VIDEO! KAULI ya IRENE UWOYA AKIHUBIRI KANISANI MORO, AMWAGA HELA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • #nia24tv #morogoro #Irineuwoya
    Leo mkoa Morogoro Mwigizaji maarufu nchini Irene Uwoya amealikwa kuwa mgeni rasmi katika kanisa la Ufunua lililopo Mkundi Manispaa ya Morogoro katika sherehe ya wanawake wa kanisa hilo pamoja na kutimiza miaka 8 tangu kuanzishwa kwake.
    katika ibada hiyo Uwoya alipewa fursa ya kuhubiri neno la Mungu ndipo akatumia nafasi hiyo kutoa wito kwa jamii kuacha kuwachukulia wasanii kama watu wenye dhambi kuliko watu wote Duniani jambo ambalo halina ukweli huku akiahidi kuchangia milioni tano ya ujenzi wa kanisa hilo.

ความคิดเห็น • 69

  • @deboramsangi360
    @deboramsangi360 4 หลายเดือนก่อน +22

    Sasa jamani mtu kaokoka Leo unataka afanane na wewe una miaka 20 ktk wokovu? Yesu amemkuta na tattoo yeye mwenyewe amemkubali hivyo wewe mwanadamu unaongeeeea. Sote tuongeze BIDII ktk kujifunza na kumtafuta Mungu. Hongera dada Mbingu zimefurahi msimkatishe tamaa Mungu anazidi kutengeneza maisha yetu kidogokidogo. Hadi tutamlaki Yesu mawinguni.

    • @lweikizedmond114
      @lweikizedmond114 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hapa kinachoongelewa siyo Irene kuokoka hapana,bali kinachoongelewa hapa ni suala la kujiita mchungaji.
      Irene bado ni mchanga kiroho kupewa wajibu wa kuchunga wengine.
      Biblia hairuhusu mtu aliyeokoka hivi karibu kupewa kuhudumia wengine kabla ya kukaa chini afundishwe aive ili afae kuwaongoza wengine
      Kwa wale wanaosoma Biblia wanaelewa ninachosema. Ukisoma habari za Musa kabla hatajtumwa kwenda kuwakomboa wana wa Israel alipitishwa shule kwanza, Paulo baada ya kuokoka hakuruhusiwa kutumika mpaka alipofundishwa,na wengine kama akina Daudi na Samweli
      *Hatari inayoweza kujitokeza mtu aliyeokoka hivi karibu na kuanza huduma hapo hapo ni kujikuta anapotosha anaowaongoza pasipo kujua.
      Ni utaratibu wa Mungu kumwandaa mtu kabla hajawa,mtume,nabii,mchungaji na kadharika. Ni nia njema ya kufanya hivyo,ili uwe umejengewa misuli ya imani itakayokusaidia kumudu changamoto katika kuwahidumia wengine. Lkn pia itskusaidie kuyaishi yale kwa matendo yale unayowafundisha wengine.

    • @PascoPaul-z8c
      @PascoPaul-z8c หลายเดือนก่อน

      Amina nimekuelewa vizuri kabisa
      ​@@lweikizedmond114

    • @vincentdaud9954
      @vincentdaud9954 หลายเดือนก่อน

      Maana ya wokovu ni nini

  • @Graceyusuphh
    @Graceyusuphh 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nakuona mbali Irene❤❤❤❤, Yesu ni mzuri jmn

  • @RahmaKhamissi-dh5ie
    @RahmaKhamissi-dh5ie หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana ❤❤❤❤

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Irene nakupenda sana Toka zamani lkn sasa ivi nimekua nakupenda zaidi ya sana kw Huo uamuzi wako,zaidi kubarikiwa Ameen

  • @devotajaphet7312
    @devotajaphet7312 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe Irene, acha wapige kelele ww kaza mwendo kwani mtume Paulo mbona alikuwa akiua watu wa Mungu alipokuwa akiitwa Sauli lakini Mungu alimwita kwa kazi yake,

  • @JanethMkala
    @JanethMkala 4 หลายเดือนก่อน +4

    Nikupongeza Sana Irene...kwa uamuzi..wako ..na Mungu azidi kukutetea japo utatukanwa Sana na watu ila hata Yesu alitukanwa songa mbele

    • @naimamohamed2216
      @naimamohamed2216 3 หลายเดือนก่อน

      Ataweza kuweza kuacha kuuza mwili ?

  • @happynesmchele8537
    @happynesmchele8537 3 หลายเดือนก่อน +5

    Atabadilika tu msimhukmu mungu yupo atambadilisha

  • @EfraziaMashiri
    @EfraziaMashiri 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu amekuonekania jamanii hongera❤😊 ila sasa vikuku hvy miguuni jamniii

  • @halimasanga3830
    @halimasanga3830 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hivi kweli sisi ni wasafi kiasi cha kumuhukumu huyu dada?? Mimi naamini kama Ameamua kumgeukia MUNGU, basi MUNGU mwenyewe atambadilisha na anaweza kuja kuwa Mtu tofauti Kabisaaa hatubadiliki Mala moja tuuu. Mungu akusaidie dada ili uje uwavute wengi kwa Bwana.

  • @MainessJoseph
    @MainessJoseph 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Mungu akubariki

  • @erickjohn3536
    @erickjohn3536 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akakutumie vema amina🙏🙏🙏🙏

  • @MariamAgustino-z8y
    @MariamAgustino-z8y หลายเดือนก่อน

    Amen Mungu mwema kila wakati

  • @nicastesha5986
    @nicastesha5986 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki ulicho kifuata kwa sasa ni sahihi kwa maisha ya binadamu kumjua Mungu

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana

  • @NeemaNabintu
    @NeemaNabintu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana dada, MUNGU akutangulie ❤❤❤❤❤❤

  • @jeannettekeza6434
    @jeannettekeza6434 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mahali ulipofikia Mungu ni mwema ! Pamebaki muonekano tu dada yetu na Mungu akuwezeshe

  • @WitinessJoseph
    @WitinessJoseph 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akutangulie na azidi kukutia nguvu

  • @Bless-sk8uv
    @Bless-sk8uv 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen pastor maana sio mwenzetu tena

  • @reginaruta3249
    @reginaruta3249 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli Mungu akusaidie kama umeamua kuokoka kweli kutoka ndani ya moyo wako. Naomba tusimuhukumu ata SIsi Mungu alitutoa mbali atatengenezwa tu. Mungu ndiye anayetengeneza watu wake wanaokubari kunyenyekea kwake.

  • @NeemaDickson-by2oz
    @NeemaDickson-by2oz 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubarik dada uendelee ivyo ivyo

  • @AffectionateChocolateBon-ef4zt
    @AffectionateChocolateBon-ef4zt 26 วันที่ผ่านมา

    Mungu akutie nguvu Erin akupiganie mana wokovu si mchezo hata utukanwe komaa na yesu

  • @gladishaule9261
    @gladishaule9261 4 หลายเดือนก่อน +2

    Umeanza hatua ya kwanza, hatua nyingine ni kuachana na kucha za kubandika, kope za bandia, mavazi ya waziwazi, na nywele zitofautishwe na wasio mjua MUNGU..zisichachamae kichwani..na mengine roho mtakatifu atakavyookuelekeza kwa ajili ya hekalu lake.. Barikiwa sana..

  • @SilviaSwallo-hd2wy
    @SilviaSwallo-hd2wy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwachen dada wawatu amtumikie mungu ,wokovu sio wasku moja kila sku tunakoka ebu achani kujihesabia haki wapendwa we mwenyewe mungu alikokutoa unajua ulifanya uovi gani unajua mwenyewe ,mungu msmamishe dada huyu alietambua kuwa Maisha bila wewe no bure

  • @AsiaasiaAsiaasia123
    @AsiaasiaAsiaasia123 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana dada

  • @MarthaChuwa-o6b
    @MarthaChuwa-o6b 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekupenda sana dada iren kaza mwanangu utapitia mengi wengi watakusema ila kaza aliyekuita anakujuwa kuliko mwanadama pambana mwanangu

  • @JUDITHMGAYA
    @JUDITHMGAYA หลายเดือนก่อน

    Zijaribun hizo roho ili mjue kama zatokana na Mungu au la.
    Mungu atusaidie sana maana kinachotuponza ni pesa😢

  • @janviermfitumukiza5000
    @janviermfitumukiza5000 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen!!!

  • @StevenAnord
    @StevenAnord 4 หลายเดือนก่อน

    Irene Mungu akubariki sana kwa uamuzi huo ulio uchagua

  • @ChrestinaTina-jl9cs
    @ChrestinaTina-jl9cs 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @caritasmushi8896
    @caritasmushi8896 2 หลายเดือนก่อน

    Irene mpendwa nikikusikiliza nasikia raha hata machozi yananitoka umeugusa moyo wangu. Uko serious na Mungu nakuona ukiwa Mtumishi mkubwa siku zijazo. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.

  • @marthashimba46
    @marthashimba46 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu aendelee kukupandisha kwa viwango ili uyafikie malengo yako.Tunakuombea,hakika umechagua fungu lililo jema.

  • @cvaginga9956
    @cvaginga9956 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana kwa kuchaguliwa

  • @lweikizedmond114
    @lweikizedmond114 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna mtu kuokoka ni jambo moja na ni muhimu zuri .
    Lakini mtu kuwa mchg si jambo jepesi kama tunavyodhani.
    Biblia imeonya sana kabla mtu hujawa muhudumu kwa wengine baada ya kuokoka anapaswa kukaa kwanza chini ya watu maalum walio na uwezo kuliko yeye ili kumtengeneza na kumpa miongozo sahihi.Ndivyo ilivyokuwa utaratibu wa Biblia tangu Agano la kale na Agano jipya.
    *Ni sawa na kutaka kuwadereva wa chombo chochote kabla hujajifunza namna ya kukiendesha,mwisho wa siku nikuingiza abiria kwenye magorongo.
    * Tujifanze kwa Musa kabla haijatumwa kwenda Misri kabla kuwakombo wana wa Israel,Sauli kabla hajawa Paulo, Kornelio,Samwel n.k.

    • @blandinajoseph1291
      @blandinajoseph1291 2 หลายเดือนก่อน

      Watu wengi wapo gizani hawaelewi,kuokoka ni sawa lkn umeokoka hapohapo na uchungaji umejifunza lini??? Na kufunguka kanisa hapo hapo kitaeleweka baadae,natutajua magugu na ngano soon.

  • @thamani5842
    @thamani5842 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu anataka kutumikiwa ivo?...

  • @aneth520
    @aneth520 3 หลายเดือนก่อน +1

    Toa miwani hiyo labda kama unaumwa macho

  • @AzizaHamisi-o6z
    @AzizaHamisi-o6z 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ivi mbn hueleweki kucha kama sheytani minyelele hata nguo ulovaa eti umerudi kwa mungu na uvaa wavu jamani uyo mungu mmh

    • @enockmaige8936
      @enockmaige8936 4 หลายเดือนก่อน

      Atabadirika kwani we msafi Sana?

    • @blandinajoseph1291
      @blandinajoseph1291 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@enockmaige8936hivi ninyi mnaoshabikiaga mnamjua YESU kweli au ushabiki tu???acheni kumdhihaki MUNGU

  • @InjiliyaUfalmetv
    @InjiliyaUfalmetv 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mapenzi Ya Bwana yatimizwe

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo miwani sasa mmmm

  • @IreneShigunda
    @IreneShigunda 2 หลายเดือนก่อน

    Kidoti683

  • @douglasochieno3358
    @douglasochieno3358 2 หลายเดือนก่อน

    Na sasa mbona unafungua kanisa na bado uko na mapambo ya kisani nikipi utawafundisha waumini kuhusu mahubiri ya mapambo mwilini ju tunaona bado moyo wako uko kwa tamaa za mapambo unajaza mwilini mwako makucha bandia nywele mikorogo ya mapambo bado yako moyoni mwako omba mungu akuguse kwa ajili ya kutoka kwa Mambo ya mapambo

  • @enockmaige8936
    @enockmaige8936 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu haangalii mwanzo anaiangalia hatma wewe unaehukumu kazana tu

  • @apostlemussaonlinetv
    @apostlemussaonlinetv หลายเดือนก่อน

    Hongera tulikuwa kama ww Yesu katuokoa

    • @EDWARDKISHIMBO
      @EDWARDKISHIMBO หลายเดือนก่อน

      Dada ongera Kwa wokovu ,by mchunga E kishimbo Arusha tengeru chama

    • @EDWARDKISHIMBO
      @EDWARDKISHIMBO หลายเดือนก่อน

      Dada ongera Kwa wokovu ,by mchunga E kishimbo Arusha tengeru chama

    • @EDWARDKISHIMBO
      @EDWARDKISHIMBO หลายเดือนก่อน

      😊r4*in😊😊😊❤

  • @mungunimwemakilawakati1299
    @mungunimwemakilawakati1299 27 วันที่ผ่านมา

    WEWE UNAYEHUKUMU NI MSAFI??????

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 4 หลายเดือนก่อน +1

    Afiche tatuu za nini? Kuna watu hawana hizo tatuu lakini mambo yao balaa. Mwacheni

  • @NyorokaNyenge
    @NyorokaNyenge 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nenda shule bas ukasome kwanza. Ndo uje.elimu ya kimbingu inahitaji roho mtakatifu na maarifa.sasa ili upate maarifa.nenda shule.

  • @HappyKitupya
    @HappyKitupya 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona sioni anamtaja Yesu? Anamwogopa maana anafanya kinyume na utaratibu wake, embu acha kuekt ww mama ipo utakuja Lia na huwo uchangaji wako bandia angalia ata unavyo ongea Ni uwongo mtupu, Wala kwel haimo ndani yako, eti mchungaji umevaa vikuku mguuni

  • @SabihaRajab
    @SabihaRajab 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahaaaaa ushajiunga rasmin na chama cha kuwauwa maalbino

  • @peterelisha1958
    @peterelisha1958 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeona tattoo😂

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hata Rahabu Wa Yeriko alikuwa kahaba mnoo lakini Mungu alimkuta hukohuko akamwokoa ,huyu ni mama Mchungaji tu wala hawezi fanana na Rahabu shida yetu ni kumchukua Mungu na ukuu wake na Kumuweka kwenye vichwa vyetu vidogo

  • @celinengonna427
    @celinengonna427 2 หลายเดือนก่อน

    Irine kuokoka sio mchezo
    laxima uwe ushuhuda na kielelezo
    wafadhiri wako wanageria
    mmh
    umeshajiunga freemason unatumia kivuli cha kanisa
    unaingia kanisani na vikuku unamuangalia Mungu na mawani
    mbona ndani mwako sijaona hata Neno la Mungu ambalo ndio wokovu na Yesu hamtaji mlokole gani?
    Acha usanii
    unachotangaza ni usanii
    au unaact move mpya.
    Acha Acha Acha Acha

  • @NicholausMziray
    @NicholausMziray 2 หลายเดือนก่อน

    Futa hizo tatuu Mtumishi wewe sio wa mataifa tena

  • @Blandinalugina
    @Blandinalugina 3 หลายเดือนก่อน

    Blandina lugina

  • @smartonlinetv5144
    @smartonlinetv5144 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa hiyo nguo uliovaa si njema......ungejaribu kuvaa nguo ambayo inaficha hizo tattoo

    • @MagdalenaMatiko
      @MagdalenaMatiko 4 หลายเดือนก่อน

      Yesu alikuja kwa ajili ya hao wenye tattoo hata akiificha kwenu wanadamu Mu gu anaiona

    • @alunekyusa4905
      @alunekyusa4905 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli tenabkama zinafutika akazifute

    • @leahmanase1034
      @leahmanase1034 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hata akizificha Mungu bado anaziona,na ameamua kumchagua na kumkubali hivyo hivyo na tatoo zake,kwahyo wewe unayejikuta mtakatifu tuliza komwe kakojoe ulale.

    • @PendoMatemba-ql1ng
      @PendoMatemba-ql1ng 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu hana shida na hiyo michoro.matendo ndio Anachokiangalia

    • @Blandinalugina
      @Blandinalugina 3 หลายเดือนก่อน

      Blandina lugina