BWANA HARUSI AGOMA KUINGIA UKUMBINI,KISA HIKI HAPA...!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Kutoka kawe ukwamani ndipo tukio hili lilipotokea ambapo kuna bwana harusi aligoma katakat kuingia ukumbini kwa sababu anazozijua mwenyewe..!Tizama hapa kisa kizima
    #Hekaheka #Geahhabibu #GeahTv

ความคิดเห็น • 585

  • @elidasimon504
    @elidasimon504 5 ปีที่แล้ว +319

    wangapi waliomuona huyo mwenyekiti walijua ni bwana harusi😁😁😁😁😁
    au mm tuuuuuuu

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 5 ปีที่แล้ว +18

    Huyo Bwana Mke wake huyo, Alitakiwa Amwache kanisani Angojee Mungu ampe Mume mwingine. Yaani Ugomvi siku ya kwanza!

    • @jescahkaaya1743
      @jescahkaaya1743 5 ปีที่แล้ว

      Thobias Marandu ahahahhahaa mapensiiii

    • @happypa2027
      @happypa2027 4 ปีที่แล้ว

      @@jescahkaaya1743 🤣😂ayo siyo mapenzi

    • @KhalidKhalid-zt1bc
      @KhalidKhalid-zt1bc 3 ปีที่แล้ว

      matatizo ya kuishi pamoja miaka 10 kisha kufunga ndoa, ugomvi haukosekani

  • @happymericho9464
    @happymericho9464 5 ปีที่แล้ว +66

    Wanaume wa ivi mwisho wasiku ndotunaishia kuchomwa namagunia mawili ya mkaa

  • @ruthmdamo7661
    @ruthmdamo7661 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada angu Geah Ahsante kwa kutuburudisha, yaan kwa upande wangu naona kama Dunia ya sasa imevaa koti ndoa nyingi maigizo enzi ya Mabibi na mababu ndoa zao zilidumu. Yaan mitihani sana

  • @salharunguma4210
    @salharunguma4210 4 ปีที่แล้ว +8

    Ntawaalika mmoja mmoja mje kula nyumban kwangu🤣🤣🤣🤣km unaamin bw haruc nimchaga gonga like yanguvu

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว +8

    Bwana harusi anaanza ukorofi mapama, ila Bibi harusi jifunze kitu hapa 😂😂 Nacheka kwa uchungu wallah.

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 5 ปีที่แล้ว +17

    Siyo ladhima jamani ukumbini biharus angefanya kitchen party yake apewe zawad kivake km bwana alikuwa hatak cyo wote wanapenda mambo mengi wengine hawapendi mambo mengi

  • @mamawa3mamawa321
    @mamawa3mamawa321 5 ปีที่แล้ว +50

    Mbona ameanza ukorofi mapema bwana harusi?

  • @habarizauhakika9376
    @habarizauhakika9376 5 ปีที่แล้ว +7

    YAANI NINGEKULA ,MINGEKUNYA, NINGECHUKUWA ZAWADI ZANGU NA NDOA INGEKUFIA HAPO

  • @victoriabenedict8112
    @victoriabenedict8112 5 ปีที่แล้ว +2

    Uyo mwanaume angenifaa sipendi mambo ya sherehe bora tufunge church twende nyumban

  • @sandrandai6180
    @sandrandai6180 5 ปีที่แล้ว +15

    😂😂😂😂😂😂 huyu mwanaume kaanza vituko mapema. Kua makini dada

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 5 ปีที่แล้ว +5

    Khaaaaaaaaa mie ningekataa,bwana harusi mjanja Kweli 😂😂😂😂😂😂😂makufuri kabana kila Kona 😂😂😂😂👏👏

  • @faridamkesso97
    @faridamkesso97 5 ปีที่แล้ว +30

    Duh Masikini huyo bibi harusi Mngoni mwenzangu namuonea huruma maana vitimbwi vimeanza mapema duh huyo shemeji ana nongwa na gubu juu

    • @salamasalama3955
      @salamasalama3955 5 ปีที่แล้ว +1

      Pole yake kwakwel huko aendako atajuta maana huyo mwanaume anaonekana hana mswalie kabisa 😂😂😂

    • @user-zj3ke9gc2u
      @user-zj3ke9gc2u 5 ปีที่แล้ว +1

      Mtihani jamani

    • @happybalama3591
      @happybalama3591 5 ปีที่แล้ว +1

      Hataki kuoa

    • @husnasimba5357
      @husnasimba5357 5 ปีที่แล้ว

      Kumbe Wa kunyumba

    • @faridamkesso97
      @faridamkesso97 5 ปีที่แล้ว

      @@husnasimba5357 kabisa

  • @itshiddah6494
    @itshiddah6494 5 ปีที่แล้ว +14

    Yan mm ningekula ningeshiba ningechukua zawad zang alaf narud kwetu ndoa ctak tena

  • @rukiamohammed5031
    @rukiamohammed5031 5 ปีที่แล้ว +13

    😂😂Mbavu zangu mie huyo bwana harusi kiburi jeuri htr

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 5 ปีที่แล้ว +4

    😀😀😀😀 jaman huyo mwanaume anamichepuko mingi aliogopa kugonganisha bajaji kwa fuso

  • @tunkuh661
    @tunkuh661 5 ปีที่แล้ว +3

    Dalili chafu hizi ... wanaume wa hivi hawachelewi kufanya maajabu ya kuchomana 🔥

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 5 ปีที่แล้ว +16

    Kupatwa kwa harusi ila harusi za kikristo zina gharama sna ujipange kweli kweli

    • @josephpaul4986
      @josephpaul4986 5 ปีที่แล้ว +2

      Achaa udini nawwe harusi kuwa na gharama ni mapenzi ya walengwa tuuu mbn harus nying tu za kiislamu znakuwa na gharama piaa

    • @pillykenedy2140
      @pillykenedy2140 5 ปีที่แล้ว +1

      Asia Zuberi uwiii hujashuhudia harusi za kisilamu zanzibar,

    • @barikiwa22
      @barikiwa22 5 ปีที่แล้ว

      Hawana ubahili

    • @najmasalimsalim2741
      @najmasalimsalim2741 5 ปีที่แล้ว

      @@josephpaul4986 bythewy nimekuelewa haruc zagarama nikujitakia pande zote mbili

    • @bimsinan8743
      @bimsinan8743 5 ปีที่แล้ว

      Njoo zanzibar uone harusi za kiislam na za gharama kuliko izo .....

  • @meryraphael5298
    @meryraphael5298 5 ปีที่แล้ว +3

    Hyo Dada jaman aangalie asije kwenda kucho tena na magunia ya mikaa tena jaman mbonaaaaa!!!!

  • @coneschikulo3817
    @coneschikulo3817 5 ปีที่แล้ว +16

    Hiyo ndoa sio mpango wa mungu!!!!!!!

    • @paulomwalimu6731
      @paulomwalimu6731 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa iyo ndoa c mpango wa mungu kwani wao hawakufanya mafundisho yanayo usu ndoa?

    • @lisajackson5867
      @lisajackson5867 5 ปีที่แล้ว +1

      wengine mnfos ndoa mpka mnaroga wanaume madaw yana mwisho wake

    • @zakakilaku6585
      @zakakilaku6585 5 ปีที่แล้ว

      Paulo Mwalimu 5

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 ปีที่แล้ว +7

    Duuh ingekuwa mimi Ningekataa alipo nifata,Yani Pete ndogo,then ukumbini amejam.Basi mbona.

  • @JescaTenga
    @JescaTenga 4 ปีที่แล้ว +3

    Uyo bibi harusi anamoyo sana 🥺😂ningeondoka ndoa iishe tu

  • @pendocharles8786
    @pendocharles8786 5 ปีที่แล้ว +9

    😂😂😂bwana harusi alikuwa anataka apewe tu hela hizo akaanzie maisha yako

  • @zainabmwengela5987
    @zainabmwengela5987 5 ปีที่แล้ว +5

    Jamani Pete ndogo!! bwana harusi huyu veepe😂😂😂😂😂😂

  • @naimanurdin2846
    @naimanurdin2846 5 ปีที่แล้ว +32

    Kama una Amini huyo Bwana Harusi ndo wale magunia 2 ya mkaa Gonga like hapa

  • @felixmwania8584
    @felixmwania8584 4 ปีที่แล้ว +2

    Maajabu haya. MC mwenye hekima.

  • @jacklinamani7519
    @jacklinamani7519 5 ปีที่แล้ว +9

    We mume wangu popote ulipo olewako uje ukatae kuja ukumbin utanitambua

  • @irenemwakalinga4350
    @irenemwakalinga4350 5 ปีที่แล้ว +3

    Yaani bwana harusi kaonyesha tabia zake mapema kabla ya cku yaan ningekua ndo mm bibi harusi mh kwakwer cjui ingekuaje.

  • @helenamwaipopo967
    @helenamwaipopo967 5 ปีที่แล้ว +4

    Nakukubali Geah unatupa habari motomoto

    • @halfanrashid4977
      @halfanrashid4977 5 ปีที่แล้ว

      Helena Mwaipopo yani yetu inakua ni macho na masikio tu hahahaha

  • @rukiasalim2512
    @rukiasalim2512 5 ปีที่แล้ว +24

    Mimi Sitaki kwenda kuchomwa moto akha ngunia mbili za mkaa siyo mchezo unaanza kuunguzwa dunia sipendi

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 5 ปีที่แล้ว +39

    Hiyo ndio faida ya mapenzi ya kuloga😁😁😁 unamloga mwanaume akuoe wakat akupendi....mwanaume anayekupenda atakuwa yuko radhi kufanya chochote

    • @ziadasalim8807
      @ziadasalim8807 5 ปีที่แล้ว +2

      Zuley Vendor umeonaee ndoa cha uchawini ugangani izo

    • @fidesbenard2701
      @fidesbenard2701 5 ปีที่แล้ว

      Zuley Vendor 😁😁😁😁😁

    • @subiramussa1428
      @subiramussa1428 5 ปีที่แล้ว

      Ha ha ha

    • @lisajackson5867
      @lisajackson5867 5 ปีที่แล้ว +1

      kabisa wanawk wng wanarog san il wapndw matokeo yk n hyo

    • @banshbansh2329
      @banshbansh2329 5 ปีที่แล้ว

      Hujaelewa yy alikuwa nataka achangiwe pesa nyingi sio uchawi

  • @sophiajackson5001
    @sophiajackson5001 5 ปีที่แล้ว +3

    daaah ahahahahaahah siyo yakucheka lakini daaah huyo jamaa atakuwa ana shida au kuna mwanamke kamchezesha akili baada ya kusikia anaoa

  • @mtagechota1002
    @mtagechota1002 5 ปีที่แล้ว +5

    Jaman uyu baba nimenpenda buree dada geah nigee namba zake😁🤗🤗

    • @saidyomary1734
      @saidyomary1734 5 ปีที่แล้ว

      Hahahaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiii

  • @annahatamiminilinilivutiwa9754
    @annahatamiminilinilivutiwa9754 5 ปีที่แล้ว +6

    Kiukweli wana wake ni wavumilivu sanaaa!!!!

  • @hairunpaul924
    @hairunpaul924 5 ปีที่แล้ว +4

    Na Mimi nisingetokea kanisani ctakagi ujinga😂😂😂 bibi harusi ana kazi

  • @lulubetwel125
    @lulubetwel125 5 ปีที่แล้ว +17

    Uyo bwana harusi mbishi ivo Kama mchumba Wang🤣🤣🤣

    • @khadijajuma7142
      @khadijajuma7142 5 ปีที่แล้ว +2

      Kumbe tuko wengi wenye hivi vimeo 😁😁😁hadi natamani kuachia ngazi.Mtu kiburiii mbayaa

    • @annahatamiminilinilivutiwa9754
      @annahatamiminilinilivutiwa9754 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂
      Kamawa kwangu
      Nimbishi afu anajifanya anajua kilakitu😕😕😕

    • @florabaruti8032
      @florabaruti8032 4 ปีที่แล้ว +1

      @@khadijajuma7142 hahaha piga chini

    • @khadijajuma7142
      @khadijajuma7142 4 ปีที่แล้ว

      @@florabaruti8032 Soon 😁😁😁

    • @susanejd7775
      @susanejd7775 4 ปีที่แล้ว

      @@khadijajuma7142 kama hujajipanga utakujakulia watu wa aina hiyo hua hawarekebishiki

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 5 ปีที่แล้ว +28

    Jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 acha tu nicheke watu wamechanganyikiwa. Pole bibie apo ukitakakuishi na huyo babu mwenye gubu lake maombi kwa sana tena yahaja 😱😂

  • @agnesdeonatus9231
    @agnesdeonatus9231 5 ปีที่แล้ว +5

    Mwanaume ana gubu huyo🤣🤣🤣pole kwa bi harusi

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 5 ปีที่แล้ว +43

    😂😂😂😂😂😂😂Eti bwana harusi ni muajiriwa wa serekali haki nimechekaaa😛

  • @beatricetarimo7371
    @beatricetarimo7371 5 ปีที่แล้ว +2

    Mhhh nimeshtuka sana nikadhni uncle wangu(mwenyekiti) ndo anafunga ndoa Mara ya pili

  • @tumainpeter3805
    @tumainpeter3805 5 ปีที่แล้ว +5

    yan nimecheka kifala sana eti nitawaalika kwa wakati wangu

  • @agnesslyatuu8026
    @agnesslyatuu8026 5 ปีที่แล้ว +22

    Duuu hii ya mwaka ,mwanamke mwezangu mume kaonyeshaa kabisaaa hakutaki mbele za familia yako. Halafu unaenda tu, hadharani kakataa bila aibu kwenda na wewe hata ukumbini huko ndani mkiwa wawili utakuwa salama kweli??? Mmmh Mungu akulinde!

    • @beatriceannamaria8106
      @beatriceannamaria8106 5 ปีที่แล้ว

      Agness Lyatuu kweli Agnes mwezangu mmh nishida

    • @kilavomngara5603
      @kilavomngara5603 5 ปีที่แล้ว +1

      Uyo alitaka apewe ela nasimke, maana angeomba msaada hasingepewa bora michango ili afanye yake apo nymbn ni tembele na kisamvu mwaka mzima

    • @janemsongole9886
      @janemsongole9886 5 ปีที่แล้ว

      Agness Lyatuu.

  • @tttgghj2280
    @tttgghj2280 5 ปีที่แล้ว +12

    Uyu bwana harusi mwehu hazimtoshi

    • @gracemagoma4873
      @gracemagoma4873 3 ปีที่แล้ว

      Bibi harusi muungwana sana, iyo ndoa itadum

  • @annaupendo4768
    @annaupendo4768 5 ปีที่แล้ว +2

    Ukigundua mbwembwe za mwenzio kabla hujaingia kwake pandisha mikono angalia juu sema asante Mungu baba kunionyesha tabia ya huyu mwezangu mapena na mwache aende zake 😏😏😏

  • @aminahamisi8672
    @aminahamisi8672 5 ปีที่แล้ว +2

    😊😊😊😊 tuangaliage na mwanaume wenyewe

  • @deograsiasmsolwa4766
    @deograsiasmsolwa4766 5 ปีที่แล้ว +4

    Afadhar ndoa zetu sie chai na mkate no stress

    • @gloryngonyani4078
      @gloryngonyani4078 5 ปีที่แล้ว

      Deograsias Msolwa maamuzi tyu hata ss unaweza ukafanya hivyohivyo mkaenda kanisani na mashaidi makaludi nyumbani makala hata ugali basi

  • @nuruabraham3769
    @nuruabraham3769 5 ปีที่แล้ว +3

    Naomba kujua bwana harusi kabila gani? chonde da Gea nataka tuu kujua.

  • @happynescharles1511
    @happynescharles1511 5 ปีที่แล้ว

    Uwiiii Yesu, cjui huko ndan anaishi kwa style gn wanawake tunaweza tunakazi hii nayo kazi kwel

  • @abdulqareemabdala2772
    @abdulqareemabdala2772 5 ปีที่แล้ว +1

    We unayehojiwa umenifuraisha sanaa safi sanaa zawad apeleke kwao

  • @felistamyovela2382
    @felistamyovela2382 5 ปีที่แล้ว +9

    Nmecheka kwa sauti mwee bwana harusi anavituko kwakweli

    • @aminanice1796
      @aminanice1796 5 ปีที่แล้ว

      😁😁😁

    • @janengowi3011
      @janengowi3011 5 ปีที่แล้ว +1

      Huyu bwana arusi kiboko hapo ndoa ukiingia ndani ni shida

  • @penny4310
    @penny4310 5 ปีที่แล้ว +3

    Kuna wanaume waroho. ...!..Tamaa! nikiwa mie siwezi rudi kwake. .... mitiahani kabla ndoa. .. hapo hakuna ndoa. ... mmmh tisha sana. ..

    • @Mamkubwa
      @Mamkubwa 5 ปีที่แล้ว

      Alisema mapema jamani hawakutaka kusikia. Mimi mwanamke sikupenda mambo ya ukumbini ilinilazimu tu kufurahisha ndugu na jamaa..... kwa hiyo namuelewa kwa kias flan.

    • @sofiasaidi4627
      @sofiasaidi4627 5 ปีที่แล้ว

      ka kachi

  • @hamisidawa7608
    @hamisidawa7608 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana, bwana Harusi tendo la Mungu ndio muhimu,yaliyobaki ni anasa tu

  • @ashamganga6636
    @ashamganga6636 5 ปีที่แล้ว +4

    Kama mm siendi mbaka aseme ssbabu yeye msenge anategemea pesa za mchango mkundu wake

  • @faudhiaiddy7270
    @faudhiaiddy7270 5 ปีที่แล้ว +82

    Wa pili kukoment leo😂 gonga like apa

  • @bellahyuzzomylife4428
    @bellahyuzzomylife4428 5 ปีที่แล้ว +2

    jamani michepuko ina nguvu sana😀

  • @claraemmanuel4169
    @claraemmanuel4169 5 ปีที่แล้ว +59

    😂😂😂😂x wang nakuombea haya yakukute.

  • @donathasimon9292
    @donathasimon9292 5 ปีที่แล้ว +15

    Duuhh huyo mke awe makini jmn asije yakamkuta ya Naomi yagunia mbil za mkaa

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 5 ปีที่แล้ว +8

    Mmh alitaka pesa huyo kwa wale mnaotaka ndoa muanze pimana akili kwanza

    • @juihussein3558
      @juihussein3558 5 ปีที่แล้ว

      Neema Kilomoni 😂 😂 😂 kwaiyo anaweza akawa chizi kidogo

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 5 ปีที่แล้ว

      Kweli tena
      Badala WACHUNGAJI kuwakimbiza kupima afya
      Kuna haja wakaagiza wawe wanaenda mirembe kwanza wapewe cheti Cha afya ya akili ndo NDOA ZIWE ZINAFUNGWA 😆😆😆😆

  • @خسنموس
    @خسنموس 5 ปีที่แล้ว +2

    Aibu kwl watu wamejikusanya pamoja kushuhudia jambo la heri,Jmn hili tukio si lakucheka wenzangu inatia huruma Bibi harus Kajianda vzr kufuraia ndoa yake alaf yanatokea ayo Atujui bwana harusi anamatatizo gn ni jmbo lakustahajab au uenda alifosiwa kumuoa uyo bint.

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kabisa watu watajitoa iwapo na wewe ulijitoa
    Hata hivyo huyo mwanaume alioa sababu ya kutimiza hilo tendo ila hakumpenda huyo mkewe

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 5 ปีที่แล้ว +2

    Haki hiyo njemba itakuwa inamke mwingine. Kaona kanisani dakika sifuri. Ukumbini lazima angetafutwa. Siku mtasikia.

  • @evasanga1030
    @evasanga1030 5 ปีที่แล้ว +1

    Changa uchangiwe😀😀😀😀 ningekuwa huyo mdada nami ningemaliza shelehe na kwenda nyumbani kwetu sio kwa mume tena

  • @tegemeareuben7618
    @tegemeareuben7618 5 ปีที่แล้ว +8

    Daah huyo bwana harusi ameshindwa kuwasikiliza hata watumishi wa MUNGU
    daah huyo dada ajipange kabisa maana huyo mwanaume

  • @doristo2597
    @doristo2597 5 ปีที่แล้ว +25

    Mh mwanaume kaonyesha gubu mapema biharusi ataisoma me ningekataa ndoa tyu yaishe ..nafunga ndoa alfu narudi kwetu mpka ck3 makubwaaa

    • @sumaiyamihrma7852
      @sumaiyamihrma7852 5 ปีที่แล้ว

      😃😃😃😃

    • @lucykanuti6138
      @lucykanuti6138 5 ปีที่แล้ว

      Mi siwezi nifunge ndoa harafu nirudi kwa wazazi wangu uyo Mwanaume huo hampendi

  • @barikiwa22
    @barikiwa22 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndoa vepeee bado ipo hai🤣

  • @gloryassey3962
    @gloryassey3962 5 ปีที่แล้ว +2

    Inaitwa sononeko hilo lilimpata Bwana Harusi

  • @dusilaabuock8060
    @dusilaabuock8060 4 ปีที่แล้ว +1

    Bwana harusi alitaka ela ya mchango iwe ela ya kuanzia maisha ya ndoa

  • @esterpaul430
    @esterpaul430 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu amlinde Huyo bi haruc

  • @nuruissa2648
    @nuruissa2648 5 ปีที่แล้ว +7

    Haya biharusi jiandae gunia mbili za mkaaa

  • @shamimuhasan305
    @shamimuhasan305 5 ปีที่แล้ว +1

    Hata mm nilijua ni bwana harusi jaman

  • @evachriss5906
    @evachriss5906 5 ปีที่แล้ว +6

    Kaaaah yani huyo mume ni shida kabisa yani kaonyesha makucha mapemaa jamn ,,,aibu kama hii isinikutee jmn wanaumee hatar,,,kwa kweli sisi wanawake wavumilivu mm nisinge olewa kabisaa

    • @jemajemw9154
      @jemajemw9154 5 ปีที่แล้ว

      Eva Chriss huyo ningelikua mm ningemuacha sio mume hafai

    • @dianakalinga6420
      @dianakalinga6420 4 ปีที่แล้ว

      Ppppppppppppppollllllllll

  • @sophiamose1328
    @sophiamose1328 5 ปีที่แล้ว +13

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣upumbavu mtupu huyo Dada ni mjinga sana kwa nini aende kuishi na huyo chizi 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @asiaasia-pl4fl
    @asiaasia-pl4fl 5 ปีที่แล้ว +3

    Jmn kweli hekahela

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 5 ปีที่แล้ว +8

    Huyu mwanaume ndio wale wamagunia mawili ya mkaa 😂😂

  • @roseodipo9868
    @roseodipo9868 5 ปีที่แล้ว +2

    Aabarikiwe bibi harusi....mc mjanja sana nimempenda

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 5 ปีที่แล้ว +5

    Mpaka magufuli katajwa 🤣🤣🤣

    • @gloryjoe6396
      @gloryjoe6396 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyo bibi Harusi arudi kwao aache hiyo NDOA asepe zake,bado tuna simanzi na yale magunia mawili yaliyomkuta mwenzetu.Afu unakubalije kufunga NDOA mtu anaonesha jeuri kwa watu wazima na hataki kuwasikiliza hupati pic ww itakuaje huko ndani mweeeh

  • @chikukipinga4571
    @chikukipinga4571 2 ปีที่แล้ว

    Duuuh,tuangaliage na wanaume wa kuolewa mimi bado nipo nipo

  • @dhssgs6360
    @dhssgs6360 5 ปีที่แล้ว +4

    Da mimi nataman kuolewa jamani Mungu nisaidie nipate mme mwenye hofu ya Mungu

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 5 ปีที่แล้ว +2

    Big up MC👏👏👏👏

  • @meshackalex124
    @meshackalex124 5 ปีที่แล้ว +1

    Uyo bwana harusi atakua kasusa labla mtonyo ulivyo patikana mdogo

  • @esterelias8189
    @esterelias8189 4 ปีที่แล้ว

    Hata mie jmn nilijua ni bwana harusi.

  • @kweka14l35
    @kweka14l35 5 ปีที่แล้ว +6

    Kwani ndoa za miaka hii zimepatwa na nini jamani 😌😌😌😌😌

    • @sharifaabdullah6825
      @sharifaabdullah6825 5 ปีที่แล้ว +3

      Mmh mitihani kweli huyo mume majanga

    • @kweka14l35
      @kweka14l35 5 ปีที่แล้ว +1

      @@sharifaabdullah6825 nimecheka eti hela apewe akaanzie maisha 😂😂

    • @aishandayishimiye5127
      @aishandayishimiye5127 5 ปีที่แล้ว

      Zimepatwa na janga la upepo wa magu 🤣🤣🤣🤣

    • @gabrielmurro7134
      @gabrielmurro7134 5 ปีที่แล้ว +1

      Tatizo wanakurupuka Sana wanakuwa hawajajipanga

    • @kweka14l35
      @kweka14l35 5 ปีที่แล้ว

      @@gabrielmurro7134 inashangaza pale anaposema eti hela za michango apewe akaanzie maisha 😀😀😀😀😀

  • @gracegilbert2882
    @gracegilbert2882 5 ปีที่แล้ว +1

    ukisikia gubu La baba harus ndo hili, wallah bibi harus ujipange cyo kwa mume huyo jaman khaa.

    • @halfanrashid4977
      @halfanrashid4977 5 ปีที่แล้ว

      Grace Gilbert unaogopa nini tena Grace

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 3 ปีที่แล้ว

    Amma kweli huu ni mwisho wa dunia Mimi ningemwambia Padre au mchungaji avunje ndoa aaaaaa

  • @rashidomary1612
    @rashidomary1612 5 ปีที่แล้ว +1

    Mh nomaa

  • @vj8313
    @vj8313 5 ปีที่แล้ว

    Ingekuwa mm ningevunja uchumba tangu huyo mwanaume ameanza mauza uza yake mana anaonekana ana shida ni mkorofi pia. Na uskute ana mke mwingine huyo mwanaume so hakutaka mapicha picha

  • @janeypheremmanuel9844
    @janeypheremmanuel9844 5 ปีที่แล้ว +9

    ivi mwanamke kisa ndoa still unaona matukio hata kabla ya ndoa unaona mwanaume mshenzi still unafunga nae ndoa mburaaaa mbona iyo siku ningegahiri iyo ndoa

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

    Watu wengine hawapendi mambo yakuimbiana anamelemeta 🤣🤣🤣

  • @sesiliasalleko2013
    @sesiliasalleko2013 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna mume hapo aiseee ningemvulia Pete hapo kanisani woooi

  • @ednagodson7540
    @ednagodson7540 4 ปีที่แล้ว

    Ningeenda mwenyewe ningekulaaaaaaa n ndugu zangu ingekuwa bridal shower hiyo baada ya hapo ningeenda kwetu

  • @janewangaringoiya5704
    @janewangaringoiya5704 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu baba kuna jambo alilojua la bibi arusi na hataki kusema."jipange mama mapema kabla kiumane"

  • @mariacassian8548
    @mariacassian8548 3 ปีที่แล้ว

    Mmhhh nahyuyo mke kampata mvumilivu kweli loo mie nisinge weza hata kwa nukta

  • @marymathias9512
    @marymathias9512 4 ปีที่แล้ว

    Nalijua mbishi kweli mmmh muuzanguo kawr

  • @sifamugwaneza1178
    @sifamugwaneza1178 5 ปีที่แล้ว

    Duh! jmn wanaume wengine buana 😏 kiukweli ingawa mim ndo mama harusi naairisha Ndoa kbs harusi kuisha moja kwamoja narudi kwetu maana sio kwa vitimbwi hivyo 😂😂😂 Pole san Mama harusi

  • @tausingomeni2568
    @tausingomeni2568 5 ปีที่แล้ว +2

    Mmh mie sijui ingekuwaje,maan aibu 🤣🤣ila bwana harusi anavituko 😂😂

  • @likimaro6
    @likimaro6 5 ปีที่แล้ว +5

    Huyo mwanamke si angejitoa tu mbona anang'ang'ania ili apate ndoa tu? Cha muhimu baada ya harusi angeelekea nyumbani kwao tu!

    • @choicesweetmollel8871
      @choicesweetmollel8871 5 ปีที่แล้ว

      Yesu ingekuwa mmi ningeliaaa mpk lkn ningetok hapo ningeenda kwe2

  • @amaranenula8628
    @amaranenula8628 5 ปีที่แล้ว +4

    Kha uyo bwana harusi kichefuchefu jaman duuu mhhhhh

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 5 ปีที่แล้ว

      Huyo bwana ni hewa ningekuwa mie mwanamke baada ya harusi narudi kwetu tayari kashaa kuonyesha mbwembwe mwanzp baadae je? Ndoa hiyo itakuwa ya baraka kweli kila mmoja kimpango wake

  • @germanaanatoli3411
    @germanaanatoli3411 3 ปีที่แล้ว

    Asante mc uko vizuri

  • @bakyzmujis3613
    @bakyzmujis3613 5 ปีที่แล้ว

    Maneno ya. Kuambiwa. Epsode 57