PAUL MKAI ALIVYOTAMBULISHWA CROWN SPORTS LEO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ก.ค. 2024
- Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: profile.php?...
TIKTOK:
- www.tiktok.com/@crownmedialiv...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz - กีฬา
Paul mkai mkali wa dimba, karibu crown media hapa ni nyumbani🔥🎉
Ni nan na katokea wapi huyo
@@salamSalehhhhhkatokea wasaf FM anaitwa paul mkai
Sport arena Wachafu fm @@salamSalehhhhh
Welcome Paul mkai hapa ni nyumbani
Daaaa nimeumia xana mkai kutoka redio yangu pendwa Ila umenifanya pia niifuatilie crown fm pia good
Crown Nawapata vizuri sanaa from Moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Pwani Masafa yake yapi kaka?
Hapa ni kwa wote one love oll fan's on crown
Crown hapa ni nyumbani 👑👑🎉🎉
Pole mkai usajili mzur sana bado mmoja ahamedi
Pole mkai usajili mzur sana bado mmoja Ahmed
Mkali wa dimba karibu sana kwenye hii familia mpya ya crown mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Hapa ni Nyumbani kweli kweli🔥🔥🔥🔥
crown fm naipenda jaman do.
Naikubali sanaaaaaaaa Crown Mediaa Mashallah Mashallah Mashallah
Team kiba wanajua kupenda cha kwao si mchezo
Unyama kabisa 🔥🔥🔥👑😊
Endeleeni hivi hivi mmpendane na mtupe burudani Majungu hatutaki kazi tu na ubora Uzidi Kila siku
Kama mmemchukua poul baasi mm mwana crown kuanzia leo 🎉🎉🎉🎉
Piga kwenye mshono...Mmalizie geogre ambangire
Karibu sana mkai me nishabiki ako ulipo na me nipo kaka na me nimehamia crown 👑
Nami nimefurahi saana kumuona Paul Mkai, ivyo kushoto Wasafi na kulia Crown kote nipo.
Crown ya moto👑👑
Paul mkai mkali wa dimba karibu sana
Jamani naombeni mniambie frequency ya shinyanga
Big up sana paul nkai 💥💥💥💥💥💥
Karibu sana Paul Mkai💥💥💥💥
Hans Rafael ana furaha sana ❤
$$$$$$$$ kaka
Mwanangu Sana Paul mkai❤❤❤❤
Noma
Paul Mkai🎉🎉🎉🎉
Paul mkai ana lafudhi tamu sana huchoki kumsikiliza
Kwenye TV lini mtapatikana
Fanyeni kazi zaidi machungu waachieni kina mama nyinyi fanyeni kaz yenu kama muko vizuri mtasifiwa tu
Mbona unaongea na machungu hivo 😅😅 Utakufa kwa kijiba Cha roho😅😅
😢😂😂😂@@sultaking8719
Paul mkai kalibu sana hapa ninyumbani
Dah mmetisha sanaaa familia kwa huo usajil wa paul makali kwel sasa inaenda kuwa show namb moja
Napenda anavyotangaza paul mkai
Duuuh kweli, kwenye maisha usimdharauu mtuu, arafu wasanii mnacheza na akili zetuu kumbee ..wasafii hawawez kosa pesa ya kumlipa Paul mkai..ila Kiba na Mond ..naa amini ni marafiki sana sisi mashabiki ndo tunauana😂😂😂
Baasi !!!!! Paul mkai ...amesinya crown. Show imekamilika.
❤❤❤❤❤❤❤ crown hapaninyumbani
Nasemajeee crown sihamiiii ❤
jamaa yupo vzr sana
King katisha sana Kai mkali ni jembe
Nimeipenda hiyo🎉🎉🎉🎉🎉
Paul mkai hatar sanaaaaaaaaa
Oyooooooo
Woy woy woy……👏👏👏👏
Salute!
Kazi kazi.🔥🔥
Ahmed mzuli sana nampenda na huu jama
Salute from 🇲🇿
Karibu nyumbani🎉🎉🎉
Waouh !
Kalibu sana crown ❤
Hapa ni nyumbani
swadakta waswadakta tunayachagiza yakimichezoo!
Dah Kweli mnatosha
Sana tu
👑💖👑👑👑👑👑 crown
Nimefurahi Sana Kama vile redio ya baba angu
Vicent Samwel kutoka Kahama Hii Crown naiona kama yanga inavyo tishaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Acha kufananisha crown na vitu vya kijinga
Unique in his introduction so great.....nitakumis kule sports arena
Paul mkai kalibu san Crown media 🎧👑
Alkua media ganj
Mkali wa dimba kalibu sana crown !
Umetisha Paul Mkai, yan kama hicho kipindi umezaliwa nacho, nimependa ulivyojitambulisha KAIBU AHA NHAKAYA KAIBU SANA, Naitwa Rama nipo temeke.
Nimehamia crown mm ni shabiki wa pooo mkai na Hans crown nyumban
❤❤❤❤❤❤
Crown sports
brouh Geoff lea nakukubali sanaa
Paul mkai karibu sana ❤❤❤❤
Huyu mkai ni noma sana
Kwanzia Leo mm na crown tu japo huku Dom Bado haijafka ila ntafanya maandaliz ya kusikiliza uchambuz na uchagizaj
eeeeh bhana eee hii ni noumaaaaa ❤❤❤
🎉🎉🎉
Nataka kujua michezo inaanza SAA ngp hapo crown fm
Apo safi
Sina mashaka na mkali wa dimba!!! 100%
Usajili Bora Sana wa Paul nikama usajili wa chama kwenda jangwan bado mmoja tunamsubiri ambagile
nimependa sana hi k2
🤴🤴🤴🤴🤴🤴🤴
Swadakta wa swadakta, mzee wa taswira! Nenda baba nendaaa
Ambagile mletenk
Bora angebaki wasafi tu
Nipo nanyi kila siku
😁👑👑👑👑👑👑❤️🔥
From now,,nipo crown of coz mm ni team swadakta waswadakta😂
Mumewezaaaaaaa
Daah..ay bhn ndy kazi.Haina namna. Ila BADO ZEE LAKUDELE2😢
.JAPO NMEUMIA HUYU JAMAA KUONDOKA WASAFI FM
Aiseeh Kwa usajili huo mtaua watu wa upande wa pili
Nyienihatariii
Jamani mkai
Maua kwa King 🤴
🔥🔥🔥💯👍
Namkubali sana pomkal
🎉🎉🎉🎉
Hiii 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
🔥
Nimefurahi 😀
Frequency ya Arusha tafadhali
Kweli ni Nyumbani....King kapiga kwenye Mshono....😂😂😂😂😂
Jaaamaa namkubaaalii snaa
Huyu jamaa GEOF REAH, anasauti ya kipekee sana, Juma Ayo , Paul Mkai naye Ndani duuuuh! kiukweli Mimi kuanzia Sasa Radio yangu ya Michezo taarifa na kipindi ni CROWN FM na Joga Bonito
Alikiba saf sana kwa usajili wa huu
Bado mmoja tuuu AMBANGILLE