KIDOA AMWAGA MACHOZI MSIBANI KWA TESSA - ''HILI LIMETUUMIZA SANA - TUMEPOTEZA KITU KIKUBWA''...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 115

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  หลายเดือนก่อน +3

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @ChristinaAsukile-n2v
    @ChristinaAsukile-n2v หลายเดือนก่อน +5

    Poleni sana. Ndugu jamaa na marafiki mungu ailaze roho yake mahara pema peponi

  • @bettydusabe2603
    @bettydusabe2603 หลายเดือนก่อน +7

    Poleni jamani aki ya mungu nimeguswa sana tesa nilikuwa namupenda kutoka Burundi 🇧🇮

  • @AntoineKizenga-i3o
    @AntoineKizenga-i3o 20 วันที่ผ่านมา

    Tima pole sana dada nyamaza usiliye tunawapa pole sana kumpoteza tesa hata sisi mashabiki tunaumiya sana kumpoteza tesa, lakini nawaombo nduguzagu tusisaabu kumuombeya kwamwenyezi mungu amulaze mahalipema peponi 😭😭😭😭

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh หลายเดือนก่อน +42

    Tima mimi niliposikia Tesa kafariki nilirudia kile kipande ulichokuwa unamwambia Devi apatane na mama ake yani kama kweli 😢😢😢

    • @TausiChalz
      @TausiChalz หลายเดือนก่อน

      Even me too

    • @LilianHare
      @LilianHare หลายเดือนก่อน +1

      Hii ndo coment nlikua naitafuta yani navuta hvi ingekua n hali halisi angekua ameenda bila kupatana n wanae mtihani kwa kwel

    • @RagndivaAlando-nl4uk
      @RagndivaAlando-nl4uk หลายเดือนก่อน

      Yani nimerudia Ile seemu anamshauri devi mpatane na mama jmn😭😭😭😭

    • @KhairatBundala
      @KhairatBundala หลายเดือนก่อน

      Pole Tima hilo ni pengo kubwa katika tasinia ya Huba 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @safiyanirram-pf3sv
      @safiyanirram-pf3sv หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

  • @saudandangiza1081
    @saudandangiza1081 หลายเดือนก่อน

    Pole na kifo cha ma tesa,mimi naitwa sauda naishi Uganda,napenda sana uba na wachezaje wa uba polen sana

  • @FatumaTsumo-b6h
    @FatumaTsumo-b6h หลายเดือนก่อน

    Innalillah wainnalillah rajiuni mungu ailaze roho yake peponi maa tesa

  • @wangagirl3508
    @wangagirl3508 หลายเดือนก่อน +4

    Pole mama😢😢😢😢😢hapa nilipo nalia sana huyo mama ameniuma sanaa😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @FathiyaAnwar
    @FathiyaAnwar หลายเดือนก่อน

    Poleni sana sana watu wa huba.hata mimi ni meumia na kifo cha tesa.nilikuwa na mpenda sana sana tesa.mungu ailaze roho yake mahali pema.sote hiyo ndiyo njiya

  • @Lill12llLil888
    @Lill12llLil888 หลายเดือนก่อน +5

    Yaan wasanii wa tz wanakufa lkn tesa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭jamani tesa ameniliza mmi,,alaf ivi tima anasema ata kwenye mchezo tesa hakua mtu wakukasirika nlimpenda tesa sana😢😢😢

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod หลายเดือนก่อน

    Polen sana wafiwa😢😢😢tesa.tima na dev❤❤❤yes ALKUA MKUBWA LKN ANAJIPENDA MNOOO

  • @NaomyJohn-e4j
    @NaomyJohn-e4j หลายเดือนก่อน

    Pole Sana Tim's najuwa umeumia Sana kumupoteza musani mwenzako

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana tima na sidi mmeumia sana poleni vipenzi vangu❤❤❤❤❤

  • @mablenamwila7963
    @mablenamwila7963 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana nyote tesa tulimupenda pumzika kwa amani

  • @hadijawara1403
    @hadijawara1403 หลายเดือนก่อน

    Inallilah waina lillah rajun, mm naitwa Hadija natoka kenya ila musiba wa tesa umenigusa sana

  • @PriscaLushino-c3e
    @PriscaLushino-c3e หลายเดือนก่อน

    Poleni wanafamilia mungu awatie nguvu😂😂😂😂

  • @KilutaMwikali
    @KilutaMwikali หลายเดือนก่อน

    Poleni xana tima devi be sikitu roi kibibi kashaulo chidi na cidi poleni xana tena xana kwa kupoteza mama mungu hawe pamoja nanyi

  • @EstherFuppi
    @EstherFuppi หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kabisa Tima mamangu hata mi nimejiuliza je huu ni ndio mwisho wa Huba? Sina mtu wa kufikia uwezo wake mamangu 😭😭😭😭 jibu ni hakuna Sidi na Tima

  • @lucyisaisi1530
    @lucyisaisi1530 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni lucy from kenya nimeguzwa sana kutokana na kifo cha Tesa 😢😢mungu awatie nguvu wanahuba

  • @Awlo-g6d
    @Awlo-g6d หลายเดือนก่อน +1

    Mashabik wa huba wamejitolea kuwafariji 😢😢😢😢😢 poleni jaman😢😢😢

  • @DianaleonardVicent
    @DianaleonardVicent หลายเดือนก่อน

    Pole sana dear

  • @JaphetMihigo-yk4cj
    @JaphetMihigo-yk4cj หลายเดือนก่อน

    Inauma kweli

  • @CynthiaIndoshi
    @CynthiaIndoshi หลายเดือนก่อน +2

    Makiwa kwa familia 😢😢😢 rest in peace Tesa😢

  • @celinaduka3346
    @celinaduka3346 หลายเดือนก่อน +2

    RIP..Mama Grace Mapunda..bi.Tessa linauma saana poleni jamani 😢😢😢

  • @SONIAFUNGAFUNGA
    @SONIAFUNGAFUNGA หลายเดือนก่อน +5

    jmn pole sana tima Kwa msiba jmn

  • @ashuramussa3389
    @ashuramussa3389 หลายเดือนก่อน

    Pole tima wangu..kmbe unajua kulia kiukwel 😢

  • @happyMariam-f7z
    @happyMariam-f7z หลายเดือนก่อน

    poleni😢😢😢😢🤦

  • @HappyChacky
    @HappyChacky หลายเดือนก่อน +1

    Tima na Sidi poleni sana kwa kweli tumeumia saana wapenzi wa huba hakika hakuna wa kuziba pengo la Tessa😭😭

  • @NyamboiMangere
    @NyamboiMangere หลายเดือนก่อน +2

    😭😭😭Kwa kwer hayupo wakuziba pengo lake jmn

  • @LucyKapinga-fg4dk
    @LucyKapinga-fg4dk หลายเดือนก่อน +2

    AIIIII TIMA mrembo Pole Sasa jamani Msiba Wetu sote

  • @gracesuguta
    @gracesuguta หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa amani wajina 😭😭🙏🙏

  • @Sylviah-sm4mb
    @Sylviah-sm4mb หลายเดือนก่อน +1

    Aki Tesa umeenda tu Ivo jamani😭😭😭😭😭

  • @StarMode-sd5ko
    @StarMode-sd5ko หลายเดือนก่อน

    Punzika kwa amani tesa😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @michaeldominiko6213
    @michaeldominiko6213 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuh pole kabisa

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana ndugu jamaa na familia 😢😢😢😢

  • @AishaBabu-u9g
    @AishaBabu-u9g หลายเดือนก่อน +6

    Lakini Tima nimzuri sana

    • @MamyHamso
      @MamyHamso หลายเดือนก่อน

      Eeh MashaAllah ...si kama nicole dah yule dada leo ndio nimejua anasaidiwa na fake kalio ila sura kama kifuu😂😂😂😂

  • @mesaidikazungu4299
    @mesaidikazungu4299 หลายเดือนก่อน

    Innalilahi Waina ilayhi rajiun 😢😢

  • @KhadijaRajab-j9r
    @KhadijaRajab-j9r หลายเดือนก่อน +3

    Kalia kwasababu ya tamthilia ya huba wamepoteza kiungo kikubwa dooh sis wanadam,🙌🙌

    • @rachelpeter7032
      @rachelpeter7032 หลายเดือนก่อน

      Ulitakaje

    • @LilianHare
      @LilianHare หลายเดือนก่อน +1

      Yani leo ndo nmejua umuhimu wakuenda shule pole pia ww sikupenda kwako nivile shule ulienda tu kuiba kalamu

    • @angely2150
      @angely2150 หลายเดือนก่อน

      Una uelewa mdogo pole

    • @mayaz-e7f
      @mayaz-e7f หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @SalmahAbdallah13
    @SalmahAbdallah13 หลายเดือนก่อน

    Ila kweli tesa alijua kujitunza kuwa na muonekano wa kitanatashi muda wote, innalillah wainailah rajiun 😢

  • @JanetAhmad-v3h
    @JanetAhmad-v3h หลายเดือนก่อน +2

    na nyie watangazaji mnauliza vitu jamani yani mtu anamusiba nyie munakuja 😢😢😢😢

  • @nasranassor7134
    @nasranassor7134 หลายเดือนก่อน

    Jamani mnauliza sana heee

  • @CatherineAmos-zw8dx
    @CatherineAmos-zw8dx หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana wana wahuba

  • @StAr-yu3vz
    @StAr-yu3vz หลายเดือนก่อน +1

    Poreni sana wafiwa wote na huba wariyo shiriki poreni 😢😢😢😢

  • @doriskatana8395
    @doriskatana8395 หลายเดือนก่อน

    Sio uongo tesa alikua anajua jamani yani mwanzo zike dharau zake nazopenda😢asa akicheka adi aseme mamaaaa

  • @halimashaban811
    @halimashaban811 หลายเดือนก่อน +1

    Innalillah wainnalillah rajiun
    Poleni sana

  • @jaydecute1425
    @jaydecute1425 หลายเดือนก่อน

    Nimelia tu yn kifo hiki😭😭😭😭😭😭

  • @SimonGabriel-m5t
    @SimonGabriel-m5t หลายเดือนก่อน +1

    Polen sana familia ya huba

  • @MatthewSaruni
    @MatthewSaruni หลายเดือนก่อน +1

    RIP 😢😢😢😢 mama grace mapunda

  • @saudandangiza1081
    @saudandangiza1081 หลายเดือนก่อน

    Polesana tima

  • @AdelphineUWIMANA-f3z
    @AdelphineUWIMANA-f3z หลายเดือนก่อน

    Watangazaji niwajinga😮kwenye msiba mnaongerea mambo ya mchezo namna hio?

  • @RynoFire-w8k
    @RynoFire-w8k หลายเดือนก่อน +1

    Duh huyu mama nimeumia sana

  • @lucyisaisi1530
    @lucyisaisi1530 หลายเดือนก่อน

    Napenda kutazama huba na nitaendelea kutazama poleni sana jipeni moyo

  • @MushimbeiMushimbei-r4v
    @MushimbeiMushimbei-r4v หลายเดือนก่อน +2

    R.i.p mama grace mapunda 😢😢

  • @janetnasimiyu8646
    @janetnasimiyu8646 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana 😢

  • @FloraNgoma
    @FloraNgoma หลายเดือนก่อน +2

    Kweli Tima

  • @OliverAndrew-ob1vn
    @OliverAndrew-ob1vn หลายเดือนก่อน +1

    Rest in paradise Tesa

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 หลายเดือนก่อน +2

    😢😢 Sidi mkorogo jmn kama kamwagiwa maji ya moto usoni🙌

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani daah au kijijini kumemkataa🤭

    • @Fettyfrans
      @Fettyfrans หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂🙌🙌🙌 ila we mungu anakuona

    • @saumu7760
      @saumu7760 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂tuko matangani jaman

    • @wangagirl3508
      @wangagirl3508 หลายเดือนก่อน +1

      Tuko msibani😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 หลายเดือนก่อน

      @@wangagirl3508 Msibani kwenyewe wanacheka

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m หลายเดือนก่อน

    Poleni sana

  • @BlessingIma-v9u
    @BlessingIma-v9u หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 mama tesa njamani

  • @FattumaJumanne
    @FattumaJumanne หลายเดือนก่อน +4

    Mpenda kutoa pole kwa familia na sanaa kwa ujumla

  • @sabraaally3256
    @sabraaally3256 หลายเดือนก่อน +1

    Polen sanaaa 😢

  • @SalmaSilima
    @SalmaSilima หลายเดือนก่อน

    • @SalmaSilima
      @SalmaSilima หลายเดือนก่อน

      Poleni sana

  • @happymakweta2000
    @happymakweta2000 หลายเดือนก่อน +5

    Jmn tima pole

  • @FloraAndrew-s5q
    @FloraAndrew-s5q หลายเดือนก่อน +1

    Tessa ww😭😭😭 eeeee Mungu wangu kweli umeondoka eti

  • @Manirambonadewilon
    @Manirambonadewilon หลายเดือนก่อน +1

    Matangazaji wa hovyo sana watu wapo msibani unaleta mambo ya movie Fala sana wewe

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 หลายเดือนก่อน +1

    Nmelia kweli masna ulkuwa wamshauri dev amuombe mmke msamaha n warudi km awali😢

  • @fat-hiya-v2l
    @fat-hiya-v2l หลายเดือนก่อน +2

    Heeee huba mwaka wa9 haujesha mpk watu wanakufa tuu

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤😢😢❤❤💔💔🇹🇿💔poleni

  • @Gladness-s5f
    @Gladness-s5f หลายเดือนก่อน +1

    Inaumiza sana

  • @agnesnuhu-sf5lw
    @agnesnuhu-sf5lw หลายเดือนก่อน +1

    polen sn jamani.

  • @mwanaidimunga9099
    @mwanaidimunga9099 หลายเดือนก่อน

    Ila tima ni mzuri hata bila makeup

  • @heriethrenatus1795
    @heriethrenatus1795 หลายเดือนก่อน

    Ata sisi washabik tunajua kuwa Amna wa kuziba pengo lake

  • @SaraTemba-v7j
    @SaraTemba-v7j หลายเดือนก่อน

    Polen cana

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s หลายเดือนก่อน +1

    Ka tima kanasura kama ya mtoto

  • @NadineCloset
    @NadineCloset หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭

  • @NeemaMwakabumbila
    @NeemaMwakabumbila หลายเดือนก่อน

    Hivi hawa watangazaji wanakuka ethics kweli

  • @gracesuguta
    @gracesuguta หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @aminaseph
    @aminaseph หลายเดือนก่อน

    Masikini Sidi amelia hd macho yamevimba

  • @Massey-xx8td
    @Massey-xx8td หลายเดือนก่อน +3

    Sidi acha mkorogo

  • @naimanimo4925
    @naimanimo4925 หลายเดือนก่อน +1

    I don't like this presenter toka ww leave them alone its enough since yesterday you are asking the same questions

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s หลายเดือนก่อน

    Labda huba ndo inaishia hapa maana hainaga mwisho

  • @ephraimwadaudi2867
    @ephraimwadaudi2867 หลายเดือนก่อน

    Kama kafa tu kila mtu atakufa uwe maarufu kias gani maadam wewe ni binadamu unakula ugali unaenda chooni kifo kipo pale pale mbinguni hatuingii kwa umaarufu au kupendwa na watu tunaingia kwa utakatifu

  • @Bint-gp5dx
    @Bint-gp5dx หลายเดือนก่อน +2

    Bac mvae ijabu sio vzur ivo ata kama mazishi sio ya kiislamu

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 หลายเดือนก่อน

      Khaaaaaa.Sasa ijabu inakujaje hapo

    • @magrethmbuma3045
      @magrethmbuma3045 หลายเดือนก่อน

      Heeebu kweenda hukoo

    • @JaneMahenge-f6t
      @JaneMahenge-f6t หลายเดือนก่อน

      Mbona ukivaa wewe inatosha

  • @oscarcharles9624
    @oscarcharles9624 หลายเดือนก่อน

    Sasa muandishi una hoji maswali gani msibani acheni ujinga

  • @Lill12llLil888
    @Lill12llLil888 หลายเดือนก่อน +1

    Na hakuna atakeweza kuziba pengo la tesa kabisa

  • @mariamsaid6334
    @mariamsaid6334 หลายเดือนก่อน

    Huba ndio Tesa na Tesa ndio huba kweli mmepoteza mtu muhim xanaaa

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona huja jitanda

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 หลายเดือนก่อน +1

    Woiii poleeni tima nimelia na ww toto

  • @priscakwannhamfungimipakam9231
    @priscakwannhamfungimipakam9231 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekua nikiangalia mtu analia napata tabu sana nalia zaidi

  • @asdfhdv9230
    @asdfhdv9230 หลายเดือนก่อน

    Huba lazaa yake inaishaa

  • @EstherFuppi
    @EstherFuppi หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kabisa Tima mamangu hata mi nimejiuliza je huu ni ndio mwisho wa Huba? Sina mtu wa kufikia uwezo wake mamangu 😭😭😭😭 jibu ni hakuna Sidi na Tima

  • @HusnaAbdalla-c2g
    @HusnaAbdalla-c2g หลายเดือนก่อน

    Poleni sana