GARI LA MBUNGE LAKAMATWA LIKIWA NA WAHAMIAJI, MKUU WA UHAMIAJI ASEMA YOTE "TUNAMKAGUA YEYOTE YULE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @deejayspapination
    @deejayspapination 7 หลายเดือนก่อน +8

    Nakubali Millard Ayo uko vzr ingependz tukupate kweny kisimbuzi 💪💪👊👊

    • @musa-v3f
      @musa-v3f 7 หลายเดือนก่อน +1

      kwa majibu ya ofisa wa polisi kujifanya hamjui mwenye gari basi ni kweli ni gari ya mbunge

  • @josephmtavilalo5087
    @josephmtavilalo5087 7 หลายเดือนก่อน

    Ayo you are the best keep it up bro 🎉🎉🎉🎉 sound imetulia sana mzeee unaeleweka

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 7 หลายเดือนก่อน +3

    Siku hizi wahamiaji haramu wote wanabebwa na V8 tu
    Hapa utajua hiyo biashara inafanywa na mapapa siyo dagaa

    • @Mariam-w9s3b
      @Mariam-w9s3b 6 หลายเดือนก่อน

      Uhalifu Tanzania auishi Kwa sababu wanaofanya uhalifu ni watu wakubwa yaan viongoz

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 7 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂 serikali ya mama Samia hiyo

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 7 หลายเดือนก่อน +15

    Tanzania imefikia pabaya sana inaonekana tuna serikali jina tu Na Rais

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 7 หลายเดือนก่อน

      Tafuta nchi ukaombe uraia bob una haki hiyo acha maneno matupu.

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 7 หลายเดือนก่อน

      Hata ufaransa kila kukicha wanakama wahamiaji

  • @estherrobart6274
    @estherrobart6274 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 liko kwenye uchunguz lo halaaaa msemo wa mwijaku

  • @gilbertfuria5817
    @gilbertfuria5817 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jibu ni Moja, hao wahamiaji huko wanapoenda Huwa hawarudi milele maana yake Hawa watu ni Sehemu ya mapato ya baadhi ya nchi kwani huwa wanauliwa na kutolewa viungo vyao Kwa ajili ya biashara kama Figo, Maini, Macho, Ili matajiri wafanyiwe transplant.
    Wenyewe hawajui wanaenda kufanyiwa Nini, maybe wanadanganywa Kuna kazi, na hao watu walio nyuma ya biashara hii hawataki mambo ya kuformalize process ya kuwapeleka, vinginevyo haitakuwa rahisi kufanya hiyo biashara. Ndo mana wanataka kuwapitisha kimagumashi

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 7 หลายเดือนก่อน

      Hadi macho?

    • @gilbertfuria5817
      @gilbertfuria5817 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@Sheba4651 macho sidhani mana eye transplant sijui kama zinafanyika

  • @MaliusMaliuskagumisa
    @MaliusMaliuskagumisa 7 หลายเดือนก่อน

    Vzuri sana miledi nakukubarsana coz uwomziki wamchombezo kwenye iyoabari nimzuri unaelekea kufanana na wa BBC sou weka huutafute uweuna uwekapoa ule wa bbc

  • @ReymondLyimo
    @ReymondLyimo 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna gari aina ya V.8 dudiani
    . V.8 ni Aina ya Engine. Na inakua kwenye magari aina nyingi. Kwa hiyo Kuna Nissan V.8. Mithunishi V.8. Land cruiser V.8 na mengineyo

    • @8pistons194
      @8pistons194 7 หลายเดือนก่อน

      So point ni nn apo

    • @AmonJames-o3y
      @AmonJames-o3y 7 หลายเดือนก่อน

      Kiukweli kwa upande wangu mim sijakuelewa kabisa ulichoongelea hapo labda unieleweshe kwa kina zaidi

  • @joycekaishozi1177
    @joycekaishozi1177 7 หลายเดือนก่อน

    Hapo miladi ayo baadae unakaa kimyaaa😅😮

  • @francengomeni6955
    @francengomeni6955 7 หลายเดือนก่อน

    juzi nilikua natamani hii kazi😅😅😅 leo ayo tv

  • @PULKERIAIZIDORY
    @PULKERIAIZIDORY 5 หลายเดือนก่อน

    Ni bora wafanye utaratibu despite tu maana hawajagi Rd ni wapitaji

  • @Amanikizota
    @Amanikizota 7 หลายเดือนก่อน +1

    Duuh 😮😮😮

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 7 หลายเดือนก่อน +3

    Amna nchini kwao awataki kuwapa ushirokiano na pass wananyimwa nawao wanahitaji kujitafutia

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 7 หลายเดือนก่อน

    Labda hawana elimu ya kupata visa ya kusafiria,maisha magumu kwao.

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 7 หลายเดือนก่อน +4

    Hapo Kuna jambo linafichwa. Muda waliokaa na gari unatosha kujua mmiliki ni nani? Serikali iweke wazi

  • @allyngitu4584
    @allyngitu4584 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nishida sana sasa hawo wakulungwa sisi Watoto tutajifuza nn kwao

  • @allyngitu4584
    @allyngitu4584 7 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana mkuu wa uamiaji kamala yoyote awe waziri fulani awe askar awe nani wote sukuma ndani

  • @salcle9702
    @salcle9702 7 หลายเดือนก่อน +1

    Visa rejea woiii mambo rundo Africa yote ni yetu mi nakanyaga kote kama nyumbu

  • @PreciousBhoke
    @PreciousBhoke 7 หลายเดือนก่อน +5

    Ethiopia hawatoi passport kwa wananchi wao. Lazima uwe na sababu maalum

  • @MAGIDACHIMIJA
    @MAGIDACHIMIJA 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Mbunge hana jina?

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 7 หลายเดือนก่อน

    Yaani police hawatambui gari inamilikiwa na Nani?

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 7 หลายเดือนก่อน +5

    Sasa Kila mara ni wanaume tu wanavuka ,wanawake wanabak na vibabu tu huko kwao

    • @Smart_FundamentalFx
      @Smart_FundamentalFx 7 หลายเดือนก่อน

      Kijana wahovyo kalalamika ujio wawahamiaji wakiume 😂😂😂

    • @section8ight174
      @section8ight174 7 หลายเดือนก่อน

      @@Smart_FundamentalFxUsipochunga utashangaa unalipuliwa na al shabaab, tobwe kulinda mipaka ya nchi lazima!!

  • @TumiLawrence-vh5rn
    @TumiLawrence-vh5rn 7 หลายเดือนก่อน

    Hawa waamiaji wanaendaga wapi? Kufanya nn

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 7 หลายเดือนก่อน +7

    Hd madawa wanabeba hawa viongozi ukweli tuseme tu

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 7 หลายเดือนก่อน

    Tatizo sio passport ni kwamba kwao wanatoroka bila ata ndugu zao kujua wako wapi.wakianza kukata viza wanaona ishu yao itabumbuluka ndo maana wanatokomea chaka.

  • @ototek8037
    @ototek8037 7 หลายเดือนก่อน

    Mmiliki wa gari kumjuwa inahitaji uchunguzi?

  • @OfficialKajenga
    @OfficialKajenga 7 หลายเดือนก่อน

    Nikimsikilizaga huyo jamaa a k a milady naenjoy sana uko very much

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 7 หลายเดือนก่อน

    Jamani tujitahidi kuandika Kiswahili fasaha. Mfano tunachanganya kuandika: Anna siyo Kiswahili fasaha inatakiwa iandikwe Hamna na maneno mengi

  • @issayakasisi1514
    @issayakasisi1514 7 หลายเดือนก่อน

    Kupata passport nchini kwao ni issue kubwa sana

  • @mwitajoseph8315
    @mwitajoseph8315 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona magari mengine umiliki mnaujua on the spot how comes V8 lichukue mda? Kwani halina namba plate halina original registration card? Anyway ishu sio wahamiaji ila ni usalama kwa taifa je magari hayo hayasafirishi vitu zaidi ya wahamiaji

  • @RoanCorporation
    @RoanCorporation 7 หลายเดือนก่อน

    Tatisu sio Tanzania , uraya wengi wa ethiopia hawana pasipoti , ndio mana wawezi kukata visa .......pia kupanda ndege kwenda africa kusini lazima kabla iwe na visa kutoka johannesburg

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 7 หลายเดือนก่อน +3

    Maisha buku, upelelezi hautakaa ukamilike hii ni Tanzania bana, alaah.

  • @NipoNipoTV
    @NipoNipoTV 7 หลายเดือนก่อน

    Yaan ingekua ni ya mwananchi wa kawaida angeshatajwa na kutiwa ndan, picha zake zingesambaa mtandaoni, duh ila ni la Mbunge, zingatia neno "GARI LA MBUNGE"

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kutambua mmiliki halali inachukua muda gani?

    • @Mwagito398
      @Mwagito398 7 หลายเดือนก่อน

      Millard umefanya kazi nzuri, lkn mjadala mtamu zaidi ingekuwa juu ya kujua umiliki wa gari, nyie km media mngeieleimisha jamii kuwa swala la kumjua mwenye gari ni ngumu kiasi gani na vigezo vya kufuata. Kuhusu Nchi zinavyosimamia raia wao ni non of our business.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 7 หลายเดือนก่อน

      Kwa hili, mifumo haifanyi kazi😅😅😅

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 7 หลายเดือนก่อน

    Watu wanatafuta maisha waacheni waende zao saudh kuhaso

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 7 หลายเดือนก่อน

    Huko Afrika kusini wanaingiaga bila utaratibu ? Na kama kuingia huko ni mwerere kwanini wasisafirie ndege tu jamani ?

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kama hamumtaji huyo mbunge basi hakuna kesi hPo

  • @veronicajohn7645
    @veronicajohn7645 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ruhusa kutoka Ethiopia ni changamoto sana kwa Waethiopia

  • @johnsonzuma4932
    @johnsonzuma4932 7 หลายเดือนก่อน

    Tanzania ndiyo tatizo kwao south africa hao ni watu wana pesa haswa...

  • @noelichambilo7825
    @noelichambilo7825 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubali sana Milady

  • @Ayubkiprop
    @Ayubkiprop 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shida ni Moja kila muethiopia ni Askari ama jeshi so hawaruhusuwi kutoka kwenye nchi yao so inabidi watoroke

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 7 หลายเดือนก่อน +1

      Nisikilize kila nchi yenye vita njaa kali huwabana watu wao wasitoke kupata Hati yakusafilia inakuwa ngumu saana wanajua wakilegeza nchi itabaki bila watu wote wataamia nje

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 7 หลายเดือนก่อน

    Serekali iwaruhusu kupita kwa utaratibu mzuri hata kama ni kuwatoza fedha ya kutosha ilimradi wahakikishe wamevuka na hawajabaki nchini.

  • @MsafiriMsafiri-dm9pb
    @MsafiriMsafiri-dm9pb 7 หลายเดือนก่อน

    Inawezekana kwao Kuna vikwazo au masharti magumu kupata hati ya kusafiria au kupata ruhusa ya kutoka nchini

  • @audaxrutta7949
    @audaxrutta7949 7 หลายเดือนก่อน

    Inawezekana sababu ya kuendelea kupita kwa kujificha ni ugumu wa kupata pasi za kusafiria.

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 7 หลายเดือนก่อน

    Ukiona wapo tayari kulipa pesa kubwa kuvuka Kwa njia za magendo basi ujue Kuna mzunguko kwenye utaratibu HALALI ikiwemo kutokupata majibu Kwa wakati au kukataliwa kabisa

  • @rendiman2878
    @rendiman2878 7 หลายเดือนก่อน

    Hilo gari lisngekuwa ni la mmbunge wangeshatoa taarifa ya mmiliki,Ndio maana wansua sua

  • @veronicajohn7645
    @veronicajohn7645 7 หลายเดือนก่อน +4

    Ishu ni kutoka Ethiopia

  • @JohMwita
    @JohMwita 7 หลายเดือนก่อน

    Aidha kufanya ivyo kutumia gharama kubwa ya kusafilisha inategemeana eidha ufatiliaji wa viza unachukuwa mda mlefu ndo wanatumia njia za panya kwa uhalaka

  • @vicenttarimo2203
    @vicenttarimo2203 7 หลายเดือนก่อน

    Nadhani viza ni Gali na tiketi za Ndege pia Gali na pia inaonekana viza za kuingia S Afrika hawakubaliki ndo maana waenda kimagendo

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 7 หลายเดือนก่อน

    Hakika wanatoka kwny hali duni, safari hazigharamiwi na wao ukifuatilia utaona kuna wane e wanaowasafirisha to SA

  • @kamilikapeta2574
    @kamilikapeta2574 7 หลายเดือนก่อน

    Jaman ithiopia ithiopia kuna warundi wanyaruanda wanaishi wanafanya kazi selekani inchi apo atalin sana

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 7 หลายเดือนก่อน

    Kichwa kimoja milioni mbili na nusu unaachaje kujiongeza tu
    Ajali kazini ,,,

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 7 หลายเดือนก่อน

    Mh mbunge tena au ni dili la dereva mbunge hajui.

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 7 หลายเดือนก่อน

    Kwao hawaruhusiwi kutoka inchini mwao wanatakiwa wabaki Ethiopia tu

  • @bundalaizina652
    @bundalaizina652 7 หลายเดือนก่อน

    Muongo acha kazi yetu

  • @MashakaShobo-cs5wj
    @MashakaShobo-cs5wj 7 หลายเดือนก่อน

    Mbunge angekuwa wa chama pinzani angetajwa

  • @dominickchristopher1669
    @dominickchristopher1669 7 หลายเดือนก่อน

    Kamanda shida watu wakifika boda wanawaomba kibali Cha kolona wafrica wengi awajachanja

  • @anastazialushika
    @anastazialushika 7 หลายเดือนก่อน

    Magari ya wakubwa ndo yanakamatwa yakitumika kutorosha wahamiaji mmmmh!!! Hii ndio Tanzania

  • @MussacharlesSongo
    @MussacharlesSongo 7 หลายเดือนก่อน

    Mbwa kala mbwa nzi kaangukia kwenye kidonda

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 7 หลายเดือนก่อน

    Wataje hilo gari ni la mbunge gani

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 7 หลายเดือนก่อน

    Upelelezi, you are joking, they are not doing anything

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 7 หลายเดือนก่อน

    AISEEE POLE ZAO...WAPENI IST,,HUKO MAFUTA FREEE, GARI FREE, SERVICE FREE,,NA BADO MATUMIZ YA KODI ZA WATU WANY ...HUTUMIKA VIBAYA,,....

  • @MfizoCrypto
    @MfizoCrypto 7 หลายเดือนก่อน

    Kupita kihalali ni ngumu coz hao jamaa wanaenda kuzamia

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 7 หลายเดือนก่อน

    Makubwa sana haya Mbunge tena

  • @maikokomba3724
    @maikokomba3724 7 หลายเดือนก่อน +1

    Aisee

  • @RajabuLanda
    @RajabuLanda 7 หลายเดือนก่อน

    Usarama et et tunausarama wataifa

  • @SamTarch
    @SamTarch 7 หลายเดือนก่อน

  • @beyondmediatz1607
    @beyondmediatz1607 7 หลายเดือนก่อน

    Kuna vitu wanawatumia haramu sio bure

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 7 หลายเดือนก่อน

    Hamna niwaalifu hao mpenda vyawizi ni mwizi tu.wachapwe fimbo kisha warudishwe kwao.