FUNDI CHEREHANI KIMEMKUTA KITU/AMUAGA MKEWE ANAENDA KUKESHA KUSHONA NGUO ZA SIKUKUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Ni tukio ambalo limetokea asubuhi ya leo ambapo Mwanamke mmoja ambaye mumewe ni fundi wa kushona Nguo.Aliagwa na mumewe jana kwamba anaenda ofisini kukesha kwakua ana nguo za watu nyingi za kushona kwa ajili ya sikukuu.Mke bila hiyana akamruhusu mumewe lakini ilipofika mida ya saa nne usiku mwanamke huyo wasiwasi ukamjaa ikabidi atoke aende ofisini kwa mumewe akahakikishe kwamba kweli yupo ofisini.Na hapo ndipo hekaheka ilipoanzia baada ya kufika ofisini ka mumewe...Fwatilia kisa hiki kisha utoe maoni yako #geahhabibu #GeahTv #MatukioYaGeah

ความคิดเห็น • 238

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 4 ปีที่แล้ว +16

    Ingekuwa mwanamke ndio kamsaliti mwanaume angeshachomwa kisu au kupigwa riasasi ila wanawake sis wanyonge tunafanyiwa mauzi tunavumilia ila dada kazi usijali ndio maisha ya ndoa

  • @pendoanzigar3172
    @pendoanzigar3172 4 ปีที่แล้ว +42

    Wanawake kama tulivyojadiliana kwenye kikao kilichopita mwanaume hamna kumsaidia hata iweje mwache apambane mwenyewe sio wema haooooo

  • @mamawa3mamawa321
    @mamawa3mamawa321 4 ปีที่แล้ว +34

    Wanaume wengi wanaisaidiwa na wanawake hawana shukrani,shenzi

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 ปีที่แล้ว +8

    Inauma sana kwa kweli!! Wanaume hawa !!! Wanawake wavumilia mengi kwa kweli!! Huyu mwanaume anataka kuwatia watoto wakati mgumu!

  • @ashurabakiri8427
    @ashurabakiri8427 4 ปีที่แล้ว +24

    Yaani huyo kweli fundi cherehani haswaaa🤭anashona vyote huyoo👌wanaume walio wengi hawaaminiki hata wafanyiwe nini khAAAAAH 🙄yaani we fundi kumfanya mwenzio mlinzi kisa nn🙄🙄anaeftatilia Heka heka kila hatua kama mie tujuane plzzzz 🙏

  • @happinessmwanga4224
    @happinessmwanga4224 4 ปีที่แล้ว +4

    Unasema ngoja nimpe heshima mume wangu angalau uheshimike kuwa mume ana cha kufanya kumbe ndio Unatafuta kunguni wa kukunyonya damu ufe🙌🙌🙌nimejifunza hapa pole dada fungwa mkanda pambana kwa ajili ya watoto

  • @muznahmuznah8601
    @muznahmuznah8601 4 ปีที่แล้ว +33

    Penye mwanamke shupavu nyuma yke kuna mwanaume wa ajabu

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 4 ปีที่แล้ว +5

    Mimi nawachukia wanaume masikini sitaki kabisaaaaaa usenge ona mtu unamsaidia mwisho wake anaenda kutomba kuma zingine mxiii bora mwanaume mwenye pesa kapuku sitakiiiii.

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 ปีที่แล้ว +6

    Wanawake tunavumilia mengi sana, elfu mbili kwa usawa huu jamani mh

  • @bimaisarankamia4153
    @bimaisarankamia4153 4 ปีที่แล้ว +15

    Jmn na Mimi ndio kilicho nishinda hiki.mtu akuachie elfu mbili wewe hlf akuambia Sina hela hlf aenda kujidai maisha haya jmn tunakutana na mengi jmn wanawake

  • @azzaalmaamry76
    @azzaalmaamry76 4 ปีที่แล้ว +2

    Usibabaike saana dada tuliza moyo wako ulee wanao watakuja kukufaa InshaaAllah kwa baadae

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 ปีที่แล้ว

    Duuu kweli huyu ndiye Fundi cherehani anashona huku na huku.Duu kweli kuna wanaume wanabebwa na wanawake kumbe hata kitendea kazi anachofanyia ni cha mwanamke duuu! Pole sana Dada ndio uolewaji huo wanaume hawaridhiki kbs.

  • @medadiissa324
    @medadiissa324 4 ปีที่แล้ว +7

    Duuuh! Kazi amekutana na mke wa kichaga! Ila nanyie wanawake wakati mwingine mnawanyima sana waume zenu ndani ya nyumba mnasababisha hatari.

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว +1

      Hapo hujasema kabisa huyu ameaga anakesha kushona dec nguo nyingi sio mambo nakupeana hapo

    • @aishajuma712
      @aishajuma712 4 ปีที่แล้ว +6

      Wanamme hamlizikii hata mpewe jicho Mim nasema iviii simpe mwanaume pesayangu hata Mia akinipenda anipende tu asiponipenda akafe mbele

    • @rizikisalum9678
      @rizikisalum9678 4 ปีที่แล้ว +2

      Wanaume hamuridhiki Yani mtu unamkamuwa mpaka ila anatafuta wengine au anakunyima anaenda kutafuta mwanamke mwengine amkune wanaume muridhikee

    • @salmaalbarwani2618
      @salmaalbarwani2618 4 ปีที่แล้ว

      Poleni wanaume kaoa wake 2 kenda kufia kwa hawara hamtoshekiiiii

    • @vevo3130
      @vevo3130 4 ปีที่แล้ว +1

      hamna lolote kosa la mwanamke hapo acha kubadilisha mjadala….kwa kifupi ni mafuska tu na ushamba wa kukosa mawazo!! mi ndio maana sipendi mwanaume mshamba ona sasa!

  • @juliusphabian6336
    @juliusphabian6336 4 ปีที่แล้ว +2

    Ukiona raha za kutazama video....soma comment za watu

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 2 ปีที่แล้ว

    Wewe Marioo
    Vyerehani unyang'anywe tu.
    Huyo mwisho wa siku atakuacha na wtt na wewe kila senti unamkabidhi,amka usingizini.

  • @ciarajohn6927
    @ciarajohn6927 4 ปีที่แล้ว

    Aisee nime umia sanaa dada achana na uyo baba chukua vitu vyako anza maisha yako lea wanao ata kuletea wagonjwa uyo baba

  • @zainabothman2351
    @zainabothman2351 4 ปีที่แล้ว +5

    Chukua chako mbwa huyo akafie mbele

  • @irenemacha7457
    @irenemacha7457 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwanaume si mtu daw nikuyachuna Tuu hata kama umezaa nae wToto kumi bora kulichuna tuu jana haja ya kulibembeleza

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 4 ปีที่แล้ว

    wanaume wengine midudu tu.inatiya huruma na hasira mnateseka wote unamwangusha mkeo.pole dada mungu atakusaidiya atabalika, kama ni mwelevu.

  • @rosemarymbungi9434
    @rosemarymbungi9434 4 ปีที่แล้ว +1

    Wanaume mnatuvunja moyo kwa kweli,tue pamoja bc tufikie malengo

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 4 ปีที่แล้ว +2

    hira hao ndo akina ss walhai mungu aninusuru yasikute mnapanga na mwezio vizuri arafu yeye anafanya ujinga

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndomaana nilimuomba mume wangu niende Oman kufanya kazizandan alivyo kubali nimekuja ninamwaka sasa anasema nimtumie pesa niende kununua kiwanja nikamwambia situmipesa nitakuja kununua mwenyewe maana namjua akipata pesa halali nyumban sasa nitume pesa akahinge subutu mwanangu nimepeleka kwa mama siamini mwanaume mimi

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว

      Umefanyalaamaana wengi wanaliwa huku Oman na wanaume

  • @barikiwa22
    @barikiwa22 4 ปีที่แล้ว

    Wanaume wanapenda sana wasamehewa kwenye upumbavu wao ila ingekuwa mwanamke kafanya hilo kosa dunia nzima ingemkana na kumuunga mkono mwanaume amuache mwanamke wake. Mi nasema we mama beba vyako sepa, huyo mwanaume suruali siyo baba yako mpaka umlee hivyo utapata aliye rijali.

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 ปีที่แล้ว +7

    Kila siku wanasema nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio kuna Mwanamke imara nyuma yake🤦‍♀️ mtu una vumilia ili mwenzio ameki mfanye maendeleo kumbe mwenzio anaenda Kuhonga uko daaaah🙌 INAUMA MNO

  • @sikuzanibusanya6423
    @sikuzanibusanya6423 4 ปีที่แล้ว +3

    🤔🤔🤔🤔🙄🙄🙄🙄🙄jamani wanaume mungu Anawaona

  • @salhaissa2619
    @salhaissa2619 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole San Dada pambna we wenyew utaweza wanaume akuna sikuuzi kilichobak kudangnyna!!

  • @zainabothman2351
    @zainabothman2351 4 ปีที่แล้ว +5

    Vunja tuu hata hapo TOA vyako

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

    Aise mm kumsaidia mwanaume labda nizaliwe upya na mama yangu wallah

  • @allybora4021
    @allybora4021 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaah inauma Sana,,, hapo mwanume mwenzetu umeyumba

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 4 ปีที่แล้ว +5

    Wa bongo kwa Kuchomoa Bety 😂😂😂😂

  • @jimmycroud8934
    @jimmycroud8934 4 ปีที่แล้ว

    Daah cc wanaume tunamatatzo sana cyo siri ila bas maana mwanamke anakupa Kila ktu ili muendeleze maisha unakuja kumfanyia upuuz na ushenz aisee pole Sana dada angu achana nae mpuuz uyo mm nalilia bahat yey anachezea bahat mshamba kwel uyo

  • @irenejustine2765
    @irenejustine2765 4 ปีที่แล้ว +5

    Apoa angefanya mwanamke sasaivi afai

  • @yusrakamili6401
    @yusrakamili6401 4 ปีที่แล้ว +1

    Na Mimi yslinikuta mmmmh inauma sana pole ssna mwanamke mwenzangu wanaume mnanyanyasa

  • @fatmamohd4957
    @fatmamohd4957 4 ปีที่แล้ว +1

    Da wanaume tumewachoka sana basi tu

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 ปีที่แล้ว

    Subhanaallah hivi kaka kama wanake kafanya alivyo fanya huyo Baba siangemuwa

  • @azzaalmaamry76
    @azzaalmaamry76 4 ปีที่แล้ว

    Pole saana dada wanaume wa siku hizi usimuweke rohon ukaumia moyo muweke mkonon wanaume ilikuwa zaman ukimshaur kitu anafnikiwa maendeleo wa siku hz hawashaulk huwaza wanawake utasema ndio atatajirka

  • @yassirhalimamohammedmohamm5913
    @yassirhalimamohammedmohamm5913 4 ปีที่แล้ว

    Sasa umemkomesha mumeo au umejikomesha wewe hasira hasara wewe ungevumilia tu au ungeondoka kwenu
    Pole sana dada waume wasojitambua hao

    • @sukhailatausisaidi6964
      @sukhailatausisaidi6964 4 ปีที่แล้ว

      Kuvumilia watoto wawil el ya kula 2000 kila kit mwanamke ndio anafanya alafu unafikil huko anatoa nn

  • @jumamanywa8223
    @jumamanywa8223 4 ปีที่แล้ว +1

    Alafu uyo mwanamke mchaga

  • @zunirasalim7660
    @zunirasalim7660 4 ปีที่แล้ว +1

    Mm yashanitokea.. Kama ivyo wamsaidia mtu zaidi ya ndugu yako mwisho wa siku anaenda kudanga hadi kupeana mimba Yani nachukia mapenzi hadi basi

  • @fatoomfatoom5590
    @fatoomfatoom5590 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani wallah

  • @vero57
    @vero57 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mwanaume wa hovyo sana, pesa huna unatesa mwezio,kuchua wanawake mwingine wa nini pesa huna!!??

  • @dalianakerefu490
    @dalianakerefu490 4 ปีที่แล้ว +4

    Yani iko hivi mwanaume akizingua unamvumilia analeta bangi Anza upya mungu hatakuacha usivumilie ujinga Leo wanao wanaume pasua kichwaaa

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyo Mume kasahau Mkewe ni Mbongo, Wa Mbongo ni welevu ndo mana Wakaitwa Wambongo, Subutu wewe Mume, Heehee Mtagazaji nawe wa tufulaisha eti pengine kaenda kushonea kwa Mteja😂

  • @leilamoses172
    @leilamoses172 4 ปีที่แล้ว +3

    Jose Mara unamambo et kaend kushonea kwa mteja

  • @asmahomary7833
    @asmahomary7833 4 ปีที่แล้ว +1

    😃😃nimecheka kwel japo si vyakucheka haha eti kaenda kushonea kwa mteja daah nyie baba nyie mungu anawaona

  • @nasrakabesselah3253
    @nasrakabesselah3253 4 ปีที่แล้ว +2

    Dada Geah jaman mbona mazimbu Morogoro clouds FM haipatkan takribani wiki ya 3 hii jaman kunani

  • @naomijonas6090
    @naomijonas6090 4 ปีที่แล้ว +5

    Kichwa cha habari tu me mbavu Sina!!!

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

    kuzaa c tatizo haina haja ya kuwa na mwanaume asiyekuwa nafaida bora uchukue watoto yatima ukawalea

  • @evalunajohannes469
    @evalunajohannes469 4 ปีที่แล้ว +1

    Fundi kaenda kushona nguo kwa mteja,usiku kucha😀😀😀.loo

  • @tinnaebunka8848
    @tinnaebunka8848 4 ปีที่แล้ว

    Pole dada yani wanaume wanashida sana jamni

  • @kelvinmchau8815
    @kelvinmchau8815 4 ปีที่แล้ว +2

    Una mwachia MWANAMKE 2000/= kwa siku? Na bado una msaliti shame on u my brother, Ndio maana MUNGU anashindwa KUMPA KIPATO KIKUBWA.

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Kabsaaaa Kunguru hafigiki,Funzo hili,duuh Pole dada.Za Mwizi 40.

  • @tausingomeni2568
    @tausingomeni2568 4 ปีที่แล้ว +9

    Wanaume hawaridhikag jmn

    • @wahidashabaz5982
      @wahidashabaz5982 4 ปีที่แล้ว

      Ata umpe ziro hawatoshekiyapswa kujitambua

    • @dianashaban7358
      @dianashaban7358 4 ปีที่แล้ว

      Sikuhz hkn mapenz nikundanga2 si Mme wa mtu wal mke w mtu

    • @dianashaban7358
      @dianashaban7358 4 ปีที่แล้ว

      Wanaume ht uwpe mkd hawlzk

    • @tausingomeni2568
      @tausingomeni2568 4 ปีที่แล้ว

      @@dianashaban7358 🤣🤣🤣umeona eeh

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada yangu

  • @lailahasan2200
    @lailahasan2200 4 ปีที่แล้ว +9

    Mijanaume iliyo mingi cku hiz haielewek do!!, mi nimelitoroka nipo Oman.. Natafutia wanangu kesho Yao, kila cku ooo nimejirekebisha, we Mt unataka maendeleo unalivumilia kenyewe Lina fanya mambo ya kijinga. Tupa kule.........

    • @yaninashebe4307
      @yaninashebe4307 4 ปีที่แล้ว

      Tupeane mchongo bas,nami nimuhanga

    • @hafsanahafsana4527
      @hafsanahafsana4527 4 ปีที่แล้ว

      Mjasiri mwenza😁😁tupige pesa mwaya

    • @hafsanahafsana4527
      @hafsanahafsana4527 4 ปีที่แล้ว +1

      @@yaninashebe4307 wataka kuja ee

    • @yaninashebe4307
      @yaninashebe4307 4 ปีที่แล้ว

      @@hafsanahafsana4527 haswaaa

    • @badaralamri7381
      @badaralamri7381 4 ปีที่แล้ว

      Mashaallah atamimi sihanisiwi na mwanaume Mimi pia nipo omani

  • @hrockstarr9584
    @hrockstarr9584 4 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana .

  • @rechomyombo1827
    @rechomyombo1827 4 ปีที่แล้ว

    Inauma sana jamani wanawake tunapitia Mambo mazito sato xana pole xana mamy

  • @shababygirlshambuwa8388
    @shababygirlshambuwa8388 4 ปีที่แล้ว

    Duuuuhhhh pole Dada hao ndio wanaume mimi nataka niwasikie tu ila sio kuwa nae

  • @ladymashaallahilikeuaadvis997
    @ladymashaallahilikeuaadvis997 4 ปีที่แล้ว +3

    SUBHANNAH ALLAH, jamani mimi mapenzi basii, duuh kila leo heri ya jana

  • @itonyajuma8018
    @itonyajuma8018 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada

  • @kajoakother6041
    @kajoakother6041 4 ปีที่แล้ว

    jamani wanaume mnanini hivi nani kawaroga

  • @wardaheluwa734
    @wardaheluwa734 4 ปีที่แล้ว

    Duh mbongo kuna maajabu kweli

  • @simonringo4701
    @simonringo4701 4 ปีที่แล้ว +3

    Nacheka kama vile mazuri.

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว +1

    Haha mkewangu nimetoka kuoga nyooo Haha mkekakesha@usimsamehee kabisa huyo msingi toa mashini xako mwache

  • @annafundi7098
    @annafundi7098 4 ปีที่แล้ว

    Jamani mbona Moro hamsikiki? Hapa mpk tuweke bando kwa simu. Clouds vipi jamani

  • @mligosandrah7851
    @mligosandrah7851 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwenye miti hakunaga wajenzi kabisa wanawake tunapambana tunawaongoza lakini wapi.Yani dada uyo piga chinii mm nilikua na mwanaume dizsini hiyo nampa ushauri ila akipata pesa nyodo kutusi dharau bdo kupiga chakufia kwakweli nilisepa tu na nilikus simtegemei.Mungu atanipa wa kufanana nae dada sepa

  • @datiabdallah6012
    @datiabdallah6012 4 ปีที่แล้ว +1

    Eeeh wanaume wanamambo meusi kweli😭

  • @bellahyuzzomylife4428
    @bellahyuzzomylife4428 4 ปีที่แล้ว

    dada wanaume hawanaga shukrani mimi nilihakikisha nimechoma mpaka chupi niliyonunua

  • @sophiekigomba4809
    @sophiekigomba4809 2 ปีที่แล้ว

    Darsaalam ya dar ndo nini ndugu watangazaj jmn

  • @hawasaid8262
    @hawasaid8262 4 ปีที่แล้ว +1

    Uyo fundi ajahaza leo wala jana anaelekeya ndotabiyayake

  • @mariammwapelele945
    @mariammwapelele945 3 ปีที่แล้ว

    Yan acha tu Wanaume wachawi acha tu

  • @aishamashaka6370
    @aishamashaka6370 4 ปีที่แล้ว

    Duuuuuh inauma sana

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 4 ปีที่แล้ว

    Jamani awo wanaume unaofanya nao kazi da gea wanaboa kweli wamuache mama wawatu afanye anavo jisikia suluhu apo baadae ila kwasasa mtayavuruga

  • @fatmafeisal442
    @fatmafeisal442 4 ปีที่แล้ว +2

    Dooh! 😂😂😂 makubwa haya 🙌

  • @mwanamisaomar346
    @mwanamisaomar346 4 ปีที่แล้ว

    Wamikato..pole mwaya.

  • @asiamct4025
    @asiamct4025 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada yeah jamani unatusaidia sana mm natamani kupata hiyo namba ya hekaheka

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 4 ปีที่แล้ว

    Hatari

  • @annamwanauta8683
    @annamwanauta8683 3 ปีที่แล้ว

    Wanaume nikama wote niakili moja niwachache sana wenye hawana michepuko

  • @najma3268
    @najma3268 4 ปีที่แล้ว

    Wanaume mnateteana tu nawe musa , hata kapo katumia busara wallah, anamoyo angekuta kichwa kama changu kilichojaa mabungo angefurahi na rohoyake

  • @shakilakhamis2109
    @shakilakhamis2109 4 ปีที่แล้ว +1

    eeeeeeeh mungu weèee

  • @aishaawadhimalokimaloki9953
    @aishaawadhimalokimaloki9953 4 ปีที่แล้ว

    Jamani uu

  • @pamelaog9321
    @pamelaog9321 4 ปีที่แล้ว

    Yani Sijamuelewa Jose eti kama kaendakushonea kwamteja ,G Mzima kweli 😄😄😄😳😳

  • @salmajuma4015
    @salmajuma4015 4 ปีที่แล้ว

    Muhhhh mm siongei kwayalio nikuta NA hivi viumbe

  • @jacklinamani7519
    @jacklinamani7519 4 ปีที่แล้ว

    Duuu wanaume wa bongo . Bora nitafute zee langu la kizungu tu huko

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 4 ปีที่แล้ว +4

    Yani wanaume hawa duuh kwa ss wenzangu na mie ambao hatujaingia kwenye ndoa kazi ipo ndio tunajifunza kupitia heka heka na kumuomba mungu nasikuizi hakuna mwanaume wapeke yako

    • @ramadhaniidd
      @ramadhaniidd 4 ปีที่แล้ว

      Unajua ni vile wanaume hawasemi yanayowakuta ndiyo maana mnasema hivyo, lakini wangekuwa wanasema kwa kweli mngetuhurumia sana sana

    • @janengowi3011
      @janengowi3011 4 ปีที่แล้ว

      Inauma jamani elfu mbili unaitumiaje jamani unamvumilia MTU kumbe hela anaenda kuchangamsha damu

  • @ZainabZainab-tv9ir
    @ZainabZainab-tv9ir 4 ปีที่แล้ว

    Polesan dada baadhiyawanaumme waleo nimtihan kbs

  • @asmamohamedidi585
    @asmamohamedidi585 4 ปีที่แล้ว

    Ni bora angeowa mke kuliko anavyofanya mke wa kwanza akajuwa kama anamwengine

  • @mariachuhila9518
    @mariachuhila9518 4 ปีที่แล้ว

    Yaleyale ya Ebitoke

  • @reginaphilimon782
    @reginaphilimon782 4 ปีที่แล้ว

    ndio maan staki kuolewa kabisa😭😭😭😭😭😭😭

  • @faridaabdallah7620
    @faridaabdallah7620 4 ปีที่แล้ว

    Masikini duh polesana dada

  • @lailmeeea4908
    @lailmeeea4908 4 ปีที่แล้ว

    Wanaume bhana Mfyuuuuu

  • @latypherngombo1022
    @latypherngombo1022 4 ปีที่แล้ว

    Uyo ni fundi abasi wa mwananyamala au maana nasikia abasi abasi 😃😃

  • @vero57
    @vero57 4 ปีที่แล้ว

    Janaume la pumbavu sanaaa,alafu hata hajui kundagaya

  • @aisatahaisatah2612
    @aisatahaisatah2612 4 ปีที่แล้ว

    Daaaaaah

  • @sarahalfani3124
    @sarahalfani3124 4 ปีที่แล้ว +3

    Mhh lkn lazima tukubali hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja

    • @lydiamathew3117
      @lydiamathew3117 4 ปีที่แล้ว

      Ni kweli asikwambie mtu

    • @asiajuma8330
      @asiajuma8330 4 ปีที่แล้ว

      Ni kweli sikuizi hamna wapeke yko na hawa ndio wameumbwa hivyo au tamaa na kujiendekeza

    • @wahidashabaz5982
      @wahidashabaz5982 4 ปีที่แล้ว

      @Dadya Msindai sio kweli wanaume wanatamaa atakama hana mchepuko wa kudumu ila wakupiga chabo siku1 moja yupo

    • @wahidashabaz5982
      @wahidashabaz5982 4 ปีที่แล้ว

      Ndio maana simfatilii mume wangu kuanzai kwenye sm mpk nyendo zake mm akija karibu akitok kwaheri

    • @immaculatakadyanji5927
      @immaculatakadyanji5927 4 ปีที่แล้ว

      Hayupo.

  • @barikiwa22
    @barikiwa22 4 ปีที่แล้ว

    Achana naye huyo choko tafuta rijali

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyo naye shemeji shemeji ukwaju asamehewe nn wachakumtetea zambi

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว

      @@deodatusmushubirizi8157 angekuwa hapo iliyy aombe msamahaa lkn kakimbia sasa VIP mwingine akuombe msamahaa kweli alijua anamakosa ndomana akakikimbia

  • @salwasuleiman8943
    @salwasuleiman8943 4 ปีที่แล้ว

    Ndio maana naiamini nafsi yangu tu bas siamini mtu yeyote,

  • @zammaulidi7507
    @zammaulidi7507 4 ปีที่แล้ว

    Anashona nguo za buree mana hatuwaelewi wanaume kwakweli

  • @peninasayanga8412
    @peninasayanga8412 4 ปีที่แล้ว

    Da