Sio mbaya lakini Ahmad umechemka sio kapepo chako wewe ulikuwa useme kale kapepo chake mganga wake ndo mie Sasa itakuwaje kapepo chako pia mganga uwe mwenyewe hapo feld kaka
mimi sizani kama huyu mwanaume kafanya vizri kwa sababu huyu ni rijali anategemewa mbona huyu mwanaume anamzuka kuliko hawa watoto wa kike majabu kweli allah atuongoze kwa kwli ila badilika kaka
Sema jama huyo anazingua
Izo nguo hamubadilishi
Ukhty asha nakukubali san
umependeza sana ❤ broo wangu mmmwaaaaah ❤
Mashalla kasida nzuri mungu awazidishie kupaj chenu
Hongereni sannnnnaaaaaaa ❤
Mashaallah ❤ hunaga kazi mbaya kipenzi cha mimi
Hongereni sn👏🏻👏🏻👏🏻
Aloooo😅 Ahmad wangu huna baya Asha wangu umejua kuniwakilisha 😂😂😂 sio siri haka ka qaswda katamu nyie 🤣😘😘😘😘
Kumbe na we umeonaee
Bnt Juma na wenzako ushirikiano wenu Ufanisi wenu unavutia ww no 1.
taam vooo ..mashllh ..ujumb pia ila AHMAD anawahaka hahaha😀😀😀
😂😂
Ana wahaka voo😂
@@OmarAli-of5ul 😁😁😁
Good job
Nakupnda bure walh
🔥🔥🔥
Nakubl kaz broooh
nice🎉
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉
Ahmad unafurahisha
Good joj
mbona ovo huyu mwaume
Ukhty Asha hongera na team yako
Vp asha mbona unazidi kunenepa tu kwema lkn mwenzangu
Nnamimba Ndio mana nanenepa
Ahmadi weeeeee unabalaa mzito ww kiumbe huna baya kwangu
saw
nimeiyona imefana
Sio mbaya lakini Ahmad umechemka sio kapepo chako wewe ulikuwa useme kale kapepo chake mganga wake ndo mie Sasa itakuwaje kapepo chako pia mganga uwe mwenyewe hapo feld kaka
We asha ilenamba unayo weka kwenye video mbna haipatikani mi Nina shida na wewe
0778061224 Piga iyo
@@ukhtyashachannel5505 ok mamy usjal ntakuchek
Ndo wa mwanz kuwek comment 😅😅😅😅 maashaallah twende kaz
Hee
mimi sizani kama huyu mwanaume kafanya vizri kwa sababu huyu ni rijali anategemewa mbona huyu mwanaume anamzuka kuliko hawa watoto wa kike majabu kweli allah atuongoze kwa kwli ila badilika kaka
kabisaa
Kafanyaje kwani ni mizuka tu au kama unawasiwasi nae mpe dadeyo
@@hamadfakhi3195 ww umeona kafanya vizri hvo hayo sio madili yetu ya kiislam
Apunguze kujishebeduwa ila maashallah sauti anayo