MJENGO ALIOACHA MAMA RWAKATARE/HEKALU/MALI ZAKE/Kuzikwa KESHO KANISA KWAKE/Watu KUMI tu Kuaaga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 เม.ย. 2020
  • CARRYMASTORY leo pia imefanikiwa kufika nyumbani kwa marehemu Mh Mama Rwakatare na kutazama mazingira aliyokuwa akiishi mama yetu mpendwa. Tazma video kisha usisahau Kusubscribe.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 231

  • @faithkavete2967
    @faithkavete2967 4 ปีที่แล้ว +1

    Freemason wafanye kazi yao. Hawa watu wamekataa yesu watafute mali na utajiri wa dunia hii. Yesu mwenyewe hakua na maisha kama haya. Huwezi kuishi hivi na wafuasi wako hawana hata chochote.

    • @moureenikapel4843
      @moureenikapel4843 4 ปีที่แล้ว

      Mungu anatajirisha anainuwa na anabadilisha maisha ya watu .si kilakitu ndo Freemason .hiyo ndo shida ya wanadamu .ukitajirika eti oh oh oh

  • @mariamsuleiman1638
    @mariamsuleiman1638 4 ปีที่แล้ว +30

    Yaani Mali zote Unaend a ww tu. Kweli tujifunze na hili hapa mwana damu tutende mema kwa mungu Hakuna hongo wema wako tu ndio itafika mbinguni

    • @oyiloodhiambo7518
      @oyiloodhiambo7518 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa, Mali ya Dunia Ni Kama upepo, tutayaacha yote, tumtumainie Mungu

    • @celinaimani4769
      @celinaimani4769 4 ปีที่แล้ว

      Ameeen

  • @kalumunaanthony4203
    @kalumunaanthony4203 4 ปีที่แล้ว +16

    Hapo ndipo tunaposema acha Mungu aitwe Mungu ulikuja uchi utarudi uchi utabeba ata kijiko fahari za dunia tutaziacha kila siku mnatuubilia tusiwekeze duniani so Mchungaji kama na mbinguni umejiwekeza ivi itakuwa poa sana

    • @ashazubere3837
      @ashazubere3837 4 ปีที่แล้ว +3

      Tutapambana lakin vyote tutaviacha yarabiiiii Allah jaliaIla atusamehe dhambi zetu😭😭😭😭😭😭😭

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว +2

      Hahahaaa,,,, itakuwa rahisi kwa ngamia kupenya tundu ya sindano, kuliko tajiri,,,,,,,,,,,,,!!!!!!!!!!!

    • @bibiemohamed6044
      @bibiemohamed6044 4 ปีที่แล้ว

      Umenena

    • @richardkaogo3433
      @richardkaogo3433 4 ปีที่แล้ว +1

      Cmc yako dada kali sana

  • @heavenlightnaiso352
    @heavenlightnaiso352 4 ปีที่แล้ว +77

    Binadamu bwana!Nyie mnayemsema mtangazaj ni mbea mbona na nyie mnafatilia taarfa basi wote wambea!

  • @dnaofgodtv4873
    @dnaofgodtv4873 4 ปีที่แล้ว

    Mtangazi, kazi njema. Muhimu tu, kumbe uzima wa mtu si wingi wa vitu alivyonavyo, Mungu atusaidie!

  • @aishaadam6653
    @aishaadam6653 4 ปีที่แล้ว +3

    Aaaaahaaaa povu linawatoka umaskini huu mbaya,eti vyote tutavihacha ndio utabihacha lkn hakikisha vinapitia mkononi mwako

  • @fideskitali6980
    @fideskitali6980 4 ปีที่แล้ว +7

    Unapoishi vizuri hapa duniani ndio mbingu yako. Mama alikuwa mbinguni tayari.

  • @hellennkirote777
    @hellennkirote777 4 ปีที่แล้ว +1

    What a blessing, she was rounded woman.. Church, political, schools... RIP. You are a role model to many even you if you are sleeping Mama, Rip

    • @esterdanford5563
      @esterdanford5563 4 ปีที่แล้ว

      I cried for her
      .
      I.wish I could know her better earlier ...We shall.miss you Mama Bishop

  • @robathzingu1650
    @robathzingu1650 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe ni kweli, kila kitu ni ubatili tu iwapo huna Mungu wa PEKEE, wa KWELI na YESU KRISTO aliyemtuma. Tunawekeza sana hapa duniani. Kafa kaacha kila kitu!!

  • @seifseifmohamed7118
    @seifseifmohamed7118 4 ปีที่แล้ว +1

    Mountain of fire. Down fire and up fire.God is the high almighty the Greatest and every thing is to Him Alone.

  • @razakimwidadi7918
    @razakimwidadi7918 4 ปีที่แล้ว +6

    Hii nyumba ni noma

  • @hopeinallah5112
    @hopeinallah5112 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @marylwanalo6115
    @marylwanalo6115 4 ปีที่แล้ว +34

    Acha kuhatarisha usalama was familia iliyo baki, sio lazima uonyeshe kila kitu. Kama hauna content ondoka. You need to be security conscious. Mama was very private!

  • @cmsa1r
    @cmsa1r 4 ปีที่แล้ว +12

    Amesaidia wengi. Hajamwibia mtu. Acheni wivu

  • @zubedamkupete3843
    @zubedamkupete3843 4 ปีที่แล้ว +1

    barrennessMmmmh ,angalizo!!! Kila neno unalotamka utatolea hesabu kuweni makini na maneno Yenu

  • @harunyusuf4229
    @harunyusuf4229 4 ปีที่แล้ว

    Toa taarifa za kumtukuza mungu,vile alifanya kazi ya mungu
    Mavumbini tulitoka,na mavumbini tutarejea.

  • @hitralucas3875
    @hitralucas3875 4 ปีที่แล้ว

    Nawakubali sana carrymastory

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 4 ปีที่แล้ว +11

    Bora kula bata ukipata mda maana ukifa ume kwenda 😭😭😢 kifo hakina tajiri wala maskini

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 ปีที่แล้ว +4

    Duuu kwa kweli duniani tunapita na kila kilichomo kitapita R.I.P Mama mbele yako nyuma yetu.

  • @asmrworldtv4300
    @asmrworldtv4300 4 ปีที่แล้ว +13

    Hi carrymastory lovers, nipeni likes basi na mimi na pia munifollow instangram @ashuukgal natoa usaidizi kila ijumaa kwa watu walio na shida. Nifollow for giveaway

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyumba ni Kaburi. Tujifunze kugawana na masikini. Ukifa unaenda kama ukivyokuja duniani.

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 4 ปีที่แล้ว +1

      Aligawa vya kutosha, na alisaidia wengi. Hata Yesu alisaidia maskini sana na bado maskini wataendelea kuwapo. Kusaidia haimaanishi yeye alale nje au pangoni.

  • @mongalix8
    @mongalix8 4 ปีที่แล้ว +2

    RIP Mchungaji Mama.We will never forget you.

  • @marygaspary199
    @marygaspary199 4 ปีที่แล้ว +11

    Mungu alimdhalilisha Lwakatare, pindi alipomfukuza na watoto ili aoe Mhaya mwenziwe !

  • @khamisihussein8777
    @khamisihussein8777 4 ปีที่แล้ว +10

    Nyumba n nini kwenye maisha nyie. Tutaacha kila kitu tutarudi kama tulivyozaliwa kwake baba

  • @sarahnyakabi2052
    @sarahnyakabi2052 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akulaze mahali pema peponi Mama yetu na Mama wa Taifa letu la Tanzania, Daima we will miss u mama , Amina.

    • @aishaadam6653
      @aishaadam6653 4 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @meckkishina6155
    @meckkishina6155 4 ปีที่แล้ว +1

    Rest in peace our ex nearby scul own may god grant you everful joy lyf tutakumic thanaaa

  • @monyaichimfuru5179
    @monyaichimfuru5179 4 ปีที่แล้ว +3

    🤷sijapenda kazi yako

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว

    Hilo jengo Siyo poa

  • @ceciliambinya9734
    @ceciliambinya9734 9 หลายเดือนก่อน

    Nashangaa bona alijenga kando ya bahari,Rip mamaa

  • @pennyjane6167
    @pennyjane6167 4 ปีที่แล้ว +2

    Fumzika Kwa amani mama

  • @jacobcollins4140
    @jacobcollins4140 4 ปีที่แล้ว +3

    Earthly possession are important when alive and of no value to you when dead. It's better to invest in heavenly possession so that you can inherit when dead, I mean investing in doing good. You may die possessing trillions of properties and will be rewarded punishment as a great gift for your sacrifice all days you were alive. Imagine living 50-90 years only reaping death, uchungu.we should use this time to do best by convincing God to have mercy on us

  • @mussajoseph4343
    @mussajoseph4343 4 ปีที่แล้ว

    Mungu amraze mahari pema mama etu AMINA

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 4 ปีที่แล้ว +6

    Huna jipya Mtangazaji, mnatuchosha bure, unazungumzia Nyumba ili uweje. Zingatieni maadili ya uandishi sio Umbea wa Carrymastory. Mnaboa.

    • @robathzingu1650
      @robathzingu1650 4 ปีที่แล้ว +1

      Sikubaliani na wewe juu ya hili. Hii habari, imetusaidia na sisi tuliokuwa hatujui kama mama alikuwa anaishi kwenye jumba kubwa utadhani ikulu hivi!!

    • @jumajuma2726
      @jumajuma2726 4 ปีที่แล้ว

      Kessynuru Tajiri na ww mtanzamaji ni mmbea number one

  • @mankwealexander5341
    @mankwealexander5341 4 ปีที่แล้ว +1

    Mama am loving you a lot my your soul rest in peace mama

  • @scolaasher6994
    @scolaasher6994 4 ปีที่แล้ว +4

    Rip mama

  • @francischacha2383
    @francischacha2383 4 ปีที่แล้ว +1

    Msiupende ulimwengu,.... Kwa maana tamaa ya ...Mali....havitokani na baba Bali na Ulimwengu,(anajua Yohana)

  • @aquilinekessy8452
    @aquilinekessy8452 4 ปีที่แล้ว +4

    mtangazaj mwenyew unatangaza kiuoga uoga😂😂

  • @sarahpendo515
    @sarahpendo515 4 ปีที่แล้ว +10

    Kweli hii ni channel ya umbea🙄mlienda kiangalia mjengo au kufariji watu😏

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 4 ปีที่แล้ว

    Milady ayo Hana mambo km haya kwel kuna msiba alaf unaelezea Mali zake, mtangazaj umebaka fani

  • @halima23862
    @halima23862 4 ปีที่แล้ว +6

    NYIE MMENDA KUOMBELEZA AU KUCHUNGUZA NYUMBA

  • @preciousandrew5721
    @preciousandrew5721 4 ปีที่แล้ว +3

    Jamani kwani mlitaka je,?kuwa tajiri duniani kwani ni ks ? Mbona Suleiman alikuwa tajiri mbona Abraham alikuwa tajiri ? Yesu alifanyika masikini ili sisi tuwematajiri na sio kosa mtumishi kuwa tajiri kila aliye wa kristo anatakiwa kuwa tajiri

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 4 ปีที่แล้ว

      Nawashangaa wanaoshangaa utajiri wake. Wala haujatokana na injili alikiwa anajua kutafuta pesa na ana elimu ya PhD uchungaji alifanya kama wito tu akiwa na mali zake kibao.

    • @aishamustapha7381
      @aishamustapha7381 4 ปีที่แล้ว

      .
      Jaman mi coment tu hoi

  • @mr.elevator4567
    @mr.elevator4567 4 ปีที่แล้ว

    Umbea tu.. Hata haukuweza iona vzr...

  • @nanceaidan6622
    @nanceaidan6622 4 ปีที่แล้ว

    🙌🙌🙌🙏

  • @sekelandiga9812
    @sekelandiga9812 4 ปีที่แล้ว +1

    pumzika kwa aman mama yetu

  • @faridashaban8853
    @faridashaban8853 4 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @aceotz2579
    @aceotz2579 4 ปีที่แล้ว +9

    Kila kitu tunaacha wapendwa tumheshimu Mungu tu😢😢kama hujafanikiwa kusikiliza nyimbo aliyoimbiwa mama yetu Rwakatare bonyeza picha yangu kushoto kuisikiliza😢😢

  • @mkushplatnam1595
    @mkushplatnam1595 4 ปีที่แล้ว

    uo ni ubalozi wa nchi gani jamani, naona tumepelekwa adi kiwandani,, yesu analipa jamani, hakuna alie mkubali yesu akawa lofalofa, kama yupo maskini sana ana bodaboda, au kiwanja, au kaenda shule, za st st izo ata kayumba, ila wanakuwa vizuri yesu oyeeeeeee,

  • @chaomadedo
    @chaomadedo 4 ปีที่แล้ว +2

    mtangazai wa watu anatuletea updates za maana kuhusu funeral ya mama yetu, kwann jamani mumuite mtu wa watu mbea lakini? mbona anaongea vizuri tuu. asante mtangazaji Mungu wetu Aendelee kukutetea na kukulinda siku zote za maisha yako boss

  • @bupemwasumbi7840
    @bupemwasumbi7840 4 ปีที่แล้ว +1

    she was a hard working woman, so you can also work hard and possess mansions

    • @marynduco8158
      @marynduco8158 4 ปีที่แล้ว

      Hard working doing what?
      Being a wrong gospel preacher

  • @omaryrjohn65
    @omaryrjohn65 4 ปีที่แล้ว

    huwa nshindwa kuelewa yan mnafatilia mtu kaacha ninii ?? jaman ivi inatusaidia nini sisi labdaa?? basi onesheni na nyumba za watu wote wanaofariki dunia,mana mtu akiwa maarufu mnatuleteaa kaacha sijui mjengo ebu tupambane na COVID-19 jmn so kutuletea mijengo hapa

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 ปีที่แล้ว +1

    Rest in peace🙏

  • @sarahpendo515
    @sarahpendo515 4 ปีที่แล้ว +4

    Kweli hii ni channel ya Umbea🙄 mlienda kuangalia mjengo au kwenda kufariji wafiwa

  • @faustinaboniface3029
    @faustinaboniface3029 4 ปีที่แล้ว

    Bila shaka shule zinalipa sana na mama alikuwa mtu wa kujipenda hata kuzikwa amezikwa pa peke yake! Kwa nje amesifiwa sana lakini ajuae ni Bwana. Mwanga wa milele umwangazie ee Bwana.....

  • @hitralucas3875
    @hitralucas3875 4 ปีที่แล้ว

    Ebhana kweli bonge la mjengo

  • @sarafinasinkalla6335
    @sarafinasinkalla6335 4 ปีที่แล้ว

    Wacheni kuwasema watumishi wa Mungu unachuma zambi ebu fanyeni yenu wapendwa yake yamekwisha kazi kwetu sisi turio baki

  • @veronicanzowa5484
    @veronicanzowa5484 4 ปีที่แล้ว

    Daaaaah jmn ata raha tuwe tunakula ona Mali zake zilivobaki nyingi jap family na watoto wapo lkn inauma bhn pumzika kwa amani daaaaah

  • @mabeekeniya9710
    @mabeekeniya9710 4 ปีที่แล้ว

    Eeeee mungu mupumuzishe mahali Pena peponi rip

  • @eunnyq3126
    @eunnyq3126 4 ปีที่แล้ว +1

    Duuh nilijua hapo ni mbinguni after kufa kumbe duniani kwa mama mwenyewe mamamayooo!!🙆‍♀🙆‍♀

  • @greengenerationtv9012
    @greengenerationtv9012 4 ปีที่แล้ว +1

    Duuuh huo mjengoooo hatat

  • @junefother7890
    @junefother7890 3 ปีที่แล้ว

    Acheni kimazingishia

  • @constancewakio604
    @constancewakio604 4 ปีที่แล้ว

    Tulikuja bure na tutarudi bure, Bwana alipeana hatimaye Bwana amechukua Jina LA Bwana lipewe utukufu

  • @ushindileonsi460
    @ushindileonsi460 4 ปีที่แล้ว +2

    Umekomaa watu si wengi watu si wengi hicho ni kitu kinachojulikana sasa ww hata huelewiki kwamba umeenda kufariji aue umeenda kuchunguza mjengo

    • @hongeramfugale3239
      @hongeramfugale3239 4 ปีที่แล้ว +1

      Sio wote tunao enda msibani wengine tunaenda kuangaria mazingira alokuwa anaishi marehemu ko wanadamu ndo tulivo unapo huzinika ww wengine tunakua na furaha

    • @boazmasinde2764
      @boazmasinde2764 4 ปีที่แล้ว

      Ndo nashindwa na huyu mbiea

  • @lucyshirima4701
    @lucyshirima4701 4 ปีที่แล้ว

    Lasima angeweza kuacha huo mjengo maana mama alikuwa visur lakin Mali na pesa si Kila kitu

  • @aikammari1267
    @aikammari1267 4 ปีที่แล้ว +1

    Kuzuri

  • @marymutheu5471
    @marymutheu5471 4 ปีที่แล้ว +1

    Rest in peace mama

  • @mariammimiapayani6990
    @mariammimiapayani6990 4 ปีที่แล้ว

    Apo ndo mjue kuwa maisha ni mapito ona mali zote ameziacha anaondoka na mema yake ww umejiandaaje na safali

  • @rodasanga1312
    @rodasanga1312 4 ปีที่แล้ว

    Yeye uwiiii jumba kubwa hivyo

  • @laurentmmbaga9371
    @laurentmmbaga9371 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ampe kaulithabit

  • @healthchoicewithluciebern8741
    @healthchoicewithluciebern8741 4 ปีที่แล้ว

    Yote ni vanity, Mungu afariji family yake

  • @linnageorge7795
    @linnageorge7795 4 ปีที่แล้ว

    Elimu,ndo kila ki2

  • @myself4128
    @myself4128 4 ปีที่แล้ว +1

    MNAFUATILIA SANA MAISHA YA WATU....
    UDAKU UDAKU MWIIIINGI HEBU TUONESHE WEE MJENGO WAKO??AU BADO UNAISHI KWA BABA?

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 4 ปีที่แล้ว

      Mi nadhani kwa mwny busara atajifunza kitu, usihukumu ktk hili maana hii inatukumbusha maisha ya chini tunayoishi na tunavyomiliki. Sio umbeya ndo maana hata ww umekuja huku kuona

  • @florambwambombwambo1322
    @florambwambombwambo1322 4 ปีที่แล้ว +1

    Yani mungu huyu kilakitu tuchakiacha

  • @hadijaangura6572
    @hadijaangura6572 4 ปีที่แล้ว

    kweli dunia twapita

  • @janthhmustafa800
    @janthhmustafa800 4 ปีที่แล้ว

    Duuh jmni

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว +1

    Loo hiyo nyumba bs tuu mtu akiwa anakula Mali yake mwacheni mana akifa hatazikwa nazo

  • @vumiliamwaisaka5073
    @vumiliamwaisaka5073 4 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭

  • @luhanyamipawantobi6888
    @luhanyamipawantobi6888 4 ปีที่แล้ว

    Mbona kanatetemeka Sasa haka kavulana!!!

  • @livingmunisi5963
    @livingmunisi5963 4 ปีที่แล้ว

    Yote ni kwa utukufu wa mungu

  • @zebakimuzic
    @zebakimuzic 3 ปีที่แล้ว

    Haha inaumaa

  • @iddykwangaya2794
    @iddykwangaya2794 11 หลายเดือนก่อน

    Wafuasi wake pia walikua wanaishi vizuri kama yeye au?

  • @mariamsuleiman1638
    @mariamsuleiman1638 4 ปีที่แล้ว +6

    Kila mahali naona magari makubwa yakifahari sijui hiki kibajaji Changu nikisimamishe wapi

    • @subiradalabu6616
      @subiradalabu6616 4 ปีที่แล้ว +1

      Paki njee ya geti ww usije kuchuna .magari ya watu

    • @mariamsuleiman1638
      @mariamsuleiman1638 4 ปีที่แล้ว

      @@subiradalabu6616 wacha niweke huku nyuma bahati ndio nipate upepo pia

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 4 ปีที่แล้ว +1

      Panzuri ile mbaya nimepapenda maandari yake nyumba kubwa mzee pakali kinyama ameshaenda zake nyumba mali zitabaki duniani umeonae

    • @mariamsuleiman1638
      @mariamsuleiman1638 4 ปีที่แล้ว

      @@asteriambwei3349 Kisha utakuja ona mtu anapigania urisi na mwenyewe ameziacha kaenda yy tu na matendo yake

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 4 ปีที่แล้ว

      Jamani kuna watu hapa Tanzania kwao pako Kama peponi starehe kweli kweli huwa napendaga Sana nikiona kwa mtu Panzuri nafurahia japo sipo kwangu bana na mbinguni napo je? Hivi iuishi km peponi duniani tena na mbinguni km kweli hela ni halali ana raha mno r I p mamaa wee ni mwanamke kamili

  • @mr.sangaellies5110
    @mr.sangaellies5110 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji upo shallow KWA kwa kweli

  • @ncheyemjulagoodandnicevoic3339
    @ncheyemjulagoodandnicevoic3339 4 ปีที่แล้ว

    Kijijumba kama hicho kwangu huwa nalazamo 'guruwe,

  • @halima23862
    @halima23862 4 ปีที่แล้ว +6

    KWA UMBEA WAKO HUWEZI KUINGIA NDANI HURUHUSIWI WEWE UTAISHIA KUCHUKUA NYUMBA NJE TU

    • @hadijahmwajombe9588
      @hadijahmwajombe9588 4 ปีที่แล้ว

      hahahahahahaha jamani mungu anakuona

    • @florabaruti8032
      @florabaruti8032 4 ปีที่แล้ว +1

      Nakweli kaishia njeee anazooom

    • @vailethsanga216
      @vailethsanga216 4 ปีที่แล้ว

      Jamani yote hayo yanini je!mlikuwa mnaujua mjengo wa malehemu kamasio umbea ninini? Mnashindwa kushukuru kuwa hata nje tu mmeiona kazi kumponda mtangazaji acheni hizo kuweni na shukrani

    • @amour5535
      @amour5535 4 ปีที่แล้ว

      @@vailethsanga216 hapo tu

    • @florabaruti8032
      @florabaruti8032 4 ปีที่แล้ว

      @@vailethsanga216 hata tukiujua unatusaidia nn au unatuhusu chefuuuuu

  • @yahayasalum2943
    @yahayasalum2943 4 ปีที่แล้ว

    Chanzo cha mapato hayo hata amiliki thamani hizi na usizozifaham ni kipi?

  • @lailmeeea4908
    @lailmeeea4908 4 ปีที่แล้ว

    Mh!!!!

  • @kakaaignas3675
    @kakaaignas3675 4 ปีที่แล้ว

    Nyumba nyumba kila saaa nyumba

  • @catrinapatrick787
    @catrinapatrick787 4 ปีที่แล้ว

    Mmesema huku ni state house ama?

  • @mayatione6
    @mayatione6 4 ปีที่แล้ว +1

    Kikubwa umetenda nini duniani mali kilakitu si mali kitu

  • @deogratiustimoth4619
    @deogratiustimoth4619 4 ปีที่แล้ว +1

    Hayo ni makazi au hoteli?

  • @christophermlaponi534
    @christophermlaponi534 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukisha ifanyia tasmini basi usiache kutuambia gharama za hiyo nyumba na vikolombwezo vyake vyote. Maana nahisi ni kama ukwenda kuripoti msiba ila ukubwa wa nyumba nk !

    • @biensaid2189
      @biensaid2189 4 ปีที่แล้ว

      christopher mlaponi ndo ulie

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 4 ปีที่แล้ว

      Ukiwa na mali Alafu uzigawe kwa watu ni uongo kwa mtanzania hata km ni wewe tunaongea tuu labda km wapo ila Mimi sijaona taijiri akifanya hivyo Ilanilishaona Jirani yetu mmoja kijijini alimjengea nyumba Jirani yake na kumwekea hadi maji ili tuu asimsumbue kwenda kuchota maji kwake ni kweli huyo baba ukiwa na shida ataisaidia basi wengine sijaona

  • @masogangemasogange7835
    @masogangemasogange7835 4 ปีที่แล้ว +4

    Mbona unachunguza Mali za mtu: Kama ungekua hapa inchini kwetu unge koma' ungetangaza

    • @ashaally6662
      @ashaally6662 4 ปีที่แล้ว

      Mbona na ww unaangalia si uache kuangalia,

    • @scolaasher6994
      @scolaasher6994 4 ปีที่แล้ว

      Mh masogange si alishakufa jmn

    • @masogangemasogange7835
      @masogangemasogange7835 4 ปีที่แล้ว

      @@scolaasher6994 am alive this name I was given by my mum: I m not a tanzinania am from ug

    • @masogangemasogange7835
      @masogangemasogange7835 4 ปีที่แล้ว

      Mwenye arikufa simjui

    • @ashaally6662
      @ashaally6662 4 ปีที่แล้ว

      @@masogangemasogange7835 jibu nzuri sana alokufa humjui sasa ungemjua vipi kama huy asingepoati???? Kwa hivo ww uaiangalie mali fata kilichokutazmisha bas

  • @melesianageorge2012
    @melesianageorge2012 3 ปีที่แล้ว

    Nani anasikia mtangazaji akihema kwa kutweta?

  • @alexmwepelwa3580
    @alexmwepelwa3580 4 ปีที่แล้ว

    Pumzika kw aman

  • @daughterofzion.9624
    @daughterofzion.9624 4 ปีที่แล้ว

    Ulienda kwa mama tare kama muombolezaji kumbe ulikua umeenda kupiga picha mali yake ... bure kabisa

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว

    Kama Unyamwezini Vile

  • @sherahm.inspires9969
    @sherahm.inspires9969 4 ปีที่แล้ว

    Udaku huna kazi ?

  • @preciouswinnie7623
    @preciouswinnie7623 4 ปีที่แล้ว

    Rip

  • @rosewoiemitau8376
    @rosewoiemitau8376 4 ปีที่แล้ว

    Achana na mali yake,ako na watoto wataitumia mbona uitangaze adhalani nayeye alinyamazia mali yake?

  • @Pihansmo1129
    @Pihansmo1129 4 ปีที่แล้ว

    Umbea huo