suratul jinni(waannal masajida Lillah)Allah yuwatosha kuwa barka ndani ya miskiti yake sio lazima eti azikwe sharifu au shekhe. enyi mashia na masufi wacheni urongo
@@paulmushi2428 kwa sababu wewe huelewi hukmu ya makaburi au kwa namna gani kaburi hupelekea watu kulaaniwa, ndo utasema kaburi la muhammad lipo msikitini, ila soma, uliza, au fatilia utajua ukweli kua hata kama lipo msikitini ila bado hakuna muislam anae elekea kaburi hilo kwa kua limezungushiwa kuta zaidi ya moja, kitu ambacho ni sawa ktk dini, mfano. katka hukmu mojawapo ya makabur, Pana msikiti na kuna kaburi amabalo limewekewa ukuta hapo swala inakubaliwa, ndo mana hata kwa mtume ni hivyo hivyo kama huelewi uliza utatia aibu kwa vitu vya kitoto
@@Nuru_ya_sunnah.official_TZ Maelezo yote uliyotoa ni maoni yako Wala hayana uthibitisho wa Maandiko!! Narudia tena Kaburi la Muhammad liko ndani ya msikiti na watu wakimaliza hijja hupita pale kumdhulu Muhammad na kuomba Dua na kati ya mimbari na kaburi la Muhammad ndani ya msikiti wa Madina inasemwa kuwa ni viwanja vya Pepo !! Hivyo Kwa Mujibu Wa khadith aliyotoa huyo Sheikh Waislamu wote wanomdhulu Muhammad katika msikiti wa Madina wamelaaniwa!!
@@paulmushi2428 kua mwelewa na pia soma dini, pia tembelea madina uone ukuta ambao umejengwa kuzunguka kaburi la MTUME, kwa mujibu wa WANACHUONI, ukuta huu una lengo la kuwafanya watu wasielekee kwenye kabur la mtume wakati wa kiswali, na hata huku kwetu hakuna ubaya kama baina ya msikiti na kaburi kuna ukuta pia WANACHUONI WANASEMA, suala la kudhuru makaburi katika dini lipi na limethibiti, kwa hiyo watu kwenda kumdhuru mtume sio dhambi ila yale wanayo yafanya kama kumuomba mtume jambo hilo ni katika MADHAMBI MAKUBWA (USHIRIKINA)
hawa MASHIA si ktk waislsm siku zote wao huyakataa mafundisho sahihi ya mtume صلى الله عليه وسلم na kuchukuwa mafundisho ya MAYAHUDI!! ALLAH awavunje migongo yao!!
@@Nuru_ya_sunnah.official_TZ Kule Madina kaburi la Muhammad liko ndani ya msikiti kulingana na Aya aliyotoa Sheikh Muhammad naye amelaaniwa na Allah wake😂😂
Na masufi mbona wanafanya hivyo? Ndio maana mashehe wa ahlul suna wanasema masufi itikadi zao nying wamechukua kwa mashia kama vile kufanya maulid, kujenga makaburi misikitini dar tu pale masjid idrissa na masjid ngamia wa yule shehe wa kitwariqa Muhammad nassor wamezikiwa ndani humo. Mtihani Wallah
Kuja tofauti shia wanawatula masahaba ba wake za mtume na kuwatungia uwongo badi unabaki kwa uislamu ila shia sasa weeee hata swala zao tofauti kabisa mtume hakufundisha wao wametoka katika dini
@@user-jp8lf7dy5z Hakuna jambo la kunishinda kujua katika Qur'an Wala sihitaji kufundishwa na mtu Kwa sababu Qur'an Iko wazi!! Nyie Waislamu ndiyo mmelaaniwa Kwa sababu Kila mkienda hijja mnaenda kudhulu kaburi la Muhammad na kuomba Dua huku mkiwa na mkiwa na hisia kuwa Muhammad anawasikia
Jalala mzushi mkubwa wewe ni adui waAllah na mtume wake na adui wa Uislam na adui wa waislam .Muogope Allah jalala unapotosha hali unaijua haki ipo wap unauza dini ya Allah kwa duni yako.
Acha maatusi Allah hajafundisha muislam kutukana na mtume hajawahi kumtkana hata kafiri ktk maisha yake yote ww umetoa wapi matus makubwa km hvyo,acha jazba
Majina yana athari
athar😮
majina ya nani yenye athari???
Jina lake lina maana nzuri lakini kwa kiarabu
Labda kama Jalala kwa kiswahili
@@abdulkarimwajadi1759 hahhahha tupe maana ya kiarabu na ya kiswahili kama hutakuta maana sawa yaani DAMPO
suratul jinni(waannal masajida Lillah)Allah yuwatosha kuwa barka ndani ya miskiti yake sio lazima eti azikwe sharifu au shekhe. enyi mashia na masufi wacheni urongo
hakika💯💯💯💯
shukran
shida masufi na mashia hwaelewi quran
Ushia na Uislamu ni dini mbili tofauti
swahih
ushia sio dini bali ni genge la wahuni tu
hakika she ABDALLAH HUMEID UNA FUNGU KUBWA KWA ALLAH KWAA KUTETEA TAAUHIDI HATA IPITE MIAKKA MIA BDO SAUTI ZAKO ZITASIKIKA INSHALLAH
al akhy Allah akubarik na awabariki mashekhe zetu
Baarakallah fiik
@@Nuru_ya_sunnah.official_TZ Waislamu nyie hamjitambui! Kwani kaburi la Muhammad kule Madina liko nje ya msikiti au ndani ya msikiti 😂😂😂
@@paulmushi2428 kwa sababu wewe huelewi hukmu ya makaburi au kwa namna gani kaburi hupelekea watu kulaaniwa, ndo utasema kaburi la muhammad lipo msikitini, ila soma, uliza, au fatilia utajua ukweli kua hata kama lipo msikitini ila bado hakuna muislam anae elekea kaburi hilo kwa kua limezungushiwa kuta zaidi ya moja, kitu ambacho ni sawa ktk dini,
mfano. katka hukmu mojawapo ya makabur, Pana msikiti na kuna kaburi amabalo limewekewa ukuta hapo swala inakubaliwa, ndo mana hata kwa mtume ni hivyo hivyo
kama huelewi uliza utatia aibu kwa vitu vya kitoto
@@Nuru_ya_sunnah.official_TZ Maelezo yote uliyotoa ni maoni yako Wala hayana uthibitisho wa Maandiko!! Narudia tena Kaburi la Muhammad liko ndani ya msikiti na watu wakimaliza hijja hupita pale kumdhulu Muhammad na kuomba Dua na kati ya mimbari na kaburi la Muhammad ndani ya msikiti wa Madina inasemwa kuwa ni viwanja vya Pepo !! Hivyo Kwa Mujibu Wa khadith aliyotoa huyo Sheikh Waislamu wote wanomdhulu Muhammad katika msikiti wa Madina wamelaaniwa!!
@@paulmushi2428 kua mwelewa na pia soma dini, pia tembelea madina uone ukuta ambao umejengwa kuzunguka kaburi la MTUME,
kwa mujibu wa WANACHUONI, ukuta huu una lengo la kuwafanya watu wasielekee kwenye kabur la mtume wakati wa kiswali, na hata huku kwetu hakuna ubaya kama baina ya msikiti na kaburi kuna ukuta
pia WANACHUONI WANASEMA, suala la kudhuru makaburi katika dini lipi na limethibiti, kwa hiyo watu kwenda kumdhuru mtume sio dhambi ila yale wanayo yafanya kama kumuomba mtume jambo hilo ni katika MADHAMBI MAKUBWA (USHIRIKINA)
Mashia mtihan
hahhaha😂😂😂😂 wana shida kubwa sanaaaaaa
Ukifuatilia mafundidho ya MASHIA wao huabudu MAIMAMU wao!!
subhanallah 😮
Huyu mzazo wake kapatia asaaaa kumpa hili jina
hahahah😂 kwa nini unasema ivo😂😂😂
jalala jina lako tu nizaidi ya dampo uchafu wote unao kama lilivyo jina lako .
wew Allah akuongoze ktk hakki
amiin
hawa MASHIA si ktk waislsm siku zote wao huyakataa mafundisho sahihi ya mtume صلى الله عليه وسلم na kuchukuwa mafundisho ya MAYAHUDI!!
ALLAH awavunje migongo yao!!
allahumma aamiin
Hata kaburi la Muhammad liko ndani ya msikitini
sawa shukran
Jalaaaaaaaaaalaaaaaaaaasss
😢😢
jina baya kuliko yote ni jalalaaaaaaa😢😊
@@abuuuyaynah 😂
@@Nuru_ya_sunnah.official_TZ Kule Madina kaburi la Muhammad liko ndani ya msikiti kulingana na Aya aliyotoa Sheikh Muhammad naye amelaaniwa na Allah wake😂😂
@@paulmushi2428 wewe Paul mushi kuwa na adabu wewe na Muhammad wap na wap?? 🧐
Je Kama ili Kwa makaburi,zamani tume badilisha tuka jenga masjid vipi hali hi
Wewe Jalala kweli ni Jalala la Takataka
allah akuhifadh na akubarik
Jaa la takataka
Huyu kweli jalala
Uongo2
Jalala kweli ni majalala 😂
😊
hahahh😂 ety kaburi linazid sharaf kwa kua na kaburi😮😮😮
Na masufi mbona wanafanya hivyo? Ndio maana mashehe wa ahlul suna wanasema masufi itikadi zao nying wamechukua kwa mashia kama vile kufanya maulid, kujenga makaburi misikitini dar tu pale masjid idrissa na masjid ngamia wa yule shehe wa kitwariqa Muhammad nassor wamezikiwa ndani humo. Mtihani Wallah
allah atuongoze katika hakki😢
Hahaha 😂😂 ushia na usufi Kuna tofauti gani
sjaona bado
Kuja tofauti shia wanawatula masahaba ba wake za mtume na kuwatungia uwongo badi unabaki kwa uislamu ila shia sasa weeee hata swala zao tofauti kabisa mtume hakufundisha wao wametoka katika dini
maneno. ya. nanuka
hatar😢
Am proud to be a Christian.Dini ya ushirikina..,, iko siku mtaelewa tu
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Waislamu msiojitambua! Kaburi la Muhammad kule Madina liko nje ya msikiti au ndani ya Msikiti?😂😂😂 Mnajipigia mziki Kisha mnacheza wenyewe 😅
Asante kwa kusikiliza mawaidha ya kislam, endelea hivyohivyo
Kaa pemben au kubali kufundishw usichokijua nasio kuongelea usilolijua@@paulmushi2428
@@user-jp8lf7dy5z Hakuna jambo la kunishinda kujua katika Qur'an Wala sihitaji kufundishwa na mtu Kwa sababu Qur'an Iko wazi!! Nyie Waislamu ndiyo mmelaaniwa Kwa sababu Kila mkienda hijja mnaenda kudhulu kaburi la Muhammad na kuomba Dua huku mkiwa na mkiwa na hisia kuwa Muhammad anawasikia
Jalala mzushi mkubwa wewe ni adui waAllah na mtume wake na adui wa Uislam na adui wa waislam .Muogope Allah jalala unapotosha hali unaijua haki ipo wap unauza dini ya Allah kwa duni yako.
subhanallah 😢
WWE nimuongo
😮
uongo ?? nani anasema uongo?
Huyu mbwa shia golo sijui ni shekh mnyoa mavuzi au mkata kucha huyu kiongozi mavi
Acha maatusi Allah hajafundisha muislam kutukana na mtume hajawahi kumtkana hata kafiri ktk maisha yake yote ww umetoa wapi matus makubwa km hvyo,acha jazba
Tumia busara
Hili li ibiisi la kishia acha matusi yani kama unaliona hivi live unali shushia hata mawe pumbavu zake
Ww acha kutoa hadithi za uongo mafuum ya hadith tofaut na unavyoelezea
Mtume Muhammad s.a.w.w kabur lake lipo wapi?? Nje ya msikit au ndan