Barakallahu fik Ya Sheikh, jambo la kuskitisha vigogo vya elmu wakongwe kama hawa wenye elmu na busara wanafaa kuangaziwa zaidi kwenye mitandao tufaidike kabla hatujawapoteza. Allah amrefushie umri kwenye twa'a yake Allah
Shekh kama huyu akikusomesha lazima ufaham nakuzingatiya niaina ya wale walimu ambao wakikupa lesson leyo kesho kabla kuendele lesson nyengine kwanza utakutana na naswali ya lesson ilopita yaani mwalim Allyan yuko vizuri sana masha Allah
KIJANA ULIEANDIKA KICHWA CHA HABARI SIO UMUHIMU WA SURATUNNAS..BALI SURATUL-IKHLAAS(قل هو الله احد...) AU na weye ndio katika hao wasiojua...basi usione tabu kurekebisha..
Barakallahu fik Ya Sheikh, jambo la kuskitisha vigogo vya elmu wakongwe kama hawa wenye elmu na busara wanafaa kuangaziwa zaidi kwenye mitandao tufaidike kabla hatujawapoteza. Allah amrefushie umri kwenye twa'a yake Allah
Shekh kama huyu akikusomesha lazima ufaham nakuzingatiya niaina ya wale walimu ambao wakikupa lesson leyo kesho kabla kuendele lesson nyengine kwanza utakutana na naswali ya lesson ilopita yaani mwalim Allyan yuko vizuri sana masha Allah
Mashaallah Walsam Warahmatullah Wabarakatuh Allah Akuzidishie Afya Nzuriy Maalim Yarabiy
Mashaallah Allah Awazidishie
Walsam Warahmatullah Wabarakatuh Mashaallah Barakallahfiy
ALLAH atujaaliye tuipate laylatul qadri amiin..
Nimempenda huyu sheikh kwa ajili ya Allah.MASHA ALLAH
Nimependa babu
7
Mashaa Allah
MaAshllh Allah akuhifadh sheikh wetu...
JazakaAllah kheir sheikh Alyan
Allah subhaanahu wataala akuhifadhi 🌹
Mashallah jazakallah kher
Masha Allah😘😘💕💕💕
Mashallah mwalimu wangu wa swarfu mwalimu Allyan
Mashaallah sheikh shukran jaziila
Salallahu Alaihi Wasalam
Shekh alhamdulilah mashallah malim aly yan
MashaAllah_🙏
Mungu akutunze malim hekima zako muhim tunaomba uwe na kipindi cha kuwaidh mada mbali mbali
mashallah
Mwenyezi mungu akuripe mashaarah
Asante asana shekhe.
maashallah maashallah Allah akujaze Kheri Amiin yaarb ala min nimejifunza
Asante shekh kwa kutuzindua tumepata faida kubwa.
Ma sha Allah mzee wetu mzuri Allah amzidishie wekeni video zake nyingi tuone
Hana video nyingi
@@aliabdalla9297 yupo wapi
Ameen
Mashaallah
MashaAllah
Shukraan Sana sheikh wetu
رضي الله عنه
Mashekhe wetu hao
shekhe Ally anakaa zenji sehemu gni
Anakaa mchangani mjini karibu sana na msikiti wa mchangani
Allah Akbar!mwenye namba yake tafadhali anisaidie, amenigusa sana
💔💔💔👏
Nimefaika na mawaidha yako mash allah
Hapo kwenye mlango wa chooni 😂😜kaa kitako usijione kama mnajua hamjui chochote
Huyu skhe kamanda
KIJANA ULIEANDIKA KICHWA CHA HABARI SIO UMUHIMU WA SURATUNNAS..BALI SURATUL-IKHLAAS(قل هو الله احد...)
AU na weye ndio katika hao wasiojua...basi usione tabu kurekebisha..
Huyua kakosea pengine anajua kuliko wewe
Kaeni chini. Nyote hamjui 😅😂🤣
Kamanda kwel
Mashallah