PEPO LA NGONO 💞 | PART 02 | Love Story ❤️

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 396

  • @calvinhaule6040
    @calvinhaule6040 ปีที่แล้ว +6

    Loveness na Kelvinn napenda sana Movie zenu na ninazifatilia sanaa

  • @shabaniabdi
    @shabaniabdi ปีที่แล้ว +2

    Movie kali sana hii nina sula zaidi ya ngapi vile mpaka wasem na watasem tuuh kilvin big up sanaa broo

  • @HappyHappy-uo8hj
    @HappyHappy-uo8hj ปีที่แล้ว +21

    Kelvin kakangu umejitahidi Sana kuokoa penzi LA rafiki Yako bt Mr brown hataki kukuelewa kabisa kelvin piga mzigo ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ nawapenda nyote I love you kelvin ♥️ ❤️♥️♥️ from 🇰🇪🌹🌹🌹🌹🌹 congratulations guys ❤️❤️❤️❤️🎉🎉🎉🎉🎉

  • @melkizedekwiliam-hi7bz
    @melkizedekwiliam-hi7bz ปีที่แล้ว +16

    Kinachonifurahisha ni msimamo wa Kelvin. Kelvin hongera ayiseee.

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 9 หลายเดือนก่อน

      lakin mwisho alikula mzg😅

  • @thumaacute
    @thumaacute ปีที่แล้ว +8

    Mmeweza sana🎉 much love from kenya since movie napenda sanaa movies zako Kelvin khan❤❤❤😊

  • @janetmbaji5579
    @janetmbaji5579 ปีที่แล้ว +10

    Kelvin na brown ❤❤ game 🎮 imeenda Sawa Sawa ❤❤❤nawapend sanaaa

  • @haluwahavla9740
    @haluwahavla9740 ปีที่แล้ว +2

    Napnda xnaa movie zenu akt , zinamafunzo mazuri nawaombea mungu azidi kuwapa hekima 🙏🙏🙏

  • @safroslebresilien
    @safroslebresilien ปีที่แล้ว +31

    Naomba likes ata 10 minjo wakwanza Ku comment

  • @soulmate2804
    @soulmate2804 ปีที่แล้ว +1

    Kelvin, I salute ue broh upo vzur xn nzipend movie zako ila naomba uendelee n ile y kijan tajir n dada w kaz plz 🙏 ♥️ ❤️

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 ปีที่แล้ว +3

    Kelvin mashaallah umenimaliza ❤❤❤👌👌👌👌movie nzuri 🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @PromiseBanza
    @PromiseBanza หลายเดือนก่อน +1

    Mungu aendeleye kukuepushiya iyi jaribu kakayangu Kelvin wabamke

  • @GllO-qo5rh
    @GllO-qo5rh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wafanya mchezo na mwanamke wewe umehingiliyana 😂😂😂 Kazi Safi mungu afunguliye mufike mbali

  • @nundertv255
    @nundertv255 ปีที่แล้ว +1

    Hongera SANA kelvin wanawake kama hao nimwendo WA kupiga show tu hats kama ningelikuwa Mimi uvumilivu ungenishinda

  • @OliverPaul-y3e
    @OliverPaul-y3e 19 วันที่ผ่านมา

    Kelvini umejitaidi sanaa kujiepuka kwa loveness but in lilly life ulitamani upige mzigo😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @winnymwathi3098
    @winnymwathi3098 ปีที่แล้ว +19

    😄 🤣 😂 kelvin move yanpamba nkiwa Kenya 🇰🇪 lakini bado nasubiri Boss na dada wakazi iyendelee pamoja 🙏

  • @ChristopherLucky-m5h
    @ChristopherLucky-m5h 9 หลายเดือนก่อน +1

    izi ndo movie zenye fundisho fulani wala hamujawai kukosea nawakubali sana tupo DRC congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @SimonMalingum
    @SimonMalingum 12 วันที่ผ่านมา +1

    😂 uyu demu anajua igiza sanaaaaaaaa namukubali kabisa

  • @NGWAGUMASUKE
    @NGWAGUMASUKE ปีที่แล้ว +3

    Kelvin unanifanya kila nikimuona nacheka vituko vyakwenyemvi ya shemeji inavyo zimia hongereni sana mnafiki disha nabudan kemkem

  • @IsaxMedia
    @IsaxMedia ปีที่แล้ว +2

    Wooow so amazing nawashabikia from iringa bonge la movie

  • @AshuraAmisi-ey4mj
    @AshuraAmisi-ey4mj 11 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani Kelvin yaani umenifanya hadi nacheka sana kwa kweli ukisha kula mzigo ndio umemkuza lovennes kama umbwa 😂😂😂😂mbavu zangu mm jamani

  • @salomemuturi9005
    @salomemuturi9005 ปีที่แล้ว +5

    🤣🤣🤣🤣sura zaidi ya kumi na mbili ..duh kali ya mwaka🤣🤣🤣🤣

  • @zarinarahab
    @zarinarahab ปีที่แล้ว +1

    Hee hapo sawa kelvin wee ukona msamamo tu sana nimejifudza kitu goodwork

  • @PromiseBanza
    @PromiseBanza หลายเดือนก่อน +3

    Nani ameona gisi Kelvin ameanza kuangaliya kitandani atoe liik kumi

  • @monicamsile2284
    @monicamsile2284 ปีที่แล้ว +5

    Safi kelvin,mkatae mwanamke,na acha na na brown fata mishe zako mwamba

    • @FawzaRobert
      @FawzaRobert 2 หลายเดือนก่อน

      Hapo saw tuko pamoja

  • @MazengoEmmanuel
    @MazengoEmmanuel ปีที่แล้ว +2

    Kelvin mtu moja ninayo kuelewaga unanipaga elimu kubwa sana kwenye maisha yangu

  • @jamillahassan3405
    @jamillahassan3405 ปีที่แล้ว +2

    nawashukuru kwa kunichemusha ubongo😋😋nice movie keep going

  • @SharonKilelo-em1wb
    @SharonKilelo-em1wb 4 หลายเดือนก่อน

    Movie zako zote zinabamba , napendezwa Sana nikiwa Kenya , lakini mtoto Wa boss Na dada Wa kazi naomba iendelee, Mahali wewe Na loveness mpo it's Soo sweet

  • @veronicasolange930
    @veronicasolange930 ปีที่แล้ว +13

    Kelvin na brown mnaweza bravo 👏

  • @ossygentle448
    @ossygentle448 ปีที่แล้ว +2

    Kiukwel ukifatilia hz muv sizani kama utakuwa m2mwa wa mapenz kwa kwel i lov donta tv

  • @ShedrackDastani
    @ShedrackDastani ปีที่แล้ว +2

    Wow hongereni sana mko vizuriiii aiseee

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 7 หลายเดือนก่อน +2

    Heeeee😂😂😂😂😂 kelvin amekubali kula sambusa ya nyama nyingi😂😂

  • @FaithmwikaliKavita
    @FaithmwikaliKavita 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kelvin hongera kwako Kwa mafunzo yako mazuri mungu akubarikii Sanaa

  • @haluwahavla9740
    @haluwahavla9740 ปีที่แล้ว +1

    Big up kelvin na team yko hongereni 👏👏👏👏👏 xna movie nzuri xna❤❤❤❤

  • @ecmcinematv
    @ecmcinematv ปีที่แล้ว +3

    Congratulations firstly to you Kelvin khan and all of you The Donta Familly House , Much love to you , me i am called Gracieux Hekima Stephanhakiz leader of The ECM Cinema House , from East Congo

  • @SahamOman-y3m
    @SahamOman-y3m ปีที่แล้ว +3

    Nampa hongera kevin kapambana mara 3 ya 4 imemshinda uzarendo😂

  • @Zainab-ho8hb
    @Zainab-ho8hb ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri mwaelimixha♥️♥️♥️♥️

  • @HabibaSaidi-ze7yf
    @HabibaSaidi-ze7yf ปีที่แล้ว +1

    Kelvin yaan nakupenda Sana hongera Kwa ujumbe nzuri Sana mungu atakulip

  • @GaudenceVai-el4ym
    @GaudenceVai-el4ym 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mhhh love kavunja milango y kev

  • @nancynyaboke397
    @nancynyaboke397 ปีที่แล้ว +4

    I love you kelvin for kenya please I need to act 🎬 with you one day please kelvin 😢you so amazing 👏 💗 ❤️ 🎉😊

  • @Marcos99750
    @Marcos99750 ปีที่แล้ว +2

    ey, uyo loveness anaDinywa kuDinywa, anawekwa kuni sawasawa, Ni Mrembo

  • @MpunduMariam
    @MpunduMariam ปีที่แล้ว +7

    Tunawapenda sana❤ from Burundi 🇧🇮

  • @sinyobravo5217
    @sinyobravo5217 ปีที่แล้ว +1

    khan unajua sana...sema loveness hafai. mnajua

  • @sasambua8455
    @sasambua8455 ปีที่แล้ว +2

    Uwiii kalvin mungu akupandishe zaid

  • @Nuratyfredy
    @Nuratyfredy ปีที่แล้ว +2

    Nawapenda sana jmniii nami nataka

  • @khadijaumazi3308
    @khadijaumazi3308 ปีที่แล้ว +4

    Safi hongereni sana

  • @DicksonMchapo
    @DicksonMchapo ปีที่แล้ว +1

    Mimi kwaupande wangu bado naendelea kujifuza kwa maigizo yako kakaangu kelvn sante sana na siachi kukufatilia

  • @PromiseBanza
    @PromiseBanza หลายเดือนก่อน +1

    Kweli Kelvin Léo umepata jaribu kweli mbone lanvess anaenda washaganya kaka kweli hauna tamaa na hiyo nyama cafu

  • @KfkfkHdjdi
    @KfkfkHdjdi ปีที่แล้ว +2

    Hunger kwa movie zenu nawapenda sana

  • @PromiseBanza
    @PromiseBanza หลายเดือนก่อน +2

    Kelvin umeongeya vizuri sana tena kaka Brown amesikiya yote kaka

  • @SamiraGodfreyMushi
    @SamiraGodfreyMushi ปีที่แล้ว +3

    Ila kelvin kajitaidi kuvumilia weee❤❤❤😂😂

  • @FaithJanee-r6x
    @FaithJanee-r6x 4 หลายเดือนก่อน +1

    movie zinambaba kelvooo nasubiri ya dada wa kazi na boss,,,,iendeleee

  • @kadzojamesjameskadzo3950
    @kadzojamesjameskadzo3950 ปีที่แล้ว +7

    Loveness napenda sana kazi zenu❤❤❤

  • @RajabRwanosi-bt3ep
    @RajabRwanosi-bt3ep ปีที่แล้ว +6

    Kelvin nakupenda sana❤❤❤❤❤

  • @metrineokola7730
    @metrineokola7730 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri kelvin and brown ❤️

  • @SarahTembula
    @SarahTembula ปีที่แล้ว +2

    😂nawapenda sana kelvin nangali vipindi zenu nikiwa kakamega 😂😂

  • @PatrickDandaguli
    @PatrickDandaguli 10 หลายเดือนก่อน

    Kelvie we mwamba umeweza kukwepa mpk apo loveness umemkimbia hahahahaha

  • @DorcasAlii-eu9vu
    @DorcasAlii-eu9vu ปีที่แล้ว +3

    Loveness nakupenda dada unaact poa

  • @HalimaAbdallah-f3w
    @HalimaAbdallah-f3w ปีที่แล้ว +1

    Sio kwa umalaya huo halafu huyu love ninyoka sana sijawahi kumpenda hata siku moja

  • @paulosulley1199
    @paulosulley1199 ปีที่แล้ว +1

    Kelvin nakukubali sana tina na love nawakubali sana

  • @user-fw5ix2ss7k
    @user-fw5ix2ss7k ปีที่แล้ว +4

    Much love from saudia 💓💓💓💓kelvin

  • @TantineSara
    @TantineSara ปีที่แล้ว +2

    kelvin ume kataha chakula 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @NgowaNgao
    @NgowaNgao ปีที่แล้ว

    Kelvin kazi nzuri . Boss na kijana wa kazi part 5 please. Watching from Kenya

  • @AgnesMakunege
    @AgnesMakunege 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera kelvin kwa uvumilivu❤❤

  • @neemakoi6635
    @neemakoi6635 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂the way I'm looking for you kelivn toka uisije ukamuonyesha rangi yako😅😅😅😅aky nakufa kicheko

  • @melkizedekwiliam-hi7bz
    @melkizedekwiliam-hi7bz ปีที่แล้ว

    Jaman! Huyo binti love kazi anaweza. Du pia ni mjasiri sijawahi ona. Kama love ana mume au mchumba nashaur mchumba au mume wa love awe mvumilivu maana ni acting tu

  • @RonahKerubo
    @RonahKerubo ปีที่แล้ว +2

    Leo mm wa kwanza jmn nipe like zngu 🇰🇪
    Twakupenda sna kelvine

  • @kevinsamantha9777
    @kevinsamantha9777 ปีที่แล้ว +3

    Inanikumbusha mbali sn kwl Daaah 😢😢😢😢

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 ปีที่แล้ว +1

    Sikio La kufa halisikii Dawa،،،، Asie Sikia la mkuuu

  • @JohnsonMokua
    @JohnsonMokua 4 หลายเดือนก่อน

    Kali sana kelvin wateza sana na brown 🤎🟤

  • @WilfredOgonyo-y2c
    @WilfredOgonyo-y2c ปีที่แล้ว +4

    Donta tv nazipenda sana movie zenu keep up from kenya ❤❤❤

  • @Mimah866
    @Mimah866 28 วันที่ผ่านมา

    Kuigiza kwataka moyo jmn skutiana nyege huku jmn 😂😂😂😂😂😂😂

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq ปีที่แล้ว +1

    Nime kubali kazi mazee bg up sanaa lovenes love u na mm nataka kuona utundu wako😂😂

  • @FatumaBakari-c4m
    @FatumaBakari-c4m 7 หลายเดือนก่อน

    Wanaume hope umeamuni hakuna mwanamume mjanja kw mwanamke❤ loveness salute 5

  • @HappyMakulu
    @HappyMakulu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kelvin umejua kujitetea kaka more like ❤

  • @CollinsWekesa-k5i
    @CollinsWekesa-k5i 3 หลายเดือนก่อน

    Safi hongereni sana😂😂🇰🇪

  • @SharifaOmary-f5c
    @SharifaOmary-f5c 7 หลายเดือนก่อน

    Kelven hongera kwa msimamo wako kaka Kaz nzur sana

  • @catherinenyamweya
    @catherinenyamweya ปีที่แล้ว +4

    Wow much love kelvin from 🇰🇪

  • @stevemativo9041
    @stevemativo9041 10 หลายเดือนก่อน +1

    Utafanya nn sasa ww mwanaume,,, loveness ndo mwisho,,,,,😂😂😂😂

  • @AliceAlice-ol5zv
    @AliceAlice-ol5zv ปีที่แล้ว +2

    Kelvin alikuambia ukapuuza ehe uliyataka😅😅

  • @Franciscamwendembuva
    @Franciscamwendembuva ปีที่แล้ว

    Shetani wa mkuu mmoja🤣🤣 nawapenda sana

  • @nuruheartaman5925
    @nuruheartaman5925 ปีที่แล้ว

    Awo ndo wanaume walivyo safi sana kelvin ma brown

  • @MedyAmir-tf7hc
    @MedyAmir-tf7hc ปีที่แล้ว +2

    mko..poa..sana.💞

  • @sharonwandii6164
    @sharonwandii6164 9 หลายเดือนก่อน

    Kelvin amenibamba😅move zenu nazipenda sana uanga nazirudia tu

  • @ShrinKoko
    @ShrinKoko 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera zana kelvin

  • @mesco_18
    @mesco_18 11 หลายเดือนก่อน +2

    Leo ndo leo😂

  • @racek-lk7cy
    @racek-lk7cy ปีที่แล้ว +1

    Aaahhhhhhuuuuuu😂😂😂 wakwanzaa janiii😂😂😂

  • @CharlzKapyuku
    @CharlzKapyuku 10 หลายเดือนก่อน +1

    Oy kelvin ivi lovenes ni mchumba wako kwel au ni swala la kuigiza 2

  • @fatmaubwa-z8s
    @fatmaubwa-z8s 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂ila kevi unatuta hamasa tukiwa gulf😂😂😂😂😂team strong tujuane hapa wazee wa something ❤

  • @AngelSibanilo
    @AngelSibanilo 3 หลายเดือนก่อน

    Kelvn endelea na msimamo wako brown atashituka pakisha pambazuka wew fanya Mambo yako

  • @eliminacosmas
    @eliminacosmas 8 หลายเดือนก่อน

    aicee nimecheka sana et hata ingekua babaako mzazi asingeweza vumilia duuu kwer love nes ninyoka mkubwaa

  • @EmmanuelKusa-sw6bh
    @EmmanuelKusa-sw6bh 9 หลายเดือนก่อน

    Mmeweza jamaa 🔥🔥🔥💯💯💯💯

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 ปีที่แล้ว

    Zungu ujierew kbs ila saw saw mungu amfichi mnafiki😂😂😂😝

  • @JeanmarieNiyogusenga
    @JeanmarieNiyogusenga 5 หลายเดือนก่อน

    Mnacheza vizuli sana❤❤❤

  • @ValentinaNjovu
    @ValentinaNjovu ปีที่แล้ว

    Safi Sana, muvi nzuri Sana inatufundisha sana

  • @CosmasTzshayoShayo-um8qn
    @CosmasTzshayoShayo-um8qn ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣 toka usije ukafany nikumbuke na mm uliyo kuwa uki nifanyia

  • @Josephinejosephine-gc1fk
    @Josephinejosephine-gc1fk ปีที่แล้ว

    Hujaonja kelvi 😂😂 sidhani kma hujaonja ww maana uyo mwanamke waaah ako na pepo la gono kweli hasikii la mwadhini mmmh

  • @MalikiaFelesian
    @MalikiaFelesian 7 หลายเดือนก่อน

    Umeupiga mwingi kaka nimeipenda hiyo

  • @PetroMwakilembe
    @PetroMwakilembe 2 หลายเดือนก่อน

    Love Yuko vzr mnoo yaani

  • @zamdauseni9787
    @zamdauseni9787 10 หลายเดือนก่อน

    Mwenzako alikwambiya kama uyo mwanamuke nikahaba ivi umekubali
    😂

  • @maryd1538
    @maryd1538 ปีที่แล้ว

    Kelvin n brown mwaijua kaz ❤❤🎉 nilikua naisubir