthilia hata siku moja ktk maisha yg ila hii naona ina shawishi kuangalia wamejitaidi mwelekeo mzuri
Hahah Ert unaitafuta laaan jaman Riayama ert sishidwi kukurudisha matumbon
🤣🤣🤣
Nice move💖💖
Nimeipend San lkn Muendelezo jaman ❤❤❤❤
Kazi.mnzui jamani
Mama uyu nimubaya sna uache moyo uchague
Nzuri Mashaanllah
Iko juuu sana uba
Locationist hongera yako
Nampend tim me jamn i wish tuonan
Hahahahaha jaman ninzur sana tueken yote inafuraisha
Nzri sana jmn hadi rahaa
Kumbe Tesa alimuua mme wake du ! Hii kali
Very nice, Grace umenivunja mbavu
jmn huba ni tam xn kwanza hta inavyoanza tu mwaaaa
Me mbona sizipati
Jameni episode ya 1 siioni tuwekeeni kwenye mpangilio basi
Ndio hii ya kwanza
Maisha magic hawamalizi movie wanatuonjesha basi kama sarafu sawa na kututia nyege halafu hawajatuto........£#£#£##
kukufanyaje?
Nitumie namba zako please
Nirushie namba yako jamani please
Naomba namba yako
Nice movie
Riyama nataman ungekuw dada yngu
Nice
Mbona azipo katika mpangilio
Jamani muendelezo
Icho kilikua kionjo jamani kama mwamfanya muendelezo mbona mambo yangekua safi
Zena Hoka
Nampenda sana dorice joomon
Hat❤
Siihelewi iyi movie ina majina mengi episode nyingi zisiyo kwicha
sustain kwani unaielew
riyamaaa we kibokoo
love romy
Nzuri snaa
nzuri
Nana Pro
nice
its so nice
Imebidi niifuatilie kuanzia mwanzo naeza pata wap yote jamani 😂😂😂😂
How may I get all the episodes? Pls anyone help.
Safiiii
Acheni ubabaishaji hatujawalazimisha muweke nivihelehele vyenu ndo vimewafanya muweke mmeniboa wekeni kwenye mpangilio unao eleweka kama ni 1 -2-3-4-5 nakuendelea zieleweke na ziwe full lasivyo🏃🏃
Musimucwa pili sio watatu
Esther Oyala mambo VIP
namupend tim san😘
Weekend kwenye mpangilio
Tupeni episode zoote tusirudi korea
Ndio
Huba iko poa saan🔥🔥
Shukran sanaaaa yani sana ila naomba mtuekee na mpangilio kuanzia Episode ya kwanza mpaka kuendelea plz.
Hasante sana kwa move nzuri mungu hawabari kwa kazi zenu part 2 please
2023 and am still watching ❤
2024 am still watching
Very nice movie
Good filam
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥
Naomba party 2
Jamani nataka kuigiza nanyi
Kazi mnzuri
Nzuri sana...,ingekuwa na English subtitles ingekuwa poa zaidi..
5 8 2021
Mwendelezo
Mimi ndo naanza sasa
Eti kuna ubaya kumuibia mwizi ? Ahaa Tesa
Ahaaaa eti kuna ubaya ukimuibia mwizi ahaaaa cheko sana
Tunaitaji muendelezo pliz
Huba Iko vzr
3Epis 2
Season 3 epsod 2
Smart
Eti mgeni ww umekua skrepa 😂😂😂😂
Chanel gani inaoneshwa hii
Leteni program zenu zote full!!!!!!!!!
Eti ukiniangalia nafanana na mama hahaha!
Penda sana ramy na uyo mamako
naipenda sana huba ina burudisha kweli
Meju Baraza frfffdffffffffgggggggggggggggggffffffffffff
❤❤❤❤❤
👌
Asante
Kumbe kibibi alikuwa mfanya kazi wa tessa na tima nae alikuwa anauza maandazi kwa chidii sasa ndo nimeelewa
mko vinzur sana tunaomba muendelezo
Nice move🤱