😢😢ivi wAtu wote hawa jamanii wakaampe mateso mrembo asimwe😭😭kwanini lakini jamanii nalia kila muda nawaza apo kwenye kukata viungo vyake mtoto Alisikia maumivu kiasi gani😢😢adi mtoto anakataa roho kwanini lakini nawewe baba parokoo mbona unatuzalilisha wakristo nikiasi gani mlivyo namatendo maovu mungu wangu wapewe ukumu kali kama walivyo fanya kwamtoto asimwe,😭😭😢
Police gongagonga ngoko hizo wanatembea vizur namna hiyo yananenepa I wakat malaika asimwe huko kaburini asio kuwa na hatia piga sanaa hiyo ndio chai yao asubuh
Mtoto wamemfanyia ukatili wa kinyama na hao wafanyiwe ukatili huo huo watolewe kiungo kimoja baada yakingine.sisi kama wazazi imetuuma sana. ikiwezekana wahasiwe bila ganzi.
Watu wenyewe maskini hawana mbele Wala nyuma wangeiba hata mbuz wakachinje wameenda kumuua mtoto wetu Hana hatia maskini wamekatisha maisha ya bint yetu 😢
Nawambia hzo sut zitapauka mpaka bas Yan mpaka mseme mnauwa arhubino mkijua macho ya mungu yamelala acha mkome!! Mpaka na hili liasikofu liipuuz likubwa kama kanisa imekuw hvyo xaxa 2kimbilie wap

Mwenyezi Mungu wewe unajua.
Daa kweli dunia imekwisha mungu tusaidie
😢wanyongwe
Mungu Atusitiri Kumbe Chanjo Kikubwa Ni Bbake Jameni Ana Ata Uruma Kweli😢😢😢😢
Poleni sana jmn lkn hatuna budi kuiachia goverment kufanya kazi yake😢😢😢😢
Hongera sana jeshi la polisi kwa kuwabaini
Duhhhhh😢😢
😢😢😢😢
Mahakama itende haki ya Asimwe very painful
Hello fatafaka Turanbiweagasunzuguro faida😂😂😂 😂😂😂😂😂
Hawa kunyongwa hazalani ndio fundisho kubwa kwa wengine 😢😢😢
Sio kunyongwa wapelekewe mkapa stadium siku ya jumapili watwangwe risasi mbele ya wananchi na TBC walushe laiv
Police gongagonga ngoko hizo wanatembea vizur namna hiyo yananenepa I wakat malaika asimwe huko kaburini asio kuwa na hatia piga sanaa hiyo ndio chai yao asubuh
Mtoto wamemfanyia ukatili wa kinyama na hao wafanyiwe ukatili huo huo watolewe kiungo kimoja baada yakingine.sisi kama wazazi imetuuma sana. ikiwezekana wahasiwe bila ganzi.
Hawa watu wanyongwe tu:sio kuishia kukaa Gerezan bure na kumaliza sembe la serikali
Vitendea Kazi changamoto (Pingu) Ila hongera Jeshi la POLISI Kwa kuwatia nguvuni wahalifu
Siku Zote Damu Ni Nzito kuliko Maji.
Baba asimwe
Watu wenyewe maskini hawana mbele Wala nyuma wangeiba hata mbuz wakachinje wameenda kumuua mtoto wetu Hana hatia maskini wamekatisha maisha ya bint yetu 😢
Twanga risasi za kichwa hao wasenge
Dah cheki hao vijana wadogo wanaenda kuozea jela bora nawao wauliwe tu
Nawambia hzo sut zitapauka mpaka bas Yan mpaka mseme mnauwa arhubino mkijua macho ya mungu yamelala acha mkome!! Mpaka na hili liasikofu liipuuz likubwa kama kanisa imekuw hvyo xaxa 2kimbilie wap
Huyo baba wa mtoto naye ameusika na padri huyo, kweli mnalizalilisha kanisa katoric, tamaa Gani ushirikina
kanisa linabak kama kanisa na mharifu anabaki kama mharifu,shekhe akizin haimaanishi watu wasiswali msikitin
Wauliwe tu nao
Wwnyongwe tu bas 😢
Hawa askari hawana makofi wanatembeaje kwa aman
Lkn kwenye hizi kesi utakuta kunawatu apo hawahusiki ata watu tisa wote waue mtoto aloo
Ni hatari Mno
Daah
Wauwawe nawao waone kama kuuwa mtu nivzuri
mbwa hawa waleten mtaani na ss tuwachinje maaanina
Hao mijasusi laana tulah tuangeni pumbu zao na mchi mpk wataje hao wateja wanaonunua viungo vya binadamu
Inaumiza saana wafungwe mpaka kufa
Watu wenyewe wachovu hatariii kama hiyo biashara inalipa mbona wapo hiyo fyuuu
Wanatafuta ya kunywa pombe hakuna cha zaidi.
Muwanyonge ndio dawa watakaa ndan badae watatoka
Looking good follow back done God bless you ❤❤❤🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🙏🤳
Nimeona padre na baba wa marehemu je mganga ni yupi.
Baba niyupi hapo?
@@paulinathobias1180 mwenye tisheti ya orange .
Yachomwe hadharani.
KAMA NIKWELI KUNYWONGWA NIBHALALI YAO
Padri ndio yupi hapo?
Mwenye kaunda suti nyeusi na nywele nyingi kichwani
Duuh! Aibu Kweli Kweli wanatudharirisha Wakatorik Jamani😢😢😢
Apo syoote wenye atia