HISTORIA YA ISRAEL MBONYI ALIKOZALIWA MAISHA NDOA AVUNJA REKODI MAFANIKIO KUJA TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @evasavai956
    @evasavai956 หลายเดือนก่อน

    Ananitia moyo sana na nyimbo zake mungu amubatiki sana

  • @AnisaMwende
    @AnisaMwende 3 หลายเดือนก่อน

    Israel mungu aedelee kukubariki
    Nyimbo zako zanibariki sana,

  • @MICHAELMWANDOPELO
    @MICHAELMWANDOPELO 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ama hakika nyimbo zako zinabariki sana Asante sana mwandaaji wa makala hii aje sasa tanzania

  • @AWARDMWASHILINDI-bp2ze
    @AWARDMWASHILINDI-bp2ze 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuinue zaidi mtumishi

  • @user-vu8fz3bn7v
    @user-vu8fz3bn7v 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa sauti ya kusimulia manyanya ubarikiwe Sana nakuombea ufike mbali zaidi nashangaa kwanini watu hawajasabribe na kutazama Kwa wingi I'm from Rwanda Manyanya karibu rwanda

  • @margaretwangwe937
    @margaretwangwe937 4 หลายเดือนก่อน

    Asanti sana Mungu kwa Mtoto wako Mboyi. He singing from his heart very powerful songs .

  • @MuragiziAlex
    @MuragiziAlex 2 หลายเดือนก่อน

    Unatujenga Sana lafikiyangu mungu akubaliki sana

  • @tabithamawia8830
    @tabithamawia8830 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu aendelee kukubariki

  • @lawrencengwada1139
    @lawrencengwada1139 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu amuinue zaidi huyu mana nyimbo zake zinabariki sana

  • @EstherOmosa-bx1kt
    @EstherOmosa-bx1kt 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutie nguvu

  • @margaretkarambu936
    @margaretkarambu936 4 หลายเดือนก่อน

    Nampenda tu sana❤

  • @AffectionateJukebox-tj9iz
    @AffectionateJukebox-tj9iz 6 หลายเดือนก่อน

    Amen hua nabarikiwa sana na nyimbo zake kwa kweli ubarikiwe mnoo

  • @babucleva2785
    @babucleva2785 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ama hakika nabarikiwa na mtangazaji manyanya anaesimulia kwa leo nimemfahamu mbonyi nyimbo zake zinabariki sana

  • @exavelymwashilindy5916
    @exavelymwashilindy5916 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu amuinue zaidi

  • @jessiejessilynmandebvu
    @jessiejessilynmandebvu หลายเดือนก่อน

    English please please

  • @HeriMagwaza-cd4wg
    @HeriMagwaza-cd4wg 6 หลายเดือนก่อน

    Kweri mungu ukimjilia hukuinua kwelikweli

  • @user-me7lg1dk4f
    @user-me7lg1dk4f 4 หลายเดือนก่อน

    Nipo omani ila akija tanzania nitafulahi sana maana napenda sana nyimbo zake haswa za kinyarwanda

  • @ZawadiMwashambwa
    @ZawadiMwashambwa 5 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana

  • @JaneMdahe
    @JaneMdahe 5 หลายเดือนก่อน

    Namkubali sana sana