Huu niusajili bora sana ivi pomkai calikuwa megic fm wsf sshv yupo kwa mfalme 🔥🔥unyama nimwingi tunaomba msilete mapenzi fanyeni kazi msiwe kama kule wsf wao wapo kishabiki kuliko uchambuzi tunawaomba fanyeni kazi iliotukuka tunaamini nyinyi sio kama wale wanafiki
Hii redio inafanya sajili ziviwango sana na ipo siku itafanya mageuzi makubwa sana ila ninacho waomba msije mkaingia kwenye mfumo wamatangazo yakukera kila saa chambueni mada iishe wekeni tangazo kama lipo
Mm kikeke na Kiba ni mdau wenu mm ila napigana sehem na nyie sehem moja kwann msitafute vipaji na watu tofauti na hawa ambao tumewazoe? We need changes lakini mtu huyu huyu alikuwa cloud fm akaenda e fm akaenda wasafi leo anakuja kwenu it's like hata nyie hampo salaam Kuna siku atawahama kuweni wabunifu zaid tafuteni watu wengine wapo vijana ambao ni very talented at all .
Kwakuwa anaiponda uto mnasema hafai lakini kule kuna kitenge na wenzake wanaiponda sana Simba na mnachekelea tuu kumbe mkuki kwa nguruwe!haya kwakuwa mja changia hata kumi kufungua radio msipangie watu cha kufanya!kama imekuuma fungua yako muajili Ally kamwe au hama radio mana huna faida yoyote wala huto tia hasara😂sisi tupo pa1 na crown!
Huyo Jemedari hanagq ishu zaidi ya Majungu na Chuki tu!!! Sasa hivi anafanya unafiki wa Manula kwakuwa ni msimamizi wake!!! Simba hatumtaki Manula amtafutie timu nyingine!!! Jemedari ni mchumia tumbo tu si mchambuzi wa mpira!!!!😂
KIBA, Kuna mchambuz anaitwa Mwamnyan yupo U fm nakuomba umsajili kwa apo tanzania naamin ni namba moja kwa kuchambua mpira kwa ualisia wake, uyo nizaid ya Ambangile wa wasafi hao wengine wengine ni machawa waliojificha kwenye mgongo wa uchambuz.
Dah..... kweli kizur hakikosi kasoro kiba umeleta wachambuzi gani hawa watakuharibia radio yako JEMEDAR na JOFF LEA hawafai hao wanachuki na watu Radio itachukiwa sana hiyo unaona EFM saiv haina mvuto kwa sabbu ya hao watu hasa hasa JEMEDAR hafai kabisa fukuzabiyo
Nilikua miongoni mwa wasikilizaji ila kwa sasa nimejitoa rasm mana huyo JEMEDAR hafai kabisa huyo nikirusi atakuharibia huyo mtoe haraka kiba mshauri wako hafai tafuta mshauri mwengine JEMEDAR wa nn hapo
Safi sana Crown kwa kutuletea wachambuzi sio kule wanakojaza chawa studioni na kuwaita wachambuzi.
Ongereni sana crown.mnaonyesha kama mmekuja kivingine..piga kazi..,crown
Safi sana jana nilikuwa kijiweni na watu wangu tunasema aje jemedar saidi hapo safi sana sibandukj tena 👑👑👑👑
Ma Shaa Allah, show nzuri wanafiatilia nikiwa Mombasa,kenya
Semaji la wasio na sauti💪
Crown mpo vizuri sana
Atabadilikaa ataendanaa na crown
🔥 🔥 🔥 🔥
Crown media iko sawa ❤❤❤
Yes
Huu niusajili bora sana ivi pomkai calikuwa megic fm wsf sshv yupo kwa mfalme 🔥🔥unyama nimwingi tunaomba msilete mapenzi fanyeni kazi msiwe kama kule wsf wao wapo kishabiki kuliko uchambuzi tunawaomba fanyeni kazi iliotukuka tunaamini nyinyi sio kama wale wanafiki
Crown inameza media zingine
Unyama sana
Hongera sana crown mmepata chima hata kofle kama msingemleta ningewashaur kumbe yuko ndio namuona leo
Leo nime subscribe
Dodoma ham2tendei haki CROWN
Usajili mwingi sasa kama Simba mwisho CROWN inaharibu.......😢😢
Jemadar nakukubali
Safi sana mwamba jemedari said kazumari
👑👑👑👑👑👑
Jemedari❤❤❤
Yaani crown mnatuletea chawa
Kwel mmenikera sana jemedar wa nn sas
Kausha acha chuki binafsi kijana....jemedari n mtangazaji mkweli
Wewe nyuma mwiko 😂
Tuliwapenda.crawn.ila.tunawakimbia.kwa.sababu.mmemleta.mfitini
Nice usajilii😊
Jembe sana jemedari saidi
Jemedari said
Hii redio inafanya sajili ziviwango sana na ipo siku itafanya mageuzi makubwa sana ila ninacho waomba msije mkaingia kwenye mfumo wamatangazo yakukera kila saa chambueni mada iishe wekeni tangazo kama lipo
Crown munatisha sana
Crowne🤳🤳🤳🤳🤳🇲🇿
nakukubari jemedari.piga kazi.
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩j.k.v.nawakubali sana kiba mpaka kifo
jemedari. namkubari sana
Azam wanazulumiwa hucoment
Usjar mzuli
Redio ishaaharibikaa
Mmh😦!, haaya ngoja tuone
Mmekuja kuharibu redio😂
Dullah mtu sana
Usiposkiza crown media ujue umekosa mengi
#HappaNiNyumbani
Tishio la Wasafi
Kweli nimewakubaliii
Hapo anahitajik Wilson oruma ili timu nzima ikamilke ya jemedar,geof,na oruma
Asiharibu CV YA TV YA CROWN
huyu ni.mkweli ndio mana hamumpendi
Nipo p1 na ww@@AliAhmed-jf9ys
Waizi 2 hawa hawana tofaut na akina debora
Mwamba kabisaaaa
Atuji tenaaa😅
Huyu jamaa kwanini hapendwi kiasi hiki😢😢😢
ana pendwa sana tena sana
Tatizo lake yupo selectively sana
Mm kikeke na Kiba ni mdau wenu mm ila napigana sehem na nyie sehem moja kwann msitafute vipaji na watu tofauti na hawa ambao tumewazoe? We need changes lakini mtu huyu huyu alikuwa cloud fm akaenda e fm akaenda wasafi leo anakuja kwenu it's like hata nyie hampo salaam Kuna siku atawahama kuweni wabunifu zaid tafuteni watu wengine wapo vijana ambao ni very talented at all .
Safi Sana Naunga mkono HOJA
Mimi naona washasoma comment zenu na Niko nauwakika watamuongelesha atanyooka tu maana crown Media sio ulele mama tu
Yanga tumefurahi sana jamaaa mwonginkila siku kuisema vibaya timu yetu.afadhali kaicha efm yetu pia
Amejiunga na Crown ?
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Kiboko
Management inapaswa kuwasimamia lasivyo Kuna baadhi ni wahalibifu kwa kuweka mambo Yao binafsi mbele kuliko taasisi
Kuna mchambuzi 1 alikuaga radio Frir akachaga akaenda crask kwasasa hayupo
Sw hatutaki majungu
Koloooo amekaribishwa ukoloni
Dah..mnasajili kama simba yani ..bora jamani maana ile redio ya machawa ilitucchosha
Msemaj wa wasio na saut
Hii redio sintaiskiliza tena
Aya wakomoe 😂😂 ,, tupo tutawasikiliza sisi
subili baba ako afungue redio yake ndio usimpe kazi jemedari acha roho ya kunguni
Hii redio imekufa kabla ya kukua huyu Jemedari Saidi ni kirusi kibaya sana yaaan mahali ambapo yupo lazima atiee fitinaa,chuki, migogoro,na umbeaaa
Kwenda babuu imekufa imekufa hyo vepe ndio kwanza tunaanza
Shughuli imeharibika Sina hamu Tena na kipindi chenu JEMEDARI ataharibu sana
Nenda tu hujaitwa
JEMEDARI hata mimi simkubali, Ana mambo yake binafsi na mapenzi binafsi kwa timu..
@@kabujeasukile5462 kwani mumelazimishwa tuachien crown ye2 rudini wasafi
WATANZANIA HAMPENDI UKWELI JEMEDARI SEMA UKWELI BA MDOGO
Da hapa kwahuyu kiba umepuyanga
MWENYE STUDIO AMEFERI KUMWAJIRI JEMEDARI SAID
hulaumik huo ndio mwisho wa fikra zako
wambie wakuajiri ww
Mimi nimeajiriwa
Saf sanaaaaaaaa
Jemedar!!!
Kumbe nyinyi utopolo watu wa majungu sana hamuamini pahala mpaka pawepo na mwana yanga na kukijuwa ni Samba munaleta ushoga
Kwakuwa anaiponda uto mnasema hafai lakini kule kuna kitenge na wenzake wanaiponda sana Simba na mnachekelea tuu kumbe mkuki kwa nguruwe!haya kwakuwa mja changia hata kumi kufungua radio msipangie watu cha kufanya!kama imekuuma fungua yako muajili Ally kamwe au hama radio mana huna faida yoyote wala huto tia hasara😂sisi tupo pa1 na crown!
hapa kiba umepwiyanga
Tulia we utopolo mnabebwa humanity kuambiwa ukweli
Hapa ni nyumbani lkn kwa usajir huu mmechemka
Kati vitu nilivyofurahia sana huyu jamaa kuhama . professor Fanya mambo kaka leta chuma kingine
Hili jinga na majungu yake linaenda kuwaharibia radio yenu
Sawa acha atuaribie kwanza wote wanaomchukia huyu bwana jua hana elimu ya kutosha waliosoma wote hawana chuki kama hizo
@@rohityalsina1840 una elimu wewe au hivyo vyeti feki ndio vinakufanya ujione msomi
Hapo nimewakubari
Bado fundi mmoja AMBANGILE
Ondoa,huyo jemedari ndo mzandiki wa kwanza,haongei mpira Ana majungu tu na,fitina
Wewe humpendi tu jemedari , huyu jamaa anaongeaga ukwelitu
Jemedari msema kweli ,wew unamahaba na yanga Yako tu
Muacheni jamani apo sehemu ya kazi uwezi kumpangia mtu bhana ata kama ana chuki na timu frani jaman
Aaah mamae jemedari tena 🤔
Mmeharibu media yenu
Huyu kaja kuharibu redio
Bado wilisoni oruma mze wa jambia
Msiifiche bendera ya Tanzania chini ya meza. Naona mtakuwa mmeisahau kuiweka mezani.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Umefanya na niitafute mpaka nimeiona
Mmeikosea sana hapo kumlet jemedar tuliacha kufatilia efm kwa sababu ya unafiki na uongo wa huyo jamaa sasa mmeanza yaleyale mnafiki sana
We koma.peleka ushoga wako huko huko.mtoto wa kumbe unakua mbeya.kuoga aaaaaaa
@@jareengeorge5478 Atalii
Huu usajiri wa Jemdar sijaupenda haki
Anachambua mpira akiwa na chuki na ushabiki wa timu flani hachambui uhalisia wa mpira😏😬
Machawa wa uto ndo wanamponda jemedar
Bado mmoja tu nianze kusikiliza Efm nasubiri aondoke mzee wa kijambio sasa
Kitendo cha kumuweka huyo kazumari nimeamn hamko serious kabisa huyo tulishamchoka hatuwezi kuka na mchambuzi anaye apa kwa kitu ambacho hakijafanyika
Rasmi mm n shabiki wa jemedar
Huyo Jemedari hanagq ishu zaidi ya Majungu na Chuki tu!!! Sasa hivi anafanya unafiki wa Manula kwakuwa ni msimamizi wake!!! Simba hatumtaki Manula amtafutie timu nyingine!!! Jemedari ni mchumia tumbo tu si mchambuzi wa mpira!!!!😂
KIBA, Kuna mchambuz anaitwa Mwamnyan yupo U fm nakuomba umsajili kwa apo tanzania naamin ni namba moja kwa kuchambua mpira kwa ualisia wake, uyo nizaid ya Ambangile wa wasafi hao wengine wengine ni machawa waliojificha kwenye mgongo wa uchambuz.
Fact mzee
Nyinyi akina jemedari na jofri msiiharibu hii redio kwa umbea wenu watu wakaikimbia kama walivyo kikimbia kile kiredio chenu
Dah..... kweli kizur hakikosi kasoro kiba umeleta wachambuzi gani hawa watakuharibia radio yako JEMEDAR na JOFF LEA hawafai hao wanachuki na watu Radio itachukiwa sana hiyo unaona EFM saiv haina mvuto kwa sabbu ya hao watu hasa hasa JEMEDAR hafai kabisa fukuzabiyo
Acha roho mbaya kijana
Jemedari cyo mtu wa mpira,Amejawa na ushabiki kabusa,majungu,ondoa huyo,Atawaharibia Redio yenu
Nilikua miongoni mwa wasikilizaji ila kwa sasa nimejitoa rasm mana huyo JEMEDAR hafai kabisa huyo nikirusi atakuharibia huyo mtoe haraka kiba mshauri wako hafai tafuta mshauri mwengine JEMEDAR wa nn hapo
Wewe unapunguza Nini hasa hata ukijitoa
Mtu wa mana kabisa jemedari humo tu humo tu
Jemedari bin kazumari ulipo tupo....
Mwambaaaa