ARWA | ALIEMPA UJAUZITO NI MWANAUME WA SHOKA | TRUE LOVE STORY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Yaani huku juu alikuwa mwembamba lakini kuanzia kwenye kiuno kwenda chini ilikuwa ni balaa. Ingawa alikuwa kavaa gauni jepesi bado maungo yake yalikuwa yametokeza kiasi cha kujichora kwenye lile gauni alilokuwa kavaa.

ความคิดเห็น • 73

  • @KhadijaKassim-k8d
    @KhadijaKassim-k8d 4 หลายเดือนก่อน +6

    Nimechelewa lkn nimefika asante sana kaka Lucas Lumbas Allah akulipe kheri ❤❤❤❤

  • @EstherMlai
    @EstherMlai 4 หลายเดือนก่อน +7

    Wololooo.... Asante kaka Lucas kwa story jmn zinatujenga kwakwel

  • @dianandabirorere6365
    @dianandabirorere6365 4 หลายเดือนก่อน +6

    Wow,leo nime wahii🎉🎉thx Lucas ❤❤❤

  • @michaelmbilinyi7442
    @michaelmbilinyi7442 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akupeleke kwenye viwango visivyo vya kawaida kaka lucas 🎉🎉

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 4 หลายเดือนก่อน +8

    Wapili 🙏🙏🙏❤❤❤❤❤ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @SofiaKhamis-ol1bn
    @SofiaKhamis-ol1bn 4 หลายเดือนก่อน +7

    Nimechelewa lkn sio sana😂😂❤❤❤🎉

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 4 หลายเดือนก่อน +1

    Daa 😂😂😂 hongera sana Issa kwa ujasiri wa daraja la kwanza la juu kabisa🤣🤣

  • @Mupawarda-gj9qo
    @Mupawarda-gj9qo 4 หลายเดือนก่อน +9

    Nice one ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @EkianaWilbert
    @EkianaWilbert 4 หลายเดือนก่อน +6

    Nimechelewa leo 🙇 but twende tukisonga 😊.

  • @stellahEdward-v5v
    @stellahEdward-v5v 4 หลายเดือนก่อน +6

    🎉🎉 Lucas weee

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 4 หลายเดือนก่อน +9

    🎉🎉asante kaka nilikua niboeka sana sasa nawza kua sawa wadaue njooniii❤❤❤🏃

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 4 หลายเดือนก่อน +2

      Nimewapeni ote lek zenu mliondan Ila leo kaka lucas ametuletea mrembo haswaaaaaa

  • @ReginaBenjamin-ij2ec
    @ReginaBenjamin-ij2ec 4 หลายเดือนก่อน +13

    🎉🎉🎉 sijachelew San jaman like zenu naomb

  • @OdreyeIrakoze
    @OdreyeIrakoze 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hamlali jameni tuwayi vip nyiye😂😂 mauwa yenu bana 🎉🎉🎉

  • @ReginaJumanne
    @ReginaJumanne 4 หลายเดือนก่อน +8

    He'll VP mko poah vipenz

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 4 หลายเดือนก่อน +11

    Maisha hayana ata tafsiri ni kitu kitu tuuuu😢

  • @ElizabethIsaya-io2bn
    @ElizabethIsaya-io2bn 4 หลายเดือนก่อน +9

    Nimewahii leo jamaniiii

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 4 หลายเดือนก่อน +1

    wow Leo cjachelewa sana jamani❤

  • @BeatriceKauky
    @BeatriceKauky 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kaka Lucas kwa simulizi

  • @EastherGrace-e9l
    @EastherGrace-e9l หลายเดือนก่อน

    Jamani brother Lukas hakuna simulizi nilocheka kama hi ilibaki nipelekwe mirembe 😂😂😂😂 JAMAn 🇺🇬🇺🇬 nakupenda san unajuw kunogesh

  • @vailethvennance4651
    @vailethvennance4651 4 หลายเดือนก่อน +2

    Uyo Mimi💃💃💃💃💃❤️

  • @Eshaomar-ge2nf
    @Eshaomar-ge2nf 4 หลายเดือนก่อน +2

    Aaah sijachelewa😊

  • @NailatYahayamkova-yu9qu
    @NailatYahayamkova-yu9qu 4 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤ miss u 🎉🎉

  • @SummymaddyMaddy
    @SummymaddyMaddy 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wanawake wa cku hizi hela jamani hela lkn tuombe mungu atupe za halali

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 4 หลายเดือนก่อน

    Much love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wamwishoooo leo❤❤🇴🇲🇴🇲Yani uyu kaka unaenda kumchukuwa mtoto wako unauwakika kama yupo uyo mtt au unatafuta kifo

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 4 หลายเดือนก่อน +1

    Eeeh Eid J2 ya kuchinjaa😋😋😋😋

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 4 หลายเดือนก่อน +10

    Jamani wakwanza Leo like ziko wapi❤🎉🎉

  • @donaldchacha
    @donaldchacha 3 หลายเดือนก่อน

    Japo ni story unasema ni ya kweli lakini ina uongo mwingi sana

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mmakonde jamani ana roho ngumu kama asili yake loo,Issa majanga yote hayo,hakati tamaa,ningekuwa mimi,ningesharudi nyumbani toka zamani

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 4 หลายเดือนก่อน +3

    ᴴᵃʸᵃ ᵐᵃⁱˢʰᵃ bana

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 4 หลายเดือนก่อน +2

      Yana changamoto nyingi sana na hatutaweza kuyafahamu yote yanayoendelea

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂 jamani Issa naye kiboko 😂😂😂 style yake haijagunduliwa

  • @SummymaddyMaddy
    @SummymaddyMaddy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Issa jamani wee mmakonde jasir sana

  • @nahimanahawa
    @nahimanahawa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nc 🎉🎉

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uwadui na watu wa mungu jamani malipa ni hapa Duniani asente Sana Lucas lumbasi

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 4 หลายเดือนก่อน +5

    ❤❤❤❤❤

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika kumtegemea MUNGU ni jambo la muhimu katika maisha ya kila aishie kwani ratiba ya maisha ya mtu ni MUNGU tu alie ipanga na kujuwa jinsi vile mwadamu atakavyo ishi

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 4 หลายเดือนก่อน +2

    Na ww Issa kichwa sio kizima😂😂😂😂

  • @SalmaAfraha-pc4rh
    @SalmaAfraha-pc4rh 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani naombeni like zangu

  • @ChristinaPaulinus-i4y
    @ChristinaPaulinus-i4y 4 หลายเดือนก่อน +6

    1

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wanaume et kutamani, hii Kali ya mwaka unafurai kufiwa kwake nabado upo kwenye sekeseke lakufa kupona

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mateso yote hayo sababu ya mwanamke tu!

  • @Bhoke-cd7mb
    @Bhoke-cd7mb 4 หลายเดือนก่อน +1

    Watu mnawahi mtandaoni khaa mie 30😂😂😂😂❤

  • @SummymaddyMaddy
    @SummymaddyMaddy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Rangi km hiyo tunaita kahawiya au chai ya maziwa ilotiwa majani ya chai

  • @Yusra-mq5bn
    @Yusra-mq5bn 3 หลายเดือนก่อน

    Aise 😊😢

  • @FaudhaHamisi
    @FaudhaHamisi 4 หลายเดือนก่อน

    Issa🎉🎉🎉🎉

  • @saumurajab7542
    @saumurajab7542 4 หลายเดือนก่อน

    Thanks 🎉🎉🎉👌👌👌🔥🔥😘😘🇰🇪🇰🇪

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 4 หลายเดือนก่อน

    Japo isa kafanikiwa lakin no, sijapenda kabsaa Yan maamuzi yake
    Aliwaza hisia zake tu je angekufa aliwaza wazaz wake wangekuwa na Hali gani😢

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 4 หลายเดือนก่อน +1

    Waoo❤❤❤🎋🎋🎋🌹🌹🌹🥀🥀🥀🥗🥗🥗🌷🌷🌷💃💃💃

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 4 หลายเดือนก่อน

    Weeeuh huyu alikua Malaya promax aki

  • @candidekaneza8587
    @candidekaneza8587 4 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ElaineAkimana
    @ElaineAkimana 4 หลายเดือนก่อน

    Hasante lucas

  • @AdamSabugo-sr4ds
    @AdamSabugo-sr4ds 4 หลายเดือนก่อน

    Watu mnawahi xnaa

  • @SummymaddyMaddy
    @SummymaddyMaddy 4 หลายเดือนก่อน

    Na kimakonde jee

  • @QueenDenise-i9u
    @QueenDenise-i9u 4 หลายเดือนก่อน

    🥰🥰🥰🥰

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @ElizaSada
    @ElizaSada 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @AdamSabugo-sr4ds
    @AdamSabugo-sr4ds 4 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @Munira1044
    @Munira1044 4 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤😂😂😂😂😂

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 4 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤🎉🎉🎉😂😢

  • @FaithNdenge-k9i
    @FaithNdenge-k9i 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @FaudhaHamisi
    @FaudhaHamisi 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 4 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅😅🫣

  • @FaithPeter-j4w
    @FaithPeter-j4w 4 หลายเดือนก่อน +6

    ❤❤❤

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 4 หลายเดือนก่อน +1

      🌹🌹

  • @mwanasiti83sete63
    @mwanasiti83sete63 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @YusraBadru
    @YusraBadru 4 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤

  • @Aishwaraimasiennah
    @Aishwaraimasiennah 4 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤

  • @omanmajan9438
    @omanmajan9438 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @Salma-id4yl
    @Salma-id4yl 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤

  • @Aisha-oj9cx
    @Aisha-oj9cx 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉