MWABUKUSI AFUNGUKA KUONDOLEWA KUGOMBEA U-RAIS TLS, ATANGAZA KUFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2024
  • Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
    Dar es Salaam. Sakata la Boniface Mwabukusi kuenguliwa katika kinyang'anyiro cha kuwania rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) limechukua sura mpya baada ya wakili huyo kukusudia kwenda kutafuta haki yake mahakamani.
    Mbali na hilo, Mwabukusi amewaomba mawakili wenzake
    kumuunga mkono kwa kutoshiriki uchaguzi wa TLS wakiishinikiza
    wale wote waliotia nia kuwania nafasi hiyo kurejeshwa na Kamati ya uchaguzi wa chama hicho

ความคิดเห็น • 15

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mbaya zaidi hata mawakili nao wamekuwa machawa lkn Watanganyika tunakukubali mwambukusi mungu atakusimamia

  • @renatuswilson1577
    @renatuswilson1577 8 วันที่ผ่านมา

    Mwamba nakukubali. Mungu akupe uzima ili tuone mengi mazuri zaidi.

  • @lalosalamanca7131
    @lalosalamanca7131 8 วันที่ผ่านมา

    Noma sana

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 8 วันที่ผ่านมา +1

    Duu tukipata makamanda mia kama huyu jamaa nchi ingenyoka

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 8 วันที่ผ่านมา

    Is not fear at all 😢

  • @AbdulrahmaniNjechele
    @AbdulrahmaniNjechele 8 วันที่ผ่านมา

    Zanzibar kumbe ni wenzenu Sasa mmeficha ajenda zenu

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 8 วันที่ผ่านมา

    All the best kiongoz ... Tanzania ukiwa mkweli itakuwa shida .. tunataka viongoz kama ww

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 8 วันที่ผ่านมา

    huna sifa za kuomgoza,sasa unalazimisha nini?

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd 8 วันที่ผ่านมา

    acheni kuaribu nchi, nyinyi kwakukumbatia viongozi, haki ndio kilakitu, ukificha moto Moshi utakuhumbuwa.

  • @froma3732
    @froma3732 8 วันที่ผ่านมา

    Atahangaika na uwogozi hkn kitu atapata

    • @saidabdillahi8107
      @saidabdillahi8107 6 วันที่ผ่านมา

      Yoyote anaemtukana Samia asitegemee kupata hata udiwani akiwemo Tundu lisu ukimtukana Samia jiandae kuwa mwanachi wa kawaida lakini sio kiongozi

    • @leganmichael6148
      @leganmichael6148 5 วันที่ผ่านมา

      Kwamba wewe ni Mungu? Au ww ndio unagawa uongozi?

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we 8 วันที่ผ่านมา

    Mbona mkikosa vyeo mnahaha?

    • @mossessimon2493
      @mossessimon2493 8 วันที่ผ่านมา

      Unakandwa wew

    • @user-jj7qv7kh2s
      @user-jj7qv7kh2s 7 วันที่ผ่านมา

      wewe mpuuzi sana yani mtu anLipambania Taifa alafu wewe unaongea ukibaraka, hovyo sana