SAFARI YA AJABU!: KITABU CHA ATLAS KILINISHAWISHI/ NILIUZA CAMERA/ NILIPANDA MELI DJIBOUT!...14

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #baharia #safari #simulizi

ความคิดเห็น • 34

  • @user-dl3ep1ow3y
    @user-dl3ep1ow3y ปีที่แล้ว +1

    MASHALLAH MY BROTHER FROM TZ SEA MAN BEFOR I AM PROUD OF YOU MY DUA ALWAYS WITH YOU U SAY EVERYTHING IS TRUE I AM LIVING IN 🇬🇧 BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA .REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM UK 🇬🇧.. LONDON ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ramadhanibabu4144
    @ramadhanibabu4144 ปีที่แล้ว

    Big up Baharia Mwega kwa kuwa mkweli katika simulizi zako, tangu ulivyoanza nimekua nikikufuatilia kwa makini, hujapotosha,

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy ปีที่แล้ว +1

    Tokea nianze kuangalia Story za mabaharia na wazamiaji,huyu jamaa ni best na anajua kujieleza

  • @athumanmwalimu9147
    @athumanmwalimu9147 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali mwamba sna

  • @aceofspades3728
    @aceofspades3728 ปีที่แล้ว

    Big up Sana mwega ukimsikiliza huez poteza...!Sea never dry

  • @ramadhanimpate-yj3qp
    @ramadhanimpate-yj3qp ปีที่แล้ว

    Mungu akupe mwisho mwema ndugu mwega nakubali harakati zko

  • @francisshimbala1629
    @francisshimbala1629 ปีที่แล้ว

    Kazi yote nzuri, story nzuri, mtangazaji yupo vzr na mpiga picha smart sana!! Wazee mmetisha!!

  • @HashilElhamdan
    @HashilElhamdan ปีที่แล้ว +2

    huyu sailor anajua kweli kujielezea.... anayosema yote ni reality...

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 ปีที่แล้ว +1

    Baharia Mwega nauona mzee baba umetinga uzi wa Dr 24 hapo mambo ni poa tupu mzee baba

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 ปีที่แล้ว +1

    Mwega tutakumiss 🥰🥰

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +2

    Life is about connection SAwa lakini connection haikufati home wewe ndo unatakiwa uitafute connection

  • @hassanikipusa8328
    @hassanikipusa8328 ปีที่แล้ว

    Mwega Hustler, jamaa ni full package kuhusu ubaharia kama umepata bahati kusikiliza vizuri simuliz zake zote, utabadili negative perception zote kusuhu kuzamia especially Meli za wagiriki.

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 ปีที่แล้ว +1

    Respect

  • @gilbertmathias7594
    @gilbertmathias7594 ปีที่แล้ว +2

    Jombaa huyo jamaa nimependa sana anaongelea uhalisia wa Maisha watu wakumbuke kwao

  • @oblangatamakhakas9593
    @oblangatamakhakas9593 ปีที่แล้ว

    Mwega nakubali point ushagusa maisha angu mm munyasa naomba number yako

  • @salimukatundu1105
    @salimukatundu1105 ปีที่แล้ว

    Babu saluti from kabulu

  • @suphianyahya1781
    @suphianyahya1781 ปีที่แล้ว

    Motor Vessel

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw ปีที่แล้ว +1

    Jamaa kapambana sana

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 ปีที่แล้ว +1

    Mwega nakukubali Sana uko social Sana.

  • @ramiarajabu4673
    @ramiarajabu4673 ปีที่แล้ว +2

    Baharia mwega is the real nigga

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +1

    Wapo man, mfano kina kaliope

  • @francistadayo1569
    @francistadayo1569 ปีที่แล้ว

    Bro yuko vizuli sana

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +1

    Ukitaka kuzamia unakula kozi unapata seamen book na passport.

  • @davidpius4764
    @davidpius4764 ปีที่แล้ว +1

    Mwega ni mwamba haswaaa

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +1

    Wazee wa kapeti

  • @kasimsaleh7103
    @kasimsaleh7103 ปีที่แล้ว

    Kaka tatizo wafrica roho mbaya

  • @omarabdulrahman6416
    @omarabdulrahman6416 ปีที่แล้ว

    Meli saaii watu wapandia kenya siku hizi...
    Cruise Kibao

  • @abyolayolam7653
    @abyolayolam7653 ปีที่แล้ว

    Dar24 hiinanichaganya kindogo minilitaka uweekipade chakwasa adichamwiso iyonesheka bisa ii unasa namba moja iina ba bilii ifo nya ayodomaoni yagu ilinijue kudanisaidi apedasa stoli

    • @mukrimchonde2439
      @mukrimchonde2439 ปีที่แล้ว

      Mimi nilikuwa naye ugiriki kunavitu kaongea sio kweli sijapenda na.mjuwa huyo

    • @jovovichmedia9424
      @jovovichmedia9424 ปีที่แล้ว

      @@mukrimchonde2439 acha kutafuta Kiki mjomba acha unafiki

    • @khamisidowany6262
      @khamisidowany6262 ปีที่แล้ว

      Mukrin chonde tueleze kaongopa nn

    • @khamisidowany6262
      @khamisidowany6262 ปีที่แล้ว

      Au ww ndo wale wale sawa ulikuwa nae ugirik tueleze kaongopa wap??au ndo wale wale na ww

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +1

    Kusoma bila kupractice ni bure