Namna Ya Kuoga Janaba /How to perform Janaba - PART 4

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 823

  • @abaafarhat9191
    @abaafarhat9191 3 ปีที่แล้ว +8

    Allah akbar mungu huleta viumbe wa kipekee kama hawa kueneza elimu yake wallah huyu jamaa nimempenda kwa ajili ya Allah(subhanna wataala) mungu akulipe kila la kheri inshaallah nakuombea kwa Allah najiuliza ni watu wangapi wamepata elimu hiyo wakaelewa wallah ukiendelea hivyo malipo yake mungu ndo anajua

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 ปีที่แล้ว +236

    Maa sha Allah, raha sana ukiwa na mume kama huyu mwenye uelewa wa dini, yarabbi tujaalie waume wenye elimu ya dini wapate kutuongoza.

  • @mozazahor7161
    @mozazahor7161 3 ปีที่แล้ว +64

    Dah subhanallh nilikuwa nafanya makosa sana 😭 alhmdulilh sasa nimeelewa shukran allh akulip ujira mkubwaaa amyn 🤲

  • @husseinalieth4346
    @husseinalieth4346 ปีที่แล้ว +5

    Maasha Allah..nmeoa juzi na nmejifunza kitu.. jazaakul khair brother katika imani

  • @Kiyara0000
    @Kiyara0000 10 หลายเดือนก่อน +3

    Masha Allah jazakallah khaira nakumbe ugumu unasababishwa nabaadhi yawalim Alhamdulillah

  • @presharsbadru9794
    @presharsbadru9794 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah, ustadhi naomba kujua je, kwa mwanamke umekuwa na janaba harafu ukakutwa na hedhi je unatakiwa uwogeje hapo au unasubili hedhi iishe.

  • @mohamedmakalo5851
    @mohamedmakalo5851 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah awajaaliye kwa kutupatia elimu sisi ambao tulikua hatuyajui haya.

  • @hassanalikombozanzibar1192
    @hassanalikombozanzibar1192 5 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akulipe inshallah umetufungua macho sisi wengine

  • @muhadiba3708
    @muhadiba3708 2 ปีที่แล้ว +4

    Miongoni mwa vikundi bora vya mazoezi kuwahi kushuhudia

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 3 ปีที่แล้ว +28

    Wallah huyu Jamaa katufunza frshy sana ...Mungu akupe umri mrefu In Sha Allah

  • @adaljumar_official8717
    @adaljumar_official8717 3 ปีที่แล้ว +1

    mashaallaah darsa nzurii xana maalimuuHapo mwisho kuosha mwilii nzima jee ukishika sehemu za sirii jee kuna tabuu apoo

    • @seifsuleiman846
      @seifsuleiman846 2 หลายเดือนก่อน

      unaweza kushika ila ukitaka kwenda kuswali lazima utie udhu mwengine

  • @eunicebaiby7655
    @eunicebaiby7655 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah barikiwa sana kaka kwa mafunzo yako mema🙏🙏.

  • @TatuRashid-d6t
    @TatuRashid-d6t 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akupe kheri hiyo Elimu ushautoa Mungu akulipe mema na firdaus yawe makazi yetu sote

  • @zamzamidrissa4182
    @zamzamidrissa4182 3 ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaa Allah.. Shukran..Allah aendelee kukupa afya njema ili tuendelee kupata elimu kutoka kwako.

  • @bitumujuma5383
    @bitumujuma5383 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah Allah hawape umri mzidi kutufundisha mema.. Wallahi Kuna watu hawajui hata kuoga janaba...

  • @abdulsaidi7007
    @abdulsaidi7007 3 ปีที่แล้ว +53

    ALLAH akuhifadhi maalim na akulipe kheri zaidi kwa hiki unachokifanya kwasababu ni mafunzo na tunafaidika inshallah

    • @khamalyali9815
      @khamalyali9815 ปีที่แล้ว

      Asalam alaykum. Hukupatia ila umejitahidi umekosea kdg t Allah akubarik

  • @seifchembela4346
    @seifchembela4346 3 ปีที่แล้ว +20

    Ivi ndo namna ya kufundisha alhmdulilah mwenyezimungu akulipe heli nyingi isha allah

  • @hashimumussa7440
    @hashimumussa7440 3 ปีที่แล้ว +12

    Umetupa faida kubwa Sana ama kweli Allah akufanyie wepesi kaka

  • @MwajumaMajahazi
    @MwajumaMajahazi ปีที่แล้ว

    Mashaallah mungu akupe umli mrefu ili uweze kutufundisha zaidi yahayo amina

  • @calmness4348
    @calmness4348 4 ปีที่แล้ว +45

    I really appreciate u brother..U explained very nicely.. Even though I can't understand ur language..May Allah grant u jannah

    • @theavmedia5374
      @theavmedia5374 3 ปีที่แล้ว +3

      How did you know he explained very nicely if you couldn’t understand the language 😅😂🤣

    • @hamisirajabu7207
      @hamisirajabu7207 3 ปีที่แล้ว +3

      @@theavmedia5374 its not necessarily to understand through oral language sometimes symbolic language is very clear to understand

    • @calmness4348
      @calmness4348 3 ปีที่แล้ว +5

      @@theavmedia5374 He did physically brother,
      Most of them just explain but he did it practically!

    • @othmankhamis8117
      @othmankhamis8117 2 ปีที่แล้ว

      @@calmness4348 shortly je explain how bath janaba, firsty SAID you should wash your private party, than yake udhu as you want to pray, than start wash your head, than wash your body by start With right hand starting on the head to the toe, than you do the sana au left hand, than insist that "if you are fat one you must make sure some water spread in hilo body

    • @swalehabuu3274
      @swalehabuu3274 2 ปีที่แล้ว

      What you just complain about is not nessesary

  • @ShafShamat
    @ShafShamat 4 ปีที่แล้ว +9

    Jazaaka Allahu khaira, Mungu akulinde na akulipe heri in shaa Allah uzidi kutukumbusha mengi kuhusu dini yetu.

  • @princeswaibu807
    @princeswaibu807 ปีที่แล้ว +4

    Nmefaidika sana brother, Allah akurudishe mema ✋️ 🙏

  • @rashidhusain2958
    @rashidhusain2958 3 ปีที่แล้ว +22

    Mashaallah Babuzi Allah akupe umri uzidi kutuelimisha na akulipe ujira mkubwa siku ya malipo

  • @bweleoicon1994
    @bweleoicon1994 9 หลายเดือนก่อน +1

    Marshall Allah akujalie ilim zaidi kuokowa umatihuu juu ya elim ya Dini sahishi

  • @ummuhkhalfan5542
    @ummuhkhalfan5542 3 ปีที่แล้ว +12

    Masha'Allah Allah akulipe jaza yako na akuwekee katika amali zako njema

  • @jamilshisia5929
    @jamilshisia5929 4 ปีที่แล้ว +11

    JazzakAllah mwenyezi Mungu amzidishie umri, nilikuwa nimengojea kwa hamu hili somo

  • @maimunfaridah5448
    @maimunfaridah5448 3 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah tabarak Allah nmejifunza alhamdullillah

  • @أمنعمان-س4د
    @أمنعمان-س4د 2 ปีที่แล้ว +1

    MaashaAllah, somo zuri

  • @ashurasaidi3038
    @ashurasaidi3038 3 ปีที่แล้ว

    Maashaallah ukipata mume kama huyo una pepo ya dunia Allah atuwafikishe tupate waume wema 🤲

  • @NuswaybaJuneyd
    @NuswaybaJuneyd 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallahu Allah azid kukupa kher zaid

  • @bekutachirongo7804
    @bekutachirongo7804 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah. Allah akujalie kheri inshallah

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv 7 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah tabaraka Allah , Allah akulipe kheri katika mambo Yako inshaAllah

  • @mwanahamisirajabu5238
    @mwanahamisirajabu5238 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana mungu akujaalie maisha marefu ili uweze kutujuza zaidi

  • @mimahfabolasawa9304
    @mimahfabolasawa9304 3 ปีที่แล้ว

    Alhamdhulillah .MashaAllah .sshukrn kaka kwa elmu ykp

  • @ramlahusein7935
    @ramlahusein7935 2 ปีที่แล้ว

    mashaallah shahi shukrani sana kwa elimu hiyo alla akujaze kila laheri

  • @salimthabit2854
    @salimthabit2854 3 ปีที่แล้ว +9

    Mashaallah Allah akubarikini.lau kama vijana tunapomaliza michezo yetu tunapata mda wa kuongozana kwa mambo mazur km hivo tungalipija hatua

  • @swaiseif2989
    @swaiseif2989 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah amenipitisha hpa alhamdulilah nimeelewa vizur nilikua sifaham uzur

  • @iddyjacqsonbondo340
    @iddyjacqsonbondo340 10 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah...... Allah akulinde popote pale ulipo n'a aibariki kazi uifanyalo 🙏🤲🤲

  • @mariamchigobwe515
    @mariamchigobwe515 4 หลายเดือนก่อน

    MashAllah jazakallah khaira Allah akujalie akufungulie kila penye uzito

  • @zahaaomar6792
    @zahaaomar6792 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah mwenye mungu akulipe ajira kwa kutunufaisha n ilim

  • @ibraa1157
    @ibraa1157 ปีที่แล้ว

    Shukran sana Bro....Jazaka Allah khair, in shaa Allah

  • @happydumba7336
    @happydumba7336 3 ปีที่แล้ว

    Alhamdulilah nashukuru sana, nilikuwa naruka baadhi ya hatua kwa sasa nimeelewa vizuri

  • @abdallahsinenosaidsinenosa7379
    @abdallahsinenosaidsinenosa7379 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah nakupatia 💯% umenielimisha sana alhamdhlillahi mungu akupe maanufaa zaidi

  • @ASSUMININtawunkunda
    @ASSUMININtawunkunda 4 หลายเดือนก่อน

    Mansh'Allah shukrn sna bro kwakutuelimish

  • @jumamtiifu6263
    @jumamtiifu6263 3 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah, Allah akupe afya njema uzidi kusambara elmu ya Allah..

  • @shadiahussein101
    @shadiahussein101 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah tabaraka rahman mwenyezi Mungu akupe elimu zaidi uzidi kutuelimisha inshallah

  • @AshaJuma-u1e
    @AshaJuma-u1e ปีที่แล้ว

    Mashaallah ukipat wanaume kam uyu mwenye din anakuongoz vizur mung nijalie mume wa dizain hii

  • @rtrttyajhgu8036
    @rtrttyajhgu8036 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah sheikh wetu Allah akulipe kila la kheli

  • @bakarmsangi963
    @bakarmsangi963 ปีที่แล้ว

    Mashaallah molah ukupe wepes amin

  • @bbycandy3979
    @bbycandy3979 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah shukuran maalmath mm nilkua na kosea umenirekebisha mungu akuzidishie kheri

  • @muhammadmakame8552
    @muhammadmakame8552 ปีที่แล้ว

    Ma sha allah...... Allah akulipe kher in sha allah

  • @mwinyiadno9495
    @mwinyiadno9495 4 ปีที่แล้ว +19

    Allah akupe barka tele kwa somo hili 🙏

  • @mwanahamza5198
    @mwanahamza5198 4 ปีที่แล้ว +35

    Masha Allah allah awape nuru Katk maisha yenu walimu wetu

  • @TatuRashid-d6t
    @TatuRashid-d6t 4 หลายเดือนก่อน

    Jazaqalahu khayra waminkum,Somo zuri sn waislam,* Islam Nadhiifun* ❤❤❤❤

  • @vialebilal4097
    @vialebilal4097 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupeni umri mrefu wenye kheri

  • @mumokhamis247
    @mumokhamis247 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah kakangu Mungu akuzidishie umri Inshallah darsa zuri sana shukran jazilah

  • @makinibwika1427
    @makinibwika1427 3 ปีที่แล้ว

    Shukran Brother. Mafundisho mazuri na muhimu yenyekueleweka. Allah akujaze kheyr na akubariki. Amin

  • @ShaniehusseinShanihussein
    @ShaniehusseinShanihussein 6 หลายเดือนก่อน

    Asante mana nlikua naoga janaba sivo hatimae nmejua Mungu akuongoze shekhe

  • @AminaMsuya-d7b
    @AminaMsuya-d7b 4 หลายเดือนก่อน

    Maashallh aallah akulipee inshallah

  • @jaqulinemodest4774
    @jaqulinemodest4774 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah ALLAH anijalie mume km huyu In Shaa Allah

    • @husseinyhassany5696
      @husseinyhassany5696 3 ปีที่แล้ว

      Tuko
      . nitafute nikuowe

    • @sabringwal3079
      @sabringwal3079 3 ปีที่แล้ว

      Hata mm nmependa muungu atujaalie tupate waume kma hawa wenye kuelewa dini

  • @jabibutv3970
    @jabibutv3970 3 ปีที่แล้ว +2

    mungu awalinde sana hakika nimafunzo mazur sana

  • @ashurarugarabamu5214
    @ashurarugarabamu5214 3 ปีที่แล้ว +13

    Maashallah maashallah, lesson well understood.

  • @ummylahlove3418
    @ummylahlove3418 3 ปีที่แล้ว

    Ma shaa allh....allh akuzidishie elmu zaidi ...nilikua sijui haya

  • @lucycase9356
    @lucycase9356 3 ปีที่แล้ว +1

    Ishaallah mungu akulinde nimejifunza kwa kwel

  • @ramamohammed1438
    @ramamohammed1438 3 ปีที่แล้ว +10

    Masha Allah....Allah awazdshie ilm na iwe yenye manufaa ktk jamii na vizazi vyetu vya kesho...Allahumma ameen.

  • @MuhammedHamad-h9u
    @MuhammedHamad-h9u 6 หลายเดือนก่อน

    masha allah umetuweka saw hongera san

  • @rukyarukya2230
    @rukyarukya2230 3 ปีที่แล้ว

    MashaaAllah Allah akuongoze kwa kila jambo Jazzakllah khery umenielimisha nilikuwa sijui santeee

    • @alfanhassan1544
      @alfanhassan1544 3 ปีที่แล้ว +1

      Mwenyezimungu akulipe kila lakheri

    • @rukyarukya2230
      @rukyarukya2230 3 ปีที่แล้ว +1

      @@alfanhassan1544 Ameen

  • @aishajuma1739
    @aishajuma1739 3 หลายเดือนก่อน

    Masha'Allah TabarakAllah shukran jazakallahu khairan

  • @SHABANIABEDI-qt1vw
    @SHABANIABEDI-qt1vw ปีที่แล้ว

    Mashallah elimu kwavitendo ina eleweka sana shukran allah akuweke uzidi kutupa faida

  • @pendohillrey1164
    @pendohillrey1164 3 ปีที่แล้ว

    Mafunzo mazur sana ata asie jua yuajua Asante sana mungu akuongoze

  • @bejamutti7824
    @bejamutti7824 3 ปีที่แล้ว +6

    Shukran ustazi, Allah akulinde InshaAllah

  • @husseinsadam993
    @husseinsadam993 3 ปีที่แล้ว +22

    May Allah bless you and increase your eilm brother good lesson indeed

  • @papaarawcher
    @papaarawcher 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka upo vizuri SNa kwakueleza mazee uko wap wewe Kenya au bongo

  • @wazirihashim5284
    @wazirihashim5284 3 ปีที่แล้ว +2

    Akhsante sheikh kwa ukumbusho mzuri... Allah akupe Umri Mrefu InshaAllah

  • @mwanaishaalfan3145
    @mwanaishaalfan3145 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah shukrani Sana usthadhi kwakutuilimisha mungu akulinde

  • @aminaswedy6927
    @aminaswedy6927 3 ปีที่แล้ว +1

    Waullah mi nilikuwa sjui kabisaa kwaiyo nimejifuza sana hapa na nimeelewa. Asante sana mwallim

    • @maimunamalika5867
      @maimunamalika5867 3 ปีที่แล้ว

      Masha Allah shukran haki nimepata mafunzo

  • @abubakarchamosi5445
    @abubakarchamosi5445 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah.maalim niko na swali.vp kuhusu muosho wa baharini twaoga vp janaba.

  • @LithoMwembe
    @LithoMwembe 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe maisha marefu na mwsho mwema

  • @hamissuche6576
    @hamissuche6576 3 ปีที่แล้ว +2

    Wallah ambae hajaupokea uislam innaliilai wainna rajiun,.. Wallah dini ya kiislam ni dini iliokamilika haikuacha kufundisha chochote chini ya jua,.. Kweli ule upande mwengine wa wenzetu wanaweza kutuonesha haya kwenye kitabu chao ?

  • @snowpiecer5757
    @snowpiecer5757 3 ปีที่แล้ว

    Mola akuzidishie Umrih na afya njema In Shaa Allah .

  • @daretowatch7214
    @daretowatch7214 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah elimu yenye mafaida .
    Shukran bradha Ali🎉

  • @FatmaPesambili
    @FatmaPesambili 11 หลายเดือนก่อน

    Maasha Allah jmn shukran Jazakallahu khaira

  • @zahraabdallah1476
    @zahraabdallah1476 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jama tafadhalini, mtu mwenye si mahrim yako ana kuvunjia udhu. Kama hawezi kuvunja udhu basi hamu wezi kuoana. Na kuhusu mtume pia alikua akivunjiwa udhu na wake zake na kama alikua havunjiani na wake zake tafadhalini nipatieni hadIthi au aya ya Quran Ili kuni thibitishiya.

  • @فاطمةمحمد-ذ4س
    @فاطمةمحمد-ذ4س 3 ปีที่แล้ว

    Shukran sheikh wetu nimepata faida jazakallahu alkheir

  • @ayshaalsahafi5714
    @ayshaalsahafi5714 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah akuzidishie Inshallah kakaangu huzidi kutuelimisha

  • @abrahamlincoln9731
    @abrahamlincoln9731 3 ปีที่แล้ว +8

    ما شاء الله جزاك الله الخير
    تعلمنا حقيقة المعرفة
    ممتاز

  • @KhamismosesLubinza
    @KhamismosesLubinza 11 หลายเดือนก่อน

    Shekh allah akujalie dalasa zur umetoa umetufahamisha vzur

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 3 ปีที่แล้ว +2

    Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojali

  • @SeifAlkhan
    @SeifAlkhan 8 หลายเดือนก่อน

    Jazakalahu khaura shukran Sana kwa kutupa elimu

  • @samiraali5505
    @samiraali5505 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah Allah akuhifadhi fil dunya wal akhera

  • @najmasiwa4289
    @najmasiwa4289 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Mungu akulipe mema kaka

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah Mwenyez Mungu akujalie Hawa ndio waume wema

  • @sabrihaji362
    @sabrihaji362 10 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu akulipe heri umetoa elimu kubwa watu wengi hawajui hili jambo kubwa la kuoga janaba

  • @jumaakida9879
    @jumaakida9879 2 ปีที่แล้ว

    shukuran kwakutu Zindua mungu aku fanyie wepec ktk majamb yak yaheri

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana Shukran Alhamdulillah

  • @ibra.mstudingfile8584
    @ibra.mstudingfile8584 3 ปีที่แล้ว

    Hongera kiukweli wa2 hawajui kuoga janaba baadhi ya watu na n waislam na watu wazima anarand na uchafu tu n vyema Kaka shukran kutoa ukumbusho

  • @ummarhassan5261
    @ummarhassan5261 10 หลายเดือนก่อน

    Maalim shukran kwa somo lako la kuoga janaba wengi wao tulikua tunaripua tu kwenye ukogaji wa janaba

  • @shafiuyorogwe7375
    @shafiuyorogwe7375 3 ปีที่แล้ว

    Nashukur sheikh Leo umeniondolea ukakasi kabisa

  • @NassorGhiyath
    @NassorGhiyath 7 หลายเดือนก่อน

    jakaALLAH khair Allah akulipe kwa hili

  • @mudathirsaid872
    @mudathirsaid872 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Broo .
    Naomba mtengeneze gruup la mafundixho haya ya dini yetu ya Kislam kwa sababau vijana wengi hatuna elimu ya kuyajuwa haya .
    Tafadhali kk naomba nifikirie hili wazo langu. Shukuran Allah ukulipe .