RAIS SAMIA AAGIZA FEDHA ZA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA UHURU ZITUMIKE KWENYE HUDUMA ZA KIJAMII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @shaban6644
    @shaban6644 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi sana, Naziona Falsafa za Uongozi wa JPM Kwa Mama Samia.
    I real like this.

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni, cyo mara ya kwanza kuahirisha sikukuu kama hiz, Kuna muungano pia

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asante sana raisi wetu mpendwa mama samia suruhu hasani mafisadi wameiba hela sana serikalini hili la kutofanya hizi shererhe za maadhimisho umewanyanganya tonge mdomoni na umeokoa pesa nyingi sana maana wangeziiba

  • @tumainmahona140
    @tumainmahona140 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ztajwe kazi za jamii zipi ili tuone kma zinafanya kaz syo zfanye kaz za jamii paspo kujua ni kazi ipi ya jamii
    Ili iwe rahis watu kuhoji matumizi

  • @Gavi_255
    @Gavi_255 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Maamuzi yenye maono sana

  • @ObadiaChengula
    @ObadiaChengula 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuna watu wamechukua hatari maana namna ya kupiga haipo

  • @Januarybernardy
    @Januarybernardy 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Leo ndio mnakumbuka baada ya kuvimbiw

  • @BenardiMichael
    @BenardiMichael 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    zitajwe kazi gani zinakwenda kufanywa sio muwape ulaji wenzenu

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapa sasa ndio anakumbukwa magufuli maana raisi wetu ameunga mkono yale alioyafanya mwenzie alimtangulia

  • @TheGreat-lq9tg
    @TheGreat-lq9tg 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nchi yetu ni Tanganyika hakuna Tanzania Bara iliyopata uhuru 1961

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwaka huu na yy ka ghairi sherehe makubwa Akumbukwe Magu alifuta ujinga wote hakuna cha Alaiki wala nn mwanangu alikuwa anaziwaza track tu kazikosa hd anamaliza shule hamna masherehe😂😂😂😂

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ameanza kujishitukiaaa😅😅😅

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mnoo juzi kasema wazungu wanatupa masharti magumu Leo tumerudi kule kwa Magu

    • @EmmanuelChrispin-bo5xh
      @EmmanuelChrispin-bo5xh 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @FahadAbubakari-y3f mwanaume nimwanaume tu

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ile M700 mama alitoa ikua kubwa sana aisee kuliko uwezo wa nchi...yan Taifa stars wangepewa hata 200M inatosha...kupewa 700 ni kufuru ya Taifa , apo ni zahanat kubwa 4 ​@@FahadAbubakari-y3f

  • @himanmwalwala7569
    @himanmwalwala7569 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    BATHIDAY OYEEEEE

  • @James-sz4ec
    @James-sz4ec 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo mama umeupiga mwingi nataka nikwambie ukitaka kura nyingi maono yako yaendelee kuelekeza kwa huduma za kijamii maendeleo ya pamoja wenye nacho na wasiokua nacho mfono ulivyo fanya kwenye SGR na mambo mengine mengi

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na pia kupunguza Safari nje na sio kujifanya et anaitangaza kama nchi nzuri wageni watakuja tu ,cha muhimu kutafuta amani kudili utekaji ambao ni Doa kubwa la nchi ambao sasa hivi umekuwa kama fashion😢aibu sana

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndy mtamkumbuka mwenda zake alivunja yote hayo na maendeleo tuliyaona sasa huyu huduma tunanyonywa tu wananchi hakuna cha wageni wala nn huduma zipo juu😂