Kitabu hiki cha Sayansi ya Mapishi cha Dr Mkumbo kitabadilisha maisha yako na kukufanya uwe na AFYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @Coachsamwel
    @Coachsamwel 10 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana kwa kuhost darasa zuri...
    Dr ameshare madini makini balaa kwa jamii

  • @pascalkasandakasela4541
    @pascalkasandakasela4541 3 ปีที่แล้ว +3

    Sky wewe kweli umeamua kuja na mapinduzi mapya kabisa. Hawa huwa hawapewi nafasi kabisa japokuwa ni muhimu sana kwenye maisha yetu ya kila siku

  • @latifasharji6437
    @latifasharji6437 3 หลายเดือนก่อน

    Dr ahsante sana kwasomo Zuni sana. Naihitaji kitabu ntakipataje?

  • @tallyfa05saeed67
    @tallyfa05saeed67 3 ปีที่แล้ว

    Aisee nimepata somo kubwa sana ubarikiwe Sky

  • @linetokuku5390
    @linetokuku5390 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiki kitabu naweza tumiwa whatsapp na nlipe na mpesa juu mi n mkenya

  • @aminakupila3079
    @aminakupila3079 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe watu tunaoishi Finland tunakula sahihi asanteni sana mana afathali sky u atusaidia tukipata wageni kutoka nyumbani wasitlaumu upande Wa chakula wakija huku wakirudi wamekonda.

    • @pascalkasandakasela4541
      @pascalkasandakasela4541 3 ปีที่แล้ว +1

      Mnakuje Finland jamani. Chakula chenu kikuu ni nini

    • @aminakupila3079
      @aminakupila3079 3 ปีที่แล้ว +2

      @@pascalkasandakasela4541 huku watu wanakula viazi ambayo ni wanga but nyama nyama ni nyingi au kuku au samaki na lazima salad 🥗 au mbona mboga na matunda lazima na sio mengi chakula cha kifini sahani yake ndio hiyo ambayo doctor 👨‍⚕️ anajaribu kuisema.

  • @winfridamwigilwa2107
    @winfridamwigilwa2107 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunashukuru sana sana aisee. Watu wa nje ya nchi tunakipataje?

  • @chaulasalatiel6424
    @chaulasalatiel6424 ปีที่แล้ว

    Nahitaji hicho kitabu kinapatikana wapi Dr.

  • @aminakupila3079
    @aminakupila3079 3 ปีที่แล้ว

    Hata Mimi. Ninakihitaji

  • @msaromsaro6657
    @msaromsaro6657 3 ปีที่แล้ว

    Sky mimi nataka hicho kitabu Lakini naishi Australia

  • @mwasitiiddy7425
    @mwasitiiddy7425 3 ปีที่แล้ว

    Kitab tunakipataj dokta

  • @tallyfa05saeed67
    @tallyfa05saeed67 3 ปีที่แล้ว

    Niko nje ya nchi nitapaje kitabu sky

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍.