BODI YA MIKOPO YAFUNGUKA KUTOA BILIONI 787 KWA WANAFUNZI "TUNATOA MIEZI 3, WAOMBE MKOPO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @honorascusmatembe2987
    @honorascusmatembe2987 2 หลายเดือนก่อน +1

    Millard ayo your the best

  • @adkajisi4536
    @adkajisi4536 2 วันที่ผ่านมา

    Mh. Raisi ikikupendeza naomba ufute application fee ya mkopo wa elimu ya juu, application fee kwenye vyuo vya serikali na pesa ya uhakiki wa vyeti RITA, ni mzigo kwa familia nyingi za kitanzania, Asante

  • @willymwanganje
    @willymwanganje 2 วันที่ผ่านมา

    Wengne ata mia hatuna

  • @mus2sandege
    @mus2sandege 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli mlichokifanya kwa mwaka 2023/24 mlichofanya mtu ada ya milioni 4.5 ambapo serikali ilitakiwa kulipa m3.5 mlichofanya mnalipa laki 3 na boom na huyo anasoma udaktari ambao ndio vipaombele vya serikali na haitoshi ni yatima harafu mnatangaza mmetoa mikopo kweli???Mungu atawalipa kwa kodi za watu

    • @azizisulay6005
      @azizisulay6005 2 หลายเดือนก่อน

      Ndugu yangu hii nchi ni ngumu sana, vinasifiwa vitu vya kijinga, na hili la wanafunz kuteseka halizungumziwi hata kidogo ni mabango tu et Mama kaongeza mikopo vyuon kaupiga mwingi

    • @Fantastic.-gm1eo
      @Fantastic.-gm1eo 2 หลายเดือนก่อน

      @@azizisulay6005 mbona tunasikia kupitia hilo boom wanavyuo wanakula bata pesa wanatumia hovyo kama vile kuhonga madem,kukesha club... Sasa nashangaa mnalaum nn?

    • @azizisulay6005
      @azizisulay6005 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@Fantastic.-gm1eo Hiyo inabakj kuwa tabia ya mtu binafsi, Mara ngapi umeona au kusikia kwa mwanafunz wa sekondar kula ada ya shule lakin sio wanafunz wote, hata ule ni mkopo huwez pangia watu matumiz kuwanyima watu eti kwa sababu ya watu baadhi wananywea pombe

  • @AnselmiMsantu
    @AnselmiMsantu 2 หลายเดือนก่อน

    Vp kwa waombaji wapya ambao mpaka sasa ni wahitimu na bado hawaja Pata matokeo je wanaweza kuomba mkopo?

  • @Benxon-hc3kr
    @Benxon-hc3kr 2 หลายเดือนก่อน

    Mnazingua

  • @azizisulay6005
    @azizisulay6005 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa unakuta wanatoa boom halafu hawalipii ada, mwanachuo anajikuta boom hilo hilo analipia ada yaan unakuta kama ni utan tu,kama mwaka jana asilimia kubwa wamepewa asilimia 23 na hawana mpango wa kuongeza, wanachuo wanateseka tu

  • @Fantastic.-gm1eo
    @Fantastic.-gm1eo 2 หลายเดือนก่อน

    Na diploma sikuiz wanapewa mikopo?

    • @azizisulay6005
      @azizisulay6005 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna chochote ni kudanganya tu kwa kutafuta sifa za kijinga, wanafunz wa vyuo vikuu wanateseka hawana mikopo wanaish maisha magum