Dignity, stature, articulate, astute...some of the words one can describe these two excellent leaders. We can a lot from some of such historical values...And to think not many these days (esp the younger generation) know who Mwalimu Nyerere was!
Alikuwa kiongozi, alikuwa mwana mapinduzi halisi wa Afrika, ameisaidia hata China kukubaliwa hata kwenye Umoja wa Mataifa, DAIMA tutakukumbuka , pumzika Kwa Amani mwalimu Nyerere.
Hayati J.K Nyerere. Ndiye aliekuwa na sifa ya urais. Uadilifu, uzalendo na mwenye huruma na watu na nchi yake, The rest ni majanga, ntawakumbuka kwa ufisadi, ubadhilifu, kujilimbikizia mali /kijitajirisha wenyewe!!!!!!
Wow!! This is amazing piece of Kumbukumbu. Two great leaders of the 20th Century. We Miss you JKN and JFK, and RIP both of you, and thanks for ur great leadership, courage and the will to serve the people.
Thanks on this clips let us remain tanganyika nation repablic United of tanganyika Wakati mwalimu nyerere uongozi wale ktk tanganyika nation Utawala wale kabla hatumaungana na Zanzibar Akiwa marekani mwalimu na mawaziri wa mambo ya njee akipata Uhuru wake wa tanganyika Akipewa heshima ya taifa letu Uhuru wetu We have fighting for our freedom through our founder father late Julias kambarage nyerere today few polition and forenor outside of tanzania put us on slevering Economy for our own resources Huu ni utumwa ktk taifa letu kilasiku watanzania kulalamika Viongozi wetu wameshindwa kuwa na new vition km mwalimu alivyotufundisha ni maana ya umoja wetu Hij ilikuwa mwala 1963 mwalimu nyerere akiwa Ndani ya marekani rasmi akitambuliwa na nchi za magaribi kuwa ni kiongozi wa tanganyika
Omary Hussein Libenanga unaweza kumfufua kwa kufanya zaid ya alivyofanya km unahisi jamii ilimpenda kwa kuitumikia bs ww tumika zaidi na mwingine na mwingine hatimaye tutajikuta yale tunayoyamis yanaonekana
EEEEEbwana we natamani Kulia Asante sana MUHIDIN MICHUZI Kwakutufaha misha vitu na mambo ambayo hatuja wai Yaona Hata kuyafikiria Our Former President (RIP)Mungu Aweke Roho Yako Mahali Pema Peponi Natamani Kulia Nilikuwa Hata Sija Fikiriwa Kipindi Hicho Leo Na Jionea Kamaa Nipo Vile Sehemu Ya Tukio Mungu Ibariki Tanzania
We will tell the story abt you to our next Generation that we were blessed to have you as our lovely and best president ever the true son of Africa ...Mungu akupumzishe sehemu salama Baba wa Taifa letu TANZANIA
Hilo upo sahihi, yaani kwa mwonekano utadhan ana huruma kubwa kumbe ameenda kuchukua madaraka kanisan huko white fathers ili aje kuangamiza waislam East Africa
They are corrupt and not committed to the welfare of their people. They are thieves!! White people respect intelligent people d have who are not corrupt and have high integrity. He could speak their language fluently.
This Great Homage Reflects The Redemptive,Reberative and Spiritual Sanctity By Our Former Father of The Nation,Tanzania"Ooh Lord Enrich Our Leader with Eternity Heavenly Graces,Amen"
Mwl nyerere alijenga Taifa lenye usawa Kwa kila sekta Elimu,Afya,ulinzi,wakulima na wafanyakaxi alisimamia kweli na haki,Eeeee baba tutakukumbuka daima amen
I have no idea if president ''Nierere'' knew his short statement about building a just society, of equality of native Tanganyikans and my immigrant father from Somaliland and his cousins, and many others from India, Yemen, British etc. had massive implications for US domestic politics on Civil Rights struggles; the WH staff, the Press and I suspect president Kennedy himself grasped the implications of that speech, and was smiling graciously/thoughtful/admiringly.
Jimmy Mukasa,Mtukufu ni Mwenyezi Mungu tuu. japo tunampenda Mwl Nyerere ila hii kufuru tuiache tutamchoma moto buree. Mwenyezi Mungu anawivu kuna majina hayatakiwi kichangia na wanadamu.
Nyerere was a strong leader when he said that he loved his people.That is why he said """""every time i think about the united states and also i think the freedom of my people""". Good speech of nyerere in 1963.
Baba tumekuelewa, tunakukumbuka sana wajukuu hadi vilembwe keze katika uongozi wako. Bado tuna matatizo, japo umetupa njia ya kusolve, wenye uwezo wa kusolve wamekaa kimya.... Keep praying for our Country Father
RIP both leaders of these two nations . You are both very missed Nyerere as founding father who lead Tanganyika to it's independence and now Tanzania when Zanzibar and Tanganyika merged together as one nation called Tanzania. Kennedy was a leader who was admired around the world. World has lost two true great leaders of their generation
Utakumbukwa daima baba wa taifa wakati huo haikua rahisi mutanzania kufika USA 🇺🇸 RIP
.....ulikuja Kama malaika na uliondoka Kama malaika, kwa kher Baba Nyerere !
True definition of being African president
hello world, donot forget to give your life to jesus christ, for he is de only way to heaven
Siku moja nitaweza kuwa kama nyerere
Dignity, stature, articulate, astute...some of the words one can describe these two excellent leaders. We can a lot from some of such historical values...And to think not many these days (esp the younger generation) know who Mwalimu Nyerere was!
Alikuwa kiongozi, alikuwa mwana mapinduzi halisi wa Afrika, ameisaidia hata China kukubaliwa hata kwenye Umoja wa Mataifa, DAIMA tutakukumbuka , pumzika Kwa Amani mwalimu Nyerere.
Marais wetu dah vizur havidumu😭
Hayati J.K Nyerere. Ndiye aliekuwa na sifa ya urais. Uadilifu, uzalendo na mwenye huruma na watu na nchi yake, The rest ni majanga, ntawakumbuka kwa ufisadi, ubadhilifu, kujilimbikizia mali /kijitajirisha wenyewe!!!!!!
itv sm
Thank you Mwl. JKN now we see all your value for struggling for Tanzania. Rest ib peace n i will alwayz miss u my Baba wa Taifa
what? He is not even reading a speech yet soooo fluent. Mwalimu indeed. Love from a Kenyan.
Pia President John Kenned I thanks You For You're Hospitality Kwa Raisi wetu Pia Msaada Wa Maindi Uliowapa Mababu zetu Kipindi Hicho
Hahh, toa vizibitisho
Excellent speech from the father of national (Tanzania)
Everytim I think in USA, I think in the freedom of my people
Nyerere 🙏🏾🙏🏾
Wow!! This is amazing piece of Kumbukumbu. Two great leaders of the 20th Century. We Miss you JKN and JFK, and RIP both of you, and thanks for ur great leadership, courage and the will to serve the people.
TUTAKUKUMBUKA DAIMA KIONGOZI BARA AFILIKA BURIANI MWALIM"NYERERE
big speech
Baba wataifa wanyonyajji walimuogopa kama magufuli jaws niwazalrndo
Aisee mimi nashangaa tu yaani video nzuri tu halafu imeeditiwa 1963 kweli duh.
Thanks on this clips let us remain tanganyika nation repablic United of tanganyika
Wakati mwalimu nyerere uongozi wale ktk tanganyika nation
Utawala wale kabla hatumaungana na Zanzibar
Akiwa marekani mwalimu na mawaziri wa mambo ya njee akipata Uhuru wake wa tanganyika
Akipewa heshima ya taifa letu
Uhuru wetu
We have fighting for our freedom through our founder father late Julias kambarage nyerere today few polition and forenor outside of tanzania put us on slevering Economy for our own resources
Huu ni utumwa ktk taifa letu kilasiku watanzania kulalamika
Viongozi wetu wameshindwa kuwa na new vition km mwalimu alivyotufundisha ni maana ya umoja wetu
Hij ilikuwa mwala 1963 mwalimu nyerere akiwa
Ndani ya marekani rasmi akitambuliwa na nchi za magaribi kuwa ni kiongozi wa tanganyika
Short and Clear! Hakuna Kuandika andika. Both wapo Safi sana. We Miss you both. Great People.
Ingekuwa walio kufa ukitaka wa fufuke mm wakwanza ninge pendekeza nyerere arud tena hali ilivyo Tanzania kwa sasa
Omary Hussein Libenanga unaweza kumfufua kwa kufanya zaid ya alivyofanya km unahisi jamii ilimpenda kwa kuitumikia bs ww tumika zaidi na mwingine na mwingine hatimaye tutajikuta yale tunayoyamis yanaonekana
EEEEEbwana we natamani Kulia Asante sana MUHIDIN MICHUZI Kwakutufaha misha vitu na mambo ambayo hatuja wai Yaona Hata kuyafikiria Our Former President (RIP)Mungu Aweke Roho Yako Mahali Pema Peponi Natamani Kulia Nilikuwa Hata Sija Fikiriwa Kipindi Hicho Leo Na Jionea Kamaa Nipo Vile Sehemu Ya Tukio Mungu Ibariki Tanzania
speech bila kusoma kwenye makaratasi big brain
kifo chako ni hasara kwetu mungu angetuachia kwanza leo hii tunaishi kwa wasws kama si nchi yetu pumk kwa amani baba wa taifa letu from mara tzn
Nyerere ni mtu mwingine kwenye hili bara la AFRICA.aliheshimika sana duniani,hakuna wa kuvunja hiyoo rekodi
mtanzania mzalendo jakayaya k
Yuko wap
mapokezi haya sidhani kuna kiongozi wa Africa ataweza yapata tena, RIP Nyerere
Sebastian Nkoha 😴
Kiukweri nyerere alikuwa mtu wawatu
Mbwa tu huyo ndo naana
bio
Sebastian Nkoha aisee hakuna tena
HE IS A HEROES MWALIMU JULIAS KAMBARAGE NYERERE AND JOHN FETZGERRALD KENEDY,,, R.I.P J.K NYERERE🇹🇿🇹🇿🇹🇿,,, 🇺🇸🇺🇸🇺🇸R.I.P J.F KENNEDY🇺🇸🇺🇸🇺🇸,,,...
tumkumbuke mwalimu
akuna atakae weza kumfikia baba yetu nyerere ao wote w xaiz n ubabaixhaji t
Hakuna MTU wa mrithi mwlm
Billy Jesse na jpm??
We will tell the story abt you to our next Generation that we were blessed to have you as our lovely and best president ever the true son of Africa ...Mungu akupumzishe sehemu salama Baba wa Taifa letu TANZANIA
nyerere alijenga kanisa vizuri sana akatuachia bakwata Allah amlipe kwa kuuwa mslm
Hilo upo sahihi, yaani kwa mwonekano utadhan ana huruma kubwa kumbe ameenda kuchukua madaraka kanisan huko white fathers ili aje kuangamiza waislam East Africa
RIP a former president of Tanganyika respect you ever with your precious movement look for freedom for Africa.
uriongoza nchi ya wasio soma sasa wamesoma 😈😈😈😈😈😈😈😈😈
People die, bt legacy never die, sema ujui tu
Namuona oscar kambona
Nyerere anazungumzia nn apo?
No!!! I say no no 1 like Nyerere
African Leaders aren't anymore getting this kind of humble welcoming parade.
They are corrupt and not committed to the welfare of their people. They are thieves!! White people respect intelligent people d have who are not corrupt and have high integrity. He could speak their language fluently.
Nyerere anatema ngeli Kama mm kimoyomoyo ilanikifungua kinywa sasa majanga yanaanzaga😂😂🤣
Shock & awe reception this was meant....awesome;
You was man of awareness and man of principles too we miss you much papa Africa.
Hiki kichwa nakikubali sana Mungu amlinde aisee
RIP wote nahs mmekutana huko
very good memorial event
RIP my baba wa Taifa
Farewell Mwalimu .
The president of Tanganyika
Duu miaka hiyo kishuwa sanaaa mwarimu baba WA taifa wetu Yan kumbe tunarshimika ivi like dege nabu Soo pow daaa kichwaaaaa chetu jamani hongera baba
Great leaders. May they continue to rest in peace.
Alafu kuna maboya wanamfananisha na msukuma mmoja kutoka chato
Nilikuepo White House
pitia hapa pia kutazama historia ya mwalimu nyerere th-cam.com/video/aN5J4_NhfJs/w-d-xo.html
youwap mwalim nyele
aisee itabaki history kweli
Hata nfan hujaruhuxiwa kuingia kweri ulikuwa raic wa maboya na we ukiwa boya
Mwalimu kiongonzi bora maisha yote
I like the idea of what he was addressed to the public
This Great Homage Reflects The Redemptive,Reberative and Spiritual Sanctity By Our Former Father of The Nation,Tanzania"Ooh Lord Enrich Our Leader with Eternity Heavenly Graces,Amen"
No one like JKN in Tz , Africa n' da world at large! RIP Mwl. RIP JFK
Nani Yuko hapa anamuwaza nyerere kama Mimi?
Mm npo apa
Mwl nyerere alijenga Taifa lenye usawa Kwa kila sekta Elimu,Afya,ulinzi,wakulima na wafanyakaxi alisimamia kweli na haki,Eeeee baba tutakukumbuka daima amen
Kweli nyerere ulitishA
I have no idea if president ''Nierere'' knew his short statement about building a just society, of equality of native Tanganyikans and my immigrant father from Somaliland and his cousins, and many others from India, Yemen, British etc. had massive implications for US domestic politics on Civil Rights struggles; the WH staff, the Press and I suspect president Kennedy himself grasped the implications of that speech, and was smiling graciously/thoughtful/admiringly.
Nakuwaza wewe nyerere
I miss you babu 😭😭
Alikuwa kijana babu yet r.i.p
Hata mjomba Mgu nadhani akienda kwa trampo atapokelewa namna hii!!!! R.I.P tichr father jk
KingYehoshafati Bornerys daaa kuna kenge nyingi humu,miska ya 60 anaonvea engli smooth huyu kasoma ns computs mpakato il cha maji hajui,usifananishe
Rip your exelencies both Nyerere and Kennedy
wonderful speech by the late Presidents
Ni marais wachache Wa afrika waliogika white house
Mic u sn, haters wanaumia tu huku!
@Fredrick Wanateseka san yaan na watafurahi na roho zao wanaomchukia Nyerere the Great
Amakweli dunia mapito duh,
Hayati Mtukufu Raisi Mwalimu JK Nyerere, Mungu akuweke wahali pema peponi. Nitakumbuka daima ushujaa wako na kuuhadithia vizazi vyangu.
lowasa
Jimmy Mukasa,Mtukufu ni Mwenyezi Mungu tuu.
japo tunampenda Mwl Nyerere ila hii kufuru tuiache tutamchoma moto buree.
Mwenyezi Mungu anawivu kuna majina hayatakiwi kichangia na wanadamu.
What a honour sir!
Kikwete Ametandika trip nyingi hadi wanashindwa kumpokea kwa heshima hivi
I like the speech of intelligent person
nc
tutakukumbuka sana mwalimu
Kwakwel inapendeza sana
Mwalimu wetu
scout mwambene
nyerere eee nyerere
1963 I was a student at lukula primary school in Tabora region and our school received so many aids from the late President John Kenedy.
Urafiki wa John Kenedy na mwalimu Nyerere utakumbukwa milele.
Your pupils not a student
Julius africa best leaders
Hivi hii heshma bado tunayo?
Neema Elsek
hakika Mungu alikuchagua baba may ur soul rest in peace
am remember mwlm j nyerere thank you
kweeeeeeeeeeee
Kipindi icho America, rais alikuwa nani?
Jones George J F Kennedy
John kennedy
Awesome 👏
Ee Mungu
No one like JKN in Tz , Africa n' da world at large! RIP Mwl. RIP JFK
Nyerere was a strong leader when he said that he loved his people.That is why he said """""every time i think about the united states and also i think the freedom of my people""". Good speech of nyerere in 1963.
OK
Great speaker nyerere
Mr presida on behalf on himself!!! We miss u mwalim
Sasa mnakomenty kiswAhili araaaa imekuwa nongwa wengine hatukijui
VERY WISE AND RIP MWL.
Wow nyerere was good in english
very good at english
leadership event ...me likke it
Baba tumekuelewa, tunakukumbuka sana wajukuu hadi vilembwe keze katika uongozi wako. Bado tuna matatizo, japo umetupa njia ya kusolve, wenye uwezo wa kusolve wamekaa kimya....
Keep praying for our Country Father
dictator
PIPITOLO II dicator is the wrong word tyrant is the correct word
Love u forever.
it's good,
Rip baba Nyerere, kambona na Kennedy
RIP both leaders of these two nations .
You are both very missed
Nyerere as founding father who lead Tanganyika to it's independence and now Tanzania when Zanzibar and Tanganyika merged together as one nation called Tanzania.
Kennedy was a leader who was admired around the world.
World has lost two true great leaders of their generation
very wise