Geah Habib kaifuatilia ishu ya mwanaume anayedaiwa kuwarubuni watoto na kuwabaka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024
  • Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM leo July 31, 2017 imetokea Mivumoni ambako inadaiwa mtu mmoja amekuwa akiwalaghai watoto wa kike na kiume kwa kuwapa pesa na kuwapandisha kwenye Bajaj kisha huwabaka.

ความคิดเห็น • 48

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 5 ปีที่แล้ว +2

    mungu wangu nakuomba unusuru watt wetu na haya mambo maana ss kira kona ndo haya haya walhai mtihani na ss tulio kuwa mbali na watt wetu nikisikiaga hivi uwa nachanganyikiwa sana

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 7 ปีที่แล้ว +4

    😳🙆🏾😭😭😭😭wazazi fanyeni urafiki na watoto wenu mtajua mengi yanao wasibu yani huyo mtu msinge muwacha ,shetani mkubwa huyo huyo police mshenzi eti mtegeshee hakuna dhamana kwa mbkaji ni miaka 30 jela ina uma sana jmani khaa

  • @sabrinamajikata930
    @sabrinamajikata930 7 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kweli hali bado ni mbaya kwa watoto wetu lazima wazazi na walezi tuwasaidie watoto ili waweze kujua kwa namna gani wanaweza kujilinda wenyewe. wazazi wengi hawazungumzi na watoto tupo busy kutafuta pesa. wazazi inabidi tutenge muda wa japo dakika 20 kwa siku zakuzungumza na watoto kujua mambo wanayoyachukia wanayofanyiwa

  • @kombab1112
    @kombab1112 7 ปีที่แล้ว +6

    jamani mwenzenu hani natetemeka, hivi tuwaweke wapi watoto wetu jamani

    • @naimakweyamba5340
      @naimakweyamba5340 5 ปีที่แล้ว

      Yani Jani sijui watoto wetu wakae wapi? Juu

  • @idrisamakware3261
    @idrisamakware3261 7 ปีที่แล้ว +3

    Hiv kweli askari wamepata taarifa alafu wanapuuza kweliii

  • @kingcobra9238
    @kingcobra9238 7 ปีที่แล้ว +1

    Kwa wasenge kama hawa wanatakiwa wachinjwe tu inatia huzuni sana hadi moyo unauma kama sana ila ipo siku nitaua mtu bila ya kujali kama anacheo gani kwenye serikali

  • @ruditaboti3157
    @ruditaboti3157 7 ปีที่แล้ว +1

    Yan mpaka naogopa yarabbi nilindie mwanangu

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 7 ปีที่แล้ว +7

    Huyu ni shetani kwa kweli, inabidi muweke picha yake ipate kusambaa na watu tupate kumjuwa, hawa watu wawe exposed tusilee watu kama hawa kwenye jamii yetu au kukingia kifua, na jeshi la polisi wamefeli vibaya sana ingekuwa kwenda kukamata Chadema zamani wangekuwa ndani

  • @latypherngombo1022
    @latypherngombo1022 5 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmmh ila wanaume jamn sijui wamelogezewa 😓

  • @alitesco4943
    @alitesco4943 6 ปีที่แล้ว +1

    Jamani huyu Jamaa kwanini hafungwi siyo hake child abuse wanaitwa piodfile

  • @aishaddddhh6272
    @aishaddddhh6272 5 ปีที่แล้ว

    Da geah wakikamatwa wafungwe kifungo cha maisha

  • @sabrinamajikata930
    @sabrinamajikata930 7 ปีที่แล้ว +2

    nashauri kipindi chenu mara moja moja muwe mnawaalika wataalamu kuja kuzungumza juu ya mawasiliano bora kati ya walezi na watoto maana kuna jinsi ya kuwasiliana na watoto ambapo wazazi wengi hawana ujuzi huo na wakati mwingine kushindwa kutambua viashiria vya mtoto aliefanyiwa vitendo hivyo vya ukatili

  • @aminayasni9031
    @aminayasni9031 7 ปีที่แล้ว +2

    Ujue hawa askar wetu wanamatatizo sana bas angempeleka mwanae ili akamtegeshee hamjielewi Mjue pesa tu ndo mmezitanguliza mbele nataama zenu za pesa hizo kaangalien na wanenu humo majumban labda wameshatendewa vibaya hata huyo Mtt na mdgoake pia wachekiwe atakua kashafanya yake ibiris huyo anaechezea watt wa wenzake wanawake wameisha Au huyo Mtt unaefanyia hivyo anaraha gan?

  • @safindume2089
    @safindume2089 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana wazazi

  • @stellamwakatulile3202
    @stellamwakatulile3202 3 ปีที่แล้ว

    Wanawake Mbona wengi Huo ni ukatili jamani

  • @lucyngambeki2581
    @lucyngambeki2581 7 ปีที่แล้ว +2

    duh
    jamany kwa mwendo huu
    Mungu atatuchoma moto kaaaaaaaaaa
    tutaamisha watoto dar

    • @fatumaomari8115
      @fatumaomari8115 6 ปีที่แล้ว

      Lucy Ngambeki sio dada tu ndugu yang tumuombe Allah atusaidie tuu

  • @dodomikleni9299
    @dodomikleni9299 7 ปีที่แล้ว +1

    So sad wallaah

  • @naimamushi4819
    @naimamushi4819 5 ปีที่แล้ว

    Ingekuwa ni Mimi hapo kiukweli hata hyo nyumba yake ningeitia moto ndugu zake wote wafe haki ya mungu

  • @minormine4417
    @minormine4417 7 ปีที่แล้ว +1

    Askari wetu kesi kama hizi hawatilii maanani lakini ingekuwa ya vyama wangekusanyika wengi tu nyumbani kwa huyo mbakaji.

  • @abdulyiddy358
    @abdulyiddy358 7 ปีที่แล้ว +1

    Mzazi unaejifanya eet ww mkali ili watoto wako wakuogope akili huna zama zimebadilika kuweni marafiki na Watt zenu acheni ujinga wadodoseni watoto weeenu

  • @zaikaisi6280
    @zaikaisi6280 5 ปีที่แล้ว

    Jaman etyi mtegesheee mtoto wako😭😭😭

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 ปีที่แล้ว

    Yesu wangu !!!!!

  • @naimamushi4819
    @naimamushi4819 5 ปีที่แล้ว +1

    Police wanatakiwa wamkamate nasio kusema ategeshewe

  • @aminamassare888
    @aminamassare888 7 ปีที่แล้ว +1

    yaan hao polic wae serious

  • @kingcobra9238
    @kingcobra9238 7 ปีที่แล้ว

    Gea uvumilivu unakikomo sio kubakwa kwa watoto pili ishu sio kumuomba raisi magufuli ishu kutoka front kuwanyoosha wapuuzi kama hao inauma sana

  • @fgjjgbnko4383
    @fgjjgbnko4383 5 ปีที่แล้ว

    Kumbe babu sea alibaka kweli😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @kivumbindonga9707
    @kivumbindonga9707 7 ปีที่แล้ว

    Kwanza wazazi wanatakiwa kuwa karibu sana na watoto wao ,umjue mwanao ndani mpaka nje . Pili kwa sasa inabidi serikali na vyombo vya habari vijitaidi kuamasisha wazazi kwa kutoa elimu jinsi ya kulea watoto kwa malezi bora ili kuepuka matatizo kama haya , Maanake inaonesha wazazi wengi hawana mda na watoto kabisa na hii inasababishwa na matatizo ya kielimu na uchumi na maendeleo nchini. Pia watu kama hawa wabakaji wanatakiwa kuchukuliwa hatua haraka sana ni uzembe tu wa polisi , ushahidi ni wakujitosheleza kabisa kwa huyu m'bakaji wanabidi wamsake na wamtie ndani ni mwiba kwa jamii .

  • @kingcobra9238
    @kingcobra9238 7 ปีที่แล้ว +1

    Angeenda kumtegesha mwanae huyo askari ili abakwe mpuuzi sana huyo

  • @naimakweyamba5340
    @naimakweyamba5340 5 ปีที่แล้ว

    Rana tullah uyooo.. yani Mtu unakuwa kama nyoka au Mamba...

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 ปีที่แล้ว

    Omg whaat?

  • @zainabukalua6641
    @zainabukalua6641 7 ปีที่แล้ว +1

    Jeshi lapolisi jaman mbona hamna ushirikiano nasisi wananchi?? matatizo yetu tutayapereka wap???

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 5 ปีที่แล้ว

      Ajabu sana wanamakusudi sana,mpaka watu wachukue sheria mikononi alafu ageuziwe kibao

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว

    Watoto wawe wazi kwa wazazi wao sheria ifute mkondo

  • @abdulazizimohd2682
    @abdulazizimohd2682 5 ปีที่แล้ว

    Huu mtandao ni mtandao mkubwa sana wa wabakaji na malengo yao ni makubwa ni hasa kwa watoto wa kiume, kwa uchunguzi nilioufanya jumuiya ya nchi za ulaya wameweka mawakili wao pamoja na wafanya kazi waliokuwamo ndani ya serekali na tena ni viongozi waliokuwa si waaminifu wanalipwa pesa nyingi sana ili vitendo hinyo visambae kwa kasi wamelenga baada ya mwaka 2025 wawe wamefanikiwa Tanzania iwe na wasenge wingi ili sheria ya kuowana wanaume kwa wanaume ipate kupita, mimi ninacho kuombeni wananchi wenzangu sasa wakati umefika wa kuchukuwa hatuwa mikononi mwetu, lakini tusimuonee mtu tuwe na ushahidi wa kutosha juu ja mtuhumiwa halafu tuchukuwe hatuwa mikononi mwetu tena tuwaazibu vikali ili wakome watendaji wa jambo hilo la kuwalawiti watoto, kwani kwa sasa serekal haina uwezo tena wa kulishuhulikia jambo hilo, kwa sasa sheria iliokuweko ni vigum kumtia hatiani mshukiwa na hata ukimtia hatiani wao wanamtandao mkubwa saana wana mawakili waliokuwa profeshno wa kuwatetea na kutoka na kwenda kuendeleza vitendo hivyo vya ubakaji, hayo ni maoni yangu wananchi wenzangu nawaomba tukiwa na ushahidi wa kutosha na tukijirizisha mtoto kafanyiwa kitendo cha ubakaji na aliemfanyia yupo na tunamjuwa na nikawaida yake kufanya hivyo basi tuchukuwe hatua mikononi mwetu tusipo fanya hivyo tukategemea serekali hapa baada ya miaka sita mbeleni taifa letu la Tanzania litakuwa na wasenge wengi sana tena huenda ikawa na wasenge nusu kwa nusu na waliokuwa si wasenge, hao watu wanawaandaa wasenge wa baadae tusipokuwa makini taifa tutaliangamiza

    • @fatmakhalfan2869
      @fatmakhalfan2869 4 ปีที่แล้ว

      Abdulazizi MOHD umeongea point sana na nimekuelewa sana Allah atulindie watoto wetu

  • @RachelMbega
    @RachelMbega 2 หลายเดือนก่อน

    Police wa Tanzania du

  • @fatumaomari8115
    @fatumaomari8115 6 ปีที่แล้ว

    Akamwatwe

  • @husnajohn6010
    @husnajohn6010 6 ปีที่แล้ว

    huyu baba anachekesha kidogo anahasira

  • @mnzavachris5423
    @mnzavachris5423 7 ปีที่แล้ว +3

    angemcbukua askari akatumike kama mtego

  • @innocentyusto2906
    @innocentyusto2906 7 ปีที่แล้ว

    unatishaa

    • @fletcherfredy1440
      @fletcherfredy1440 7 ปีที่แล้ว +3

      police hawafai Kabisa hata ukienda kushtak hawachukui hatua tumewachoka kabisa mkimpata mchinjeni kabisa kazi ya police ni kuchukua maiti kukamata hawajui kazi yao

  • @mariamkombo5325
    @mariamkombo5325 7 ปีที่แล้ว

    😂😂😂