Mze wa kudere juzi nimesikia unasema kagere akiachwa wengine watambeba ukiogopa kumuacha mchezaji kwa kuangalia wengine basi utakaa na hata miaka 50 mchezaji hakai maisha katika timu
kwnn washabiki wa simba muna tabia mbay hivyo kila mwka munatak musifiwe nyie hata km timu yenu mbovu ni kitu ambacho hakitawezekena kwn kila ktu kna wakat wke
WCB tutaihama ,tutawaachia Utoporo maan tang mcm uliopta wakianza kuicfia iy tim utafkl imebeba vkombe vyoote vy Shirksho n Club ,yyyaan n usenghe mputu ,misifa kbao n tim ynyew ilkaa miak 4 pas n kubeba Ubngwa ,leo mnaicfia mpk Mnaboa Wachambuz w WCB weng Utoporo machawa w msoga byeeeee
Wasafi Mpo vizuri saana
Mze wa kudere juzi nimesikia unasema kagere akiachwa wengine watambeba ukiogopa kumuacha mchezaji kwa kuangalia wengine basi utakaa na hata miaka 50 mchezaji hakai maisha katika timu
Ukiona. Mt anapata habari zandaaan kabisa. Tushilikiane nae meng so tunayo jamanii 🔥🇯🇲
Za ndaaani, Una haki ya kuwa na hati miliki Kaka hakuna sadaka kwani Kuna vijamaa Fulani vina copy na kupest
Huyu ni MWAMBA
Dogo upo vizuri sanaaa😂😂😂😂
Hizi Ricardo Ni za ndani nimekukubali bro
Huyu Ricardo momo ni hatari na nusu🤣🤣🤣
Mugalu afukuzweeeeeeee~e
Yanga fm muache unazi na team moja we have 100 teams
Nawe chagua redio yako bac Mana makolo xaiv tuxhawazoea Kila redio xaiv mnaitolea lawama xaxa wawazungumzie nyie kwalipi
Kolo unateseka ukiwa wapi
Kwani awaiyongelei azam...Au wewe unashinda wapi
Zamani ilkua Simba fm
@@kijanisaini5688 ol
Mzeh wakudere 😂😂🙌
kwnn washabiki wa simba muna tabia mbay hivyo kila mwka munatak musifiwe nyie hata km timu yenu mbovu ni kitu ambacho hakitawezekena kwn kila ktu kna wakat wke
We naw mmbea
Hahahahahaha zaaaa ndaaaaniiii...
Ricardo kibokooooo
Yanga fm
Zamn ilkua Simba fm
Ww pimbi umepewa bei Gani?
Ufala umekuzidi .
Hii studio imekuwa ya mambo ya kinafik zaidi ya kuchambuwa mpira
🤣🤣🤣🤣
Ay isfien nd timu kubwa baran Africa n nd y kwnz kufka
Makundi n ROBO fainal mfulai
Kolo unateseka ukiwa wapi
😂😂😂😂😂
Radio yen tutaihama maan mcmu m1 tu kelele kbao
Hama Kwan umeitwa Huku achen kuona kama hizi media ni za babaenu
Ukiama nani anaumia🤣🤣🤣
Zamani walpokua Simba lifurai Leo wanaisifia yanga unaumia hama tu hatuna shida nawe
Zamani walpokua Simba lifurai Leo wanaisifia yanga unaumia hama tu hatuna shida nawe
😅😅
Media hii weng n
UTOPORO n machawa w utoporo
Acha wivu kalibu yanga ya makombe
Mbona poul mkai ni mikia mwenzenu
Zamani walkua ni makolo hao ile miaka mi4
Huyo mtangazaji fala sana kwa 7bu yeye yanga anaiponda sana simba,atumie akili anaihalibu wasafi
Wapi apo kaiongelea simba??
Leo hii unajua hvo zamani wallppkua wanaiponda yanga hukuona hv wache waisifie yanga uki chukia uccklze tu
Punguzeni sana kuisifia timu moja yote hayo mnaipinga simba sana lakin kamwe kituo Chenu hakiwezi kushusha brandi ya simba
Sasa mna content gn za kuzungumziwa😅😅😅😅😅
Kwani wakati mnasifiwe nyie, mbona watu wa Yanga hawakusema punguzeni kusifia simba?
Unateseka ukiwa wapi
Mlishajifia mda mrefu nyie
Khaa pole kizuri cha jiuza sana
Hiki kituo kwasasa kinapoteza sifa. Angalieni sana
Kolo Kama Kolo
Kolo unateseka ukiwa wapi
Unateseka ukiwa wapi??
Kinapoteza sifa kwako lkn kwetu ndio kwnza kina waka
WCB tutaihama ,tutawaachia Utoporo maan tang mcm uliopta wakianza kuicfia iy tim utafkl imebeba vkombe vyoote vy Shirksho n Club ,yyyaan n usenghe mputu ,misifa kbao n tim ynyew ilkaa miak 4 pas n kubeba Ubngwa ,leo mnaicfia mpk
Mnaboa
Wachambuz w WCB weng
Utoporo machawa w msoga byeeeee
Nyie si mnayo clouds na efm
Nenda huko kwenye Radio yenu basi
😁😁😁😁😁😁😁😁😁 kwanza nicheke
@@hamismussa6144 waende uko,mabingwa wa ligi nchi hii mara 28.Tutabaki hapa,Tunaipenda hii Media mpaka balaaa.YANGA OYEEE,WASAFI OYEEEEEE.
Clouds efm times ufm ebu mpungukiehuko mtupunguzie usumbufu Mana ukisachi wasafi tu mtandao unasumbua
WCB =Utoporo commecial bank hawa intakiw tuwakatae kabiisa
Mmmmhhh
Umeitwa..!?
Kolo povu linakutoka utakufa
Usitafute kundi kataa peke yake hutushuhulishi kolo mmoja we shuwain
😂😂..acha upimbi mbona mmiliki wa WCB ni shabiki wa simba???
Waaache Yanga nao wafurahie maana siku zote wamekuwa wanamsema Momo anapotusifia simba
moyo challenge 👇
th-cam.com/video/pX4rO79KBH8/w-d-xo.html